DULVAN AVAMIWA STUDIO NA MWANAMKE ALIYEMPA UJAUZITO

  Рет қаралды 501,252

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 734
@christophermsekena616
@christophermsekena616 3 жыл бұрын
Watu wanajenga brand zao kwa gharama kubwa sana harafu mtu mmoja mjinga mjinga tu nakuja kuibomoa sekunde moja, pole sana Dully
@catherinekisandu1492
@catherinekisandu1492 3 жыл бұрын
Uy dada mpuuzi sana tyu
@rehemakasebele7240
@rehemakasebele7240 3 жыл бұрын
Wanatafuta umaalufu kupitia mastaa alee mimba tu
@rehemakasebele7240
@rehemakasebele7240 3 жыл бұрын
Amuache dull van wetu
@nancymwangi6455
@nancymwangi6455 3 жыл бұрын
Na vile nampenda dullvan😍😍
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 ай бұрын
Mwanangu kama anakataa mbimba aachana Naye,mara unaambiwa mtoto ni wa mama. Na Wala sitoe mimba hiyo wezi jua ntoto baadae atakuja Kuwa nani hapo mbele . Pole mwanangu
@damarisogoti316
@damarisogoti316 3 жыл бұрын
Mbona huyo dada anaonekana km kamalaya fulani najua 😳😳🤣🤣
@happyrems205
@happyrems205 3 жыл бұрын
Dulvan pokea tu matokea m mdogo wangu mim napendaga sana kitmtim usituangushe
@esthermuthoni3763
@esthermuthoni3763 3 жыл бұрын
Mwanamke mwenyewe hata hana sura! Hamfai kabisaa Dullvan
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 3 жыл бұрын
Dula vani na uyo dada mapichatu wote mabinti
@gamatajr3699
@gamatajr3699 3 жыл бұрын
Diva wewe! Mungu anakuona kwa kutufanya wapuuzi. Jaribu kufanya program yako iwe ya maana bwana acha kutuletea maigizo ya jukwaani. Tunamkumbuka sana Diva wa Ala Za Roho... Yuuu wapiiii???
@mcpaulmkopa4798
@mcpaulmkopa4798 3 жыл бұрын
Tafuteni namna ya kutengeneza uwiano wa mahojiano, kabla hamjamleta huyo dada hebu muulize muhusika unamfahamu fulani then ndio uwaombe kuwakutanisha...... Wasichana wa Sasa wamepagawa maisha magumu Sana kipindi kinakuww Cha uchonganishi sasa
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 3 жыл бұрын
Usikute ni kiki, hii c kweli Diva asingemruhusu huyu mwanamke aje moja kwa moja studio za wasafi, watu wa habari nao Wana maadili Yao eti
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
Waandishi wa habari nao wanatafuta kik jinga hawa😠
@jenipherj2456
@jenipherj2456 Жыл бұрын
Divaaa leo akili yangu ndo imekaa sawa sasa, hapa ulimuonea Dullyvan dada mwenyewe kumbe ndo huyu hahaha
@rajimadope6465
@rajimadope6465 2 жыл бұрын
Nyie wasafi hususan hiki kipindi cha diva tutawachoka mnapenda Sana kitengeneza interview. Kipindi kinageuka Kama maigizo sasa. Achen hizo mambo
@shabanmakata7329
@shabanmakata7329 3 жыл бұрын
Kikiiiiii, halaf Dem hajui kujieleza, mnatuboa tu
@zachbula624
@zachbula624 2 жыл бұрын
Dulvan umenichekesha balaa!!
@rym5767
@rym5767 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisaaaaaa😃😃Kuna kimeonekana kashangaaa sana 😃kaongopa mhao
@evandosimboro1364
@evandosimboro1364 3 жыл бұрын
Mhhhh mbona dull van anaonekana kama hamjuinkweli jamani 😂😂😂😂😂
@maryamtan682
@maryamtan682 3 жыл бұрын
Icho kipindi si kipo usiku ndo maana kaamua kuvaa pajama moja moja.
