No video

DULLAYO |SIWEZI KUACHA POMBE |ETI NIMEKONDA |AFYA IMEISHA |MIMI MSANII MKUBWA

  Рет қаралды 42,837

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

2 жыл бұрын

Пікірлер: 179
@fathimafathima8057
@fathimafathima8057 2 жыл бұрын
Heeeee huyu dulayo nilikuwa nampenda sana ndo kawa iv kwel maisha yanabadilika
@mdachiog5211
@mdachiog5211 2 жыл бұрын
Mziki mgumu
@dullahgsm1002
@dullahgsm1002 15 күн бұрын
Dah wa siweye tu vo
@jovinathobias7163
@jovinathobias7163 Жыл бұрын
Mi nalia jamani Dulayo wangu, nimesikitika sana sikujua Kawa hivi jamani Mungu mtunze Dulayo
@cosmasjoseph1320
@cosmasjoseph1320 2 жыл бұрын
Mtangazaji mwenyewe haamini kumuona jamaaa hivi ndio mana anamuuuliza kwa hisia😔😭😭😭
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 2 жыл бұрын
Pole Kaka Zahir Jmn Kuna Wkt Inataka Moyo Kumuhoji Ila Yote Kwa Yote Tuombeane Mema
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 жыл бұрын
Zahir mshike huyu kaka anajuaa saanaaa msaidie Mungu akikuongoza
@ashantyjojo5298
@ashantyjojo5298 2 жыл бұрын
Jaman dulayooooooo wew umekuwa hivi du
@happynelson1136
@happynelson1136 Жыл бұрын
Pombe imeokoa maisha yangu bila pombe ningekuwa chizi na stress pombe imenifanya nipate hamu ya kula pia nipate usingizi mzuri na nipate afya nzuri Dulllayo anakonda sababu anakunywa pombe kali za kienyeji ambazo zinafanya asisikie hamu ya kula chakula mimi nakunywa bia na wine tu
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 15 күн бұрын
Duuh mtihani
@SalmaBinyaga
@SalmaBinyaga 15 күн бұрын
Duuh mtihani
@richadifabiani1531
@richadifabiani1531 2 жыл бұрын
Kawa kama mzee my brother dah!! Mungu mbaliki ndugu yetu dullayo
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 2 жыл бұрын
Dah!! nafsi yangu imeniuma sana hadi machozi yataka toka dah!! sawa bhana!! vijana wanangamia bila kujitambua ina uma sana
@tonyi6807
@tonyi6807 2 жыл бұрын
Sanaa inahitaji utulivu umakini heshima na mpangilio wa mkubwa kulingana na ukubwa wake... Hivyo ndivyo msanii ataweza fanana na hivyo vitu nje ya hivyo hakuna sanaa wala msanii .... Jukwaa ni mahali penye Heshima kubwa ya kuakisi ukubwa na Uwezo wa msanii nje ya hapo inaweka taswira Hasi pia ni Aibu kwa wasanii wetu Wakitanzania kueneza dhamira binafsi mbele ya watu wanao thamini Sanaa
@imeldangoda2319
@imeldangoda2319 Жыл бұрын
Msaidieni akae sawa ..I like his song..I specially hawalali❤
@thestonetown3302
@thestonetown3302 2 жыл бұрын
Dahh mwanangu sana nimecheza nae mpira mitaa ya airwing miaka ya 2009:::ucjal bro Mungu atakusaidia uache pombe manake sio poah kwa hali hiyo#Thestonetown#999
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 2 жыл бұрын
Yaaani mtangazaji hadi kasahau utangazaji wake kageuka kua mshauri, ila Dullayo watu wengi hawamjui huyu alishindwa kusimamiwa na Master J, mkamuhoji master J anamjua vizuri
@shameemrashid5219
@shameemrashid5219 2 жыл бұрын
Wasanii wetu wazuri wamekwish na madawa ya kulevya jamn 😭😭😭😭
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
si wanapenda kuiga watu wa Hollywood? na hilo la madawa nalo ndilo .
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 2 жыл бұрын
😭😭😭😭
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 жыл бұрын
mzigo mtamu 😂
@yudadaniel4867
@yudadaniel4867 2 жыл бұрын
huyu jirani yangu dullayo kinachompoteza ni pombe mtaani tunamuita ammada
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@yudadaniel4867 Matatixo tu .
