Shukraan na sifa zote zimuendee Muumba mbingu,ardhi na vote vilivomo ndani yake ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA
@mauwalamba439118 күн бұрын
Aslm alkm ..SHUKRANI sana sheikh jazakallah kheri
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Wa alleykum salaam warahmatulah wabarakaatuh sheikh MWENYEZI MUNGU akulipe kila lililo la kheir na wewe kwa nasaha hii njema atusamehe madhambi zetu atuongoze katika njia iliyonyooka na atujaalie mwisho mwema ili tuepukane na adhabu ya🤲🏽🤲🏽🤲🏽 maneno ya kuzingatiwa kiukweli
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Rehma na Amani za MWENYEZI MUNGU zimshukie Mtume wetu kipenzi Mohammad Swalallahu Alleyhi Wasallam ahli zake na maswahaba zake wote
@omikiss1868 Жыл бұрын
Ahsalam aleiqum!! Alhamdulillah namshutkur Allah kwakile ulichokitoa kwangu kimenipa faida kubwa mno!! Ila hichi kichwa cha habari kidogo kinautofaut nakile nilichotegemea au kwavile uwelewa wangu sijamuelewa vizur sheikh, Nilitegemea angetaja japo hzo istifar,au Dua ambayo tunapaswa kuisoma au urad upi nimzur zaid kuanza nao maelezo mazur lakin yule asie jua matendo nimeng anataka kujikurubisha na Allah je nyakat zote akiwa anacha hayo matendo afanye zaid Ibada hii inafahamika nahapo kwenye ibada hiz istifar ndo twahitaj hata kwa majina tu!
@fatmaalzidy1170 Жыл бұрын
AsalamaAleyekumu kkusudia kabla ya dua yyote tuombe maghafira kabla ya dua na kakupa dalli ktk qur ani shukraani
@Shakila-t3c Жыл бұрын
Aslm alkm ww.... shukran sana sheikh. Jazakallah kheir 🙏
@yusufseifu49672 жыл бұрын
Jazaaka lahu haira
@مريمااتاا3 жыл бұрын
Waaaleykum saaalam warahmatullah wabarakatuh Masha Allah
@osamashakeeb71942 жыл бұрын
Shukraan sheikh wangu
@afric012 жыл бұрын
Aslm alkm ww... Shukran sana. Jazakallah kheir 🙏
@lailakanze2640 Жыл бұрын
Asalam aleikum shekh.asante Sana kwa muongozo wako.mungu akubariki sana
@mariamuimamu4203 Жыл бұрын
Shukran sana
@FatumaMuhammedCheka Жыл бұрын
Waalykm msalaam warahmatullah sheikh shukran kwa nasaha yenye faida
@SHEHESALIM11 ай бұрын
Maa shaa llah Allah akupe Khair Zaid na akulipe kwa Yale alokupa Mola yk akayatowa
@مريمااتاا3 жыл бұрын
Jazakallahu khery
@neemachacha86932 жыл бұрын
Jazakallah khair
@زينببنتسعيد-د9ح3 жыл бұрын
Shukraan jazzakah ALLAHU kheiran barakallahu feekum #riyadhtvonlineznz kwa faida nzito hii
@nayeemn92752 жыл бұрын
Walaikum salam warahmatullah wabarakatuh. Shukran
@piliramadan875 Жыл бұрын
Maashaallah
@AsamUmeme Жыл бұрын
Mashallah
@wardaswalehe35702 жыл бұрын
Waleikumsalam warahmatullah wabarakatuh
@amanifunzi97282 жыл бұрын
Je kama mtoto wako ashiki mdara au shuleni tusome dua gani