@mahmoudma5930
@mahmoudma5930 3 жыл бұрын
Ah kumamazenu acheni Kiki za kisenge matako nyinyi 😃😃😃😃😃😃
@keifatuke99
@keifatuke99 Жыл бұрын
Huyu dada alimsingizia Dullvan,nimelowa nimelowa wa Harmonize
@mr.pilipili5289
@mr.pilipili5289 3 жыл бұрын
Da Diva ujue mzinguaji dem kashoboka na umaarufu dullvani kastuka Ahahaha🤣🤣🤣
@asiamikidadi3835
@asiamikidadi3835 2 жыл бұрын
Huyu si ndo yule dem amelowa wa harmonize au 😳🤣🤣
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Hii dunia...😀😀😀😀 yaani mwanamke Muongo huyu...
@neemazee1864
@neemazee1864 3 жыл бұрын
Dulvan wew mpole au kitu gani... Adi unaboa
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 3 жыл бұрын
Kasichana kamalaya kalitegeshea mimba. Kuzaa lzm mkubaliane wote wawili inaonyesha maamuzi yako. Watoto wetu wa like kulala na mwanaume siyo kubeba mimba vya kujikinga vingi. Sasa Hilo unalo msichana 🔥🔥
@naimakombo4576
@naimakombo4576 3 жыл бұрын
Pelekesha Ukoooooo Iv mimbaaa hiziii unazan unaweza kuzipangia
@sashabaya1770
@sashabaya1770 2 жыл бұрын
Mtaka yote hukose yote hongera dada Kwa tamaa yako haaa c ungebaki tu na mahusiano yako watu wengine bana....
@nataliatheo4875
@nataliatheo4875 3 жыл бұрын
Nani mwingine yuko hapa kwa kusoma comments 😅😅😅😅
@Binladen48
@Binladen48 3 жыл бұрын
Dulvan mbona dada ni mzuri tu jaman Lea mimba mungu hapendi
@Maz-4000
@Maz-4000 3 жыл бұрын
Diva was suppose to ask for evidence to verify her story
@blessedemily3652
@blessedemily3652 3 жыл бұрын
Diva is trying so hard
@restkalemile5274
@restkalemile5274 3 жыл бұрын
Huyu Dada diva Yuko sensitive sana na Kaz yake.... Huwez amini huyo Dada na dulvan hawan kabisa mahusiano na ni kweli kabisa dulvan hamfaham ila huyo Dada diva ndo alimpanga kunogesha kipind.. Kwa ufund ni trick ku make a tension kwa watu wafatlie hii story.
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 2 жыл бұрын
@@restkalemile5274 tulia mzee acha kuongea kwa hsia zako binafsi .kwanza nikwambie mm namfahak vzr dully na huyo aliwah kua mwanamke wake na alimpa mimba kweli na kama ww ni unawez kusoma picha angalia reaction ya dully kipindi dem anaingia Yan kama dully alisema hamfahamu hermonize dully alisema hamfahamu jaymond na unamtetea khaaaaaa.......oya ww humjui dully tuulize sis tunae kaanae dully anakukana macho makavu kabisa yani yan nmeshangaa kumtetea dully hv unayajua matukio yke anafanya na anakana hapo hapo muulize chatomandota ndo anamjua dully alimfanya nn na.akakana
@tonygee5680
@tonygee5680 Жыл бұрын
Yaani jama kavaa nguo za kulalaa 😮😮😮omg wabongo
@georgejeanlouis8638
@georgejeanlouis8638 3 жыл бұрын
Ushahidi dada unatakiwA kusema ana kovuuu kweny tako lakushoto ....au ana lii nundu kwenye .............. U feel me 😂😂😂😂😂😂😂😂
@johnsonmosha4303
@johnsonmosha4303 3 жыл бұрын
Dullvan anajua aisee mpk kwny serious issue bado anachekeshaaa
@mrdaniel5223
@mrdaniel5223 3 жыл бұрын
Ila wasafi nyiee Mungu anawaona... hivii vitu vyote mmetengeza tu
@Ryoof-qo7if
@Ryoof-qo7if 3 жыл бұрын
Umeona
@chollejr_
@chollejr_ 3 жыл бұрын
