Mungu nijalie niwe mwema pia nijalie nulu ktk watu wanao nizunguka ktk jamii mia niondolee na mahusuda ote🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AminaMkwinda2 ай бұрын
Yaah allah nijalie mimi niondoshee maradhi yalio ndani yang
@mwanamisishaban4083 Жыл бұрын
Yaa Allah naomba niondolee nukisi kwa maisha yangu na pia nipe furaha na riziki niweze kulea wanangu waondolee magojwa wanangu Yaa Allah naomba walinde na husda zawalimwengu na machawi Amin Amin
@RekhaRekha-es8br3 ай бұрын
Amiin🤲😭😭yarabi nipe Afya Mimi na mtoto wangu yarabi Toba😭😭🤲🙏Amiin yakudusu🙏
@JohsonNestory Жыл бұрын
Naomba mwenyez mungu niondoshee maradh yanayo nisumbua na mitihan katika maisha yang Inshaallah Amin🙏🙏🙏🙏🙏
@zainabsaad5955 Жыл бұрын
Amin yarb amin allh atufanyie wps n atukinge amn
@SalumOmary-f6b11 ай бұрын
Nakuomba yarabi uniondoshee maradhi yanayo nisibu katika mwili wangu amiin
@WaniMasha6 ай бұрын
Allah nifanyie wepisi maradhi ya tumbo yaniondeke kabisa InshaaAllah
Nakuona Allah uniondolee majaribu mola wangu niondole na maradhi yarabi
@judithfred23665 ай бұрын
yarab naomba unisaidie na watoto wangu amina
@FatihiaMussa11 ай бұрын
Yarab naomba uniondoshee maradhi haya yanayonisumbua ktk mwili wangu ktk kizazi changu nikapate kuitwa mama tena na tena🤲
@hafsasaidi3209 Жыл бұрын
Yarabbi naomba nitoe magonjwa mwilini mwangu ya allah naomba msamaha wako mola wangu 😭😭😭😭😭
@kissamwamunyange1018 Жыл бұрын
Allah haongopi na hii dini na hiki kitabu ni mwisho WA matatizo yote. Mimi nilikuwa mkristo Ila sasa nimeslim . Hii Quran achana nayo kabisa
@MuasitiAboBakri-ew5mu2 ай бұрын
Ya rabby kupitia, duwa hii niponye maradhi yote yanayonisumbua katika mwili wangu🤲futa alama iloandikwa katika tumbo langu🙏🙏🙏
@MariamShaban-l9wАй бұрын
Allah naomba uniondoshee nukis ktik maisha yangu nifunguliee rizik uniondoshee maradhi katik. Mwelwangu
@HamisiHamisi-cm9yh10 ай бұрын
Yaallah naombao niondoshee matatizo anayopitia binti yangu Kwa maradhi yanayomsibu, na family yote Kwa ujumla,,aamina
@aishaallyaishaally3220 Жыл бұрын
Naomba yarabii unitoe kila aina ya magonjwa inshallah
@zenashamte9407 ай бұрын
Yaa Allah muondolee maradhi mwanangu Kama nikwa uwezo wako mfanyie shifaa kama ni binadamu wabaya Allah kupitia dua hii yamrudie mwenye
@MwajumaHamza-k3y5 ай бұрын
Yaa Allah nakuomba unijaalie uneondie kwenye husda mimi na mama yangu Mimi nirudiane na yule ni mpendae kwa dhati nakuomba muumba wangu 🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@AthumaniJuma-xc8ve7 ай бұрын
Naomba yaraibi niondoshee mitihani kwenye maisha yangu
@ZawadAli-om7so5 ай бұрын
Ya Allah naomba unirudishie nyota yngu na wepesi maishani
@fatmamwera6645 Жыл бұрын
Allah nipe wepesi na mimi maradhi yaniondoke mwilini mwangu😢
@khadijakimana8809 Жыл бұрын
Ya Allah kwa huruma wako fungua milango ya shifaa kwa ajili ya binti yangu na umpe shifa ya Allah🤲
@evaboaz1311 Жыл бұрын
Ya Rabi niondolee maradhi ya tumbo
@ZuuhRaniya Жыл бұрын
Eeeh mwenyezi mungu naomba uniondolee maladhi haya yanayo nisumbua
@Maryamzahor-t5i Жыл бұрын
Shukrani shekhe nimefarijika na. Dua na Kutoa chozi jicho la kulia na Kuhisi tumbo kuwaka moto
@FatmaBakar-hl4ib7 ай бұрын
Allahummamiin
@MwamvuaAlfan5 ай бұрын
Yaa allah muondolee maradhi mwanangu kama ni kwauwezo wako mfanyie shifaa kama ni binadamu wa baya Allah kupitia dua hii yawarudie wenyewe 🙏🙏🙏🙏🙏
@MaimunamaimunaMaimunamaimuna28 күн бұрын
