Namuomba Allah s.w.t ampe uongofu shekhe wetu Dr.Sule.
@mohamedsalat10667 ай бұрын
Shekhe wako kachemsha
@amisafaraji57967 ай бұрын
Allahumma aamin 🤲
@BakarM-es1zd6 ай бұрын
sheikhe Shafi shomar mawaidha yako nimazuri sana wengi unatutoa kwenye ujinga maana kuna baadhi ya masheikh wanapotosha bila kukemea mapema itafikia muda watu wataamin uchawi kuliko kumuomba mungu
@KabebeMazambi-o6b7 ай бұрын
Sheikh Allah akurehem uko naakili. Sule ni mwizi
@IddiNkupe7 ай бұрын
Mashaallah sijawahi kukuona ukikosea Allah azidi kukupa umri mrefu shekh hakika miongon mwa watu wenyekuipigania dini ya Allah wew ni mmoja wapo Allah atakulipa kher shekh
@YusuphAbdul-ex5gz5 ай бұрын
Shekh Shaffi safi sana tumuogope Allah na tumtii ipaswavyo tufuate mafundisho ya mtume wetu muhammad ( S W)
@mohamedothman57927 ай бұрын
Alhamdulillah shekhe shafii anasafisha
@bagalucha7 ай бұрын
Ustadh Shafi leo umesema kutoka moyoni,Allah atakupa kila la heir,wavute jamaa zetu wa kissufi,wenye kupoteza mamilioni kwa ajili ya maulidi,mfungo sita huo,mpaka rajab,michango mtaa kwa mtaa,ushindani Ndo tuliouweka mbele,kwamba sisi wa maulidi tupo,tena wengi ,hayo si mabilioni tena,mtanisamehe kama nimemkwaza mtu,lakini huo ni ukweli.waislamu wanajua maulidi kuliko Quran/Sunna na ibada zake.
@omargargaar56117 ай бұрын
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi sheikh Shafi
@RahmaIddi-s2s7 ай бұрын
Subhana Allah,,,lnna lillah wainna illaih Rajiuun ni msiba huu,,
@xenioribra37657 ай бұрын
Mungu ampe maisha maref Dr sule......sule ajasema anamiliki majini...alikuwa anatoa elim kuhusu majini.....kaongelea majini n nn...wanatokana na nn na aina za majini.....achen kumsema vibaya vibaya mjaribu kumuelewa...........au kuliko kumbishia Bora uombe akupe elim....msiwe mnabisha vitu msivyovijua.......ili ujue sule Yuko sahihi wasomi wote wanayajua hayo ndo maan huwez kuwaona wanabwabwaja kama masheikh wadogodgo Kam hawa...hawajui chchte
@RamadanPaul7 ай бұрын
Hujafuatilia video za sulle ndo maana unasem hivyo. Sulle anatumia majini yamletee pesa.
@xenioribra37657 ай бұрын
@@RamadanPaul hapana.... video zote ninazo na namftilia Kila hatua... kipind anatoa elim ya majini pia akaelezea na kazi zake....cc Binadam kwa majini tunacpacity ya uwez wa kutumia majini...cc Binadam n kama utawala wa dunia..... Na ND maan majini wanwez wakakitiii.....majini wanatumika kweny mambo mbalimbal....Kam jinc tulivyo sis binadam.....sule amesem anawez kutumia majini elewa neno kutumia...pia hcho n kipawa.... kweny kazi zake.....sem tu nakushaur kufatilia bila Kam kujua au kujifunza Kam ukiona huelew unaachana nayo
@RamadanPaul7 ай бұрын
@xenioribra3765 sasa tumfuate sulle au qur'an Qur'an inakataza kushirikiana na majini eidha kwa manufaa, ili kh'ari unashirikiana nayo. Al Quran: Al-An'am/6:128 --- وَيَوْمَ يَحْشُرُهُمْ جَمِيعًا يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ قَدِ اسْتَكْثَرْتُم مِّنَ الْإِنسِ ۖ وَقَالَ أَوْلِيَاؤُهُم مِّنَ الْإِنسِ رَبَّنَا اسْتَمْتَعَ بَعْضُنَا بِبَعْضٍ وَبَلَغْنَا أَجَلَنَا الَّذِي أَجَّلْتَ لَنَا ۚ قَالَ النَّارُ مَثْوَاكُمْ خَالِدِينَ فِيهَا إِلَّا مَا شَاءَ اللَّهُ ۗ إِنَّ رَبَّكَ حَكِيمٌ عَلِيمٌ Translations: --- Na ile Siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi katika wanaadamu. Na marafiki zao katika wanaadamu waseme: Mola Mlezi wetu! Tulinufaishana sisi na wao. Na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea. Basi Mwenyezi Mungu atasema: Moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye hikima, na Mwenye kujua. --
@Kekulebenzene7 ай бұрын
Wewe ni Mshirikina kama huyo Dr wako mpumbavu Elimu hiyo ingekuwepo wangekuwa nayo maswahaba Huo ni mpango wa Dr Sule kupiga pesa kwa kuwauzia watu Pete hizo kwa bei ghali
@nubianqueen67007 ай бұрын
@@xenioribra3765 wewe mwenye ilmu, tutolee aya na hadithi nambari ngapi unaruhusiwa kutumia majinni?
