Shikamooo dulla makabila narudia Tena shikamooo kaka dulla akuna wa kukuzid kwa ubunifu wa singer upewe tuzo yako brooo🙌🙌🙌
@dullaboy6 Жыл бұрын
Dulla makabila wewe noma kama unamkubali acha like hapa
@hadijarajabu7198 Жыл бұрын
Hii hizi ndo nyimbo zenye kuelimisha na kuifunza jamii, hongera sana Dulla keep on doing 🎉
@EricrutuliraOfisa-mx8ge9 ай бұрын
Unasitaili like zote
@KareemBahati-lf1iw Жыл бұрын
Wakwanza mimi hapa wanangu wa dar es salaam naombeni like zangu
@godfreychacha7970 Жыл бұрын
Unakula like
@ArafaAlly-gs3yi Жыл бұрын
@@godfreychacha7970😂😂😂😂😂 jmn mpe
@mumyomary1812 Жыл бұрын
Na umekimbilia nn wakati mi ndo nafika nimekuta coment mia 400 na 😅😅😅😅😅😅😅
@isayajames6874 Жыл бұрын
Iv wanao omba like wanazipelekaga wapi
@djmseventz Жыл бұрын
Wa kwanza wa nyoko
@omaryode6822 Жыл бұрын
Msanii mzur ni yule anaefikirisha zaid kwenye uandishi wake na hii kaka dulla umetisha sana tuliza akil zaidi...big up kaka✍🏻
@NaifaMustapha Жыл бұрын
Wangapi hii ngoma wameiludia zaidi ya mala 2🎉🎉🎉nyimbo ya mwaka❤
@silviapeason8542 Жыл бұрын
Tumeshapata mwimbaji bora wa singeri wa mwaka yaani wimbo mzuri,ujumbe mzuri,mpaka video nzuri ❤️❤️❤️
@chiburashid8359 Жыл бұрын
Sijawah kutoa saport ya nyimbo ila hiii imeenda dula mungu akuweke sana n uzid kufunuwa vichwa vya wapungufu wa fikra huuu ndo usanii🎉
@OFFICIALSEMAH Жыл бұрын
Wa Kwanzaa toka Kenya 🇰🇪🇰🇪 Tanzania 🇹🇿 wapi like za dulla nije ama nisije weka like hapa zote ❤❤❤
@AlfredSenkondo-mi3wf Жыл бұрын
Oyaa kama unaamini Mwenyezimungu anabariki kila mmoja kupitia jitihada zake usipite bila like kwnye comment hii
@BAHATIKIBA-ul6wx Жыл бұрын
Kihukwel Funga Mwaka Hii
@manirambonajeanne3876 Жыл бұрын
Nikwer hatamalaa anabalikiwa 😂😂
@AlfredSenkondo-mi3wf Жыл бұрын
@@manirambonajeanne3876 Naye c anaomba Mungu apate Danga
@SicolagodrikMagomba-fz8qq Жыл бұрын
Duuh dulla Nini umefanya kaka
@FalidaAbdallah Жыл бұрын
Nic
@mwajumambonechi498 Жыл бұрын
Nimeirudia hii nyimbo mpaka machozi yamenitoka, hongera sana dullah kwa UJUMBE huu
@shabanshabani8453 Жыл бұрын
Mzee baba umetishaaaa sasa singeli hii imetoka kwenye uhuni mpaka burudani na elimu ndani yake 🙏🏾🔥🔥 Mungu akusimamie bro 💪🏼🙏🏾
@JullieManga Жыл бұрын
Haki ya mungu mm sio mpenzi wa singeli lkn kwa dullah kaz zake nazipenda saana mwamba ana ubunifu wa hali ya juuu dullah atabaki kuwa king tumpe maua yake 💐💐💐💐💐💐💐💐💐
@EricaBizuru-jp9by Жыл бұрын
Huyu mdada anajua sana kuigiza we dula muongeze hela❤❤❤
@hamissmatata8780 Жыл бұрын
Tuchangeni tu
@رقيهالخصيبي Жыл бұрын
Tena namkubali
@masheyn Жыл бұрын
Ila jamani huyu jamaa anatumia akili nyingi saaana dah hongera saaana kaka umezaliwa kwaajili ya mzk 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mkili like mje na kwangu masheyn 🎶
@ngalongalo6475 Жыл бұрын
Yaani huyu #dullamakabila ni zaidi ya msanii, anaelimisha na kuburudisha haswaaa, embu waza hili goma anavyokemea mambo mengi anaonya juu ya MAADILI mabaya katika jamii, na ni juzijuzi katoka kutupitisha huku wema na wabaya.MUNGU AKUFIKISHE MBALI BROTHER UNAJUA SANA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII.
