Kiongozi wetu sana Mbowe, umefanya kazi nzuri sana, nakuomba, nusuru chama,kaa pembeni mwachie Lisu
@MsambelwaTalkshow18 күн бұрын
This guy is good. Napenda sana analysis zake. Facts.
@kwisa489919 күн бұрын
Dudu kwanini usiwe mchambuzi radioni
@MariamDilla15 күн бұрын
People's POWER 🔥💪🏾👏🏾🇹🇿 under Tundu A Lissu only
@zebedayokatamaduni96768 күн бұрын
Lisuuu 🎉🎉🎉
@RichardbituroMakole15 күн бұрын
Ila sisiem nimewakubali,huwa wanasema hakuna demokrasia chadema,huwa wanajuwa mbowe Si mpinzani.
@nanubob196919 күн бұрын
Na sio tamaa tu hofu ya kufichuliwa maovu aliyoyafanya akiwa m/kiti.
@MUSAMWAMBENE15 күн бұрын
Mbowe tulia kwaza lisu asemee
@MariamDilla15 күн бұрын
Mh. E. Mbowe umefanya kazi nzr kuifikisha CHADEMA hp ilipo wa-tz zote twajua na mchango wako hautasahaulika lkn OMBI letu tunaoipenda CHADEMA huu ni wkt wa kumwachia Mh. Tundu A Lissu kuisaidia taasisi hii kusonga mbele. Wkt huu ni Jembe Lissu kututoa hp tulipo.
@ValeriJummane18 күн бұрын
Tunaenda na Lisu
@rebekakulwa615918 күн бұрын
Mbowe tafadhali tunakuomba mwachie. Lisu utakiharibu chama pendwa.
@ephraimkabeya964817 күн бұрын
Hata kama Kiongozi anapendwa kiasi gani, ikishafikia hatua ya watu kujadili atoke hata Kama ni wachache bado hataishi mioyoni mwa watu, tayari heshima na imani kwa watu IMEKWISHA.
@zebedayokatamaduni96768 күн бұрын
Konkiii mwenyewe
@jamesnyaulingo67317 күн бұрын
Mamba uko vizuri
@KennethZengo18 күн бұрын
Dudu BAYA wewe wa hovyo ndio maana umeshindwa hata muziki huelewi hata Cha kusema
@SurprisedFullMoon-gg9vu14 күн бұрын
Nyomi lipi wew bwege"au una tafuta uenyeliti wa kijij nn??
@johnnyaga767718 күн бұрын
Konki gombea kiti cha u mbunge huko Kisesa.....uwekee wana Kisesa umeme...
@rebekakulwa615918 күн бұрын
We hujui. Kwamba mafisiemu wenzio kazi.yao ni kusomba watu na kuwapikia wali maharage we ndio unaona wana nyomi
@juliuskitaluka120618 күн бұрын
Tamaa mbele mauti nyuma
@shizoshop246910 күн бұрын
Nyomi la kubebwa na maroli
@deongusaru580318 күн бұрын
Dudubaya umekuwa lindindindi, boya.
@yustodonald977216 күн бұрын
Mbowe acha tamaa lisu anastahili
@lucasmugoma287017 күн бұрын
Wewe mwena habari mange kimambe amesema amesema wewe je huna lakumuuliza pumbavu sana nenda shule ukasome tena mange kimambe ni nani hata huna mawazo yako ya kumuuliza shenzi kabisa wewe
@roypeters982917 күн бұрын
Mnatuletea wagonjwa kwenye majadiliano
@SurprisedFullMoon-gg9vu14 күн бұрын
Wew mzima sioo???
@saidrakwe872717 күн бұрын
Mbowe madaraka anayapenda na hana sababu za msingi
@malebombike19 күн бұрын
We ukumbuki mwambe aligombea mwaka 2014
@MusaOgwoko19 күн бұрын
Rushwa kalamba
@shedrackchavala849519 күн бұрын
Ujerumani haina rais
@jessemhally538519 күн бұрын
Rais yupo ila chancellor ndio mwenye nguvu kuliko Rais...