DULLA MAKABILA AICHAMBUA REDIO YA ALIKIBA, DIAMOND AMEISHA NA WASAFII TV

  Рет қаралды 44,926

Mbengo Tv

Mbengo Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 49
@AbdallaZico
@AbdallaZico 7 ай бұрын
King of singeli 👑
@noelnoel4916
@noelnoel4916 7 ай бұрын
Dulla very creative Yaani mbunifu na talent ya ustar
@johnsonobadiah9008
@johnsonobadiah9008 7 ай бұрын
Wasafi ipo juu snaa
@AbdallahKirefu
@AbdallahKirefu 6 ай бұрын
Nice
@mohamedmbalazi748
@mohamedmbalazi748 7 ай бұрын
Ni jambo zuri watu kujiongeza japo kachelewa lakin sio mbaya kila jambo na mda wake. Sema heading za hizi video sio lazma mumtaje Dai, mnauwezo wa kupata viewers bila yy. Mnampa airtime na mnamchosha
@manofthepeople5014
@manofthepeople5014 7 ай бұрын
Wewe ulirauka yako iko wapi?
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 7 ай бұрын
Jamani mbona mnapendaga kumgombanisha dulla na wasafi huyu alikiba lebo iko wapi
@BenjaminMtaly
@BenjaminMtaly 7 ай бұрын
Wasafi wapo mbali san
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 7 ай бұрын
Acha wajidanganye sana wasafi ni habari nyingne
@IgarandaIgaranda
@IgarandaIgaranda 7 ай бұрын
Hamuwez kufanana kwenye maisha so inabidi uangalie kilicho mbele yako ili uzidi kupiga hatua
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 7 ай бұрын
Na kwenu au
@fbr5113
@fbr5113 7 ай бұрын
KWANI KUNA HAJA YAKUSHINDANA BASI KATIKA HILI? HIVI WANAFIKIRI KUPAISHA MEDIA NI KITU RAHISI EEE. YAANI WASAFI YA DIAMOND INAPAA KWAKUWA SIO MCHOYO ANAWALIPA VIZURI WAFANYAKAZI WAKE, ANAWABRAND NA ANAWAPA UHURU WA KUFANYAKAZI ZAO BINAFSI NA HATA NA MASHIRIKA MENGINE. HILI JAMBO ALI HALIWEZI ANA ROHO YAKUKUNJA SANA HIVYO HATA KAMA ANA MEDIA LAKINI ASIPOWEKEZA VIZURI KAMA MONDI ATABAKI JINA TU
@algwiji
@algwiji 7 ай бұрын
Kwenye huo huo mfano wako Tanzania ingekuwa na genge moja tu la nyanya kungekuwa vipi
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 7 ай бұрын
Vidole kwenye pua uchafu wasanii kua makini jamani
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe 7 ай бұрын
Hivi now days media ya kulinganishwa ni wasafi tu.
@molisjaphet9999
@molisjaphet9999 7 ай бұрын
Dullah nakubar sana
@BIGJOLVOBOY
@BIGJOLVOBOY 4 ай бұрын
Alikiba amefanya kitukikubwa sana
@MarryThomz
@MarryThomz 7 ай бұрын
🎉
@kambiyusufu2776
@kambiyusufu2776 7 ай бұрын
Halina hata mvuto Hilo chanel
@Obertan_coolkid-04_
@Obertan_coolkid-04_ 7 ай бұрын
Waandishi bongo bado sana
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 7 ай бұрын
Huuu ndouwalisia wa people wa Tanzania tulivyo ukifungua genge la nyanya na jilani yako nae atafungua genge la nyanya ili tu chuki yake ujiziilishe tu😂😂😂
@Javas-xp9kl
@Javas-xp9kl 7 ай бұрын
kwani dai ndo wa kwanza unafki umewajaa tuuuu🖕
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 7 ай бұрын
Roho mbaya na ufinyu wa fikra hiyo ni hatua ya kupongezwa maan ongezeko la ajira kuna watu watapata mkate kupitia hizo media na ikiwezekan wengne wafanye hivyo ni bora zaid
@Ambagaye
@Ambagaye 7 ай бұрын
Biashara ni mashindano siyo kuachiana. Ndiyo maana Japan kuna Toyota, Honda, Nissan, Mazda, Subaru, Mitsubishi na kadhalika na kila mmoja anauza
@kessykessy563
@kessykessy563 7 ай бұрын
kwahiyo ukiuza nguo bc wengine wasiuze kisa unauza ww pekee ili upange bei utakayo!?,...Nenda ukasome biashara kwanza acha gubu😊
@MnubiMm
@MnubiMm 7 ай бұрын
Ni vizuri Sana kufungua Biashara lakini sio kwa ajiri ya kukomoa mtu au watu fanya Biashara kwa mafanikio yako na Biashara yako lakini unaweza ukanzisha kwa mbwembwe lakini Wala usifike Mbali Redio ziko nyingi
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 7 ай бұрын
Na uliitwa kufanya interview kwa sababu walishajua Kuna ufunguzi wa radio mpya....😂😂na wanakujua mdomo wako hauchelewii..hivyo wamejiwahi kusawazisha
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 7 ай бұрын
atakuvaha ajui mpaka muandishi akutengeneze 😂😂😂😂😂 msani akagui nguo ikoje
@Rahman-seneda
@Rahman-seneda 7 ай бұрын
Angalia vizuri hakutengenezwa. Mwandishi aliichomeka maiki kwenye koti
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 7 ай бұрын
@@Rahman-seneda kwanini achomeke kwani mwenye nguo akuhichomeka?
@moja6907
@moja6907 7 ай бұрын
JAMANI.....MARUFUKU KWA WOTE KUSHIKA/ KUCHOKONOA PUA ZAKO KTK KADAMNASI....HATA VIOMGOZI WANAJISAHAU HII KITU...😮
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 7 ай бұрын
Hapa ishu ya alikiba wasafi inaingiaje hapa watu wengine nunga embe
@sadih5333
@sadih5333 7 ай бұрын
Msanii mchafu , unachokonyoa pua mbele ya camera kwa bare hands.
@sabinuskomba2535
@sabinuskomba2535 7 ай бұрын
Mm mwenyewe amenikera na anamwita mtu huku anafanyiwa interview hovyo kabisa
@farajrashidi4010
@farajrashidi4010 7 ай бұрын
Sasa wwameshakuwa wew na iyo ladioyo yonu munajitafuta aukik mnatafuta kuitangaza kituochenu chaledio
@AnnethEmanuel
@AnnethEmanuel 7 ай бұрын
😢😢😢rudi shule kajifunze kuandika kwanza
@brudatv3539
@brudatv3539 7 ай бұрын
Jifunze kuandka kwanza alafu njoo tena
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 39 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 45 МЛН
UGOMVI MZITO: MWIJAKU NA DOTTO MAGARI WAZICHAPA LIVE
12:13
Mbengo Tv
Рет қаралды 1,1 М.