@mwljuliuskiwovele Жыл бұрын
Best ever ,huyu jamaa huwa anawaza mbali kuliko tunavyodhani ,kuanzia pita huku,nije nisije na ile aliyoshirikishwa ya peleka gari kituoni ni idea zake ,yaani nyimbo inaelimisha mpaka inaboa na amezungumzia saikolojia ya makuzi ya mtoto akiwa bado yuko tumboni.🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@visanasimulizi Жыл бұрын
Hapana, hapana na hapana tena, Dulla Baba umetisha sana, bonge la wazo. Kitu kikubwa sana.
@BabaYaga-io9fo Жыл бұрын
Nimeona vijana wengi wakiimba singeli hila dulla anajua sana❤❤ Kijana kabarikiwa singeli zinaujumbe kama hizi ni next level
@GervasUtouh Жыл бұрын
Ni nouuma 🎉🎉🎉 jaman tudondoshe mauwa kwa like zenu wadau kama mnamkubali dulla
@GiftyMswaja Жыл бұрын
Daah nyieee naombeni like Huyu jamaaaa noma na watu wake wako vizuri yaaan hiii lazimaaaa hiiii ifikishe iwe one so muda au Kesho asbh 🔥🔥🔥🔥📌📌📌
@FredyLupatika Жыл бұрын
Kilichobora tukipe heshima yake, dullah hana tofauti na 20 per cent, anajua japo ukweli mchungu💥💥💥💥
@NeemaGodfrey-yz2xc Жыл бұрын
Huu ni ubunifu wa kiwango Cha reli, excellent!!!!
@farajimgunya6468 Жыл бұрын
Unajua kuandika na kushoot hizi kazi. big up dulla makabila
@KassimMbwana-m6i Жыл бұрын
Ubunifu wako ni wa hali ya juu sana na ndio Mana upo tofaut sana na artist wengne bnafs nakubali uwezo wako na namna unavyotuletea vitu vya kipekee big up bro Dulla Makabila Mola akusimamie katk Kazi zako 🙏👊❤
@Brunoh90Tv Жыл бұрын
Makabila ndo wasanii wanaojua maana ya sanaa, hongera sana kaka👏👏👏🔥🔥🔥🔥
@giggaflo Жыл бұрын
Dullah umewazidi wengi kwenye eneo la ubunifu. Wewe ni singeli Icon
@rogetichuo4687 Жыл бұрын
Dulla Makabila we ni fundi hizi ndo tungo sasa
@BONGOKUMENOGATV Жыл бұрын
Hakuna mpinzani katika hili dude la kufungia mwaka oya nasemaje nasemaje ikae one otrendng miezi Saba isitoke♥️💥💥💥💥💥💥
@HUZZAMSUZNAKISIMBA Жыл бұрын
HUYU MTU MKALI... 1) JINI GANI? 2) WAONGO HAOO 3) PITA KULE 4) NIME GHAILI KUFA 5) NIJE AMA NISIJE? MAONI: by bin simba sultan LET'S GO 🎉
@peterdaviddba Жыл бұрын
@@HUZZAMSUZNAKISIMBA❤ or
@godluvmtegajr.6154 Жыл бұрын
Jamaa kafkria nje ya box sana,ngoma n hit sana..... ujumbe pia ✅✅
@digitalafrica1 Жыл бұрын
