DUA YA MWENYE KUDHULUMIWA NA KUREJESHA HAKI KWA MWENYEWE TUOMBE SOTE KWA ALLAH WADHULUMATI WARUDISHE

  Рет қаралды 14,557

Sheikh Yusuf Diwan

Sheikh Yusuf Diwan

Күн бұрын

Пікірлер: 73
@mishymentyshakuruu6710
@mishymentyshakuruu6710 Жыл бұрын
Allah. Awabarikiiiii. Mashekheeee. Wetu. Nilizulumiwaaaa. Janaaa. TU. Leo. Asubuh. Nimewekaaa. Hiiii. DUAAA. Hakiiii. YANGU. Imerudiiiiiiiii. Yaaaah. ALLAH. Yaaa. Kareeem. 🙏🙏🙏🙏🙏
@thurayaalriyamy8635
@thurayaalriyamy8635 3 жыл бұрын
Mashekh wangu mm nina matatizo nina chuo znz shamba ndani ya msikiti ambao nimeujenga. Sasa nataka kujenga chuo hiyo ardhi ni babu yetu ambayo warithi watt Wa Khali yangu wamenipa nijenge lkn wajukuu wa khaloo yangu wamenizuwiya na chuo kimekuwa mashallah kikubwa watt hawaingii tena hapo msikitini. Nahitajia dua mashekhe wangu nitakulipeni
@charitymwaura4897
@charitymwaura4897 9 ай бұрын
Amin ya arabii na Mimi .nijalie nirudishiwe pesa yngu na aliye nidhulumu Leo asubuhi
@ashushfarruuj
@ashushfarruuj 9 ай бұрын
Aalkm masheikh MOLA awajaze mema Ht mume wangu pia anataka kudhuumiwa nyumba yakena mtalaka wake naomba pia mumuombee mume wangu
@aminarajab1045
@aminarajab1045 2 ай бұрын
Asalam alaikum allah mfanyie wepesi dadaangu apewe hakiyake na mimi Amina rajabu nataka allah anipewepesi na mimi nimedhulumiwa na boss wangu fatma siabi
@namrindasudi6272
@namrindasudi6272 3 жыл бұрын
Allahuma Ameen. Nasie pia tuwe wenye kutakabaliwa kwenye dua hii inshaallah
@BushramussaShaaban
@BushramussaShaaban 5 ай бұрын
Aamen 🤲 Allah atufanyie wepesi kwa wote
@SaumJuma-ng4vj
@SaumJuma-ng4vj 2 ай бұрын
Amiin yaAllah kwa dua hii nirudishiwe haki yangu
@khairatkeneth8436
@khairatkeneth8436 7 ай бұрын
Amiin amiin natumaini dua hii itanisaidia na mimi nirudishiwe ela yangu
@RASHEEDTV-c3s
@RASHEEDTV-c3s 6 ай бұрын
Ameen na mm yarabby naomba nirudishiwe pesa yangu niliodhulumiwa ya KARIM😢
@khamisasina5942
@khamisasina5942 2 жыл бұрын
Mwenyzimungu anijaliee pia mimi nimedhulumiwa plot yangu na mimi ni yatima naomba mwenyezimungu ayeeze kuniridishia in sha Allah
@ggjdjfgyhkfkf1542
@ggjdjfgyhkfkf1542 Жыл бұрын
Amina
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 7 ай бұрын
Aaamiin
@nooornoor120
@nooornoor120 13 күн бұрын
Amiin
@mjanaelsabugo2319
@mjanaelsabugo2319 10 ай бұрын
Amfanyiye wepes dada shuf nami pia aliyethulum anilip bila usumbuf
@setiseti5281
@setiseti5281 Жыл бұрын
Amina yaaraab
@enterenter1921
@enterenter1921 2 жыл бұрын
Aamiin Aamiin Aamiin Yaa Allah nifanyie wepesi namimi nisidhulumiwe eneo langu yaa Allah hakika wew ndio mwenye kurusha haki yakila mja wako Yaa Allah hifadhi haki yangu😭Yaa Rabb nakiri nakuamin wew hushindwi nakitu chochote Yaa Lat'wiif kiwanja changu🤲🤲kird katika mikono yangu,, Yaa Allah waangamize wote wanaotaka kunidhulu Yaa Allah waangamize mbali kbs wakajikwae kidole waangukie mbali kabis🤲🤲
@Halimasikudhani
@Halimasikudhani 5 күн бұрын
Mimi pia nimidhulimiwa pesa zangu za kujenga nyumba yarabb niajalie na mimi
@FatmaAhmed-n6c
@FatmaAhmed-n6c Жыл бұрын
Ameen
@kijangwazay7711
@kijangwazay7711 4 жыл бұрын
Wa alaykum ssalaam warahmatullah wabarakatuh Allahumma amiin Allah airejeshe haki yake kwa wakt in sha Allah
@salimanasri3980
@salimanasri3980 2 жыл бұрын
Amiin ya rabii na mm yaa Allah nijalie nirudishwe pesa yangu wamenidhulumu🤲
@Mymuna-bk9md
@Mymuna-bk9md 11 ай бұрын
Shukran sheikh kama tayari mtu kashadhulumiwa je
