Mwenyezi mungu atujaalie kuwa miongoni mwa watu wema,
@jafarikaoneka48907 ай бұрын
Allah akuhifadhi na akujaalie mwisho mwema sheikh.
@abdulnasuma97297 ай бұрын
Dr kajenga jina na heshima kubwa sana miaka mingi kaja kuivunja siku moja tu
@zulekhaa68177 ай бұрын
Allah akitaka kumdhihisha mtu anayoyaficha, dakika nyingi huyadhihirisha mambo yake hata km ameshakufa
@IssaNasir-v2e7 ай бұрын
Sio siku moja alikua anafanya chini chini saaa kaona atangaze wazi na sio yeye tu wengi wanafanya
@Sempay-cs9dr7 ай бұрын
Na uyo mkrito anae sema kuwa yeye alijua toka mda mreefu ushilikina huwa ila ukristo umemuokoa ktk watu walio potea yeye ni miongoni mwao
@Sempay-cs9dr7 ай бұрын
Shekhe allah akurinde nami nakusapoti katika hilo dini ni kuacha makatazo na kufuata maamrisho
@Nurudinidaudi7 ай бұрын
Subuhallah sheikh wangu mm mafuatilia saana mawaidha yako ni mazuri na unaelimisha jamii yote nzima kwa ujuma Allah akuhifadhi Allah akulipe thawabu Allah akujaze kila la kheri InshaAllah
@salmafaraj65447 ай бұрын
Shukran ustadh kwa mawaidha mazuri Allah atuongoze waja wake yaarab🤲
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Allah s.w. azidi kukujaalia Sheikh Mwaipopo.
@Nurudinidaudi7 ай бұрын
Sheikh wangu ust wangu ndugu yangu mm nataka natamani nikutane na ww hawa masheikh wanaoudharilisha uislamu waache kwa ajili ya Allah Mungu Allah atuongoze waislamu waumini ukweli inaumiza ww endelea kuisoma haki usiwaogope hao wasiokiwa waislamu manaswara makafiri makuffaru na mayahudi fanya kazi sheikh wangu kwa kadiri uwezavyo InshaAllah
@banyankirubusamarc17277 ай бұрын
mungu wenu ni shetani kwa Nini munamdalau tena alifundisha utamaduni wadini? Huyu muhamadi aliwapoteza, kwanza aliwambia mashetani ni wenzenu kama mashetani ni wenzenu munataka viende vipi ? Dumuni.
@CharlesDaston7 ай бұрын
Ndio Imani inavyotaka kukemea maovu, MUNGU akubariki mwaipopo
@kuluthumuzalari7 ай бұрын
Mwamposa na wachungaji wengine wanatumia ulaghai na mafuta ya kichawi.
@khloevibe75697 ай бұрын
@@kuluthumuzalariunaelewa unachoandika au umekurupuka?
@rashidimasoud5587 ай бұрын
Shukran sana Sheikh Mwaipopo, Dr Sule anaichafua Dini yetu
@issaisandeko62177 ай бұрын
Sikuwahi kujua sheikh mwaipopo ana Imani na mapenzi makubwa na waislam na Uislam
@PieterSelestiane7 ай бұрын
Ongera sana sheikh unaipeleka injili huko huko walipo wahubilie hao Injili inahubiriwa Kwa njia nyingi
Subhanallah yasikitisha sana.. Allah atujalie khudaa.. jamaa hawa maseikh wa maulidi wangalieni sana
@NuwayraHamidu7 ай бұрын
Sheikh mwaipopo Allah Akulipie
@maryamtanzania97437 ай бұрын
Mimi kuna kipindi nilipata mtihani wallah nilipitia magumu mpaka watu wangu wakaribu wakawa wananishauri nende kawaangamize nikawaambia siwezi ingilia kazi isiyo kuwa yangu kwa sababu allah anayashuhudia haya ndo nana imu wakibwakata huwa sitafuti fatha kwake
@yussuphsultan14007 ай бұрын
Kisasi ni haqi, lakini kwa njia ambazo Allah sw karuhusu! Kufanyiwa ubaya na kunyamaza haifai. Muombe Allah sw akuondoshee na amka usiku
@habibasalim30927 ай бұрын
Mimi, nikuwa nasumbuliwa na uchawi na mashetani, wallahi wa billahi watallahi, najifanyia ruqya mwenyewe, nitumia qur'an, nafanya adhkar asubuhi na jioni,
@habibasalim30927 ай бұрын
RUQYA | TREATMENT AUDIO | BLACK MAGIC | 4 / Abu Nadeer kzbin.info/www/bejne/ZpiodYt4rZypes0
@habibasalim30927 ай бұрын
