Mwenyezi mungu kupitia dua hii naomba uondoe husda zote mwilini mwangu na uwavunje moyo wote wanaonikusudia kwa ubaya na unilinde dhini ya nguvu za mashetwani na unipe heri katika maisha yangu unifanyie wepesi katika kazi zangu unipe watoto wema
@rehemafeysali4444 Жыл бұрын
Amin inshallah kwa uwezo wake Allah
@MauaMbaraka5 ай бұрын
Amina yarab naanza kisomo hiki nina amini nakwenda kupona nimeteseka mpka nakata tamaa basi leo naenda kupta upya wa mwili wangu amina alhamdulillah yarab❤
@gmwanaabc74924 жыл бұрын
Mashallah shekhe allah azidi kukuweka maana wengi umetukomboa kwenye matatizo mazito sana mimi nilikua silali kabisa sio mchana wala usiku ndani ya miezi sita au saba nahangaika tu baada ya kusikiliza hiki kisomo alhamdullah kirakitu kikakaa sawa nalala kama kawaida allah azid kukuweka shekhe wentu amiina rambi amina
@iddyramadhani72022 жыл бұрын
9
@rukiaomary2 жыл бұрын
Mie kuna siku nilikuwa nakabwa na ata anaenikab simuoni ila kwa uwez wa Allah akanipa ufahamu wakuingia KZbin nikakuta kitson iko nikasikiliz bas uwez amin kunakit kilikuwa kinanivuka milini mwan adi nikaa saw na sijaacha kusikiliz dua za uyo shekhe mungu ape ujila wake
@ZainabuNassor-j8s8 ай бұрын
Kwa hakika na mm leo nitalala inshallah Mungu yupo nami
@aishamunga30563 жыл бұрын
Eweee muumba wangu naomba ukaniponye maradhi niliyo nayo na ukanifungulie milango ya kheri. Aamin Aamin
@FIRDAUSAWADH8 ай бұрын
Allah atuondoshee matatizo mawazo hassad majini na masheitwan atufungulie milango ya barka na mafanikio Soote jamii ummat mohd yaraaby mpe sheikh wetu umri mrefu azidi kutukomboa kwa visomo..Allah akulipe kher kwa barka yahiki kisomo
@Reyrahumisi3 ай бұрын
yarab niepushe na maradh yarab nipe afya njema kupitia kisomo hiki yarab
@lucygasper55474 жыл бұрын
Mashallah Molla anijalie nami niwe muislam ...
@habibujamali57464 жыл бұрын
Amin!! Inshallah!!
@bakariomari24omar214 жыл бұрын
Usichelewe mungu kesha kuchagua uwe muislamu
@esmahnguzo84484 жыл бұрын
Karibu mpenz
@lucygasper55474 жыл бұрын
Asanteee
@lucygasper55474 жыл бұрын
Inshallah afanye wepes
@macho_autosound1accessorie1262 жыл бұрын
Kwa Kupitia Dua hii Allah Atusaidie Ummat Muhammad Pamoja Na Ndugu zetu walio Tutangulia🙏
@AishaSauko-sn3wn11 ай бұрын
😘
@mct68664 ай бұрын
Amiin ya rabby
@SharfaSharfaadamu Жыл бұрын
Yarab kupitia Dua hii niondoshea hasad zote katika mwili wangu na u ipe Nuru nameangaza unijalie ridhiki unitinizie hitaji LA moyo wangu unisamehe nilipo teleza nikakukosea mola wangu amin😢😢😢😢
@annakasada14543 жыл бұрын
Kwa kupitia dua hii mungu aniepushie mabaya yote na aniepushie na husuda za walimwengu maisha ni mwangu
@annethmhina57313 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu naomba unifungulie vifungo na husda zote nilizowekewa katika Ndoa yangu na shughuli zangu kwa ujumla. Malaika wa Mbingu naomba mnisimamienkatika kisomo hiki. Ameen
@MwanahawaRamadhan-sx5pe11 ай бұрын
Sacr@v😅😅😅😅
@hirman2k033 жыл бұрын
Bismillah mashallah nitasikiliza dua hii kwa uwezo wa m.mungu na malaika wote aniondoshe majin na maradhi makubwa na hasada mim na family yangu na wengine wote inshallah 🙏👐😍
@musamgonda39103 жыл бұрын
Aamin
@timamahmud9423 жыл бұрын
@@musamgonda3910 she
@musamgonda39103 жыл бұрын
@@timamahmud942 ?