🤣🤣ila nyieeeee....dulvan kakoswa poziiii kwanza diva hii tabia ya kutuktansha na vioja kama ivi
@fanjafanja4022
@fanjafanja4022 3 жыл бұрын
Yaaan hii redio aina cha maan zaid ya kiki tu NA ww mbuz unasem una mimba yaan mwezi 4 adi wa 7 ukabebe mimba alikwambia anatak mimba kiki izo maan maongezi na macho tofa uti
@aminachingwalu2850
@aminachingwalu2850 3 жыл бұрын
Unaharibu intav Zak kwa kukutanisha watu hoji mtu kulingana na history ya mtu na mahusiano yake ya nyuma sio kukutanisha sio ishu unaharibu majina ya watu iko siku watu watashikana hayo mambo waachie shila wadu
@amoskija6577
@amoskija6577 Жыл бұрын
🤣🤣huyu si ni Sophia video vixen wa harmonize amelowa
@magrethmkira6250
@magrethmkira6250 10 ай бұрын
😂😂
@jinikisirani7928
@jinikisirani7928 6 ай бұрын
Hahahaha
@aminangombe8815
@aminangombe8815 2 жыл бұрын
Pole dullvan uyo chizi
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 2 жыл бұрын
uki achwa achika naww dada zaa lea mtori wKo maisha ya endelee
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 3 жыл бұрын
Mimba Gan tena s tulikubaliana wewe n mama chogo😂😂😂 sema hyo movie inayotoka n kali
@elibarikiyohana2371
@elibarikiyohana2371 Жыл бұрын
Huyu mbona Sophie wa amelowa😂😂😂😂
@davidbahati8327
@davidbahati8327 3 жыл бұрын
Diva unavyofanya ni vzur mno kwa style ya kukutanisha watu studio ila itaboa Kama ni Kiki, plzzzzzzz tunaomba ziwe ni true story, tafit kwanza kusanya ushahidi utakaokulizisha then wakutanishe studio zisiwe Kiki kipindi kitaboa mno, ziwe ni true story tu apo utafanya kipindi chako kiwe juu mawinguni koz wabongo wengi tunapenda ubuyu.
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 3 жыл бұрын
Vanii vaniiii jmn dada kijach tuache kwanzaaa mnatukuzishaaaa bureee
@lazarosamweli5730
@lazarosamweli5730 3 жыл бұрын
Ishia apo divaa izo ni feeling za watu achana na maisha y watu ata akikubr dulvan atampenda uyo mtoto .fight kwa kudisign vitu vingne
@hatibukhamisi133
@hatibukhamisi133 3 жыл бұрын
Uyo dully van mwenyewe Gash pela
@roedaniel4807
@roedaniel4807 3 жыл бұрын
Sikujui iiii😂😂sema huyu dada ni muongo
@kaismbwana9136
@kaismbwana9136 3 жыл бұрын
Dulivan unataka kutoa nyimbo gani tena maana sio kwa kiki hii naomba nikisie hii nyimbo itaitwa #MAMA KIJACHO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sylviaqatarqatar8361
@sylviaqatarqatar8361 3 жыл бұрын
Mbona rangi ya midomo sawa 😁😁
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 жыл бұрын
Uyo dullvan kavaa nguo za kulalia
@eglahjason6558
@eglahjason6558 2 жыл бұрын
Nakupenda san dadang nataman one day niwe kam ww
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 3 жыл бұрын
Diva amemkosea dulvani. Km angetaka kumuona angetafuta Huyu dada. I didn't like this coincidence 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡 sorry ya nn diva firdaus from UK🇬🇧
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 3 жыл бұрын
Polen na Kipigo 🇮🇹😁
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 3 жыл бұрын
@@abdulraufmohammedsalum6806 haswaaaa 🙄🙄🙄🙄