Tumieni hizi ruqya ninazozituma hapa, ama tafuta (Ruqya in london, wallahi hizi zimenisaidia mimi na jinni ashiq (mahaba)that wudhu, eleven qibla omba dua ya shifaa kwanza anza kumsifu Allaah yaani Laa-ilahaillallahu wahadahu laa sharika la lahulmulku walaulhamd wahuwwa-alaakullih shaiy-an qadeer,,kisha swalia mtume mara zisizogawanyika yaani3,au 5 au kuendelea,,kisha sema sifa zake na kumtegemea yeye tuu, allahuma yaa haiyu ya qayyum, ya qawiyyu yaa azia, allahuma ya kahaar, yaa jabbar ya muntaqeem,,allahuma ya maalik-al mulki, itakavyo alafu malizia tasleem, WEKA AUDIO ZAKO NA EAPHONE, ANZA NA AYA TUL KURSI, ALAFU SALA YA MTUME, ALAFU AUDIO NO 3 AMBAYO NI YA HASSAD YA AYN JICHO, ALAFU, AUDI NUMBER 9 YA JINI MZINIFU, ALAFU RUQYA YA KUWACHOMA MAJINI, KUNA PIA YA KUWAFUKUZA NA NYINGINE YA KAMA NIWASHINDANI UNAWAPA KUCHANGANYIKIWA NA KUWAUWA, HIO NI AUDIO NUMBER 12, AUDIOBYA KUWACHOMA NI NUMBER 7
Ukiwa na imani thabiti juu ya uislam wako hakuna atakae kuyumbisha.bahati mbaya sana has wenye dhamana juu ya dini hii wako kimyaa
@DaudMuhammedDjuma7 ай бұрын
ALLAH akulipe Kheri Shekh Mwaipopo ukweli weka bayana usihofie mtu bali mtizame Allah atakulipa nini kwa moyo wako ulio jitolea kuibainisha haki🙏🙏🙏
@Dysmedia2547 ай бұрын
Asante kwa kutuelimisha. Allah barik
@trophywilson72117 ай бұрын
Hapa Sijakuunga Mkono ,Hubiri neno la Mungu achana na Hao.Wasoma Dua ya kuua Watu,Watakutana Na Yesu Mwenyewe,period
@RashfordOboray7 ай бұрын
Ma sha Allah sheikh Allah akutuhifadhie kwakweli aumeongea hkaki kabisa
@jumawaziri85017 ай бұрын
masheikh mmekuwa washirikina sana sana muogopeni ALLAH
@salimobeid14707 ай бұрын
Mwaipopo watakuelewa tu watu mie nilikua sikyelewi lkn now days nakukubali sana kwa juhudi hizi unazozifanya Allah akusaidie
@elbaricktv16327 ай бұрын
Mafundisho mazur sana kwa din zote hongera mtumish wa mungu
@paulmushi24287 ай бұрын
Laaaa! Asante YESU KRISTO Kwa kuniokoa na dini zenye Shiriki!! Mimi nilishashitukia hiyo dini muda mrefu kuwa Ina Ushirikina mwingi wa majini!! Kisha eti Kila ukiswali lazima usujudia kuelekea Makka kwenye Qibra Kaaba🕋 yenye Jiwe jeusi Al hajar Al aswad hapana!!! Hapana Uislamu kaa mbali na Mimi!!
@ExcitedChefHat-ef5jt7 ай бұрын
Yesu ni mungu au ni mtoto wa mungu ? Ushirikina uko kanisani mjinga sana wewe . Mungu watatu lakini ni mmoja. Baba mwana na roho mtakatifu . Wote ni moja. Ushirikina ndio huo kama hujui.
@ExcitedChefHat-ef5jt7 ай бұрын
Kinyago cha Maria na yesu si ndio mnacho kipigia magoti kanisani. 😂😂😂😂
@paulmushi24287 ай бұрын
@@ExcitedChefHat-ef5jt Leo umesujudia jiwe jeusi lililoko Makka kwenye Kaaba 🕋? Wewe unamiliki majini wangapi? MIMI namwabudu MUNGU MUUMBA MBINGU NA ARDHI anayesikia pande zote Lakini Allah wa Makka mpaka uelekee Qibra Makka ndiyo anasikia network yake kwenye Kaabaaaa ukigeukia tu upande mwingine network inakata hasikii😂😂😂 Sasa huyo Mungu gani?
@HassanJaphari-rx7jy7 ай бұрын
@@paulmushi2428wewe ni mjinga wa mwisho. Hujui hata shirki ni nini? Pole sana Alhamdulillah I'm a Muslim ☝️🕌♥️♥️♥️
@paulmushi24287 ай бұрын
@@HassanJaphari-rx7jy I LOVE JESUS, ❤❤❤THANK GOD I'M Christian 🛐🛐
@ramaamri8317 ай бұрын
Allah akujaalie taufiq yake uzidi kusema kweli .kwani leo hii wengi wana mafundisho ya ajab
@salehrashid-fx9rq7 ай бұрын
Uko sawa sheikh Mwaipopo
@alsamali69647 ай бұрын
Tofautisha dua na uchawi acha kupotosha sheikh Mwaipopo.
