Wewe ni mtusana.kunanjia mwenyezi mungu.anakutumia. Heshimu2,Mila na desturi. Utashinda.
@PaulKisui8 күн бұрын
hii ni kweli kabisa dudu baya anasema ya Mungu na atafanya kenya hivi karibuni!!!
@HUpendo9 күн бұрын
Kuna MD unakilii sana wewe baba ❤❤❤❤
@DeboraMuyenjwa5 күн бұрын
Ila kaka Godfrey,Tumaini ana roho ya Mungu ndani yake,natamani usiitwe Dudubaya,ww una Kariba ya uchungaji ndani yako
@ByamunguErnest6 күн бұрын
uko unazungumuza ukweli kk.mungu akusaidie🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@limbomambo97289 күн бұрын
Safi kaka ukweli mtupu Mungu akulinde baba 🙏🤲🤝
@juniorinyanda95276 күн бұрын
Dudu baya your a trueful men may God protect long life
@nyabahailani31698 күн бұрын
Tumaini uko vizuri sana unaabusara sana jamani mungu akupe afya njema
@elizabethmkude94529 күн бұрын
Mungu akutunze mwenye masikio ataisikia
@KaraniRashidiKarani5 күн бұрын
❤
@UpendoFesto-f6l5 күн бұрын
Mchungaji huyu
@NeemaLEONARd-x6b6 күн бұрын
Unaongea kweli mungu akubariki
@YulinaKbk8 күн бұрын
Hongera Sana hoja nzuri
@hassanmpemba57479 күн бұрын
Brother unaongea point sana
@SalamaNauthar8 күн бұрын
Nakupenda Dudu baya'
@T-Fellow8 күн бұрын
That's facts legend Uncle, big up sana
@FadhilHamad-q5g7 күн бұрын
Tusemeni bwana ushoga ni mwingi mno umalaya umengezeka hususani mijini na visiwani nilana tupu mungu tustiri na wazazi wetu na watoto wetu
@FausterSangah49 минут бұрын
Mungu akutunze kaka kweli umetumwa na Mungu
@goddymchau17127 күн бұрын
Ila dudu baya . Eti bikra ya marinda 😂😂
@leomika84739 күн бұрын
Safi kabisa dudu baya
@ShabaniMohamed-t1y8 күн бұрын
bro uko vizuli sana
@RespiciusMrokoz8 күн бұрын
Unasema ukweri dudu bingapu
@GideonNzige-k7i7 күн бұрын
Ubarikiwe kaka
@erickonwonga41146 күн бұрын
Mungu akubariki
@TausiAlly-d8e8 күн бұрын
umeongea point 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@KasmatJuma7 күн бұрын
Umenifunua akili mungu akulinde
@DanielSalum-o8n7 күн бұрын
Big up Dudu zuri
@eddyedduu69128 күн бұрын
Hii ndio interview. Yule Jamaa wa Bongo touch ni utoto kabisa.
@TundaEmanuel-ns8kj5 күн бұрын
Huyu Dudu baya mnajua anakitu ndani yake linaongea Kwa hekima na busala
@JescaMwakaponda8 күн бұрын
Upo sahihi sans dudu baya
@MwamvitaNyilan3 күн бұрын
Manen mazuri sana haya mungu awe nawe milele
@HappyRichard-r4x5 күн бұрын
Big up brooh?!?
@alimwadima2548 күн бұрын
Konki Wadai Wanapigwa miti na nani😂😂😂 Mashoga wapo Walaji
@PetroSawa-q8w8 күн бұрын
Kila kitu dudu baya anajua
@rahabnkya82768 күн бұрын
DUDU BAYA Mungu akubariki. Texas wanawake kutembea vifiwa wazi. TRUMP AMALIZE TU USHOGA MUNGU YUKO ANAONA.
@emillyzeeh11737 күн бұрын
Wachting form germany 🇩🇪 🇪🇺 niukweli vile umesema ukweli mutupu
@AsiaAroun7 күн бұрын
Nikweli kabisa kakangu umeongea poity tena kiiman
@edennkulikiye23308 күн бұрын
Nakukubali sana my brother
@masterkimbunga9 күн бұрын
Safii dudu baya..
@onesmoshija99048 күн бұрын
Hivi kumbe dudu baya asipolewa anakuaga na akili eti
@MaulidiMkassiwa-bq4bw6 күн бұрын
Heko mungu ndiyo kl kitu achome tu hawafai hao
@lucasbatano3339 күн бұрын
Hivi dudu baya we kila kitu unajua😂
@achilemtela38469 күн бұрын
Huyu mwamba kila kitu annual 😂😂😂😂😂
@DeogratiusMelchior9 күн бұрын
Oil chafu
@salmanassor87329 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@MfalmeDoss8 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@MamuduAziz-h1z8 күн бұрын
Mjanja anatembelea mgongo wa matukio alafu anakuwa km mtu wa bible na Quran kifupi mwanjilisti au sheikh Lkn hawwjui chochote kuhusu uhalisia wa jambo hajui ata chanzo, California ni aridhi kavu kila miaka inatokea wildlife kutokana na mazingira y hali y hewa mtu ukitupa kipisi cha moto wa sigara basi California majanga, Lkn moto huuu ni mipango ya wao wenyewe ni mambo y kisiasa na visasi tu mungu hawezi kulaani binadamu wake, sisi tunaoneana wenyewe kwa wenyewe ndio Tatizo la majanga ni visasi
@GwandajaGidamejod-w6f5 күн бұрын
Amina
@JohnNyamkoma6 күн бұрын
Dd baya kweli
@hitiyisedidace73779 күн бұрын
Kweli bwana
@loserianfrankmoitha235Күн бұрын
Mungu akubariki kwa kumuhofu mungu
@CornelThomas-gc8rz8 күн бұрын
Acha kutishia watu unajua nn kuhusu Mambo ya mwoto kwanini unamsingizia Mungu kwahio Mungu nimuaji acha hizo
@knight67579 күн бұрын
💯 🇺🇸...kama hawaamke hawatoamka tena ngooo
@geraldadolf49289 күн бұрын
Kweli huo ndio ukweli marekani ni sikio la kufa
@JOSEPHKAJORO9 күн бұрын
Dudu baya kuanzia leo badili jina uitwe Duduzuri.