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 3 жыл бұрын
@@firdaussheikh4817 hhhhh upo mji gn
@leilaadaza9858
@leilaadaza9858 3 жыл бұрын
@@firdaussheikh4817 no fair hawajatumia hekima
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 3 жыл бұрын
@@leilaadaza9858 kabisaa lakini diva ndio kazi yake ila wacha tu dada wa taifa aingilie 😁😁😁
@yussufhussein1954
@yussufhussein1954 3 жыл бұрын
Fashen nyengine nazo we duli van iyo nguo siyakulalia ww aaa jamani
@merryabiaza711
@merryabiaza711 3 жыл бұрын
😂😂😂 mtoko wa usiku jaman
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 3 жыл бұрын
Ndo ivyo ata na mm nimemwambia🤣🤣
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Hahaha 😂😂 🤣🤣😂😃😂😂🤣🤣 duh 🙄🙄🙄
@ramearfe9509
@ramearfe9509 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ramearfe9509
@ramearfe9509 3 жыл бұрын
😂😂😂
@magrethkihiyo6414
@magrethkihiyo6414 3 жыл бұрын
Ww dada sio mwaminifu, ww n malaya
@nedmonad1175
@nedmonad1175 3 жыл бұрын
Duvn vibaya ivyo
@fairamkhan4744
@fairamkhan4744 3 жыл бұрын
ila haya mambo ni kuaibishana wallah unaweza muita mtu na akagoma kuja kama ndo ivo yani mnaharibu brand ya mtu🙆🙆
@mosamossile9113
@mosamossile9113 3 жыл бұрын
Nyoooko Nyie mtajuwana wenyewe
@ferdnandphilimonntunda3704
@ferdnandphilimonntunda3704 3 жыл бұрын
Duur hapo dulvan amepatikana kwel kwel
@queentermboka495
@queentermboka495 3 жыл бұрын
Dada Diva huna experience kushughulikia issues kama haya...maoni yangu
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Ajulikani dada, muache tamaa kutaka wasanii wakat mna watu wenu nyooooo!!! Boya we daaaa pumbav
@tiktoktanzania2832
@tiktoktanzania2832 3 жыл бұрын
Dullvany anaoneka kama hamjui mbona
@prinsecmerryprinsec3059
@prinsecmerryprinsec3059 3 жыл бұрын
Eti kwa nini anikatake😀😀 uliacha mahusiano yako kisa tamaaa pambana😂😂
@chuchudodo8315
@chuchudodo8315 2 жыл бұрын
Huyu Sophy amelowa🤣🤣🤣🤣
@rahmaomary5045
@rahmaomary5045 Жыл бұрын
ni yeye kipind icho alikua akijulikaniii kiivyo
@davidmwango9388
@davidmwango9388 3 жыл бұрын
diva na wasaf media mumuombe msamaha dilvan mwisho wa siku watu watakuwa wanaogopa kuja kwenye interview kwa kuhofia mnachokifanya
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Wanajuwana hao wanafutata kiki tu we subir tutaskia yanayokuja km ya love love na Diva
@omarcarlos4595
@omarcarlos4595 3 жыл бұрын
Ila hongereni kuwa wabunifu
@shukranikasereka716
@shukranikasereka716 Жыл бұрын
What was the end now? Ilikubali mimba ao ilikuwa uongo tu ? 🇨🇩👈
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 жыл бұрын
Nakwambiya tz vituko haviishi ona ilo jicho la dulvany uta 😀😀
@D_beauty1
@D_beauty1 Жыл бұрын
Ilinibidi nirudi youtube kuja kuhakikisha kweli kama ni sophie amelowa au laaaa!!!😂😂😂uyu mwanamke mkaushi Nyie🤣anajua kuyatafuta maishaa 😂
@alain2139
@alain2139 3 жыл бұрын
Kiki tena jamani, yaani Dullvani naye anataka tosha nyimbo
@jennyjk4093
@jennyjk4093 3 жыл бұрын
😂😂
@makambapromise3495
@makambapromise3495 3 жыл бұрын
😆😆😆😁😁
@wamoroboy8963
