Braza nafarijika sana unapokuwa unamtanguliza mungu, na unatumia busara za itifaki zote za Dini ukiziheshimisha that is good just live your life man...
@AllyKipe-d2y10 сағат бұрын
Dudu hivi wanakulipa hao mbona unatoa madini sana.❤❤❤.konki3
@goodlucktemu31496 күн бұрын
Dudu Baya aanze kulipwa kwenye interview sasa maana anaongea point sana
@yedwinjj7 күн бұрын
Naomba namba ya konki nice namtumia kitu kidogo
@MarkWafulah8 күн бұрын
Mbona kinyonge Uncle,PTV mjulieni hali Uncle kwanza kabla interview mana Kenya tunampenda na tunamtakia afueni ya haraka kwa iyo msimsumbue our only lovely uncle that we have in East Africa.Quick recovery Uncle from 🇰🇪
@nahyialetomia92848 күн бұрын
🇰🇪 ndaani! Lots of love to uncle konki
@johnkhayimba7947 күн бұрын
Konki +254 ,we wish you good brother
@joesplatnumz8 күн бұрын
Mbosso akitoka wcb kwisha habari yake 😂😂😂😂 harmonize ndio pekee alitoka mpaka sasa yupo top 3
@Brunn-mh2bq8 күн бұрын
Kwani wewe Mungu? Acha hizo wewe
@PolRicric8 күн бұрын
Ww nan had useme kwisha habar yake ww nan ? Watt wadg mnaanza uchawi
@SurprisedAstrolabe-id9gc7 күн бұрын
Kwisha kabisa
@Ommywhity76 күн бұрын
Maisha hayana mwenyewe Wacha uchawi aty akitoka kwisha kwani wasafi ndio pumzi ya mwishoo wachakuabudu binadamu
@msholozizuma54286 күн бұрын
Mbona Chui Vanny boy humuongei kuani yeye so Mkubua?
@johnkhayimba7947 күн бұрын
Konki! +254 we wish you good brother. Much respect ❤❤❤❤💯🙌🙌
@MuzaziJames7 күн бұрын
Jamani mbona sauti la mzee linazidi kupotea😢
@JuliaZaninka6 күн бұрын
Pombe ni mulevi uyu tunamupenda tunamukubali agelikuwa sasa ivi kama kofi olomide wa tanzania lakini sababu ya pombe kupita kiasi amekuwa mulevi
k wa iyo Dudu baya ulivo buma kwenye game, ndo ukaamua kuwa kimbele mbele na maisha ya watu punguza shabo utakuja kwenda leba una kera sana
@tigerutos44k8 күн бұрын
😂😂😅
@jackmabirangacharles93988 күн бұрын
Jamani huyu Mdudu kila kitu anajuwa hakuna asicho kijuwa jamaani
@JordanRichard-s2d8 күн бұрын
Kala chumvi nyingi
@Brunn-mh2bq8 күн бұрын
Dudu hayo macho naona yuko njwiii tayari😢
@uwimana65338 күн бұрын
Umeona eeeh 😂😂😂😂😂
@MO12-b1q5 күн бұрын
Ujanielewa pwent kkkk
@NoelNjementi7 күн бұрын
Namkubali sn sn anajuwa
@SaidiShemkieti4 күн бұрын
Dudubaya acha kunywa pombe bhna
@IssaNdelwa5 күн бұрын
Yuko Tungi ila bado linaongea point😊
@IssaMraja-kr3qi6 күн бұрын
Uyo akiondoka WCB tu kaisha.
@esterkimath12147 күн бұрын
Kweli wasanii hawana maamuzi Yao na si vyema😢
@Fatimamedia2552 күн бұрын
Huyu baba mm namuona km kachanganyikiwa
@IsmailBaheza7 күн бұрын
Mtangazaji fanya more research it may help u to grow kila kitu kikitokea tanzania unakumbilia ku mohoji mze konki nasiweww tu wandishu wa habar wengi tafteni content do more research
@DpN-rk8xz6 күн бұрын
Kweli unevu kwisha habari
@magesawambura3041Күн бұрын
Punguzeni kuhoji matahira kama hawa.
@majidfrolian49048 күн бұрын
Lishakula mtungi li Dudu😂😂😂😂
@JosephJuma-s3v7 күн бұрын
Wa handishi noma sana jamaa kalewa nado mna mhoji
@songombingo1086 күн бұрын
Dudu Baya kwisha habari yako😂😂 Siku hizi umebaki KZbin kuongea tuu😂😂
@T-Fellow7 күн бұрын
Uncle, ilikua Labour ya Birdman
@HASSANBAKARI-q9c8 күн бұрын
Ndomaisha jinsi yalivyo,,nidhamu itakufikisha popote pale,,,ila ukitaka fitna pale umefika..
@SalimSalimu-z5c8 күн бұрын
Naona keupe kanafaya kazi
@TumusimeMchukuzi8 күн бұрын
Sasa zamani Nani alikuwa anamuandikiya mondi
@humbleshoal7 күн бұрын
Sikiliza kwa makini, utapata tu jibu.