@zulekhaa68177 ай бұрын
Hakuna dua iliyokua n uadui. Na hakuna muisilamu amuonbee mtu duwa eti awd anaona nyoka, tuache apo
@IssaNasir-v2e7 ай бұрын
Dua ya mayai viza tunainua hiyooo
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Una masikio lakini hayasikii.
@yusufsadic29307 ай бұрын
Mungu akuzidishie kwa Naswih yako nikwil tukiyachilia haya kesho yatakuw kama nikwil
@omanoman-ir1ez7 ай бұрын
duh kweli mtihani sana ndugu yangu mwaipopo hao mashekh dah hatari kweli mbaya kabisa
@silassaitoti76897 ай бұрын
YESU NDIYE NJIA KWELI NA UZIMA MTU HAWEZI ENDA KWA BABA BILA YEYR❤
@rahmaomar91377 ай бұрын
Shehe Allah azidi kukusimami
@nelsonzebedayo82817 ай бұрын
Wewe ndugu yang pole sana!Rudi nyumbani uripotea!wislam huwezi kuutenga na ushirikina na kama uliingia kichwakichwa waulize waislam waliotangulia!
@annacletaambrose36397 ай бұрын
Nyie wakristo mnashida mnacomment kumkatisha tamaa ili aludi kwenye ushirikina mkubwa wa yesu ni mungu sahauniiiiii
@mbarakamwande40715 ай бұрын
Shekhe mwaipopo upo sahihi, hao jamaa ni washirikina,
@jamil15477 ай бұрын
MaashaAllah wanyooshe
@FadhilChai6 ай бұрын
Aslm alaykum, enyi ndugu zangu katka Iman,mtu usimuangalie mwanzo wa kitu, bali huwa anaangaliwa mwisho wake bimana huwa twamuomba Allah atupe mwisho mwema, Dkt sule, mhadhiri mwaipopo wote wanaeneza dini ya Allah awazidishie kwa Hilo, ila wenyewe waweze tu kuhishimiana coz, watu wa mmungu wanawaangalia sana kama kioo Cha jamii wasitukanane kwenye majukwaa, hiyo siunngwana
@SirajiZacharia7 ай бұрын
Hakika uislam siyo kiarabu sheikh Mwaipopo
@HassanJaphari-rx7jy7 ай бұрын
Subhanallah AllahuAkbar
@YoshuaSeverino7 ай бұрын
Ana msimamo mkali sana kukemea maovu
@JacobMbosalee7 ай бұрын
Asante mwaipopo
@williamchihami47637 ай бұрын
Yohana mtakatifu 3:16 , marko 16:15_19 , ushauri okoka yesu ndiye mwanzo na mwisho
@salimsibabu90277 ай бұрын
MashaAllah Allah ukulinde
@jumawaziri85017 ай бұрын
MASHEIKH pigeni vita ushirikina
@mohamedimiraji54957 ай бұрын
Mashallah
@mussachichajr7 ай бұрын
Nakuelewa sana mwaipopo
@issahabdallah90187 ай бұрын
Taratibu Tu mtawaelewa mawahabi.
@adorchmassimba44137 ай бұрын
Mwaipopo uko sahihi kuwakosoa waisramu wenzio wanaotumia uchawi kwa jina la Allah
@LatifaKilloh7 ай бұрын
Uislam ni dini Bora kwakuwa tunaamrishana Mema na kukatazana Mabaya, yaweza kuwa sahihi katika njia isiyo Sahihi, Unauwezo wa kuwafuata na kuwalingania kuliko kuja Mtandaoni, Hapo nani Anaudhalilisha Uislam.Mjitafakari sana katika ufikishaji kwa sisi Maamuma
@omariaman78187 ай бұрын
Na vp upande wa pili ambao washaamni uislam ni majini wataelewa wap acha mwaipopo aendelee kutetea haq
@chriscao98287 ай бұрын
@@omariaman7818dini ya ushirikina na kichawi ikiongozwa na Muhammad na shetani
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Wao wenyewe si wameachia mtandaoni, Sheikh Mwaipopo s.w. Allah s.w. atakubariki.
@Issa-ud6sy7 ай бұрын
Mwaipopo,sule arekebishe kauli ya kuletewa Mali na majini,tofauti na hapo hamtaaminika mashekh wote
@usrahismail31967 ай бұрын
Kweli maana,hiyo kauli ni ushirikina
@samwelimwanja41057 ай бұрын
Dr Sule Ameuongea Hadharani na anatumia pete kuchuma mali hapo mnasemaje.
