MPAKA HOME KWA DAZ BABA |MAISHA YAKE |ANAISHI KWAO |HUU NDO MJENGO WAO |MADAWA BANGI |KUDHOOFIKA

  Рет қаралды 79,503

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

2 жыл бұрын

Пікірлер: 260
@abasilihundu200
@abasilihundu200 2 жыл бұрын
Daah, haya maisha bhana. Daz Baba mpaka anatia huruma 😭😭😭
@yusufwazili5359
@yusufwazili5359 2 жыл бұрын
Daz kiukweli siyo yule ambaye nilikuwa nakusikiliza nikiwa dogo shule ya msingi..nyimbo zako na ulivyo tofauti sana,,
@hamisihaji7049
@hamisihaji7049 2 жыл бұрын
Babu big hapu sana
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 2 жыл бұрын
Mtangazaji yupo vzur sana, very talented mekupnd bure mrembo,sema umekutana na mteja
@marcominja8850
@marcominja8850 2 жыл бұрын
Jamaa kajikaz kujionesha yuko sawa na mwenye mafanikio lkn kwa wataalam wa saikolojia unaweza kuona jamaa ni mtu aliyejichokea, kukata tamaa na ambaye hayuko sawa kichwani.
@jaffergeoffreypaul7133
@jaffergeoffreypaul7133 9 ай бұрын
Kwa ww uko sawa kichwani😂
@user-li2kv7uy3t
@user-li2kv7uy3t Ай бұрын
Swali lako liko sawa tena vizuri tu kwa mtu mjuaji wakati akili yake aijui yuko wapi🎉🎉🎉
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂Huyo anomuhoji anaogop kwa kweli 🙏🙏🙏Honger mama kwa ujasir
@hamadathuman6939
@hamadathuman6939 2 жыл бұрын
Kweliii nilifikirii ni mimiiii
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf 2 жыл бұрын
Dah,,mbona kama kaweka ugolo lakin😂
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 2 жыл бұрын
Dada unaweza kweri pamoza Sana 🙌
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 2 жыл бұрын
Grace napenda sauti yako alafu ww mzuri
@martinokello2793
@martinokello2793 2 жыл бұрын
daaaaah jman daz baba akiulzanajbu tofauti na anavoulizwa jmn nmpendaa dazbabaa mpka leo but kwa nn kawa ivoo jmn
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Жыл бұрын
Daz amearibika Sana !!!! Yani madawa Na Bange imemuaribu Sana !!! Nilikua namfuatilia Mwamba toka nipo Shule ya msingi Adi now
@abdullhafidh2663
@abdullhafidh2663 2 жыл бұрын
Mshkaji namkubali sana huyu Daz baba ktk kigongo cha Wife akiw na mangwear
@dariuskasitu5594
@dariuskasitu5594 2 жыл бұрын
Daaha daz baba jamani huyu msanii ana kipaji sana bangi sio pw
@aladinho1352
@aladinho1352 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 kuna kautetezi kidogo kwenye bangi Daz Baba bana 😅😅😅😅😅
@georgesikazwe5914
@georgesikazwe5914 2 жыл бұрын
Good interview daz...elimu dunia 🙌🏻
@bolotz1943
@bolotz1943 2 жыл бұрын
Vp bobu
@righitkileo
@righitkileo 29 күн бұрын
Da! Jamn maisha ni kuamua au kuchaqua. Hawa walikuwa wasanii wakubwa na walikuwa na mashairi. Hatar sana yaan maskin sio Daz baba yulr
@mooh9saalim137
@mooh9saalim137 Жыл бұрын
Daz unajua maisha kwa kila m2 magumu ila tunatamani kazi na sauti akoo pamoja#Daz baba #pemba island
@OmariRashidi-ly3ze
@OmariRashidi-ly3ze 3 ай бұрын
Duuh namkubali sana huyo jamaa❤
@ik3934
@ik3934 2 жыл бұрын
Mondo noma, mwamba kanyauka sanaaa aisee!