The true meaning of creativity❤, no abuse language, no X videos, nothing bad but full of creativity ❤❤ , If you like it as me please like this comment for our artist Makabila
@SalhaLutalo-on8th11 ай бұрын
Mungu akuzidishie kipaji na akuongoze na madili mema
@BarakaElia-rp6gr9 ай бұрын
Dulla ndo mond wa singeli❤
@joshualaizer1707 Жыл бұрын
Kwa maneno mepesi dulla Hana mpinzani kwenye singeli🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@fourteen_kiid Жыл бұрын
Tufungie mwaka Dullah hii nayo ikawe kali zaidi ya pita huku. 🙏🏾
@SaidyJumma Жыл бұрын
Kaka nakukubali sana good music bro
@fourteen_kiid Жыл бұрын
@@SaidyJummakizazi bro
@walterkanje Жыл бұрын
This singeli hit from Dulla Makabila is on repeat mode! 🔄🎵 Unmatched energy and beats that hit different. Dulla, you've done it again! 🙌💥 #SingeliFever #dullaMagic" gonga like hapa.... love from MARS👽
@William_ngela Жыл бұрын
Safi sana ukweli umewaambia mama wa kizazi hiki cha sasa
@brothermams28 Жыл бұрын
Song Kali sana Big up from 254🎉🎉🎉🎉🎉
@farajamelchior4578 Жыл бұрын
Kaka nakubali kazi zako yani una ubunifu wakipekea nakilasiku unakuja nakitu kipya.
@rashidamohamed9927 Жыл бұрын
Wewe kiboko huna bayaa kubwa rama duii wa singeli hantariii kibokoyaooo 🔥🔥🔥🔥🙏💪💪💪💪💪
@mrishomaneno6546 Жыл бұрын
Kuna waimbaji wengu wazuri wa singeli ila dullah amewazidi sana .anaubunifu sana wa mziki wake safi sana kaka Mimi shabiki wako.unatoa jiwe unaweka jiwe
@fatumamustapher5361 Жыл бұрын
Dullah mungu azidi kukujalia nyimbo nzur sanaa yenye uhalisia ktk maisha
@layantizzy8376 Жыл бұрын
Dulla unafikiriaga sana big up...na director hajaikosea idea yako mmeua sana wakuuuu
@dee61509 Жыл бұрын
Hii nyimbo inafikirisha sana,,,hongera Dulla kwa masterpiece 🎉
@JoelIsaya-m9b Жыл бұрын
Dulla unaweza ata wakisainisha akina d voice Mia wewe utaki king of singeli
@cestjolie55744 күн бұрын
Msaga Sumu ndo king wa singeli bwan.
@KudrackAbubakar Жыл бұрын
Dullah makabila ndo mwanasingeli wangu bora wa muda wote❤❤❤
@PetetIgnas Жыл бұрын
Sijawahi kumkataa Dalla linapokuja swala la Ubunifu kwenye ngoma zake
@omaryshomari7892 Жыл бұрын
Makabila uuuje...utupe burudani...mana kwa ubunifu bongo hauna mpinzani...nakushauri njoo..wala usiogope..
