Amani ni jambo la muhimu sana,shida wanasiasa wanatamaa ya madaraka hata kama amani itavurujika!!anangalia chadema walivyonatamaa ys kupata madaraka!! Raisi Samia na serekali yake wamejitshiidi mno kuwarudishia watanzania matumaini ya maisha,hskuna tena tra kuwadhulumu wafanyabiashata,watu wanaoshi bila KHOFU na vitisho!! Badala ya kumuunga mkono RAISI kwa utawala huu wa kutukuka eti wanazurura barabarani wanadai sukari imepanda bei!!
@fahadfaraj647410 ай бұрын
Sasa haya yote yanatoka wapi bw Kimaro
@veronicadominick882110 ай бұрын
Ulikuwa hana pakusemea! Sasa naona kapata pa kusemea!
@dismaslalubare419610 ай бұрын
Kina raila odinga wanavyobeba masufuria kichwani Kenya wakidai unga kushuka wao ni vichaa au ? Au wewe ni chawa nini wa ........