@wamoroboy8963 3 жыл бұрын
😂
@wisperfect5320
@wisperfect5320 3 жыл бұрын
😂😂
@hassanmapenzi6188
@hassanmapenzi6188 3 жыл бұрын
O
@zabibuamissi1141
@zabibuamissi1141 3 жыл бұрын
Yatakuwa ya Lava lava na Lulu diva
@rachelmliwa9830
@rachelmliwa9830 3 жыл бұрын
Hayo macho ya Kaka mwigizaji
@thresherjordan6829
@thresherjordan6829 3 жыл бұрын
Kmaa kwel kadadaaa kan tamaaaa yan kisa super comedy star🤣🤣🤣🤣tuachen umalay tutatombwa mpakaaa 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 Жыл бұрын
Mbona huyu did ni kijikomavuuu tofauti na huyu kk dulvan
@storytownTv
@storytownTv 2 жыл бұрын
Dully vanny Kama vile Yuko mahakamani..😁😁🤣🤣
@jumahassan273
@jumahassan273 3 жыл бұрын
Hii radio mnaiyaribu ushauri msiifanye kama mnatazama wenyew sawa ila kama na sisi tunatazama mnaenda kuaribu hii
@mohamedsheealom8745
@mohamedsheealom8745 2 жыл бұрын
Umelala nae mara nyingi tu na umeachana nae jee mimba ya miezi mingapi hio🤣🤣🤣haya twambie alama ya dulvani ako nayo unaijuwa akivaa pant waiona 🤣sije leta kiki za kifala kipindi kifane but hata hakijafana kimeharibika🤔
@eltonngenda
@eltonngenda 3 жыл бұрын
😂 Hiki kipindi kina balaa lake 😂😂 Diva anachomoa battery tuu 😂😂🧨🧨
@esperanceniyonkuru1618
@esperanceniyonkuru1618 3 жыл бұрын
Mbona mumeshi kwa kiki hivo jamani
@johnjoseph3773
@johnjoseph3773 3 жыл бұрын
Wasafi mnazingua how comes watu wanafumaniana studio!😂😂😂😂
@yassinlisa6168
@yassinlisa6168 3 жыл бұрын
Imagine
@majengomajengo1347
@majengomajengo1347 3 жыл бұрын
Dullvani acha dhambi da diva hee nilimuona dullvani na uyo dada kidimbwa anamjuaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😃
@reneejollie5117
@reneejollie5117 3 жыл бұрын
Yeye ndie mwenye mimba watu wawili wamelala Pamoja utawajua tu so take your responsibility for your pregnancy
@sophierseyyd1162
@sophierseyyd1162 3 жыл бұрын
Uyo dully sasa 😂😂😂😂 et usinishike
@bantonyjustin7642
@bantonyjustin7642 3 жыл бұрын
Yan ata dullavan amesuprise n kwel amji Yan dah ata mm nmeshangaaa jmn wa dada muwe mnatafuta watu wa kuwasingizia saa dullavan jmn
@blackcolour8183
@blackcolour8183 3 жыл бұрын
😂😂😂eti jamani mtu anamnyari kabisa🤣🤣🤣
@erickothegreat8353
@erickothegreat8353 3 жыл бұрын
Hiyo DM nini !? Kumbe ni sehemu flani hivi ya kupatapo...
@theblessedone7526
@theblessedone7526 3 жыл бұрын
Nguo gani dulvan amevaa jamani. Wanaume wanaisha kwa kweli
@Zainab_salat
@Zainab_salat Жыл бұрын
Ya kulala
@Safibritney15
@Safibritney15 3 жыл бұрын
Diva anajua kutengeneza movie kabisa😂😂
@qocalphillip9671
@qocalphillip9671 3 жыл бұрын
Wasafi mnazngua kinoma saiv kila kitu mnatengeneza kuna vitu viko waz kua uyo dada kapangwa na anashindwa kujielezea kuen real samtime
@officialdana5114
@officialdana5114 3 жыл бұрын
Dulvan mbwa uyo anajifanya hamjua akati kaingia 2 dulvan aka change
@rayyanabdallah8343
@rayyanabdallah8343 3 жыл бұрын
Diva watu wataanza kukimbia interviews zako
@leahkidugo1089
@leahkidugo1089 2 жыл бұрын
Duuuuh MA boy dullvan unayumb an
@debraholwal5069
@debraholwal5069 3 жыл бұрын
Evidence ya mahusiano ipo wapi?
