Пікірлер
@jennymali4368
@jennymali4368 18 сағат бұрын
Sasa ulimuaga ya Nini jamani kujitakia tu mwenyewe na picha Tena Bora usingepiga ata izo picha
@MiltraudNyagali-fw3hu
@MiltraudNyagali-fw3hu 18 сағат бұрын
Ni kweli cc wakristo hatuabudu mungu mmoja na waislam wao hawamwamini kama Yesu ni Mungu na wao wana Mungu wao ambae ni Allah
@ashurasaid8409
@ashurasaid8409 18 сағат бұрын
Alipewa nafasi ya kutafuta wafuasi wake wa kwendanao motoni
@gladysmapenzi2089
@gladysmapenzi2089 18 сағат бұрын
Bro kimbia na mapema usije ķujutia badae huyo dada anakuficha maana Maelezo ya barua iko wazi. Chukua simu ya huyo dada uangalie messages kama wakaongeza nini.
@JoyceManyuka-ot7sg
@JoyceManyuka-ot7sg 19 сағат бұрын
Tunaomba No baba
@JoyceManyuka-ot7sg
@JoyceManyuka-ot7sg 19 сағат бұрын
Nakupenda sana we Mtumishi.
@kitosmayunga8722
@kitosmayunga8722 19 сағат бұрын
Kim ww umehalbu mwnyew
@MareMa-kb3iy
@MareMa-kb3iy 19 сағат бұрын
Hizo zote ni mali ya baba yetu aliye mbinguni lazima kumiliki kwa jina la yesu
@veronicaagonga7415
@veronicaagonga7415 19 сағат бұрын
Ndugu mtangazaji huyu dada muongo sana .usikubali huyu kijana kukaa naye eti ndoa . Ndoa hakuna hapo huyu dada amefuata pesa lakini anapenda enriki
@gladysmapenzi2089
@gladysmapenzi2089 19 сағат бұрын
Kaka ùkae njonzo juu hiyo barua ýaeleza wazi kabisa. Kwa hiyo ukae ukijua waisha na mke wa mwenyewe wa Milele
@veronicaagonga7415
@veronicaagonga7415 19 сағат бұрын
Dada wacha uongo nini mbaya.dunia kwisha ikiwezakana dunia simama mimi nishuke
@veronicaagonga7415
@veronicaagonga7415 19 сағат бұрын
Kijana mdogo mungu akusaidie update mbavu Yako lakini si huyo kahaba
@strategienumerique
@strategienumerique 20 сағат бұрын
Wwe ndacha Mungu akubariki,
@marychiwowa1759
@marychiwowa1759 20 сағат бұрын
There's one problem with this generation..we think that we are whites😢.yaan kwakweli muntu unaolewa alafu unafunga safari eti kwenda kumuaga X kweli? Kizazi hiki jaman hadi naogopa
@starjay3052
@starjay3052 20 сағат бұрын
P diddy 😁😁
@Brandinajuma
@Brandinajuma 21 сағат бұрын
Siyomujiga yulemahwele. Nimujiga apana kuwanaimani
@Akisami-yo7ic
@Akisami-yo7ic 21 сағат бұрын
Wakati Kuna sisi tuna tamani kupata anaye kujalie mbele ya watu ilaa hatuna bahati waaah single tena
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 21 сағат бұрын
Huyu anerudi kwa yule mwanaume wanaume hawapendi hivyo mdogo wangu akikuoa hapendi kujua ya nyuma
@ShemsaKiobya-x8h
@ShemsaKiobya-x8h 21 сағат бұрын
Ulienda kifanya nini hukutumia akili bint
@user-fd5pb1dt4j
@user-fd5pb1dt4j 22 сағат бұрын
Uyu dada muongo awezi kuachana nae uyo bwana
@CharityChao
@CharityChao 22 сағат бұрын
Hio sio kweli Kwani msichana hatoki inje akiwa anangoja harusi sasa mapezi alienda kumpatia wapi,hapo kunakizungu mkuti
@AnnaMzava-yl1su
@AnnaMzava-yl1su 23 сағат бұрын
Picha isisabishe kuachana huyo anakuonea wivu ili umwache
@user-ui6rf8yx7s
@user-ui6rf8yx7s 23 сағат бұрын
Uongo mtupu wapuuz nyie Ata kuekti hamjui
@user-hn3lx6ys8n
@user-hn3lx6ys8n 23 сағат бұрын
We uyu dada anatuigiziy mtizame vizur 😂😂😂
@fatimaharoun-np8uv
@fatimaharoun-np8uv 23 сағат бұрын
Hakuna mwanamke ambae hana mtu saiv sasa ww kama ushamuowa na ulikua nae kwenye mausiano kwa mda wa miez miwili hujauliza saiv wanawake tunaacha wasio na malengo tunaenda kwa wenye akili zao zilotulia mm nimeachana na mtu wangu ambae nilikua nampenda nikaolewa na anaenipenda mana mtu anakupanga tu unaendelea kupoteza mda bas muhim ww upo nae ishi nae mpe onyo huyo jamaa yake maisha yaendelee
@user-mk6eu2jq6j
@user-mk6eu2jq6j 23 сағат бұрын
Pole sana mwanangu yohana
@christophermotonyi2547
@christophermotonyi2547 Күн бұрын