@GodyNsenye-d4j9 күн бұрын
😂👍 aaaa hakuna dudu zuri joshua
@Catherine-mh8sw8 күн бұрын
Kabisa
@PriscaMango7 күн бұрын
😂😂😂au sy
@emmanuelherman-pb9dx9 күн бұрын
Andika ngoma kaka, mbona hatuskii ngoma kali kutoka kwako siku izi
@SifranLove9 күн бұрын
Mziki ni haram na hapati faida bora atupe elimu kama hii itufae wengi na tumuombee dua,
Hahaha nani kasikia hata ukipigwa miti katikati ya bahari ukija nchi kavu tutakujua nipe like zangu walaji wapo
@MustafaSandali-g7g2 күн бұрын
Unmanisha nin
@DottoDotto-g1o6 күн бұрын
Dudu baya kwajina ra bonge freva Sasa umesha anzakua nahofu ya mung ko kuanzia saiv nakuita dudu zuli
@JeanVyisi-sn2wh7 күн бұрын
Dudu we mungu yupo
@peacemwesiga3 күн бұрын
Ee Bwana Yesu tunusuru
@fadhilidanieli14786 күн бұрын
Kaka pamoja😅😅😅
@Veronica-b2f2g5 күн бұрын
Eyes tunusulu naik kizaz😢😢
@JosephMwigalawa-io7yy7 күн бұрын
Hiii chanel content zake zote ni za dudu baya
@AzaAzamhmod9 күн бұрын
Duduzuri 😊😊
@NicholausPeter-lo5hrКүн бұрын
Nikweli kabisa anachokisema huu ni wakati wa kuwa mtulivu tumjue mungu tuache stalehe za ajabu
@ElizabethMuia-ro9yh9 күн бұрын
BONA DUDU BAYA WEWE NI KAMA MTUMISHI KIMPANGO, BONA USIWE MCHUGAJI UCHUNGE KONDOO ZA MUNGU, NA UBADIRISHE HIO NJINA LIWE DUDU LA YESU
@hanifa91539 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@Catherine-mh8sw8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 au dudu la jamiii
@MariaShehemba6 күн бұрын
Kwanini dudu 🤔🤔 ni naona mtu wa Mungu
@KasimuSaidi-g5x7 күн бұрын
Allah akuonqoze kuinqia KWENYE dini ya haki
@RespiciusMrokoz8 күн бұрын
Ata dudu nawana wake wanakose ahitakiwi,
@JustinmlwiloMichael5 күн бұрын
Ukovizuri kwa hayo
@BtrainTv8 күн бұрын
Wambie konki 😅
@Michael-mr5rm2 күн бұрын
Dudubaya mbona unaongea point nzur lkn tena watu wanasema wew bangi kwako ni chai ya axbh unaitumia kila ck,kama ni kweli bangi unavuta huoni ni dhambi
Bro unasema ukweli kusamee Ni kitu ya Maan San Dunia I tunapita
@MusaRajabu-rw7uz8 күн бұрын
Duwa nyingi konki
@SaidatiHalidiJuma2 күн бұрын
Mungu angeze moto huo
@FrancesMachelela-g4y7 күн бұрын
We mwenyewe hujielew mbona hata hap mnasema 50kwa50 tofauti n hambeb mimba2
@jangalaalexbubehi76587 күн бұрын
Huyu nae
@allymwashambwa59208 күн бұрын
safi kaka
@JacobLumila7 күн бұрын
Kwahaya yanatokea kuwakanya
@jumaalmasjuma17009 күн бұрын
Kapoteza diraaaa huyooo
@augustinhopastory11428 күн бұрын
Aliyepoteza dira ni mama ako mzazi
@TeodoriPatrik-ph9sr3 күн бұрын
Ubarikiwe
@MeckConso2 күн бұрын
Chizi wew moto wanajichoma wenyew
@Rapay2552 күн бұрын
Ukweli kabisa ila hizo ni dalili za kuludi kwa yesu mala ya pili jaman tutubuni dhambi tulizonazo tuokolewe
@tukutanetv16927 күн бұрын
We mwandishi ,or mwana harakati ao mwana mziki
@Reuben-l1bКүн бұрын
Amen waambie.
@CornelThomas-gc8rz8 күн бұрын
Hata hao wanao kusapoti hawajui chochote masikini kweli ujinga kitu kibaya sana wanakusapoti kwa mihemko tu hata chanzo moto hawajui.mtu akishindwa kufikiria anakimbilia kumsingizia Mungu.
@SwaleheHemed-n9s6 күн бұрын
Weee unajua au na wewe ni wale tumetokana na nyani