@samomnanka2779
@samomnanka2779 2 жыл бұрын
Inawezekana Ujana ndio adui mkubwa sana katika maisha ya mwananadamu... Leo huyu msanii uraibu wa pombe unamtafuna taratibu
@fredymsigala2289
@fredymsigala2289 2 жыл бұрын
Namkubali saana sema ndoivo kashadata na tungi
@dullahgsm1002
@dullahgsm1002 15 күн бұрын
Broo umemuhoji kashalewa na dulayo tunamkubal sana san sana anajua ila dah
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 жыл бұрын
Daaah amezeeka maskini alikuwa kijana mzuri kabisaa daah
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Mtihan kwel kwel jmn duuh!!! Balaaa kweli kweli
@salmashabani7762
@salmashabani7762 2 жыл бұрын
Yaaan Dulayo Wangu nakupenda Sana,acha pombee jmn bdo nakukubali
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 жыл бұрын
Jaman dullayo wangu kipind kile nilikua nampenda hatar
@BoysOverFlowers002
@BoysOverFlowers002 2 жыл бұрын
Naongea Na dullayo Alafu Mwanangu Sana😁😁😁
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Wasanii wa bongo Wana stress Sanaa amjuii tyu
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 2 жыл бұрын
Maximum TV ,muangalige hapo mnamferisha ,,,sana mtu kalewa than una mhoji so kweri brand itakuwa kweri duuu,
@bahatidominic8923
@bahatidominic8923 Жыл бұрын
Nimeumia sana, Dullayo si wakuwa hivi 😭😭😭😭 Natamani arudi kwenye nafasi yake. Dullayo anaimba kuliko Diamond,Alikiba na wengine wengi
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 2 жыл бұрын
Daaa namkubari Sana Dullayo Hadi keshoo,,,bila yule
@iddfundikira2817
@iddfundikira2817 13 күн бұрын
Huyu sio bure na hii siyo akili yake kaishatiliwa dawa kwenye pombe awe mlevi wa kupitiliza cha msingi tumuombeeni dua,uhandsome wote kwisha jamani pombe mbaya sana
@saebajoma8419
@saebajoma8419 2 жыл бұрын
Mackini d kawa ivi nilikuwa nampenda uyo
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Maskini daaaah mwenyezi mungu tusaidie na tuepushe na mitiani midogo na mikubwa
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 2 жыл бұрын
Ameen ameen kwa uwezo wa Allah
@annysamwel9669
@annysamwel9669 19 күн бұрын
Inaumiza sans
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 2 жыл бұрын
Ulevi ,dulayo alikuwa king duu
@hassanmohamed983
@hassanmohamed983 2 жыл бұрын
,daaah!! noma sana
@juma1916
@juma1916 2 жыл бұрын
Daaaah dulayoo sio poa
@Maneno_ya_hekimatv
@Maneno_ya_hekimatv Ай бұрын
Jamaa kalewa
@fasanitztiri5371
@fasanitztiri5371 2 жыл бұрын
Mungu Hana visa na mwanadamu hata siku Ila sisi wanadamu tunashindwa kujiongiza kwa changamoto ndogo
@kamugishaernest6227
@kamugishaernest6227 2 жыл бұрын
😃😃😃😃😃make hapo ngoja kwanza nicheke 🤣
@Paplick9
@Paplick9 Жыл бұрын
Waambie wasaport sanaa wasanii wasife Kwa dawa na pombe according To #Youngkiller #Msodoki 💯💯📌📌
@annysamwel9669
@annysamwel9669 19 күн бұрын
Jaman uswahilin kuna mambo wamemtupia mapepo ya ulev aharibikiwe kijana wawatu tunaijua hyo tunakuombea ndugu
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 2 жыл бұрын
Jamaaa msanii mzur sana huyu lakini ona hali yake sasa inaonekana anakunywa pombe kali sana tena zakienyeji zile
@KassimSaid-ue2xk
@KassimSaid-ue2xk 3 ай бұрын
kumamaye HELA NDIE NINI. LIKE ZENU
@aishaissa2512
@aishaissa2512 2 жыл бұрын
Jaman watu kama hawa wanatakiwa kusaidiwa na serikali ili waache kutumia madawa tunapoteza vipaji vizuri Tanzania
@nanaritho6850
@nanaritho6850 2 жыл бұрын
Kwani serikali ndo iliwatuma wavute!? Ujinga mtupu
@beesmarttv3792
@beesmarttv3792 2 жыл бұрын
@@nanaritho6850 😂😂😂
@josephevaristi8923
@josephevaristi8923 Жыл бұрын
Wanatakiwa wasaidiwe na diamond platnumz😂😂😂
@charlesmasele6327
@charlesmasele6327 2 жыл бұрын
Aiseeeh! Daah! Dulayo kweli kawa hivo duuh.