@zulekhaa68177 ай бұрын
Yeye km yeye bibafsi yake. Haisababishi kuwa doctor sule kufanya hivyo ndio dini y kiisialmu kuwa ya kichawi au ushirikina. Uisilamu umekataza uchawi au ushirikina. Ukiona muisilamu ni mchawi au mshirikina badi ni tamaa zke tu, Na hiyo anamkosea Allah
@samwelimwanja41057 ай бұрын
@@zulekhaa6817 ingekuwa hivo basi mngekuwa mnaelewa na Baadhi ya watu wa kikristo wakiongea kinyume unapaswa kujua ni yeye na sio Dini
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Dr. hakosei ndugu yangu?
@festokiraryo.6107Ай бұрын
Njaa
@samxx4117 ай бұрын
Samahanini sana lakini ila wenzetu huko Bara, naona mpo mnasema sana hadi saivi naona mnaanza kuudhalilisha uislamu....hebu punguzeni hizi media na kupenda sana dunia (pesa)..mmeanza kugombana wenyewe kwa wenyewe masheikh, saivi mnaanza kuhusisha ushirikina katika uislamu..na hao wakristo hawana elimu wao kila kitu ushirikina isipokuwa kumuabudu yesu ambae ni mtu.
@gaitamaemmanuel7 ай бұрын
Yesu ni ni mtu..!? Muulize sheikh wako maana ya RUHU nini..ujiue basi ndo Yeus
@samxx4117 ай бұрын
@@gaitamaemmanuel sio lazima sheikh, Ruh ni roho ...Mungu ni Roho kwa biblia ina maana roho haionekani...je yesu alionekana au hajaonekana..
@SaidSalum-p5h7 ай бұрын
Asalamalaykum sheikh Sayd Mwaipopo. Sheikh wangu tangaza ukweli tu hadi kieleweke hatakama ni muislam au kiongozi waambie Qur'an na Hadith waache mazoea
@jumawaziri85017 ай бұрын
mnasheikh wanaumaliza uislamu
@Khmediy32417 ай бұрын
Kwaio papa avolusu ushogaa maana bublia na wakristo wote mwapenda ushogaaa uyo shekhe ni wao sio uislam
@khloevibe75697 ай бұрын
sasa ukristo umeingiaje hapo ndugu mbn akili yako ndogo sana
@Khmediy32417 ай бұрын
@@khloevibe7569 sio uyo Shoga mwenzenu anaukashifu uislam kwa shekhe ambae ata Balaza la waislam hawamjui sie ndio baazi washirikina Sawa lakin nyiny kiongoz wenu mkuu shogaaaa anataka mfirane Bora SS icho kishee kinasapot uchaw lakin marina yetu yapo salama
@paulmushi24287 ай бұрын
Mwaipopo Uneonaa!! Umeonaaa Mashallaah SIRI ZINATOKA ndiyo maana Sule anajiamini kusema mambo !! SIRI ZINATOKA 😂😂 yaani Sheikh mziwanda anatabasamu tu😅 Sheikh Walid kumbe naye anapiga vyuma vya kijini Laa! Hii Dini msiba!! Hata siitamani!!
@sadikiissa77567 ай бұрын
Dini haijaamrisha bali ni uchawi wa mtu binafsi.
@hafidhkhamis7 ай бұрын
ww elewa uslam haufundishi hayo,na ni dhambi kubwa, hao wanajifnyia wenyew tu kwa ujinga wao na wapata dhambi, ( ushirikna ni dhambi kubwa katika uslam) . km hujui uliza usiropoke
@paulmushi24287 ай бұрын
@@sadikiissa7756 wewe ni Maamuma Huna Ilimu huoni hapo masheikh wamekusanyana wanatoa Siri wanazozifanya Misikitini? Hujui kusoma hata picha huoni?
@paulmushi24287 ай бұрын
@@hafidhkhamis Wewe ni Maamuma Huna Ilimu huoni hapo masheikh wanavyo ambiana tena msikitini!! Du! Kusoma hujui hata picha huoni? Dini ya Uislamu na uchawi na majini Damdam
@mussakarata66507 ай бұрын
🤣🤣🤣 Kumbe dini zinatamaniwa?
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Msiba, inna lillah wainna ilayhi raj'un
@Husenimuddi7 ай бұрын
We we mwenyewe mwaipopo no mganga eti tiba za kisuna uongotu jitafakali ukatubu mrudiye mungu,kama hayomaneno yanatoka moyoni mwako bila unafiki sawa ila kama na we we ni moja wao tubu
@mbarakamwande40715 ай бұрын
Mungu akuongoze
@pirminmatumizi54647 ай бұрын
Sasa shehe Mwaipopo, unaona ulivyoiacha ile Njia? Unaona? Uko uliko siko! Kwani tangu mwanzo hujui uchawi na ushirikina na chanda na pete na uislamu? Unajua sana! Wakristo tuliookoka tunatumia Jina la Bwana Yesu kwa mambo yetu yoote; waislamu mnategemea Majini (mapepo/mashetani). Mwaipopo mdogo wangu mrudie tena Bwana Yesu kristo, anakupenda na anakuhitaji sana uje kumtumikia. Ni hayo tu.