Sasa ivo god love hayupo freemason unataka kutuambia? Huyo ni mtumwa wa shetani bado hata useme nini na Mungu na shetani ni kama nuru na giza enda ukasome
@neempmailaneempmaila
@neempmailaneempmaila Күн бұрын
Ww dada so muolewaji ni kweli umefata pesa kwa sababu kendi Alikuwa mpenzi wako ulifata nn tena na uku ulikuwa umeachana naye nn tena ulisahu nn kwake
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct Күн бұрын
Mh .aibu zingine jamani
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ct Күн бұрын
Akuhalibie nini malaya wewe mkubwa umeshindwa kuficha hizo picha
@saidimiarage
@saidimiarage Күн бұрын
Hizo picha ni za zamani kwa nn uzifatishe?? Wewe itakua humtaki huyo mwanamke siachi mwanamke kwa ajili ya picha zilizopigwa muda ambao umepita
@OLEDAUDI
@OLEDAUDI Күн бұрын
hii mbona kama tumepigwa za mandoga mmh
@saidimiarage
@saidimiarage Күн бұрын
Hiyo ni fitina umefanyiwa kama umchukue mkeo maisha yaendeleee hiyo ni memol tu je kama ungemkuta na mwanaume kitandani kwako?? Usiyafatishe hayo
@omanoman2044
@omanoman2044 Күн бұрын
Wanawake mjifunze wallah achen ujonga ushamkatmbia naolew ten picha ukamuage n8n acha ubwakin ndo shida yetu wanawake wallah ww ndo shida
@tanzaboy4824
@tanzaboy4824 Күн бұрын
Hii tangazo tu hakuna chochote
@AllyRamadhani-wl3um
@AllyRamadhani-wl3um Күн бұрын
Danganya mambumbumbu lakini waelewa huwezi wapeleka Chaka biblia iliyopotezwa miaka Mia sitaa wajanza wakaeka baadhi ya maneno yao
@jonathanrumenyela125
@jonathanrumenyela125 Күн бұрын
Hapa naanza kumuelewa Mzee wa Upako! Mwanaume wako ni Kendrick kwa sababu ndiye aliyekutoa usichana wako ndio mana hata maelezo yako ni Tata! Bora Yohana afanye maamuzi magumu mbele yaweza kumgharimu kama mimi
@jonathanrumenyela125
@jonathanrumenyela125 Күн бұрын
Ni ngumu sana kuwaamini hawa watu! Hata mimi napitia ya Yohana
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz Күн бұрын
Shukuru MUNGU sana Yohana kakuonesha mapema tabia ya huyo mwanamke ukilazimisha kuendelea nae huyo mwanamke baadae atashirikiana na Kendrick kukumaliza ili wachukue mali waendelee na mapenzi Yao ya toka utotoni kua makini sana
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz Күн бұрын
Kuna picha za Siri kuliko hizo je Kendrick akimwambia huyo mwanamke wakafanye mapenzi ili asimuoneshe mumewe; izo picha unadhani mwanamke atakataa!? Wakati shida yake ni ndoa?
@LeticiaGeorge-h6f
@LeticiaGeorge-h6f Күн бұрын
Acheni matusi ashumu ugekua wewe ex wako akakufanyia hivyo ugenjiteteeje acheni hizo kaka msamehe mkeo achana na mambo ya watu nae hakudhamilia mpe msamah
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s Күн бұрын
Had mekapu inavuja
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s Күн бұрын
Du ❤ aibu yamwaka
@jacklinemwita
@jacklinemwita Күн бұрын
Ni kabila gani huyo kaka ??
@jacklinemwita
@jacklinemwita Күн бұрын
kumbuka Hiyo picha ilikuwa Kabla ya ndoa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle Күн бұрын
MASANJA NI MTUMISHI MWENYE MARAFIKI AINA YA AKINA NABII KIBOKO YA WACHAWI NAYE ATAKUWA FREEMASON
@jacklinemwita
@jacklinemwita Күн бұрын
sasa mbona umewaita waandishi wa habari
@kesterkanyala7718
@kesterkanyala7718 Күн бұрын
KWELI ,YOHANA....MSAMEHE MKE WAKO ...KWELI AMEOMBA RADHI NA MSAMAHA WA KWELI..MSAMEHE
@user-ih6ng6sf6o
@user-ih6ng6sf6o Күн бұрын
Bora watu wahachane na vurugu kwali wakihachana kwa Amani lazima watarudiana tu😂😂😂😂
@jacklinemwita
@jacklinemwita Күн бұрын
sasa ndo mnawaitaa waandishii wa Habari Sasaa maana ya kifo kitatutenganishaa ni nini?? Dada Nenda zako Apo Amna Mwanaume Mwanaume wa One-line ndoa ni siri sio Mwanaume kitu kidogo tyuu unakimbilia media😂😂