Ahsanteh kwamafundisho yako Dr sulle mungu akupe uhai mrefu,
@nakundwamkubwe78238 күн бұрын
Wallah waislamu ndio mana tuna maarifa na akili. Bravo Dr Sulle.
@nakundwamkubwe78238 күн бұрын
Elimu yote hii utaipata ktk Biblia funny book thubutu anyenye 😅😅. Alafu kuna kuja watu wasio tahiriwa wanamtukana Nabii Muhammad SAW na Allah Subhuana wa Taala.
@ndayikezaoscar34678 күн бұрын
Mzee wangu una akili sana MUNGU AKUTUNZE
@subu048 күн бұрын
Swali langu kwa ndugu zangu ambao ni waislamu, mie sio muislamu ila nauliza neno Haramu kwa kiswahili ni kitu kisichofaa au kutokuhaharishwa, mbona nasikia humu safari kutoka masjid Haram kwenda Aqsa, Haram hapa inamaanisha nini na Aqsa inamaanisha nini kiswahili?
@nice-products-q9q7 күн бұрын
Ni lugha tu ya kiarabu ndugu yangu, kama vile unavoona neno moja la Kiswahili au Kiingereza linaweza kuwa na maana zaidi ya moja. Haram kiarabu inaweza kuwa na maana iliyozuiliwa yani Allah kakataza ima kukifanya au kula au kukisogelea n.k, mfano mimi siruhusiwi kumuoa dada yangu, basi dada yangu ni "maharimu" wangu, haramu kumuoa. Lakini maana ya pili ni "TAKATIFU" na hii ndio inatumika sasa kwenye huo msikiti. unamajina mengi lakini Moja wapo ni hilo "Msikiti mtakatifu" Allah ni mjuzi zaidi. Ushauri wangu: Kuna baadhi ya ndugu zetu Wakristo, wameshajua ipi dini sahihi na ipi si sahihi, lakini Kuna roho ya kishetani inamchelewesha kuingia katika dini ya sawa, anajiuliza nikibadili dini nitaonekanaje, rfk zangu watanionaje? Nawashauri tu usibadili dini kwa ajili ya mtu, wala kwa ajili ya kitu, wewe ingia katika uislamu kwa ajili ya Mungu mmoja wa ulimwengu ambae hana mshirika, uone jinsi atakavokubariki. Mtume anatuambia "Akikupenda Allah, akikuridhia Allah, basi vitakupenda vya mbinguni vyote na vya ardhini vyote" tukitaka kupendwa na Allah ni kufuata maelekezo yake yote kisawa sawa tu. Sasa si kwambii kwa wewe ambae mwanzo ulikuwa humjui Allah, ukafahamishwa alafu ukamfuata kwa yakini kabisa, Allah anakupenda mno! Allah awaongoze ndugu zetu Wakristo awalainishe mioyo yao waingie kwenye dini ya haki. Haiwezekani na haitokuja kuwezekana sisi tuumbwe na Mungu mmoja, alafu tuje kutofautiana Imani alafu useme wote tuko sawa! hapana. Lazima lipo kundi moja ambalo lipo sahihi sana katika kumtambua Mungu wa kweli. Allah atubariki sote