@bonifasiemanueli217 ай бұрын
Wewe hiyo fitina unayoitengeneza juu ya huyo shehe itakugalimu wewe umesilimu imeikuta umeingia cha kikke ng'oo🎉🎉 Rudi kwa Yesu ewee mwana mpotevu😢😢😢😢😢mwanzo ulianza na Sule sasa na huyu tena,
@savinosalamba91747 ай бұрын
Mimi nampenda yesu milele,na peponi nitaenda
@DRHaroonShaarawy7 ай бұрын
We nae acha bangi, Kinacho ongelewa hpo ni kuwepo utofauti kati ya Muislamu na waislamu. Wako wanaotumia dini kwamaslahi yao binafsi
@mkilwaabdul92307 ай бұрын
pepo hiyo labda ya babu yako
@NuwayraHamidu7 ай бұрын
Utaenda motoni milele
@zulekhaa68177 ай бұрын
Pepo hiyo rabda ya shetani ambayo ni moto jahannama
@esthersawiga99797 ай бұрын
Hivi kumbe kuna watu wanadhani kinachompeleka peponi mtu ni dini😂😂
@vincentcharles43857 ай бұрын
Kwanza Allah tuna RB yako kwa kutudanganya sisi waislamu😂😂
@Mahershalalhashbazi-kf6xi7 ай бұрын
😅😂🤣
@muddyausi84707 ай бұрын
UIslam hawezi kudhalilika hata siku moja atazalilika anejidhalilisha hii dini yupo mweyewe anaelinda anaona anasikia halali hasizia
@RamadanPaul7 ай бұрын
kutegemea majini qur'an inakataza. Usiuhukumu uislamu kwa matendo ya waislamu, pia siwezi kuuhukumu ukristo kwa matendo ya wakristo, hukumu dini kwa kitabu chao. Al Quran: As-Saffat/37:158 --- وَجَعَلُوا بَيْنَهُ وَبَيْنَ الْجِنَّةِ نَسَبًا ۚ وَلَقَدْ عَلِمَتِ الْجِنَّةُ إِنَّهُمْ لَمُحْضَرُونَ Translations: --- Na wameweka makhusiano ya nasaba baina yake na majini; na majini wamekwisha jua bila ya shaka kuwa wao watahudhurishwa. -- Ali Muhsin Al-Barwani ---Al Quran: As-Saffat/37:159 --- سُبْحَانَ اللَّهِ عَمَّا يَصِفُونَ Translations: --- Subhana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo msingizia. -- Ali Muhsin Al-Barwani
@angle36007 ай бұрын
Masheik mnatukoroga.
@khamisissa2527 ай бұрын
TAWHEED NDIO DINI AHSANTA SAAANA SHEIKH
@eddieeddie27557 ай бұрын
Ni kumpwekesha Allah (S.W) .
@fatmafatu11287 ай бұрын
Lahaula walakuuwata ilah bilaah
@yukundapeter82007 ай бұрын
Wacha Mungu aitwe Mungu Sema yoteeee,Yaani utasema yote,Kwa kuchambana nakuaminia wewe mdandia dini kwa mbele, umewakuta wa2 wanainama inuka nawe inama inuka elekea kuleee,Baadae ndo utakujaga kujua Yesu ni Bwana,utajutia utoro wako nakuapia.
@shenjamamzingi79507 ай бұрын
kale kimba
@tyronemofekeng71527 ай бұрын
Ulitaka aendelee kuamini kitu kisichoingia akilini kua eti Yesu Mungu!
