Ya Allah tuondolee maradhi mimi pamoja na familia yangu kupitia dua hii naomba ganzi ya mama angu imuachiee na awe sawa kama mwanzoo na kila linalomsumbua salum naomba awe huru🙏🙏😪 Ameen inshallah
@youngshinesadru13252 ай бұрын
Ya Allah kupitia Dua hii wazzazi wangu ndugu zangu na ndugu zangu wote kiujumla walio tangulia mbele za haki uwasimamie katika safari yao nzito inshaalllah ameeeen
@mwanasomoali-d1e10 ай бұрын
Ameen yarabilallahmin niondoshee dhiki Na misukosuko inayotufika
@ZuuhRajabu23 күн бұрын
Yaa Allah niondolee hofu ktk nyoyo zangu niepushe niwe mja mwema mbl yk mola wangu ww nd upasay kuabidiwa niepushe yaa Allah tujaalie maisha yny furah tuondelee mazito tujaalie familia bora yallab
@hassaninaheka95409 ай бұрын
hii dua ina msaada na wepesi mwingi sana. kama imani yako iko sawa mungu anajibu maombi.
@sophiakilindo11892 ай бұрын
Ya Allah naomba unisuru Mimi na familia yangu na maradhi yatishiayo maisha yetu. Tujaalie hekima na Amani
@SubiraRamadhani-tb1es23 күн бұрын
Yaa alla nakuomba uniponye mimi na family yangu uzao wangu na mume wangu amini
@danielgeorge777328 күн бұрын
Ya Rabbi naomba kupitia Dua hii niondelee majini wabaya na wachafu waliopo kwenye mwili wangu Amin🙏
@mwanamisishaban408311 ай бұрын
Amini ya Allah naomba kupitia hii dua niondoshee maradhi mm na watoto wangu hasa said yuwasumbuliwa sana na macho nakauli hatamki kama mdogo wake mara Yuko sawa mara maneno yapotee ewe Allah niajalie shufaa kwa wanangu na mm mwenyewe kupitia mm kusikiza nao wapone juu niutumbo wangu
@YasiniIssa-j2xАй бұрын
Ya Allah nakuomba kupitia duwa hii ukanifungulie kila vifundo nilivyo fungwa nakuomba unifungulie milango yalizki unikinge naufakili unipe wepesi katika utafutaji wangu Niki pata rizki iweze kutulia niweze kufanya kitu nikitakacho amin
@Ikkybaby-c2j28 күн бұрын
Allahumma Amiin thumma Amiin yarrab kupitia dua hii nifanyie wepesi katika safari yangu ya kazi abroad Amiin yarrab🤲🤲🤲
@twalibuathumani-v7r2 ай бұрын
Yaalla niondoshee na mm malathi yangu yote na mama yangu mzazi
@tatuzuberi2233Ай бұрын
Ya Allah nusuru wanangu na ndugu zangu pia na ndugu zangu walo tangulia mbele za haki, hutuhepushe na matatizo na hutupe mwisho mwema.Amen
@AsmaJuma-k3e8 ай бұрын
Amini eeh mwenyez .jngu nope kila llonakheri katka maisha yangu
@Halimasikudhani3 ай бұрын
Amiin yarabb mungu niajalie kupitia dua hii niweze kunjenga nyumba yangu niodolea hasadnahusuda
@bakarisaid29383 ай бұрын
Yarab mola wangu kupitia kisomo hiki nakuomba uniondolee matatizo,maradhi,uchawi katika mwili wangu pamoja na watoto wangu bibi yangu ndugu zangi,unifungulie vifungo nilivyo fungwa na wachawi ya Allah nakuomba kupitia kisomo hiki,
@Hidaya-os1pg2 ай бұрын
Ya Malik nakuimb kupitia duahii nijaalie afya na kuniondoshea maradh ktk mwili wangu ya rabil niondolee maradh haya na yasirud tena ktk mwili wangu, ya allah kupitia dua hii naomba unishushie rehma zakona uwakinge na wanangu kwa uwezo wako naamin ya rahman
@LucyPatrick-x6v2 ай бұрын
Ee yarab mola wangu ninaomba kupitia kisomo hik uniondolee matatizo yote me familia yangu na marnz. Eee mola wangu naomba unisaidie
@youngshinesadru13252 ай бұрын
Yaah Allah kwa dua hii niletee kila aina aina ya rizk ya allah niondolee kila vizuizi yaa allah
@AnisaRamadhan-m6gАй бұрын
Ya rabi kupitia dua.hii naomba jambo langu la kheri litimie yarabi naomba ndugu zangu wote uwaepushe na mabaraa yanayo wakabiri.naomba uwapatie liziki.popote pale wanapoenda.naomba wazazi wangu.uwapunguzie azabu zakabri pamoja na ndugu zangu wote waliotangulia.mbele za haki .na umuepuxhe mwangu nawatu wabaya Kila shari yoyote husda vijicho.umuepuxhe nayo.napopote pale atembeapo.umkinge yarabi.kwangu.zako allah
