Yaa Allah naomba nipe mume wangu ubavu wangu yaa Allah niondolee matapeli wa mapenzi naomba nipe mume uliyemuumba kwa ajili yangu yaa Allah nasubiria mume wangu toka kwako Mungu wangu Ameen yarabiii
@shahama66633 жыл бұрын
Amiin amiin
@swaumyusuph15662 жыл бұрын
Ya Allah nijalie mwisho mwema na matendo mazuri yanayofaa ...In shaa Allah
@kultumsaidi62515 жыл бұрын
Yaarabi nakuomba nijaaliye nirudishe kwa mume wangu hiki ndio Kilio Changu nikubaliye duwa yangu