@elizabethsakina2306
@elizabethsakina2306 3 жыл бұрын
Diva anaharibu iki kipindi last time ilikuwa luludiva na lavalava
@k4mlokole588
@k4mlokole588 3 жыл бұрын
Mnaharibu vipindi kwa ujinga ingekuwa kweli msingeruhusu aingie on air mkiruhusu watu wanaozozana kweli tungeshuhudia matusi humu
@mzozofilmproductionm-f-p1744
@mzozofilmproductionm-f-p1744 3 жыл бұрын
Jamani wakubwa tushaelewa huyo mdada na dulvan wamejigijigi hao dull asikatae
@naummwongeli3872
@naummwongeli3872 3 жыл бұрын
Mmm kwenda kabisa wewe ni mama unataka kijana mdogo upeleke wapi....we ni mwanamke tangatanga kijana alikua anataka kukuhoja tu
@paschazianyerere8276
@paschazianyerere8276 3 жыл бұрын
Dulla kamuangaria kwa jicho la mama chogo
@rahmasalim6964
@rahmasalim6964 3 жыл бұрын
dulivani kaingia baridi kweli kweli kama kinda kamyeshewa😂
@felisteredward3630
@felisteredward3630 3 жыл бұрын
Jmn wanamwonea dullvan
@lastborn7810
@lastborn7810 3 жыл бұрын
Huyu demu mbuzi sana akhaa alitaka kua na dully ili apate kujulikana kama kina zari😆😆😆 ndo mana kaachana uko na bwana ake
@shrefa123moosa7
@shrefa123moosa7 3 жыл бұрын
😁😁😁Wanwake sikuhizi tunakwama wapi mbn hivyo ss mapenzi yakumlazimishana hayo veeep jmn dah
@bakariahmed4227
@bakariahmed4227 3 жыл бұрын
KIKI... KIKI... KIKI twende nalo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bongo sihami leo wala Kesho
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@nadineshimirimana7483
@nadineshimirimana7483 3 жыл бұрын
😀😀😀😀
@chachabeauty9780
@chachabeauty9780 3 жыл бұрын
Hahahaha
@mwanzashinyanga8060
@mwanzashinyanga8060 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣hii movie au bongo nyie dulvan humjui huyu dada ?
@amisasalomo3179
@amisasalomo3179 3 жыл бұрын
Ni kiki tu 🤌🏾🤌🏾💯💯💯
@pendolymo9354
@pendolymo9354 2 жыл бұрын
Dulvn umevaa night dress
@salem_music_001
@salem_music_001 2 жыл бұрын
Endeleeni kupagawa na maceleb🤣🤣🤣
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 2 жыл бұрын
Mama chogoooo weeeee muelewe mwenzio
DULVAN AWEKA WAZI KUACHANA NA JENIFFER KANUMBA
3:41
Wasafi Media
Рет қаралды 156 М.
SHUHUDIA DULVAN ALIVYOTAKA KUKIMBIA STUDIO / KISA KIZIMA HIKI HAPA
6:01
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
MPENZI WANGU ANANIKERA KWENYE SITA KWA SITA/ TATIZO NIKUMFIKISHA...
11:34
Masifa ya Irene Uwoya Kwenye Harusi ya Didah Amwagia Mapesa
8:41
Ophoro Tube
Рет қаралды 400 М.
KOMBOLELA S01 EP03 of 01
13:49
MAJA LINK TV
Рет қаралды 206 М.
Shekh Kipozeo Kamfungukia WEMA SEPETU Bila Uoga
16:37
BINGO TV ONLINE
Рет қаралды 340 М.