@Aisha-e3k4m
@Aisha-e3k4m Жыл бұрын
Amina yaaraby eeh mwenye zimung nifanyie wepesi ishaallah nirudishiwe pesa zangu niloibiwa na vitu vyangu ishaallah amina yaraby nakuomba mwenye zimung amiina🙏🙏
@ashaamina
@ashaamina Жыл бұрын
Ameni
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 7 ай бұрын
Ustadhi niombeni dua kwa mtot wangu rafique amesigiziwa kuamenajisimtoto wajirani muombeni dua rafique mungu amuepushie hasadi hiyo kwani molaatie wepesi
@halimaalimwamajeni6291
@halimaalimwamajeni6291 4 жыл бұрын
Allahumma Ameen
@abdulazizsaid4046
@abdulazizsaid4046 2 жыл бұрын
Mungu atufanyie sote mepesi pamoja , ameena ,?
@kezakimanamelissa9121
@kezakimanamelissa9121 Жыл бұрын
Amiin amiin . Namimi chef wangu anavo nidhulumu haki yangu Yallah naomba kupitiy Dua hiyi uniwekey wepesi nami nishinde mitihani
@farhiaisabella3166
@farhiaisabella3166 2 жыл бұрын
Allahumain Amen mpe wepesi mja wako. Nami pia Allah unifanyie wepesi Boris na Stumai waweze kunilipa fedha zangu. Allahumain Ameen.Allah naomba ushindi maana wewe ndiye unaweza na unaturudishia haki zetu zilizodhulumiwa
@KhadijaDidas
@KhadijaDidas Жыл бұрын
Mm khadija nimezulumiwa mume na biashara zangu na mm ni yatima xna wazee ata mmoja
@mjanaelsabugo2319
@mjanaelsabugo2319 10 ай бұрын
🤲🤲🤲🤲
@rahmamukuria715
@rahmamukuria715 4 жыл бұрын
Aaamiin Aamiin
@nooornoor120
@nooornoor120 13 күн бұрын
Kupitia dua hii nikarudishiwe haki zangu yaallah
@bintialijuma
@bintialijuma Жыл бұрын
Ameen ya allah atujalie sote tuliodhlumiwa pesa zetu inshaallah
@swabraty1760
@swabraty1760 4 жыл бұрын
Allahumma ameen
@zuhurajuma8090
@zuhurajuma8090 2 жыл бұрын
Amiin Amiin Amiin inshallah mjalie wepesi na mimi pia unifanyie wepesi nguvu yangu irudi pesa na simu ia edi
@pillyshemsanga4676
@pillyshemsanga4676 Жыл бұрын
Inshaallah. Mungu. Wape. Maisha. Marefu. Mzidi. Kutusaidia. Mashelkh. Wetu
@rehemaidd772
@rehemaidd772 2 жыл бұрын
Ameen yaarabby ameen
@evaboaz1311
@evaboaz1311 Жыл бұрын
Amin
@setiseti5281
@setiseti5281 Жыл бұрын
Mimi nimezulumiwa pesa zangu milioni moja alikuwa anashida akaniambia nikopeshe pesa takulipa hakunilipa mpaka leo nikimkumbusha nilipe pesa zangu ananitukana sana basi mimi nimemwachia mungu anilipie
@zulekhasogoi8122
@zulekhasogoi8122 Жыл бұрын
Helloo
@mimitijara4806
@mimitijara4806 Жыл бұрын
Amin amin thumma aminn
@zainabmoussa9760
@zainabmoussa9760 2 жыл бұрын
Ameen ya Rabii
@ameenaameena4907
@ameenaameena4907 2 жыл бұрын
Ameena yaa Rabbi
@maryammaryam7773
@maryammaryam7773 3 жыл бұрын
Allahuma Aamin yaa Raby
@ashaamina
@ashaamina Жыл бұрын
Mimi shekh nimedulumia nimeibiwa kilakitu kwanyumba
@jamilamohammed2771
@jamilamohammed2771 Жыл бұрын
Ma shaa Allah
@nishaomii8841
@nishaomii8841 Жыл бұрын
Amiin.Amiin.Amiin
@rumaukombo6415
@rumaukombo6415 4 жыл бұрын
Ammiin ya Rabbiy
@enterenter1921
@enterenter1921 2 жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatuh,, ikhiwan mniombee jaman nadhulumiwa kiwanja changu huku😭😭😭watu wabaya jmn
@MARGARETRUGURU-sd8zw
@MARGARETRUGURU-sd8zw Жыл бұрын
mimi nimethurumiwa
@mohammadkazungu3053
@mohammadkazungu3053 2 жыл бұрын
Amiin inshaallah
@yohanasainajoise8962
@yohanasainajoise8962 Жыл бұрын
YaAllah watu wenye mamlaka wanataka kunidhulumu Mali Yang yarabi nisaidie nirejeshee kilicho Chang Allah Mimi siwez ww tu ndiye unayeweza Allah nirejeshewe haq yang
@user-yj2qc6cw3q
@user-yj2qc6cw3q 2 жыл бұрын