@allymnali4918
@allymnali4918 2 жыл бұрын
Wandishi someni...Hakuna mtu mwenye Ras😇😇😇
@jumamwandai3941
@jumamwandai3941 2 жыл бұрын
Dah apo ni ana taarifa ya interview nd kapendeza full set dah namuonea hadi huruma asee 🙌😓 dunia hii jmn 😫😭😫 jamaa kachokaaa.!!!! Wasanii mastar... Msaidieni uyu jamn 😭
@user-li2kv7uy3t
@user-li2kv7uy3t Ай бұрын
Uwezi kumuelewa dazi mpaka huwe kwanza unajielewa kuna maswali mengine sio ya kumuongelesha mtu .... Maisha ya msanii ni sawa na Maisha ya Mtu mwengine tu
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
😭😭😭daz baba kweli wakua hiv maisha yan kwenda kasi sana
@rajabukhamis467
@rajabukhamis467 Жыл бұрын
Kwanza pole sana dada leo nimeamini kama waandishi wahabari mnakazi ngumu sio kwa maojiono ayo nauyo mwamba 😂😂😂
@babusadala5732
@babusadala5732 2 жыл бұрын
Ngada ....🌿
@nuromussa9926
@nuromussa9926 2 жыл бұрын
Mozambique tugonge hapa!
@jumaabdala7530
@jumaabdala7530 2 жыл бұрын
Duuuuh😃😃😃Kama unapenda Bifu kangalie Urusi na Ucreni ufulahi kiswazi
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
Mwandishi: umeshawahi kutumia madawa ya kulevya? Dazbaba: Aaah no labda wewe sijawahi 🤣🤣🤣🤣🤸‍♀️🤸‍♂️🤸
@salmakhan0092
@salmakhan0092 2 жыл бұрын
Nimecheka🤣🤣🤣
@zebidahlawrence9419
@zebidahlawrence9419 2 жыл бұрын
Dah 🤣🤣
@luqmanmbwambwa7127
@luqmanmbwambwa7127 2 жыл бұрын
daaah ndumuuu ety labdaa wewe
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 2 жыл бұрын
😂😂😂 kweli labda ndugu mtangazaji anatumia hayo mavitu
@user-yt5wl6bi4i
@user-yt5wl6bi4i 12 күн бұрын
Daz unaniumiza sana dah😢😢😢😢
@pilatoonlinetv9660
@pilatoonlinetv9660 2 жыл бұрын
Duh !! Kweli tabata kama huyo ndo mwalimu wenu wa mashwart na kongfuu, aloo watoto wa manzese wakija na raisi wao ney wa mitego Tabata yote itakuwa mateka kwa dk 10. 😂😂
@semenitheclassic
@semenitheclassic 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣😭
@amosmark8086
@amosmark8086 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣 dah
@georgematahimba5242
@georgematahimba5242 2 жыл бұрын
Huyu jamaa kapinda.