Naomba Mungu aniondolee yangu msichana wangu asafiri atulali twarushiwa michanga akituma pesa twapeleka siptali twaona makombamwiko Na mijiskafiri ndani ya nyumba Na panya
@nkurunzizaabdul-aziz72115 ай бұрын
Allahum amin ya Allah
@mariamponera6386 Жыл бұрын
Amiiin ,naomba maradhi yote yanitoke au nipone ,naomba nifunguliwe riziki yangu
@nuriahabiba864110 ай бұрын
Amiin ya rabi tufayie wepesi
@ZainabuOmary-h4d Жыл бұрын
Yaallah naomba niondoshee maradhi ,,nuksi uchawi
@KasimuNgware5 ай бұрын
Allah tufanyie wepewi wangonjwa wa pande nne zote za dunia
Amiin rabl Amiin nashkuru rabbi pia wajalie maustadh afwa njema'kusema tu ukweli nimefatilia sana hii dua leo ni siku ya 3 lkn hali hazikuwa nzuri leo nimefeel niko sawa kabisaa alhamdhullillah ya Allah tustiri waja wako
@ummypeter Жыл бұрын
mungu niponeshe maraldi yanayoni sibu mm🤲🤲 naumwa
@mwanamisishaban4083 Жыл бұрын
Yaa Allah ni ondolee matatizo na changamoti kazini kwangu na bos aniongeze mushahara inshallah naamini kupitia hii dua Allah utanipa shufaa kwakila matatizo yangu Amin
@JamiraAthuman6 ай бұрын
Yaa Allah muondolee maradhi mwanangu amiin
@maryamsalum45482 ай бұрын
Yaa Alwah kupitia dua hii tuondoshee maradhi mimi, wazazi wangu, watoto wangu na mume wangu aaamin
@ZuuhRaniya Жыл бұрын
Yah Allah nifanyie wepesi
@sumayyahally3199 Жыл бұрын
Allahuma amin yarab naamini umeniondoshea marazi yote yanayonitesa kwa mwili wangu amiini
@RekhaRekha-es8br3 ай бұрын
Amiin thuma Amiin🤲mungu awahidhi kwa kila shari awpe afya awape afya Amiin🤲😭
@KHAMISIMOHAMMED-m1j5 ай бұрын
Yarab kiupitia dua his naomba umondoshee maumivu yote maradhi alokua nayo mume wangu na umjaalie wepesi apone inshaallah
@AminaVJ5 ай бұрын
Amin
@RuthAndason-cj4gp11 ай бұрын
Insha Allah
@tausibaraka97627 күн бұрын
Ya Allah niondoshee maradhi mwilini mwabgu
@mkmwayama4534 Жыл бұрын
Amin yarabbil Allah miin
@amneally41357 ай бұрын
Allahumma ameen tunaweza kupata kitabu ustadh
@gitu4me Жыл бұрын
A Salaam aley khum mimi ni mkristo ila nimekuwa na Imani na dua hii imemponya Kaka yangu aliye sumbuliwa na vifungo vya KICHAWI zaidi ya miaka 5 tumeliwa pesa nyingi sana kwa waganga lakini Kupitia bando la 2000 tu ameponywa sasa hanywi pombe hali ugolo leo ni siku ya nne toka tumewekee dua hiii Nilichokifanya nikaweka sauti kubwa kwenye redio mahallah amepona
@AsdDsa-fi5qk Жыл бұрын
Aliposikia hii Dua ilikaa skungaap Kisha akapona??
@AidathRweyongeza4 ай бұрын
@@AsdDsa-fi5qk Hizi dua yatakiwa kwanza uwe na imani ya kuwa anayepinyesha magonjwa na ALLAH utapona ila Kama ila Kama imani inaelea utachewa kupona japo utapona Iman ndo kila kitu
@Mohammedyasia4 ай бұрын
Allahu akibar
@FatmaKaloo5 ай бұрын
Ya allah nakuomba uniodolee maradhi yote mwilini kwangu na wanangu
@Idriss-cz3gf Жыл бұрын
Amin yarabih
@sultanrubeya49948 ай бұрын
Asalam aley kum naomba Jina ya hiki kitabu
@mwanakombomwavadi92507 ай бұрын
Amiin thuma amiin yarabi niponye yarabi 😢😢😢😢😢
@MaymoonerShali Жыл бұрын
Ya Allah nakuomba uniondolee mazito nilionao nimeteseka sana kupitia jinn linatesa sina amani sijui limetumwa ya rabbi nipe shifaa ya rabbi ameen😢
@fatmamwera6645 Жыл бұрын
Nalia kila siku Allah anifanyie wepesi na mimi
@hajiramrisho5003 Жыл бұрын
Naomba nisaidie namba yako mpendwa
@ZuuhRaniya Жыл бұрын
Yah Allah nifanyie wepesi 🙏
@AishayoutubeMoosa-zn1co11 ай бұрын
Yaa Allah naomba uniponyee maradhi yangu pamoja naama anguuu