@mussakarata66507 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaaan kwel hapo ndo umefikia mwisho wakufikir
@badruseif13187 ай бұрын
Yakunda hata Mimi pia Ni bwana, kama wewe Bibi kaa na ubibi wako
@LastdayJesu41537 ай бұрын
Si mnasema kuna majini mazuri yanawafaa kuwaletea fedha yakiiba pesa za watu 😅😅
@mwanaidisimoni797 ай бұрын
Mwaipopo hata mtume alisema uislamu Karne hii utatetewa na waliosilimu waambie ukweli wao
@LastdayJesu41537 ай бұрын
Kuna Aya zenu zinasema malaika walishuka kufundisha uchawi tunaona pengine ni kweli ukienda mbagala na sehemu mbalimbali kuna maduka yanauza vitu vya shirki na ni waumini wa kiislam niliwauliza siku moja je nilifungua hapa duka la nyama y nguruwe mtafurai wakasema tutakufukuza siku za mwisho vitu vyote vilivyofichwa vitakuwa dhahiri
@bennymochiwa48005 ай бұрын
Uislam unapotoshwa na Waislam wenyewe
@raiszongo41367 ай бұрын
Sura yake tu unagundua ni mchawi wa wachawi aibu hii😢kheri sisi tunamuabudu Mungu kwa imani kuliko hawa wachawi wasiy0 na aibu
@Annalisejg2ur7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@odilomwemeziernest6467 ай бұрын
Mwaipopo wewe ulijichanganya kwa sababu ulijua kava la kitabu hukujua yaliyomo ndani yakee,ndivyo ulivyo uisilamu.Ukweli zipo aya katika Qur'an zenye dua za kuharibu watu,mfano albadlu akisomewa mtu lazima afee.uyakubali yote maana wanazuoni walikubaliana kwamba aya zote zatoka kwa Mungu.hayo ndiyo yaliyomo.rudi kwa Yesu atakuremu
@khalidmainala25707 ай бұрын
Sorry Albadiri sio Qur'an ndugu
@odilomwemeziernest6467 ай бұрын
@@khalidmainala2570 kisomo cha albadri kimo kwenye kitabu chenu.vyote wanazuoni walikaa wakasema wakubaliane ku wa vyote vyatoka kwa Allah maana kipindi muhamadi amerogwa hakujua ni aya zipi zilitoka kwa Mungu na zipi zilitoka kwa shetani,msichanganyikiwe jamani huyo ndo Allah aliyeapa kwa aliyeumba kike na kiume
@yusufngare34387 ай бұрын
Albadri sioquran na niushirikina,wewe ndiwe umejichanganya
@khalidabdalla68367 ай бұрын
Huna elimu kabisa..albadiri si Quran ..ni kitu kimetungwa,uislamu wabaki vilevile msafi...dini huangalii mafunzo ya mtu binafsi soma vitabu.
@odilomwemeziernest6467 ай бұрын
@@khalidabdalla6836 hivyo ndivyo mlivyo na mtaendelea kubaki na ujinga wenu,maana mtu akiwaeleza iliyo kweli mnasema hana elimu,ila pole kwa kuwa hujui unayeongea naye,lakini je hayajaandikwa kwenye kitabu chenu.kabla sulle hajasema mambo ya uchawi mlimsifia anavyojua na alivo na elimu,sasa mwenye elimu kaanza kuwaeelezea mnavyoshikamana na uchawi nyinyi mnasema tena hana ilimu ya dini kweli nyinyi ni wabishi
@Mariam99-ld4gw7 ай бұрын
Yani hasa hivi ukiumwa mambo ya kimajini sijui uwende wapi maana msiba huu 😢😢
@LastdayJesu41537 ай бұрын
Mwaipopo ingia kaone sheikh mwenzio alivozungumza kwenye ARKAS ONLINE TV sheik kaelezea malaika waliotumwa kufundisha uchawi utajua Uko na watu gani😅
@IYEGU-p3n7 ай бұрын
Majini Ni majini tu 😮 hakuna jema
@bogoakassim87147 ай бұрын
Sauti Hakuna
@mussakarata66507 ай бұрын
Hapo umedanganya soma tena shekhe majini ni viumbe wako watiifu na waovu hivyo tafakar na kam ni biashara hiyo ulipaswa utangaze biashara yako maan naon kundi ni moja tuu
@aproniamasatu58107 ай бұрын
we ndio umejua ulijichanganya eeh ,!? 😂😂😂😂😂😂 unaingia dini za watu kichwa kichwa?
@paulmushi24287 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 Ataelewa tu kuwa ameingia Cha kike
@athumanijuma65537 ай бұрын
mtume muhammad saw alishasema kuwa hiii dini imekuja ngeni na itarudi kuwa ngeni.....mkweli ataonekana mwongo na waongo wataonekana kuwa wakweli kabla kiama kusimama sheikh wangu umesema kweli kabisa...wewe ni mgeni ktk uislamu lakini unaujua uislamu vizuri sana kuliko wengi walio katika uislamu hawa masheikh uchwara nawachukia sana maana ndio wanaoweka road block kwa makafri wasiupende uislamu
@KennedyNgusa7 ай бұрын
Wewe nimklisto huoko umepotea hayo unayajua leo kaka
@abibumbota51607 ай бұрын
Mbona Allah ndo alitelemsha uchawi kwa malaika wawili aruta na maruta kwaiyo uchawi ni taruma ya uislamu mwaipopo umeingia huko bado ujasema na utasema
@josephmashaury55387 ай бұрын
Hatali dini ya haki lakini inafanyiwa ushirikina
@Mahershalalhashbazi-kf6xi7 ай бұрын
Anayekupa maelekezo ya mizizi ya tiba ni nani kama sio ndugu zenu majini? Yeyote muuza dawa ni kigagula no comment
@maddybongo7 ай бұрын
Hapo bwana Hamisi Chang’waru refalii wetu amebugi japo haya mambo yapo lakini asingeongea hadharani au mbele ya camera.
