Mnauliza maswali ya kinafki lkn pia mnakutana na watu wanaojibu wanajibu maswali kinafki... Naongea haya kwasababu kuna baadhi ya Watanzania wanadhani kwamba Kenya ni Peponi.... Inawezekana vipi Diamond aombe msamaha,,kwani kosa lake liko wapi😂😂...Toeni maoni kwa haki bila upendeleo wwte....Swali la kujiuliza...Hivi Kwa ujinga aliofanya Paul ni msanii gani angeweza kuvumilia?...