@rahmaibrahim47942 жыл бұрын
Amiin
@hawaamohammed66872 жыл бұрын
Amina
@blemisheclat49694 жыл бұрын
Shukran Sana shekh walai nimeumwa na mkono miaka miwili nimefatilia duwa hii kwa siku mbili naendelea vzr Mola akulipe inshallah
@seliidrashio69684 жыл бұрын
Wasalamalykum twawapongeza masheikh wote mutatusaudia sana mana ubaya upo sana hapa duniani nahata uko wazi ambae hajafaninyiwa uhadui ashukuru mwenyezi."
@idrisaali56184 жыл бұрын
Allah awaweke mashehe wetu
@emmygabriel24694 жыл бұрын
Inshaallah Mwenyezi Mungu naomba ukaniponye maradhi nilonayo na ukanifungulie milango ya kheri, Inshaallah
@salumali52983 жыл бұрын
P⁰
@islamislife25567 ай бұрын
Amin yaraab
@mct68664 ай бұрын
Amiin ya rabby
@nasramiraji77162 жыл бұрын
Ya Allah kupitia kisomo hiki niondoshee matatizo na unafungulie kizazi changu unipe watoto wenye kher na mimi, yarabbi najua hushindwi na lolote niepushie dhati zote na unipe kila lenye kher na mimi
@ashaamina Жыл бұрын
Amina
@yessraelbajun Жыл бұрын
Allahumma ameen
@AminaIbrahim-mn9wg Жыл бұрын
Amiin ❤
@SalhaIssa-l6h11 ай бұрын
@mariamsaid416710 ай бұрын
Amiin
@tabumussa67054 жыл бұрын
Yarabi M/MUNGU tuepushe na husda za walimwengu kupitia dua hiii nakuomba ya allah mpatie shekhe uyu kila kilicho chema hapa duniani kesho aelah
@mwanajinacayemite23364 жыл бұрын
Alhamdulillahi rabbil a'alamina. Mwenyezi Mungu akusimamie Innshaallwah. Wengi tuna matatizo makubwa sana lakini hatujui jinsi ya kujikwamua. Mwenyezi Mungu ukujaalie kwa kila ulitakalo lenye kheri na wewe
@abdifatah91293 жыл бұрын
Inshaallah
@pilimusa32172 жыл бұрын
Amiin
@islamislife25567 ай бұрын
Amin yaraab
@swahibuomari1763 жыл бұрын
Ya Allah kwa kupitia kisomo hiki naomba unijaalie nikisikilize cku zte7 ili unifungulie milango ya heri na uniondoshee ziki katika familia yangu na umati Muhammad na unijaalie mm na familia yangu tuwe miongoni mwa wenye kufuata muongozo wa laa ilaa hailakahu;
@islamislife25567 ай бұрын
Amin yaraab
@mct68664 ай бұрын
Amiin ya rabby
@RenePietersen-q9e Жыл бұрын
Inshallah sheh duana takhabballii ❤
@wombozipashua632 жыл бұрын
Alhamdulilah Allah akulipe kila la kheri shekhe kisomo leo siku ya pili lakini majini wanatoka wenyewe, namshuku sana Allah kwani Quran ndio ponyo ya kweli. Amiin
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Quran ni ponyo la majanga yote ya dunia maana mm nimemfutilia uyu shekhe allah amzidishie maana nilikua niko kma sipo wasiwasi ulinitawala sna nimeskiliza kisomo chake alhmdullah.