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 жыл бұрын
Ganja inazingua sana
@salamanauthar480
@salamanauthar480 2 жыл бұрын
Jamani alomuona Zahir hapa anipe like
@maximumtvonline
@maximumtvonline 2 жыл бұрын
Daah
@abasilihundu200
@abasilihundu200 2 жыл бұрын
Mbona anafanana na Dogo Janja 😄😄😄😄
@inocentgalinoma9544
@inocentgalinoma9544 2 жыл бұрын
Baba ake...🤣🤣🤣🤣
@maxjofrey70
@maxjofrey70 2 жыл бұрын
mi nanyumba zangu lakini apa nakaa kwa baba😂😂 alafu apatusiongelee kuhusu family tuongelee music tu😄 Jamani wana simba hii kitahalam mnahii taje 🤣🤣
@safinamalero3971
@safinamalero3971 2 жыл бұрын
Bench la ufund
@safarimallya4536
@safarimallya4536 2 жыл бұрын
Bench la ufundi
@jesuslove2205
@jesuslove2205 2 жыл бұрын
Kitahalam mnahiitaje
@emmanuelmbelenzi3077
@emmanuelmbelenzi3077 2 жыл бұрын
Cap suluu
@dastopadady2402
@dastopadady2402 Жыл бұрын
Jiamina yatakuw sawa ukiitaji kuwashinda fanya kazi waoneshe kwavitendo😊
@Michael12372
@Michael12372 Жыл бұрын
Dah
@angelrukyaa5598
@angelrukyaa5598 2 жыл бұрын
Mdada anajua sana kuhoji
@joanithamwaudama9928
@joanithamwaudama9928 2 жыл бұрын
Mnoooo
@hafidhali4336
@hafidhali4336 Жыл бұрын
Hahahah nimecheka sana
@bernadinodnawe184
@bernadinodnawe184 Жыл бұрын
At least, he recognizes angels guide him.
@juniornamao527
@juniornamao527 2 жыл бұрын
Daaaaah😭😭
@issazalala4907
@issazalala4907 2 жыл бұрын
Brow hayupo Sawa
@magorimagori9264
@magorimagori9264 2 жыл бұрын
Huyu jamaa ana shida...apewe msaada
@Atb300
@Atb300 2 жыл бұрын
Kitasa uyu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@julianajacksoni4275
@julianajacksoni4275 2 жыл бұрын
Hahahaha kuna watu ukiwaoji usipokua makini unaweza kupigwa..jamaa ayuko sawa huyu
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣wewe
@nigamo9645
@nigamo9645 2 жыл бұрын
Kwa kweli
@MrNdanguza
@MrNdanguza 2 жыл бұрын
😂😂😂aisee bongo kweli bahati mbaya
@omaryteddy62
@omaryteddy62 2 жыл бұрын
Elimu dunia Ina tuludia wenyewe mungu tulinde utupe mwisho mwema
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 Жыл бұрын
Pombe hazijawahi niathiri..ila maneno ya watu ndio huniathiri....jamani tuwe makini na maneno, ni sumu mbaya sana, maneno yanaumiza
@Football-cl2hj
@Football-cl2hj 2 жыл бұрын
Sahir uyu dd kaolewa?
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Жыл бұрын
Amesha changanikiwa Uyo namtangazaji upo vzr Sana Kwa interview
@clementselestine5308
@clementselestine5308 2 жыл бұрын
Enzi zako ni hatari,lkn makundi mabaya ...ulikuwa poa sana.
@slimbaj3148
@slimbaj3148 2 жыл бұрын
👩🏿‍🦰: Umeshawai kutumia madawa ya kulevya.? 😎: Aaah labda wewe..