@hafidhwajina67187 ай бұрын
Ni ukweli but KAA CHINI USOME KWANZA ndio ufundishe dini
@FatwimaZahrau7 ай бұрын
Hizo nidua alizosema hajasema uchawi vp mwaipopo wasingizia
@zulekhaa68177 ай бұрын
Hakuna dua yenye uadui ndani yake. Na mifano aliotoa huyo inaonesha dhahiri mambo y kishirikina hayo Allah hapokei dua km hizo.
@FatwimaZahrau7 ай бұрын
@@zulekhaa6817 utasemaje hakuna Dua zakumuombea adui anaekufanyia ubaya soma kwanza usikurupuke
@emmanuelakutulaga97567 ай бұрын
MANENO MENGI MWAIPOPO KUMBE NA WEWE MFANYABIASHARA TU....
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Mpumbavu wewe
@RamadhaniLukambuzi7 ай бұрын
Uislamu auendi kwa kutegemea maneno ya mtu yeyote popote pale duniani bali dini inaenda kwa Mingi yake aliyoikamilisha Allah(A.S.W)Quran5:3 Someni nyie Wakristo kila siku munaunda mbinu za kuuchafua Uislamu bila kutumia akili zenu timamu,dini hii imetimia kwelikweli haina mapungufu yoyote;hivyo basi Masheikh,Maimamu na Viongozi wote wa dini wataonekana ni wa maana sana kwa kusimamia yaliyo sahihi kulingana na miongozo ya Uislamu ambayo ni Quran na hadithi za Mtume wetu wa daraja ya juu zaidi Mohammad (S.A.W)KWAHIYO HII DINI YETU SIO MALI YANGU BINAFSI AU SHEIKH AU NANI BALI TUNAANGALIA NINI KIMESEMWA NA KIMEELEKEZWA VIPI KWENYE MANENO YA ALLAH.NA WAKRISTO WENGI MUNAOPATA BAHATI YA KUPEWA MAELEZO JUU YA IMANI SAHIHI INAYOTAKIWA KUFUATWA NA BADO MUNAIFANYIA MIZAA SIKU MKIFA MUTAULIZWA KUPITIA MISINGI YA UISLAMU NA SHERIA ZAKE KWA SABABU NDIYO DINI MWENYEZI MUNGU KATUUMBIA TUIFUATE TU SIO ZAIDI YA HIYO:-SOMENI QURAN2:213 NA HATA NYIE WAKRISTO KAA MUKIJUA LEO KUWA DINI YENU INAYOWASTAHILI KUIFUATA NI UISLAMU QURAN 5:19 HII DINI NDIYO ITAKAYOTOA HUKUMU KWA WATU WOTE SIKU YA KIHAMA.
@paulmushi24287 ай бұрын
Acha porojo na maneno meeengi hiyo Qur'an na hukumu zake zinakuhusu wewe Mwislamu Soma Qur'an 5: 48 Qur'an Al-Hajj 22: 67 Kila umma tumewajalia Ibada zao wanazozishika. ... Qur'an 34: 24 Sema: nyinyi hamtaulizwa Kwa makosa tuliyoyafanya Wala sisi hatutaulizwa Kwa mnayoyatenda ninyi
@paulmushi24287 ай бұрын
Umetoa maelezo ya UONGO!! Kwa Mujibu Wa Qur'an HUKUMU zote za dini ya Kiislamu zinawahusu Ninyi mliojiingiza kwenye DINI hiyo Soma Qur'an 45: 28 Na utauona Kila umma umepiga magoti, na Kila umma utaitwa kwenda soma kitabu chake: leo mtalipwa mkiyatenda
@paulmushi24287 ай бұрын
Qur'an 5: 47 Na Wahukumu Watu wa Injili Kwa yale aliyoteremsha Mwenyezi Mungu ndani yake......😂😂😂 Sisi hatuhukumiwi Kwa hukumu za Qur'an Bali yaliyomo katika Injili
@paulmushi24287 ай бұрын
Qur'an 45: 28 - Na utauona Kila umma umepiga magoti na Kila umma utaitwa kwenda soma kitabu chake...
@paulmushi24287 ай бұрын
Qur'an 5: 48 - .... Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake na lau Kuwa Mwenyezi Mungu angelitaka angewafanya Umma mmoja......