@MariamSaid-kl1mi Жыл бұрын
Yallab nikubalie dua yng km kuna mkono wa mtu katika ndoa yng kukataliwa kwa wanangu kupitia kisomo hiki mwenyezimungu kanifungulie kila palipofungwa 😭😭🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@mct68664 ай бұрын
Amiin ya rabby
@delaizermsafi14423 жыл бұрын
Yallabi kwadua hii niondolee khofu katika nyoyo yangu niwe yakuwa nawasiwas sn naomba uniondoree maradhi niliyokuwa nayo yalabi mimi simkamirifu nisamehe pale nilipokosea wewe ndio mjuzi wayote na mtekerezaj niwew amiin
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Assalam alaykum mm nilikua zaid yko alhmdullah naskiliza nikiwa nipo tohara natulia kwenye msala alhmdullah nipo swa leo ya tatu.
@salmaally225210 ай бұрын
Hii shida hata mm naipitia
@samirasadasalum59743 жыл бұрын
Allah akulinde na akuzidishie elimu zaidi uzidi kutusaidia,Shukrani sana sheikh
@EggyMiguel4 ай бұрын
Ya Allah kupitia kisomo hiki naomba ukaniondolee mabalaa yote nuksi mawazo machafu kwenye moyo wangu ukaniponye maradh ya mwili wangu ukanifanyie wepesi kwa kila jambo IshaaAllah Amin
@hadijajohn74342 жыл бұрын
Shekhe unatupa duwaa nzuri mungu akujaalie afya njema shekhe yussuf
@Niyiturinda3 жыл бұрын
Allahuma amiini.....kwa kisumu hiki kinisaidie.....kwa maisha yangu...na kizazi changu...
@rehemafeysali4444 Жыл бұрын
Amin inshallah kwa sote kipenz
@rizikihaji8002 жыл бұрын
Allah akupe kheri za dunia na Akhera na akuepushie kila mabalaa inshallah ,naamin Allah atanisaidia kupitia kisomo hiki inshallah
@michatv2393 жыл бұрын
Namuomba mungu anifanyie kila wepesi kopitia kisomo hiki changamoto zote mbaya ninazopitia mungu aniponye nakunibarik aaamin. Ubarkiwe Sheikh
@mgeniali9414 жыл бұрын
Allah atufanyie wepes mashallah nimeianza leo na mm
@salimajuma55303 жыл бұрын
Jazakalahu heri Allah akupe pepo yadunia nakesho ahera ameeen
@DanielRocky-s8h6 ай бұрын
Ya Allah nijalie mema na uniondolee kila kilichopo ndani ya mwili wangu kilichoingia kwa ubaya inshallah
@muhammadsalim44853 жыл бұрын
Allhamdullillahi Allah atuondoshe matatizo mi na family yangu nawaislam wote amiin
@khadijaidd90323 жыл бұрын
Mashallah sheikh yusuf.mimi nilikua naumwa na sikia kitu kinatambaa mwilini.na.gas.nyinyi.nateuka Sana mpaka nashuka.kama.mshipa waja mbele yakifua na nyumba mgogoni.leo.ni.siku.ya.tatu.na.zikiliza kisomo .naona chanisadia Sana nimekula.dawa.sikupata.nafuu.lakini.dua..ni.dawa.mashalllah.mungu.akupe.umri..ameeen
@RUKUNDORADJABU3 ай бұрын
Alhamdulillah cCheikh wetu Mungu akujalie , akuongezee umri , afya njema na barka zote
@zynbtnzanya98706 ай бұрын
Mwenyez Mungu kupitia kisomo hiki niondoshee shida zote zinazonisumbua zinazoniumiza nafs yangu ukanifungue kila kilichobak fungwa ktk maisha yangu amin
@khadijaahmed64114 жыл бұрын
Asalam aleikum warhamtillahi wabarakat,shukran sheikh,inshallwa mungu akujaze kila la kheri,na Allah atukinge na wachawi na mahasid yarab..
@AmadeSefo3 ай бұрын
Kupitia kisomo hiki allah nionyeshe njia nipe mwisho mwema 🙏 ya Allah♥️
@abbyits11783 жыл бұрын
A.aleykum....Namshukuru Allah kwa Dua hii kupitia Sheikh Shar Yusuf nasema asante kwani nimeteseka sana na ndoto za kuzaa kila baada ya muda zinanirudia,Mara Niko sehem za bahari, nakuwa MTU wa hasira Mara kwa Mara ugomvi kwangu hauishi muda mwingine kuhish nyakat za usiku kuingiliwa,,,,Namshukur Allah toka nimesikiliza Dua hii sijapata tena na Hata zile hali za maumivu maumiv ya mwili hakuna tena Shukran sana Shekhe Allah akuzidishie kheri ikadumu zaidi na zaidi.... Kupitia kisomo cha kinga zidi ya majini na wachawi nimepata kheri...Mwenyezi Mungu akupe mwisho mwema!!!! ISHA ALLAH ^( Habibt'y Said)~from Rwanda Kigali
@sweetmeena59703 жыл бұрын
Mashallah
@zenaahmedi88573 жыл бұрын
Mashaallah
@MwemaAli-f7n6 ай бұрын
Mashallah shekhe sharif mungu akupe umri mrefu na siha kwa dua yako nzuri mashallah
@empress2366 ай бұрын
Assalam Alaikum Namwamba ALLAH kupitia dua hii iniondelee majini mashetwani wote ambao wamwsukumwa kstika maisha yangu wadudu kutambaa kwa mwili kuuumwa kwa kichwa Yaa Allah kupitia dua ikaondoe kila baya kwa maisha yangu wanangu jamii yangu inshaallah Mwenyezi mungu akufanyie wepesi kws kila jambo waitaji Sheikh sharif🤲🤲🤲🤲 Amiin
@Geeinitiatives-kp8fx5 ай бұрын
mwenyezi mungu nisaidie nilinde uniondole maovu mimi na familia yangu unifungulie rizq
@karimutarimo89203 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akujalie maisha marefu shehe wetu
@rukiammangammanga11664 жыл бұрын
Mungu asaidiee yarabi❤️❤️❤️❤️❤️❤️😭😭😭
@ElizabethLizzy-pk3zj6 ай бұрын
Ewe mwenye Mungu mponye bwanangu anamaumivu makala ya oparesheni 🤲nami uniondolee maumivu
@ZuuhRaniya11 ай бұрын
Yah Allah nifanyie wepesi katika kisomo iki kiwe mwisho wa matatizo yangu niponye hii Hali nilikua nayo ewe mungu nisaidie
@dareymcute57904 жыл бұрын
Mashallah mashallh shukran kwa nguvu za mungu yatuondokee mana sisi wengine tunateseka na mungu akuzidishie imani ya moyo inshaallh from kenya
@habibadiombera75054 жыл бұрын
Salam aleikum warahmatullah wabarakatah, na mimi na anza kusikiliza roukiya hiyi na amini Allah na kubali bila chaka kama Coran ni chiffa, Allah atu ondoleye chari na fitna ya wa binadam na ma jini mimi lewo mwaka tano malade na nikapoteza yote kazi sina pesa akuna tena ata wakini zawadiye hayi nifayidiye nazulumiwa na kilakitu kila mutu na warafiki yote wamenitoka alhamdililah na mu chukuru ni mitihani nimekubali amri ya Allah na kwa nguvu yake ichallah ye joo yuko na wezo yaku ni ondoleya matatizo ata wa toto awapate za kuchunga wenye wanatumika. Yengine niko nabo apa akuna kazi umoja anaswali sana me anakuywa siku mojamoja paka analewa,wakwaza ame achika 15ans paka mimba ametoka nayo fille anakuwa musichana, na ye garçon wake anayiba aki ona tu franga wanachukuwa nachoka sana ,na tengemeya sana kwa mungu na aya za Coran, na duwa ya nabi ayub jo natumikicha nazingine mingi tena,na wewe ilmu enye Allah amekupa Naku omba uni fatiliye kunitunza na famille yangu, résidence yangu abidjan.unisamehe ndungu ni msg ya kutuma kwa SHEIKH SHARIF YUSUF, ika enda ku jubu zako, atafazali umutumiye nimechinda ku modifie
@nsabimanatonny64004 жыл бұрын
Assalam alaikum a
@adamluwambo14943 жыл бұрын
Kupitia kisomo hiki mungu anijalie aniepushe na wachaw na majin na anipe kheri na hitaji lamoyo wang yarabby
@HadijaShango8 ай бұрын
❤❤❤❤inshaallaah ostaz mungu akuzidishie kherii na umuri mrefu uwaombe navizazi vyetu inshaallah
@sleifikhajjir2624 жыл бұрын
Masha allahh najifunza kitu katika maisha yangu jazaq wahu kheir Allah atakulipa kwa jambo jema
@thomassamwel49533 ай бұрын
MOLLA wangu nakushukuru kwanafasi hii niliyopata yakusikiliza hhi DUA, kwarehema zako nihurumie, unitakase uniondolee vifungo na kila vikwazo ktk milango yangu yote. Aminn🙏🏻
@mariyashadiashadia7144 жыл бұрын
mashallh dua nzuri mungu akupe uzima na afya ostazi wetu
@salmaamaniamani72203 жыл бұрын
Masha Allah
@salmaamaniamani72203 жыл бұрын
Kwa kweli shekh jini mahaba linanitesa sana
@salmaamaniamani72203 жыл бұрын
Nisikilize kwa muda gani
@GloriaMillinga5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu naomba uniepushe na majini wote na uniondolee vifungo vya aina zote
@asyaabas10373 жыл бұрын
yarrab baraka zako na utukufu wako nijalie kisomo kiwe dawa kwang kiwe ndo kisomo cha kuniondolea mattz yot nilonayo na kiwe ufunguzi wa kheri kwang amin yarrab yaan nakiskiliz machozi yananitoka
@ahmedthabit69353 жыл бұрын
tatizo pengine ni nini dadangu?
@thuwaidamaulid39154 жыл бұрын
Maashaallah shekh Allah akufanyie wepesi Kila Jambo na akulinde na Shari zote🙏
@ashamohamed82484 жыл бұрын
A.alykum sheikh Masha allah mungu a tupe wepesi kwa kilajambo
@allynassor88532 жыл бұрын
Shekh nataka kujuwa duwa ya kusomea maji kwa ajili ya mtu anaesumbuliwa na shetan
@amyna20244 жыл бұрын
Yaa rabbi tuhifadhi na Kila baya la dunia kupitia dua hii...aaamiin
@habibujamali57464 жыл бұрын
amin.. mungu akubariki inshallah!!!