@Hamad-jw1mc
@Hamad-jw1mc Жыл бұрын
Daaaaah Dula anajua sana ila pombe inamharibia
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 2 жыл бұрын
Duh mtihani
@mimahally8025
@mimahally8025 2 жыл бұрын
Acha pombe jmn😂😂😂allah akupe nuru
@hiphopoldschoolkalama1405
@hiphopoldschoolkalama1405 Жыл бұрын
watu wakubali hali zao. Mziki usipoleta hela fanya kitu ingine ila sio kujipa staress na hatimaye kuujingza kwa madawa.
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 Жыл бұрын
Daaa asee .Inauma saana .Nahisi huyu ilitakiwa augeukie muziki wa injili.Kama msanii Walter.
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 Жыл бұрын
Duuuuh jmn roho imeniuma sn mwenzenu nmetoka kuangalia interview ya Joslin khaaaa
@christophermanyaku1390
@christophermanyaku1390 Жыл бұрын
Watu wanapenda kuwekeza kwa mtu anaejitambua wasanii wanazingua Sana niliwai kuwa muandaaji wa show Kuna msanii nilimtumua hela ya show aje mkoani usiku kalewa kasahau Kama anatakiwa aje mkoani nampigia mchana nimuulize yuko wap ananiuliza Leo ndo show au?
@ludewayetutv
@ludewayetutv 5 ай бұрын
😂😂😂ulifanyaje sasa
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Et " kwanini pombe" kwanini hisiwe mziki"🤣🤣🤣
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 2 жыл бұрын
Daaah nimecheka kinoma 😀😀😀! Dulayo bhana
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
@@stanslauschatata3483 kinoma yani😅😅
@plusabracadabra5166
@plusabracadabra5166 2 жыл бұрын
Dullayo anazingua abadilike
@stanleymshihiri3605
@stanleymshihiri3605 Жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali sana rudi mwana unaweza
@robartifabiani
@robartifabiani Жыл бұрын
Mwanafa akisikiliza hii anaweza akalia hasa akisikiliza Ile nyimbo aliyoshirikiana nae Ile nyimbo bila yule
@yohananassoro7052
@yohananassoro7052 2 жыл бұрын
Daah aiseeee
@timothyilomo5347
@timothyilomo5347 2 жыл бұрын
No 1 leo
@innocentrichard9316
@innocentrichard9316 2 жыл бұрын
stress zinawapelekea katika madawa na pombe bt hiyo yoote ni wakiamini wanapunguza stress kwani mziki hauwapi kitu wanachotak nacho ni ela ..
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 2 жыл бұрын
Dullayo wew ndo wa yule shaka na mshikaji kweli?dah umekwishnei
@wakigoma8986
@wakigoma8986 2 жыл бұрын
Tatixo la Wasanii Wengiwao Wabongo Wana feki Maisha
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 2 жыл бұрын
Dah mshkaji chang’aa itamuuwa
@maulidnyumbu8046
@maulidnyumbu8046 2 жыл бұрын
Daaaaah 😢
@issaausi3635
@issaausi3635 2 жыл бұрын
Duh! Yakujitakia ayo yakiboya ulabu
@barakalutego6712
@barakalutego6712 2 жыл бұрын
Duuuh dullayo kwanini pombe
@stanslauschatata3483
@stanslauschatata3483 2 жыл бұрын
We unataka hela chukuaaaa😀😀😀
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Duh kkkkkkkkk ndio alikuaga mume wa shishi bby huyu
@user-ow4vj2lw8r
@user-ow4vj2lw8r 27 күн бұрын
Dulayo na upinde mkononi
@aginessmgaza9899
@aginessmgaza9899 2 жыл бұрын
Dah
@alreemadala2534
@alreemadala2534 2 жыл бұрын
Doh kaisha kachoka
@rukiabashiri1296
@rukiabashiri1296 2 жыл бұрын
Dooh jamn nilikua nampenda mbona kawa ivi aiseee
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 2 жыл бұрын
Jaamaanii kaishaaaa huuyuu mkaka
@abbyadams8691
@abbyadams8691 2 жыл бұрын
Mziki ni ushetani. Huo ndo mwisho wake
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Bass haya
@dianacharles8147
@dianacharles8147 2 жыл бұрын
Hutaki hela. Chukuaaaa😂😂
@teddyelizabeth9358
@teddyelizabeth9358 2 жыл бұрын
Apelekwe sobber house huyo
@icclcharters3389
@icclcharters3389 2 жыл бұрын
Acha pombe utengeneze pesa,chuma kajibu"hela ndio nini"🤣🤣🤣kwa jibu la haraka maana yake pombe haachi
@siwemamichael690
@siwemamichael690 2 жыл бұрын
uwiii jamani
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 жыл бұрын
Pombe pombe ukiinywa bila kuwa na Pesa haya ndio matokeo yake
@pendojoseph2140
@pendojoseph2140 2 жыл бұрын
Dulayooo jamani Rudi kama zamani bas😭😭
@ramaiyavu4258
@ramaiyavu4258 2 жыл бұрын
hahaaa mbn kawa leviii ivii 🤸🤸🤸
@roselambert6700
@roselambert6700 2 жыл бұрын
Ooh jamani
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wasanii wa bongo nihatari.....