nko na shida pia mm naomba namba niweze kuelezea kwamaan sai nko mbali sana nalia mchana uciku kunawatu nawadai pesa zangu nyigi sanaa naswali nikilia lakn bado kwamaan kunadua nyegine sizijui
@nazmakneya4642
@nazmakneya4642 2 жыл бұрын
Aamiin yaa RABB
@aamarsuleymain2932
@aamarsuleymain2932 Жыл бұрын
Asalam aleykum munapatikana wapi sisi tumedhulumiwa uwanja shamba hekalu 25.3 lipo songea namtumbo migelegele Mali halal ya babu yangu marehem issa mapele yalab aturudishie haki yetu inshaallah
@rwandaafrika6173
@rwandaafrika6173 3 жыл бұрын
AMEEN 🤲🤲🤲
@vaillethero6658
@vaillethero6658 Жыл бұрын
Nami pia niwe mwenye kutakabiliwa kwenye dua hii inshaallah
@alishasaid6931
@alishasaid6931 3 жыл бұрын
Natumaini. Dua ninayoisikiliza. Pesa Nilizozulumiwa. Nitalejeshewa.kwa.uwezo.wa.allah.
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 7 ай бұрын
Ni dada shamsiya muombeni mtoto wangu dua ya kusingiziwa kuenda kitendokiovu ubaya umrudie jirani mwenyewe kwa uwezo wa allaj
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 7 ай бұрын
Niko Mombasa kenya
@rehemaiddy5696
@rehemaiddy5696 2 жыл бұрын
Mimi nateswa na ndoa bimdogo ndie mwenye sauti mimi shida nilizopata awali hazionekani kwa mmewangu mpaka sasa tunamaisha mazuri lakini sionekani nitumie njia gani
@aziza9093
@aziza9093 Жыл бұрын
Naoba naba yako yawasappu nashdanaewe shehe
@ameenaameena4907
@ameenaameena4907 2 жыл бұрын
Name jaman
@MARGARETRUGURU-sd8zw
@MARGARETRUGURU-sd8zw Жыл бұрын
nilithurumiwa kupendana na mwanaume jini
@mimitijara4806
@mimitijara4806 Жыл бұрын
Mm pia nimedhulumiwa pesa zangu za retire miliion 4 na cc mm tu watu wengi wamezulumie wamekufa wengi naomba no zenu
@aminatsumamakanga7908
@aminatsumamakanga7908 3 жыл бұрын
Tumuombeeni pia makamu wetu wa raisi Kenya anyanyaswa na wababe wa kenya viongozi wanaojiona ndiokusema kuliko mungu
@thurayaalriyamy8635
@thurayaalriyamy8635 3 жыл бұрын
Asalam aleykum
@shufaabakari949
@shufaabakari949 4 жыл бұрын
Ameen yarabilaalamin
@zakariahuka8179
@zakariahuka8179 2 жыл бұрын
ALLAHUMMA Amiin
@rehemaidd772
@rehemaidd772 2 жыл бұрын
Ameen yaarabby ameen
@hanifasupplies2109
@hanifasupplies2109 Жыл бұрын
Assalamu aleykum.Asante kwa dua.Allah awalipe wema.Niwaombe dua isomwe kwa wingi.Yaani kupitia shufaa a.Allah awarejeshee wote waliodhulumiwa haki zao.Kupitia dua hii.Yeye na familia ,jamaa ndugu na majirani . Mbarikiwe na Allah.
@PANJUWANTV
@PANJUWANTV Жыл бұрын
Ameen
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 60 МЛН
The Joker wanted to stand at the front, but unexpectedly was beaten up by Officer Rabbit
00:12
Новый уровень твоей сосиски
00:33
Кушать Хочу
Рет қаралды 3,8 МЛН
UKIDHULUMIWA SOMA DUA HII UTAREJESHEWA KILA ULICHODHULUMIWA HII NI KOBOKO YAO
57:50
Muhammad bachu sio salafi bali ni mropokaji tu by sheikh Abu Ume'yr Adam Khamiss Allah amuhifadhi
10:41
Abu Muhsin Minani Abdoullah As'salafiyyu
Рет қаралды 38 М.
ITIKIA DUA HII KWA KUONDOA MARADHI UCHAWI MASHETANI NA MAUMIVU YA MUILI
33:40
UBAYA WA DHULMA
52:22
Kishki Online TV
Рет қаралды 5 М.
kisomo cha kuangamiza majini na uchawi (yaasin mubiyn)
19:08
AN-NAJM TV
Рет қаралды 1,1 МЛН
Uzito wa Dua ya Mwenye Kudhulumiwa - Sheikh Nassor Bachu
1:40:57
Islamic Kindness
Рет қаралды 51 М.
SHK SHARIF SAID JOHN - DUA
15:01
AMMAR RUWEHY
Рет қаралды 22 М.
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 60 МЛН