DUNIA IMEISHA DADA WA KAZI ACHUKUA MME WA BOSS WAKE NA UTAJIRI WOTE NIMEFUA HADI NGUO ZA NDANI

  Рет қаралды 1,839

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 14
@alhadajjmohammedsmith9042
@alhadajjmohammedsmith9042 7 күн бұрын
Hayo yapo ila yeye anajishebeduwa tu 🙌 Kama huyo Mwanaume/Mume anae yeye angethubutu Kuja Kujieleza hapo huyo Mume atajisikiaje?! Labda aseme aliwahi Kuzini na Mume wa Mtu/Watu hapo sawa. Ila Umetowa Darsa Kwa Wenye Waume wajielewe, wawe Makini sana Kwa Wasichana wa Kazi.
@rahabukirigiti8514
@rahabukirigiti8514 7 күн бұрын
Mmm unazuri upi ulionao
@FatimatahJensen
@FatimatahJensen 7 күн бұрын
Kijusooo
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 7 күн бұрын
Mwongo mkubwa mdomo kama kambare akutaki nani mbwa wewe' ila unafundisha pia ila mkundu wako hunablolote
@marymbise3866
@marymbise3866 6 күн бұрын
Nyumba yote hiyo ukamuwekee mswaki na maji?hana choo cha ndani?muongo mkubwa sana
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 7 күн бұрын
Huyu kanunuliwa gari? Nyumba ni kumbwa mbona imuandalie maji? Umbelekee mswaki kumanisha nyumba ni kidogo tu choo iko inje, huyu hiyo stori haiendani na vile anavosema kabisa Nyumba kubwa kila kitu inakua iko kwa bafu maji moto nikuwasha tu heater.. kujitamba tu hapa nidawa zimefanya kazi 😢😢
@irenembura8045
@irenembura8045 7 күн бұрын
Kwa sura gani????
@SalmaOthuman-lq2mz
@SalmaOthuman-lq2mz 8 күн бұрын
Woyoooo
@FatimatahJensen
@FatimatahJensen 7 күн бұрын
Huna lolote sura mbayaaa ngozi chafu huyu mume nae mchafu kama wewe
@mukeshimanataussi6939
@mukeshimanataussi6939 7 күн бұрын
Mwanaume.ni mtoto wa mwingine na wewe kesho utatoka kutaingia mwingine aca mbwembwe sasa wewe uko binti? Ulisha acwa marangap8 maana umezeeka
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 7 күн бұрын
Sasa kama boss mama anafuga kucha kwanini atengeneze singo na hawezi kumsinga mumewe ?
@pammymoraamoraa6702
@pammymoraamoraa6702 7 күн бұрын
Huyu ndio mwanaume wake wakwnza? Na kama sio wakwanza alimwachia nini, hakua anamfanyia hayo yote amekuja kufanyia huyu wa Sasa , sifa za video hapa tayari anakaa ashakula chumvi ya kutosha umri imsonga songa
@rahabukirigiti8514
@rahabukirigiti8514 7 күн бұрын
Ww unaongea ujinga tu siku ikifika! Utaondoka tu. Ww mwenyewa hapo umezunguka.mpaka umechoka.nauzee huo unafanya kazi kwa watu hiloo
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
Ful Video ☝🏻☝🏻☝🏻
1:01
Arkeolog
Рет қаралды 14 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН