DUDU BAYA ACHUKIZWA NA SWALI LA HARMONIZE NA KAJALA KURUDIANA UMALAYA MALAYA SITAKI MIMI SIYO CHAWA

  Рет қаралды 9,354

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@zachariamakoba8368
@zachariamakoba8368 Күн бұрын
Uko sawa kabisa my brother dudu yaani God bless you dudu
@johnfelixnatala6777
@johnfelixnatala6777 Күн бұрын
Dudu Baya! Bado Nakupenda Tuu!!! Hazina iliyosalia🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Күн бұрын
Niliona sura ya dudubaya wskati mtangazaji akiuliza kuhusu harmonize 😂😂😁
@AmanaHussein
@AmanaHussein 17 сағат бұрын
Dudu baya nakupenda 🇰🇪🤣🔥
@richardJanson-h7c
@richardJanson-h7c Күн бұрын
Dudu baya huna baya brother upo vizuri
@adamswafi5149
@adamswafi5149 Күн бұрын
Ushasema mamba
@BinSultan-t5g
@BinSultan-t5g Күн бұрын
Ndo kashajibu kiutu uzima ...akili kubwa sana
@mitinjemaziku
@mitinjemaziku Күн бұрын
Hahahaha nzuri sana huyu jamii ikae hivo nakupenda mkuuuuuu upo good Mwandishi kachoka kabisa anaona aibu hatorudia u comedian Kwa huyu mwanza
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Күн бұрын
😂😂😂😂dudu baya NAKUPENDA bure
@paulrichard2076
@paulrichard2076 15 сағат бұрын
Dudu baya ni mkweli kinoma
@benotayari5970
@benotayari5970 Күн бұрын
Kama taifa ni lazma tufike mahali tukemee haya yanayotokea mwisho wake ndiyo maana watoto wetu wanapotoka kimaadili. Huyo kajala ni Malaya tu tena ana akili hata kidogo sijui ni mwanamke alielelewa ktk maadili gani kwenye hii dunia. Mwanamke unafanywa kama tishu ya chooni! Viongozi wa serikali wakemeeni awa wasanii wanatuletea tabia mbaya kabisa kwenye jamii yetu halafu wanaitwa kioo cha jamii pumbuva.
@tigejuma9865
@tigejuma9865 Күн бұрын
Ongeleeni ata mmbo ya msingi....c ata kuna uchaguzi wa serikali za mtaa uko? Mbn wana habri hamjielewi
@emmyaketch8598
@emmyaketch8598 Күн бұрын
Dudu baya,umegonga ndipo, hao wote nii malaya
@SeverinoLuis-j1h
@SeverinoLuis-j1h 23 сағат бұрын
Kwani anakujwa gongo sauti inakwaluza
@westmanmoses541
@westmanmoses541 Күн бұрын
Leo Kawa mkali kweli kweli
@FATUMABACARCADANGE
@FATUMABACARCADANGE Күн бұрын
kajalahuyo njaa halafu hajitambui
@zachariamakoba8368
@zachariamakoba8368 Күн бұрын
Dudu ni hazina bana yaani huyu dudu mtunzeni xn
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Күн бұрын
Uyo kajara akiludi akiludi kwa konde. Mmmh njaa mbaya
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq Күн бұрын
Wewe una umri gani ndugu mbona unaandika kama mtoto. Kajara ni nani. Kuludi ni kufanya nini? Nakushauri ujitahidi. Kiswahili si mali yako ya kuvuruga utakyo. Nenda shule, tumia kamusi uliza watu wakusaidie.
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Күн бұрын
@@Brunn-mh2bq komenti kivyako
@VenanceKotta-c5h
@VenanceKotta-c5h Күн бұрын
Sema huyu ni babu sasa ameshaanza kubweka
@KhalfanSalim-v1x
@KhalfanSalim-v1x Күн бұрын
kasema point kabisa uyo dogo ajielewi kazi zake uhuni tu ivi kweli anakwenda kuwaona wazazi wake kweli maana mdawake wote kwa wanawake akisha pigwa matukio ndo anawaza wazazi wake yule dogo anatoa nyimbo zake hata promotion afanyi video zake lo bajet zitafika wap au zitafika gym angekua bado WCB angekua Zaid ya hapo alipo mboso mwenyewe kaisha mshimda kwenye kazi zako unamuingiza mwanamke
@dostovan5142
@dostovan5142 Күн бұрын
Bongo imekufa pia
@EmmanuelRutyaza-iy5rr
@EmmanuelRutyaza-iy5rr Күн бұрын
Mwandishi kayakanyaga
@RAKIIMRAKIIM
@RAKIIMRAKIIM Күн бұрын
Hazina Iliyobaki ....
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 10 МЛН
Epic Reflex Game vs MrBeast Crew 🙈😱
00:32
Celine Dept
Рет қаралды 36 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 1,8 МЛН
MAMA TERRY: NA UZEE WANGU HUU NATONGOZWA KULIKO NILIVYOKUWA BINTI
24:50
DUDU BAYA AWASHA MOTO AFANDE HAKAMATWI MBONA AU MNATAKA TUSAHAU
15:37