@SharifSaid-mo2elАй бұрын
Emora wangu niepushie marazi namagonjwa yote mwirini wangu yanayo isumbuwa mwaka sasa he yarabi naomba uniokowe
@neemahalima544011 ай бұрын
Mashalla
@latifaonesmo76294 ай бұрын
Kwa baraka ya dua eweee mwenyezi mungu naomba niangamizie watesi wang wanao niulia watoto wang iwe wana damu ama maji waangamize kwa mapenzi yako
@ZamzamAbdhul-w2s5 ай бұрын
Yarab mola wangu mm saumu ayub nakuomba kupitia hiki kisomo mwondole maradhi Joel kule aliko nakuomba tena kupita hiki kisomo unifungulie baraka ya ndoa ya rab amin
@AnisaRamadhan-m6gАй бұрын
Ya rabi naomba nipone maradhi yote yanayo nisumbuwa kwenye mwiriwangu vifungo vyote vilivyoko kwenye mwiliwngu..unionfoxhee yalabi husda vijicho vyote uniondoshee jambo langu la kheri litimie bira uzito wowote mbereyetu.ys rabi
@bintifikirini-wy3kc10 ай бұрын
amiin ya rabby
@RehemaKirungi4 ай бұрын
Aamin kupitia dua hii naomba mungu anirudishie ndoa yangu
Yarrab mwenye zimungu nakuomba kupitia dua hii nifanye wepesi kwenye plot yngu rabb nauniondolee kila baya kwenye ndowa yangu nakama nikuachana tuachane kwa her Yarrab Amin insha'Allah
Ya Allah nakuomba kwakupitia kisomo iki kiwe Kinga kwangu na family yngu na pia unijaalie nikamilishe malengo yngu nakutegemea weww Allah na umesema tukuombe Kisha utatujibu ya Allah nakuomba unijibu maombi yngu ya Allah kupitia kisomo ichi ❤
Mola kupia dua hii wazazi wangu ndugu zangu familia zangu walio fariki mungu wabariki uwaeke mahali pema peponi uwasamee makosa na madhambi yao ya allah,
@AminaSuphian8 ай бұрын
Amiina yarabi nakuomba kupita duahii nikinge na hasadi nahusuda zavyote ulivyo viumba katika hii dunia
@KassimNdogolo-il3gd9 ай бұрын
Amina mungu ukanijibu usiku waleo mkewangu moyoo wake ukalainike akumbuke kuludi nyumbani
@rukiaramadhan21174 ай бұрын
Ameen yarabi kupitia dua hii naomba niodoshe matatizo niliyonayo
@MwatumuHusseni6 ай бұрын
Amiin thuma amiin ya Allah naomba unijibu ninaloliomba kwa kusikiliza quran yako tukufu hakika ww ndie hunaejibu maombi ya mja wako yyte hanae kuomba ya rabb takabali dua hii🙏🙏🙏
@mahmoudhassanali64489 ай бұрын
Allah humma salle. Alaa sayyedina muhammadi. wa. alaa. Aale sayyedina. Muhammadn wa bararik. wa Salim. Ya Allah mujko takaat. de. Afeeyat de or Noor de. Ya Allah mujko. tere. see dur na kar ya. Allah mujko malamal kar elahi amiin
@DashaFilmcompany9 ай бұрын
Eeeh mungu nijibu kila nililo ombaaa ww ndo wakunijibu mm mungu wangu amina
@chandesina8 ай бұрын
Allahuma amiin,allah atuondeshee na kila mabaya na hasadi za walimwengu na atupe shifaa kwa kila hatua,
@mwanaishamkombozi43397 ай бұрын
Kwa dua hii naomba mwenyezmungu aniondoshee ganzi kwenye miguu na watoto wangu kuumwa homa za mala kwa mara
@DidaWaah4 ай бұрын
Ameen
@FatmaBuda-q8r3 ай бұрын
Asalamu aleku kakaangu kwa duwa mungu akulinde
@KassimNdogolo-il3gd9 ай бұрын
Amina mkewangu aludi nyumbani
@MkiwaRamadhani8 ай бұрын
Amiina ya Allah niondoshee mabalaa kwenye ndoa yangu
@FatimaFatima-bx8ez2 ай бұрын
Like 👍 👌 ❤
@DidaWaah4 ай бұрын
Amiin yarab
@KassimNdogolo-il3gd9 ай бұрын
mungu ukanifungulie liziki zangu kazini kwangi
@SADIKIMALISAWA-ou8sk6 ай бұрын
Amina allah kwadua hui niondole vifungo culte vyafalmezagiza namashaitwani najamaalangulote aaami a
@tausihassan4846Ай бұрын
Amina allah kupitia dua hii mwenyezi mungu naomba nifungulie milango ya ridhiki uniondolee husida mambo yawe mepesi nipunguzie mazito maradhi mimi na familia yangu na wengine pia wapunfuzie wapate afuheni yarab amina