@bashirunanguta18103 ай бұрын
Allhamdulilah Mwenyezi Mungu akupe kila hitaji akuepushe na mabaya tumetibika
@umfarid2474 жыл бұрын
Asalaam aleykum shekh tunashukuru mungu akulinde na maadui na hasada akupe umri mrefu yaaraab shukraan
@aishasaid57024 жыл бұрын
Maa shaa Allah shukraan sana tuko pamoja in shaa Allah
@buhitexmohamed47852 жыл бұрын
Mashsllallah Allah akupe pepo firadus
@EsterYustinАй бұрын
Naamin kupitia dua hii kila ubaya mwilin mwangu mwenyezi mungu anautoa kwa uwezo wake na nguvu zake Amin
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Allah kwa kisomo hiki tulinde Yarrabi waja wako na utuepushe na husda na shari za sheitan,na wachawi na viumbe wote walio wabaya,tunajikinga kwako subukhannah wataalah pokea dua hizi yarrabb
@mwanaishamwajuba28574 жыл бұрын
Mashallah mungu atuwezeshe kusiliza kila kheri na mungu akulinde na hasad
@ghaithtan40283 жыл бұрын
ماشاءالله
@mamakhadra70013 жыл бұрын
@@ghaithtan4028 zhu
@pilimusa32172 жыл бұрын
Amiin
@ndayizeyehafsa34734 жыл бұрын
Mashallah na muomba allah akujaze heri inshallah
@habibujamali57464 жыл бұрын
mashallah mungu akulipe sheikh sharif yusuf!! mungu akupe maisha marefu ili uendelee kutibu watu inshallah!! na akujaalie uwe miongoni mwa waja wema na akupe pepo inshallah!!
@زينببنتسعيد-د9ح4 жыл бұрын
Amiin ya Rabbil Allamin
@habibujamali57464 жыл бұрын
@@زينببنتسعيد-د9ح amin inshallah
@rahmasaid7623 жыл бұрын
Kupitia kisomo iki mungu nionyeshe njia nipe mwisho mwema 🙏🏼♥️
@kimolohammy38873 жыл бұрын
𝑎𝑚𝑚𝑒𝑒𝑛
@rahmasaid7623 жыл бұрын
@@kimolohammy3887 kwa sote
@humudingilante44603 жыл бұрын
Allah awaongoze duniani na akhera awakinge na shari ya mahasd wa kijini na kibinadam inshallaah.
@samirahassani86063 ай бұрын
Mashallah,Allah Akbar inshallah kwa barka n utukutu na nguvu ya kisomo hiki maneno hay matukufu ya Allah subhanallah wataal namuomba Allah aniondoshee ili jambo lililojificha kwenye Moyo wangu na Akili yangu linavuruga Akili yangu linanikosesha Raha Allah analijua anifanyie wepesi Mola wangu Amin 🤲
@janetmutua42756 ай бұрын
Naomba mungu aniodolee mamjini yanayo nipa mangonjwa ata Sina amani Amen
@tabassamhemed10274 жыл бұрын
Shukran sana usdhadh.Allah akulipe mazuri hapa duniani na akhera
@mamawa3mamawa3214 жыл бұрын
AMIIN AMIIN
@bishakadhi33584 жыл бұрын
MashaAllah wal alhamdulilah kwa kisomo hiki Allah akujalie kla lenye kheir nawe InshaAllah👌👌👌💕❤💓💞
@SwaumuShirima-ye7qr5 ай бұрын
Yarabi aniondishee maradhi yalikuwa kwenye mwili wangu milango ya baraka na mafanikio ukanifankishe yarabi yarabi yarabi
@ShamimShamyАй бұрын
Ya Allah katika kupitia kisoma hiki naomba uniondolee Marathi uwalide Wangu Na hasad uwakinge Na mabalaa ya Pande NNE unajaalie riziki ya halal Amini🙏🙏
@wamugimohammed38483 жыл бұрын
Asalam Alaykum warahamatulilh wabarakatuh! Shukuran Jazili! Allah atakulipa Dunia na Ahera Amin Amin Amin! Kwali kuna kaka moja yote uliyo simulia wallah anayapitia yote hayo ! INSHA ALLAH iwe dawa kwa yyte aliyo na shida kama hiyo Amin Amin
Laaila haila Mohammed rousolu Allah atuondoshee mitihan na awe kinga bora kwetu Ameeen ameeen inshaaAllah
@SaddikiMangi-jj8qz13 күн бұрын
Amini katika Dua hii itaniponya nakuniondolea mikosi nuhusi nitakuwa namafanikio maishani mwangu
@saumusulaiman47422 жыл бұрын
Asalam Akeykum inshaalah kwa uwez wk 'Allah ntasikiliza kisomo hk naomb mng anifanyie wepes ktk utendaj wng wa kazi Aniondoshee husda na uchaw na majin na mng 'Aniondoshee maradh yng yt ya mwilin 'pmj na waisam wt' mng aka2ponye kwa dua hii'Amiin🤲🤲🙏 shukuran ''Allah akuhifadh kheikh Sharif yussuf '
@DeffoNotGarfield4 жыл бұрын
Shukran Shekh kwa msaada wako Allah akupe mema ya hapa duniani na Akhera.