@MundhirAliy-6936
@MundhirAliy-6936 Жыл бұрын
Dah! Yani unamuhisi hana hata pumzi . Hadi huruma maskin😢
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 2 жыл бұрын
Anakula gambeee ujana ukizid Ni upuuzi
@NaimaKhamissy-cx7sh
@NaimaKhamissy-cx7sh Жыл бұрын
Hali mbaya wallah 😢
@dominickjohn1128
@dominickjohn1128 Жыл бұрын
Dulayoooo
@AlexChristopherMuhanuka-wm2jk
@AlexChristopherMuhanuka-wm2jk 5 ай бұрын
Haya maisha bhana daah😢😢😢😢😢
@anifajonathan9250
@anifajonathan9250 2 жыл бұрын
Maskin kaishaaa,
@fadhilmohamoud
@fadhilmohamoud 2 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@noahchepe8036
@noahchepe8036 Жыл бұрын
Tatizo wasanii akiwa ktk Kilele cha mafanikio wanajisahau 😂😂 yn dullayo wa kipindi kile ndo huyu?🤭🤭
@letciarshid1413
@letciarshid1413 2 жыл бұрын
Uchawi upo sana
@shukranichomolla4977
@shukranichomolla4977 2 жыл бұрын
Huyu sio dullayo ninaemfahamu jamaniii
@benedictmhina8940
@benedictmhina8940 2 жыл бұрын
Huyo Tungi
@omarylukindo5306
@omarylukindo5306 2 жыл бұрын
Yan hapo pia kashalewa duuh😳
@hamisirashidi9411
@hamisirashidi9411 2 жыл бұрын
Du jamani ameisha kiasi hichi pombe mbaya saaana Yaani du kabakia fuvu tu
@sugarthompson9369
@sugarthompson9369 2 жыл бұрын
Daah yani huyu kaka alivyokuwa before this condition alikuwa hot 🔥 sana nilimpenda sana 😢 jmn pombeeeeee kaka yn 2 4 7 ni pombe anahitaji eti ukiwa unajulikana lazima vitu hivyo vitakutokea hivyo vitu vya pombe 😄😄😄😄😄
@fathimafathima8057
@fathimafathima8057 2 жыл бұрын
Jmn 😂😂😂
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
😔😔😭
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 жыл бұрын
Maskini jamani kawa ivo
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 2 жыл бұрын
Yaan daah
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 2 жыл бұрын
Hapo kasha waka tayari
@Maneno_ya_hekimatv
@Maneno_ya_hekimatv Ай бұрын
Kaendekeza pombe anaonekana tu
@maigekelvin75
@maigekelvin75 2 жыл бұрын
Dulayo mwee dhambi😂😂😂
@juma1916
@juma1916 2 жыл бұрын
Apo penyewe mbona kama kalewa maana kitu ambacho anaulizwa sicho ambacho anajibu?
DULLAYO DUUU BADO MKALI
6:46
KIBATI CHAURUGUAI LIVE
Рет қаралды 2,7 М.
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Brawl Stars
Рет қаралды 15 МЛН
MASHABIKI WA SIMBA NA YANGA WAVAANA MWENGE KISA DEBORA
17:18
Maximum Tv Online
Рет қаралды 1,6 М.
BILIONEA WA KIARABU TANZANIA AANGUSHA MSIKITI
39:20
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 412
YOMBO KAKUTANA NA EX WAKE KIMEUMANA 🤣
2:42
Yombo Comedy
Рет қаралды 32 М.