@kelvinmwakajumba1546
@kelvinmwakajumba1546 Жыл бұрын
Aaaaaaaaaah daz anaweza kukaa na kichaa akamwelekeza na kichaa akamwelewa
@loxlox150
@loxlox150 2 жыл бұрын
Lafiki yangu unalewa saana unashika ndala mkoni yani ile siku nimekuona nilishikwa nabutwaa daz unalewa saana ulikuwa segerea mitaani ulikuwa ovyo punguza pombe
@njonjolomahfudh3238
@njonjolomahfudh3238 2 жыл бұрын
ETI ANJAMU🤣🤣🤣🤣🤣
@AllyMKUMBA-gd2ti
@AllyMKUMBA-gd2ti 2 ай бұрын
Haaaa ❤❤
@jumamwandai3941
@jumamwandai3941 2 жыл бұрын
G mill mill 💥
@mauwarashid4823
@mauwarashid4823 2 жыл бұрын
kazi_mnzuri_jamani maojiano_mazuri_
@dullahsimbaulanga6472
@dullahsimbaulanga6472 2 жыл бұрын
>>>>Dah Labda ww me Sijawah Kutumia 😂
@abdyleluu9051
@abdyleluu9051 2 жыл бұрын
Yah man nakuelewa daz znz
@barakastephano8996
@barakastephano8996 2 жыл бұрын
Hahaha naona mdada tayari ushaanza kumhoji kwa uoga daz baba kutokana na ukakisi wake
@slimbaj3148
@slimbaj3148 2 жыл бұрын
👩🏽‍🦰; kitu gani maishani mwako umewai kufanya na unajutia mpaka saizi. 😎; mi nawajutia wanaonisema vibaya tu 😎
@jescajohn6619
@jescajohn6619 2 жыл бұрын
kubali tu braza umechoka, unahitaji msaada
@plusabracadabra5166
@plusabracadabra5166 2 жыл бұрын
Hanjamu gani katika pombe na Sigara 😇😇😇so sad
@user-pf5gg5gk6i
@user-pf5gg5gk6i 8 ай бұрын
Mbona kama akili haipo poa...acha drugs u're big..choose drugs or good future
@frankbuya5339
@frankbuya5339 2 жыл бұрын
Daaaaah mwamba kachoka
@loner_wolf
@loner_wolf 2 жыл бұрын
Rasta na dreadlocks ni vitu tofauti ..... Bob marley ndio rasta , hawa wengine wafuga nywele tu ..... Ifahàmike hivyo
@mahadiaomary1056
@mahadiaomary1056 2 жыл бұрын
Daaaah sjapendaa
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Vishungi au dreadlocks mtu yeyote anaweza kufuga lakini Je wewe unafahamu maana ya rastafarian ?
@abdallahpesa1456
@abdallahpesa1456 2 жыл бұрын
Jamaa dishi lishayumba aulizwa A anajibu B
@jeradkanyuru5745
@jeradkanyuru5745 12 күн бұрын
Sii.aliimba..nimesha..kuwa..mukumba..naitaja..murembo..wakuishi..na..mimi
@jacklinmasawe2697
@jacklinmasawe2697 2 жыл бұрын
Jamani mperekeni soba jamani kuzeeka sana awiiiiii
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@emmanuelnyakatai7311
@emmanuelnyakatai7311 2 жыл бұрын
Duh!.. Sasa huyu dazi mbona kaisha Sana ase. Namuona km ni mlevi fulan ivi..
@jumaabdala7530
@jumaabdala7530 2 жыл бұрын
Mmmh🤔🤔🤔pole
@dianaalfredy3790
@dianaalfredy3790 2 жыл бұрын
Kweli mwanamichezo
@emanuel1269
@emanuel1269 2 жыл бұрын
Uokoke Daz B ayo sio maisha
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 жыл бұрын
Sasa anaongea kwa mikwala😁😁😁😁
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 жыл бұрын
Maskini kumbe ndio ulivo kwa ss mrudie mola wako fanya ibada kaka umechoka sana
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 2 жыл бұрын
Mdhamini gani atupe pesa ake Kwa hii hali
@nigamo9645
@nigamo9645 2 жыл бұрын
Majibu yake tu me hoi
@glorified6045
@glorified6045 23 күн бұрын
Nilijua alishapata wife wa kuish nae
@shkjumaa8339
@shkjumaa8339 2 жыл бұрын
mtangazaji unauliza embe kibada,,,,haaaa hahaha LABDA WEWE