@hawahawa66764 жыл бұрын
Amiin
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Amina mungu atuonfosheye maradhi kwa sote ishaala🙏🙏🙏
@bittybitty27124 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah Allah akupe kila la kheri shukurani sheikh
@ZainabuNassor-j8s7 ай бұрын
Kiukweli nashukuru can shekhe SHARIF dua zako zimenisaidia can wallah Allah akupe mwisho mwema inshallah 🙏🙏
@MwanaishaMwanzowa10 ай бұрын
Waaleykumslm,shukran shekh wetu Allah akulinde na akuepushe na mabalaa Allah akupe maisha marefu yakupendeza apa duniani nakesho Akhera ameen Rabby❤❤❤
@samiaasalamalykumshukranmo94893 жыл бұрын
Allah akupe afyah ameen yarrab
@naimamohammed25344 жыл бұрын
Allh anitatulie dhiki nilizo nazo na hasad za waja amiiiin thumma amiiin
@aminamohamed61414 жыл бұрын
Shukrn Allah akujaze najaza mema inshaallah
@asmaabdi29564 жыл бұрын
Masha Allah Allahu akuhifadhi n wote n akuzidishe Ameen
@zenabinsilim40894 жыл бұрын
Mashallah
@aairraahseif56483 жыл бұрын
Ameena Yarrabi ' allameen Shukrran sheikh Yussuf Allah akupe kheri na barka na afya na umuri i'nsha Allah
@KiduduTz Жыл бұрын
Shukran sheikh kwa dua inshallah nitapona kupitia dua hii
@mamsmariam66703 жыл бұрын
Ishallah Allah akujalie mwishp mwema
@judymwangi90274 жыл бұрын
Shukran sheikh Allah akupe umri Mrefu, duniani uzindi kulingania ummah.
@najmajoneke-sk7ld Жыл бұрын
Mashaa Allah Shukuran sana Shekhe Wetu Kwa Kisomo Hiki Wallah Tangu Nianze Kukusikiliza Allahamdulillih Nimepata Afueni Mungu Akubaliki sana
@zubedatatu78524 жыл бұрын
Masha Allah... Allah bless you Maana umetusaidia Sna
@zubedatatu78523 жыл бұрын
Tukitaka kukuona ustadh yawezekana
@SaiuYysАй бұрын
Amin. Eee mwenyezi mng niepushe n watu wanao niendea kinyume
@bebisheni43804 жыл бұрын
asante Shekhe mwenyezi mungu akubarik
@zeinabjay40473 жыл бұрын
Shukran shekhe sharifu najihisi mwenywe Amani mwepesi kila ninapo fuata na kusikiza dua zako Mola akujaalie kwakila Jambo lako inshallah
@salmarajabu1626 Жыл бұрын
Allah kupiatia kisomo hiki naomba uniondoshee matitazo kwenye mwili wangu na watoto wangu wazazi wangu tuwe hofu ya mungu
@khadijaadam15312 жыл бұрын
Aamin inshaallah kheri dua iwe mustajaba jazzakkallah kheyri
@zakialean38644 жыл бұрын
Mashallah mwenyenzimungu akufanyie wepesi ktk mtihani ya dunia
@amiamir46194 жыл бұрын
Inshaa Allah mwenyez Mungu atulinde na husda za waja