@PolRicric8 күн бұрын
Mamba leo umenifelisha umepiga matungi sema upo vzr umeweza kusimama 😂
@hasnunokassim22 сағат бұрын
🤔😂🤣🤣🥺
@Green_v4w8 күн бұрын
Hapo ukitoka na vita utafaulu ila pole pole hivo habari yake ndio basi
@lusanalusana-o3h8 күн бұрын
Uzimwe jamani Mara ngap as wakati umeshazimwa ndugu yangu
Kuja na kuondoka popote ni kawaida.. kupotea ni jambo lingine
@sulleymernmannarah79308 күн бұрын
Hili lmekua jinga sana walai
@janerouhassanjanerou79338 күн бұрын
Huyu asaivi kawa mjomba Google naana kila kitu ana kijua yeye
@ernestkunja34727 күн бұрын
Mjomba Google
@humbleshoal7 күн бұрын
Ndio maana kala chumvi nyingi.
@tigejuma98657 күн бұрын
Hakuna jipya hapo uchafuni Tena...eti wasainii tisa!!? Wakati hata lava lava Hana collabo yyte ata burundi Wala somali😅
@NoelNjementi7 күн бұрын
Dudu yuko makini sn sn
@nashnene63268 күн бұрын
Huyu nae 😢 kazi kuongelea wasafi tuu! Si ajitafute yeye 😂 kajaa wivu
@humbleshoal7 күн бұрын
Ajitafutaje sasa, kama kaulizwa unataka asijibu?
@michaelbwoma27608 күн бұрын
Jamaa unakera hujui vitu na unavihoji, sasa issue ya Nick ulipaswa uwe unajua bwana 😅
@humbleshoal7 күн бұрын
Huwezi kujua kila kitu duniani
@TIZZOBOYOFFICIAL8 күн бұрын
Hio sauti ni ya meneja Ndingano
@humbleshoal7 күн бұрын
Humjui vzur ding'ano
@digital-d2t6 күн бұрын
Chapombe
@emmanuelkarwana45066 күн бұрын
Wewe njo mulivi shika adabu yako
@AthumaniMsangi-f4i5 күн бұрын
Cha P
@StevenJackson-m8g8 күн бұрын
Sasa dudu baya wewe nani?
@T-Fellow7 күн бұрын
PTV, why are you keep trick Uncle the Legend and you know he's lit😂😂😂😂
@ClassicUsed-jg6ri8 күн бұрын
Wakenya ni wapumbavu
@MarkWafulah8 күн бұрын
Upendo bro chuki haijengi🇰🇪🇹🇿
@philipisohe80358 күн бұрын
Sasa hivi shida yako nini, mbona unasema wakenya ni wapumbavu, ulikuwa Mwalimu wao lini, acha pang'an'ga na kasheshe, kazimwa sauti kwenu mnyonge tu hivi umeona urushie wakenya mdomo bata, domo Kaya tu, acha hiyo tabia ya kishenzi pambana na hali yako kaka, matusi tunayajuwa ipasavyo, tafuta mtaji wako na riziki yako. Mambo ya wakenya huwezani nayo kabisa!
@philipisohe80358 күн бұрын
@@MarkWafulahacha huyu hana lake ila anatafuta kujivurugia amani binafsi
@JamesMoses-jd1yq6 күн бұрын
Labda kamaliza contract wcb
@hamismwangi46428 күн бұрын
Wasafi msanii anachukua asilimia 60 na company wanachukua asilimia 40 hii mbn inajulikana huyo Mzee anazeeka vibaya
@hemedmwandaro12648 күн бұрын
Siyo kweli 😂 Naomba uende ukaangalie interview ya Hawa watu.. Rich mavoko na harmonize wakat wanatoka utajua asilimia ngap
@MarkWafulah8 күн бұрын
Samahani 🇹🇿 mwacheni Uncle alivyo msimtusi mana thamani yake na uzito wa uhai wake tunautambua sisi Wa Kenya 🇰🇪.So please UNCLE MUST BE RESPECTED!
@humbleshoal7 күн бұрын
@@MarkWafulah Well said
@NoelKisharubu7 күн бұрын
Uyu nae ajui chochote Modi mwenyew alisema 60% za uchafuni
@mrrockboy95087 күн бұрын
Wewee umeisha potea sikunyingi acha uongo😂😂
@humbleshoal7 күн бұрын
We utakua mtoto wa elfu2
@eazyjay30758 күн бұрын
Fanya kazi yako siasa waachie wanasiasa hamna itachokunufaisha zaidi utapoteza views tu,achana na uo uchawa wa kijinga.
@NoelKisharubu7 күн бұрын
Amekuita kwenye peji yake 😮
@DouglasMassop8 күн бұрын
Sasa kila kitu anajuaga huyu? Watangazaji wajinga sana kumpa mic huyu mlevi
@humbleshoal7 күн бұрын
Kala chumvi nyingi ndio maana anajua sana
@NoelKisharubu7 күн бұрын
Wew unajua
@DouglasMassop7 күн бұрын
@@NoelKisharubu mim sijui na wala hakuna mtu yeyote anao uwezo wa kujua kila story ya kila mtu
@SabanaSipemba-v8j8 күн бұрын
Hiv ww mtangazaji umesoma kweli ww
@humbleshoal7 күн бұрын
Kwa nini asisome?
@SabanaSipemba-v8j7 күн бұрын
@humbleshoal ukikuwa kiakili ukaacha kujichungulia sehemu za Siri utaelewa
@humbleshoal7 күн бұрын
@@SabanaSipemba-v8j Tatizo lako unataka awe anajua kila kitu, mtu hawezi jua vitu vyote ulimwenguni
@SabanaSipemba-v8j7 күн бұрын
@@humbleshoal soma kwanza ninachomanisha kwanza hapo akuna utangazaji hapo jamaa ajuwi kitu Kuna namna ya kuaanda interview kwa msanii na jinsi ya kumuliza swali huyo analuka Luka tu