@marymassine1747 Жыл бұрын
Dullaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa eeh mwanangu umeuwa sana ❤
@hamissmatata8780 Жыл бұрын
A king himself. Singeli ipo mikono salama kabisa
@lenniekim Жыл бұрын
Mfalme wa singeli🔥🔥Toka Kenya 🇰🇪🇰🇪 tunakutambua dulla
@SuleymaniallyAbdallah Жыл бұрын
Safi sana dullah nakubali kazi zako singeli wewe ndio the most artist bongo ila njoo bro tuu yote uamepita msamehe mama ❤🎉
@JohnKepha-t3v Жыл бұрын
Mwamba niseme moja Tu hakuna king of singeli zaidi yako big up nyamazisha mji hakuna nasema hakuna
@sulexhtechnician7950 Жыл бұрын
Ujuee dula ana ki2 cha kipekee sana kwenye mziki wake me ni msanii ilaa kk nakupa mauwa yako🎉🎉🎉
@Neemarevocatus10 ай бұрын
Dullah mbona lawama hebu punguza kulia mwana 🎉🎉🎉
@susanlazaro8956 Жыл бұрын
Mie hata hainichoshi kuiangalia nakuisiliza hii nyimbo 🥰🥰🥰🥰🥰tuaompenda dullah king of Singeli gongeni like zenu hapaaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@tumainiwanjala8435 Жыл бұрын
Masterpiece... The real definition of talent and creativity is this guy. Dulla de makabila..⚡⚡⚡⚡⚡⚡
@NgwasaMbega-bz1on Жыл бұрын
Kila kwenye kufunga mwaka Dulla amekua mtu hatar naona kama inakuwa zawad Kwa watu tuliozaliwa December Keep Up Bro Kila hatua Dua
@Don_Chimpaga Жыл бұрын
Daaah makabila wee kweny singeli tukuache tu na kwakweli hata hao wanaokupinga wanastahili kukupa heshima yako unafanya makubwa kakaa salute sana mkuu!!
@starjay3052 Жыл бұрын
uwakika hii imeenda na inachukua tena tunzo amini dulla ✅💫🙌🔥🔥🔥🦅✊
@wallaceexpert4081 Жыл бұрын
So creative, Jamaa nakuelewaga sana wewe ndio umenifanya nisikilize singeli napenda ubunifu wako wakipekee
@Yushimelody Жыл бұрын
Sasa mbona hii ngoma haingii trending ilivyo ya moto...wapi likes za dulla makabila wanangu wakenya..❤❤
@bonhommeOfficial Жыл бұрын
Daaaah Dulla makabila heee umenikosha sana kupitia hii nyimbo kama mimi nisingeli kuja duniani upewe mauwa yako
@jojigeorige1056 Жыл бұрын
Dah mamae Dula wa makabila... hapa umeua aisee. Wimbo wa kufungia mwaka na kufungulia mwaka. Wimbo huu unasajili mtoto shule hata kama ada imepelea😂😂
@MansuleBhai Жыл бұрын
KAMA UMEANGALIA HII NGOMA ZAIDI YA MARA MOJA GONGA LIKE 😄🔥🔥🔥
@AishaMjiro Жыл бұрын
😂😂 😅❤
@nashiruhassani5158 Жыл бұрын
Nakubali sana kaka dula big up sana kwako tuko pamoja🎉🎉❤
@issayopeali1816 Жыл бұрын
King of singeli from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@dvjachichi6988 Жыл бұрын
Hiii ngoma bro umeua sikutegeme big up brooo hujawai kuniangusha unastaili jina la king of singeli
@danielnzumbi7081 Жыл бұрын
Una pepo wako mbinguni bro, aisee unajua sana sana another level niggah
@AloyceMathayo Жыл бұрын
Uuunyama ni mwingii mzee uuliouufanya humuu..hit song on fire 🔥🔥❤️
@saksenaStone Жыл бұрын
Makini Sana mwamba Yuko vizuri apewe maua yake ubunifu wa Hali yajuuu wenye ujumbe muhimu kwa dada zetu na mama zetu.safi Sana dulah dua nene
@salamasaidi1876 Жыл бұрын
Not only king of singeli but also king of creativity 🙌
@machichaally Жыл бұрын
Aisee dulla we ni king wa hiyo kitu full creativity nani kaangalia mara kumi kama mimi tujuane hapa.