@yukundapeter82007 ай бұрын
Na ule mckiti ulotangsxwa na Sulle kwamba umejengwa na majini? Sulle alisema anitaga majini,🏃♂️🏃♂️🏃♂️
@unyeseupdatestv7 ай бұрын
Sasa wew mwaipopo we umeacha ukristo Kwa tamaa zako Kwa sababu Leo hii unawasema masheh wengine Kwa ubaya na kufanya kama wewe hujui chochote akati nawe sasa ni mmoja wao nmekushuhudia mara nyingi ukitangaza dawa zenye jamii hy iyo huo ni ukweli Acha kutupaka matope na kitambaa cheupe huo ndy uhalisia wa dini yako umeruka mkojo umeyavagaaaa
@badruseif13187 ай бұрын
Unyeseu naona unaporoja tu tangu lini mafuta ya zaituni ikawa ushirikina? Unaongea pumba zakijinga tu inamana ukienda Hospital ukapewa vidonge navo pia Ni ushirikina? Wacha ujinga wa kishoga uwo
@unyeseupdatestv7 ай бұрын
@@badruseif1318 sasa wewe ndy unaongea ushoga we ulisikia lini mzaituni ni dawa kama sio ushirikina au mungu wako wa mchongo humuamin mpaka utumie mzaituni au umefundishwa Aya gani usimwamin mungu uamini mzaituni na toka lini ikawa dawa Kwa andiko lipi lete andiko kama na wew sio mshirikina na dini yenu ya mchongo
@badruseif13187 ай бұрын
@@unyeseupdatestv unapokwenda hospital inakua humuamini Mungu? Kumbe ndio mana kule shakahola mkafungishwa mpk mkafa Kwa mafungu Kwa imani za kijinga,na wewe andiko kwenye bibilia linalosema ule Panadol ukiumwa, wacha ujinga uwo babu
@mohdali24087 ай бұрын
Kuna tofauti kati Ya Uislam na Muislam Uislam ni DINI Muislam ni mtu na mtu anaweza kua muovu, Mwaipopo amesilimu ala ameieleza itikadi ya kiislam
@Austinemarko7 ай бұрын
Uislamu.by by nimehakikisha leo niuchawi😂😂
@singanoatanasi19947 ай бұрын
muda sio mrefu ukweli upo tu ingawa unachelewa tu mashekhe umma mnaupeleka wapi ? YESU KRISTO ni jibu na ninjia ya kweli wanao silimu hawana misingi maskini kuna namna inayowanya wanakosa namna aisee
@AM-rr3jr7 ай бұрын
Mafuta ya Upako mpaka kwa Mashehe?? Au hayo ni mengine??
@NasraAbdallah-k8r7 ай бұрын
Uwo ndo usufi bwana hhh akismama bachu kukemea bidaa nyinyi mnakuja juu sasa kikowapi na bado apo kuna wengine wanai halalisha albadili😅😅😅
@KimanguShemwaliko-ht2jr7 ай бұрын
Washirikina wote niwale wanaopiga madufu nawenye kukimbiza moto,na wote walioko ccm,
@Mahershalalhashbazi-kf6xi7 ай бұрын
Mwipulumusi(popo) Acha njaa wewe,hakuna uisilamu bila Amjad(uchawi wa Quran) Ili uwe sheikh lazima usome Ilimu Akher na Ilimu Dunia. Ilimu Dunia ndiyo Ina Amjad(sihir). Hakuna sheikh asiye mchawi acha kujikosha.
@badruseif13187 ай бұрын
Maher kama ilivokua hakuna ukristo Bila ushoga
@Mahershalalhashbazi-kf6xi7 ай бұрын
@@badruseif1318 Huo ni uzushi na chuki binafsi ya Imani. Toa Aya au Andiko linalothibitisha kauli yako,maelfu wapate kuelimika na kusalimika Msingi wa Ukristo ni huu hapa;juu ya liwati(dubri) 👇 Walawi 20:13 Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume kama alalavyo na mtu mke:wote wawili wamefanya machukizo,hakika watauawa:na DAMU yao itakuwa juu yao. Au hamjuwi kuwa wadhalimu,hawataurithi UFALME wa Mungu?Msidanganyike,waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu,Wala waabudu sanamu,Wala wazinzi,Wala WAFIRAJI,Wala WALAWITI.👉 1Korintho 6:9. Toa Aya inayoonyesha Ukristo unaruhusu ushoga.
@mussakarata66507 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nilisubiri hapo tuuuu kumbe hata wew ni mfanyabiashara na hiyo ilikuwa ni mbinu ya kutangaza biashara
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Mpumbavu wewe
@mussakarata66507 ай бұрын
@@jabirkasunzu6841 Ndo njia ya kunieleza hiyo kumb bhas vyema
@yukundapeter82007 ай бұрын
Mwaipopo nakuchukiaga sn,7bu unaisakama dini ya Kristo ulikotoka.Lakini leo umenifurahisha.
@zulekhaa68177 ай бұрын
Tatizo hijamfahamu, ukaxani yuko upande wako 😂. Km unakili timamu basi ungezidi kumchukia. Kwa ufupi hapo kasema hoja ya kupinga kuwa dini ya kiisilamu ni ya kishirikina, Na kaonesha wanajiita mashekhe ambao wa na autangaza ushirikina kuwa haifai.