@alijafar9098
@alijafar9098 2 жыл бұрын
Lil Wayne
@Gideonnaire
@Gideonnaire 5 ай бұрын
Huyu sio pombe tu, unga pia unamsumbua. He needs help
@lovvy854
@lovvy854 2 жыл бұрын
Dazbaba kapiga ma Ganja yaani kajimixxx snaa Hadi anajibu maswali opposite way😂🤣🤣🤣
@slicehamfrey3504
@slicehamfrey3504 2 жыл бұрын
Mhhh anatisha
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 2 жыл бұрын
Rasta wap usenge tu
@shd12m55
@shd12m55 2 жыл бұрын
Hapo ni kwa dazbaba au ni kwao
@tonnyofficial6772
@tonnyofficial6772 2 жыл бұрын
kwao
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 2 жыл бұрын
Kazeeeka🤣🤣🤣
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Hakuna atakae kuwa Kijana milele
@babesangarefans6983
@babesangarefans6983 2 жыл бұрын
@@shamsaalrahbi5573 Kabisa
@sugarthompson9369
@sugarthompson9369 2 жыл бұрын
Nyama huli lakini una uwa watu jmn 😄😄😄
@amirintangi3692
@amirintangi3692 2 жыл бұрын
Jamaa yupo sirias sana🤣🤣
@najimahgomez3334
@najimahgomez3334 Жыл бұрын
Mmmm choka kk ee
@dyangwe
@dyangwe 2 жыл бұрын
😁
@andrewwagine3639
@andrewwagine3639 2 жыл бұрын
Anaitwa daz baba sio dàz nundaz
@wazirmlogi7532
@wazirmlogi7532 2 жыл бұрын
Kawa teja kbs na dalili zote za kukata tamaa na maisha
@peterodilo5253
@peterodilo5253 2 жыл бұрын
jaman bange siyo Chai yaani mtoto mkali Kama uyo unamwambia nipe Tano👊 dah🤣🤣🤣
@jumamofu9573
@jumamofu9573 2 жыл бұрын
Wazamin mzaminii huyu labda bangi ataacha dah ganja bana kamanda umepotea Kwanza hapo upo gongo nyingi
@faustinemdemu-mi5jw
@faustinemdemu-mi5jw Жыл бұрын
Wasanii msaidieni uyu jamaa nikapaji
@allan3723
@allan3723 2 жыл бұрын
Ras Yuko kwenye Dunia Nyingine
@blacknesaya744
@blacknesaya744 2 жыл бұрын
Tizi Raman hapo Yan hamna kitu hapo 😀
@happynelson1136
@happynelson1136 2 жыл бұрын
Halafu huyu kwenye mahojiano awali alisema mama yake kafariki dah kama ni pombe tu angekuwa na shavu dodo maana bia inanenepesha
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf 2 жыл бұрын
Inategemea pombe gani af bangi na hali vzuri,,mtangazaji amajaribu aisee sio rahisi
@felistamfugale7472
@felistamfugale7472 Жыл бұрын
Cyo mama Ni baba ake ndyo aliefariki
@Official83640
@Official83640 2 жыл бұрын
Jaman Soba mmebebe huyu maana dah kajua kuharibika aisee
@lavatz
@lavatz 2 жыл бұрын
Zaman mzikii haukuwalipa san daa
@mazibaonesmo3128
@mazibaonesmo3128 2 жыл бұрын
dazi pambana na mziki:::
Mpaka Home MAISHA HALISI YA AFANDE SELE NA UTAJIRI WAKE
22:55
Mbengo Tv
Рет қаралды 127 М.
A clash of kindness and indifference #shorts
00:17
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 57 МЛН
Nutella bro sis family Challenge 😋
00:31
Mr. Clabik
Рет қаралды 13 МЛН
LOVE LETTER - POPPY PLAYTIME CHAPTER 3 | GH'S ANIMATION
00:15
DAZ BABA - Huyu Hapa Daz Baba Daz Mwalimu | Amefunguka Yote - Part 1
28:09
MWENDA,KIBU DENIS SABABU ZA KUTORIPOTI KAMBINI ZAMSHTUA KAMPISTA
13:14
Maximum Tv Online
Рет қаралды 8 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode/15/ #love
50:40
BabaJoan
Рет қаралды 287 М.
#LIVE MIZUKA YA DAZ BABA KWENYE HESHIMA YA BONGOFLEVA
16:08
EastAfricaRadio
Рет қаралды 4,4 М.