@minahzaveri2817 Жыл бұрын
Waoooh ni ukwli mtupu umeibwa ❤ i like it❤❤ maua yako dulla🎉🎉
@KhamisAli-k6s Жыл бұрын
King of singeliii na mafunzo ndani yake kwenye huu wimbo
@meshackkangwe3414 Жыл бұрын
Umeshindikana dulla asee we ni 👑 of singeri 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@SimonNdalii-mr6ur Жыл бұрын
Salute kaka dulla, top creativity 👍✨✨✨ 🎉😊👏😁👏😃🎉 Congratulations!
Hongera sana Dulla kwa kaz nzur na inafundisha pia
@JumaSekuba Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@armandoleonardo6966 Жыл бұрын
Makabila é muito criativo e assim é bom, Força aí.🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@salumuhafidhimtabe Жыл бұрын
Dullah Makabila the King of Singeli especially in the matter of Creativity
@rachemwapongo Жыл бұрын
KING OF SINGELI ,IGWEEEEEEEE unajua ,unajua ,unajua tenaa❤❤❤❤❤
@AsiaSaid-iv4pn Жыл бұрын
Yaan kwenye singeli hakuna kama wewe jiamini na uzidishe maalifa nakukubali sana bro❤❤❤
@ifferallen8051 Жыл бұрын
Dulla unawezaaa 🎉🎉❤❤❤
@ligobeatz Жыл бұрын
Hii ngoma kali kuliko nyimbo zote za msanii mpya wa WCB...
@JechaMakameIssa-gs2bl Жыл бұрын
kitendo cha kufaninisha tu bc bila shaka dogo umemuelewa
@evankya1955 Жыл бұрын
Pure creativity! Ingekuwa ndefu kidogo
@ngonde255 Жыл бұрын
Kiukweli kabisa kaka Mimi skupingi wewe ni mwandishi mzuri kweli wewe King of singeli🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@assadmajaliwa2524 Жыл бұрын
Niliwahi kusema dullah ni genus na ni best kwa wanasingeli wote . Huwa anafikiria in extra ordinary na hufikiri kwenye mzizi wa tatizo. Watu hufikiri mtoto analelewa tangu anazaliwa, kumbe tangu upo tumboni Great bro .
@othmanshabani5856 Жыл бұрын
Ahhhkhhh dula ananikosha sana na singeli zake tulio rudia zaidi ya mara moja gonga like ❤
@estonsmart Жыл бұрын
Bonge la Funzo kwa Dadazetu. Your Genius Bro 🔥🔥
@issaadamu9847 Жыл бұрын
King Of singeli 👑 hongera makabila
@mwanahamisbeku4094 Жыл бұрын
Goma la kufungia mwaka na kufungulia mwaka 🔥🔥🔥
@warundaomary94 Жыл бұрын
Dulla,dulla dulla, nimekuita mara 3, Hii ni🔥🔥🔥🔥
@miraxxyAfricana Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 am miraxxy artist from London
@vancharo5111 ай бұрын
Hapa kenya tunaita creativity ila Tanzania mnaita ubunifu niwa Hali ya njuu,jamani mimi mkenya lakini nependa dulla makambila❤❤❤
@deus_marwa Жыл бұрын
A very big lesson from Dulla Makabila 👏👏💪
@franksebastian2676 Жыл бұрын
Once you talking about creativity in singeli.. you're talking about dullah makabila 🔥
@Delightson48 Жыл бұрын
Mwambia anajua sana.
@richardmagala6734 Жыл бұрын
Kama umerudia kuangalia zaidi ya mara mbili gonga like
@imaxshine2210 Жыл бұрын
dulla you are the next level broo, hii singeli ingitwa dulla tuache iyo singeli uitwe mziki wa dulla
@Hans_rg Жыл бұрын
ubunifu wa hali juu na ujumbee mzitooo❤ much love makabila