@ShabaniNdonde-l1j7 ай бұрын
Shee mungu akupe huai mlefu
@صالحالرواحي-ب4م7 ай бұрын
Shekh nakupenda maneno yako ni kweli kabisa
@Austinemarko7 ай бұрын
Lakini ni dunguzeni kwa mujibu wa Quran 72,1•14 mbone hungusi hio aya.
@RahmaIddi-s2s7 ай бұрын
Allah amuongoe kila mmoja ktk uislam,tusizid kupoteya ,,,hali ni mbaya Jaman
@husna345627 ай бұрын
AMIIN
@myunaniniahmad64637 ай бұрын
Shukran shekhe shaafi.
@YusufOmar-tk8yf7 ай бұрын
Allah akbar
@MRISHOMJ7 ай бұрын
Mwenyezi mungu akibariki shehe kwa mawaidha yako mazuri
@MwanaishaShattry7 ай бұрын
Kweli sheikh upo sahihi
@muhsinkimaro42837 ай бұрын
Allah akuhifadh
@jumakumala13377 ай бұрын
Leo sheikh SHAFI kaongea wazi kabisa bila kisita kwa hili MUNGU amuongeze
@RahmaIddi-s2s7 ай бұрын
Allah akuhifadh sheikh wetu,
@FizzoumemeFizzoumeme7 ай бұрын
Mungu.akulinde.kwa.kila.baya
@princekassimtz7 ай бұрын
4:09 Allah Akbar ❤
@SultanAshah-fm7un7 ай бұрын
Shukran sheikh kwa mawaidha nzuri.
@aligedi28697 ай бұрын
Allah akupe umri afya na hekima,Dr sule analeta sokomoko.
@youngtomuller-vh2pu7 ай бұрын
Obrigado irmao muito obrigado pelo tudo irmao Allah ti abençoe ❤❤❤❤
@IbrahimSuleyman-j8n7 ай бұрын
😮huu ndo uislamu mtu akizingua haijalishi nani anaambiwa laaaaaivu
@OthmaniMasele-tn5gm7 ай бұрын
Hao wote ni wale wale mbona yeye shafi alipo sema atampa tabu malaika siku ya kiama mbona watu hawakumradi au hukumsikia
@LadenMoses-s6m6 ай бұрын
Sawa sawa kaka shafiii
@GcFd-s8t7 ай бұрын
Shukuran shekhe kwa kutukumbusha
@SaidIsmail-w2w7 ай бұрын
nimekukubali shekh shaffii
@HASSANBAKARI-q9c7 ай бұрын
Umeamua kumbomoa mwanao sule leo😊
@jumajaffary96987 ай бұрын
Sule ni mtu sio Uislamu
@user133757 ай бұрын
Tangu zamani tunasikia mashe..wanafuga majini, Asante Dr Sulle ameyawwka hazarani.
@mohamedsalat10667 ай бұрын
Sule kachemsha elmi yake ndogo
@salimjumaa81807 ай бұрын
Masha Allah
@katemboyamotomoto4206 ай бұрын
Safi Sana shafi
@khalidahmed69617 ай бұрын
shekh maashaallah unajitahid sana lkn baadhi ya mambo unayoongea sio sawa suala la kusema ukiwakuta baadhi ya watu peponi utakua hukubali utalenga mawe na utajiuliza hapa mungu kufanya vipi !!!! hili ni hatari sana kana kwamba anasema Mungu itakua hakufanya uadilifu labda pia kusema kwamba baadhi ya wakati umuombe Mungu kwa kukandamiza !!! sheikh Mungu hakandamizwi Mungu anaombwa kwa unyenyekevu wa hali yajuu Allah atuongoze sote ktk njia iliyonyooka
@MfalmeYusufu-tq6nn7 ай бұрын
MAshaallah
@allyway9997 ай бұрын
Shekhe nakukubali sana yule mtoza ushuru nilikuwa namkubali lakini sasaiv hapana
@JumaSultanSultan7 ай бұрын
Sulle anafanya biashala ila nimchoyo wakutoa helmu ili iendembele yeye anatangaza dawa zanguvu zakiume ajui kama atawanawake awana nguvu zakike unamkuta mwanamke atakuoga ajui ananuka mpaka mwanaume uume unalala alafu unawaambia watu uwongo akuna dawa yanguvu zakiume maishamagumu wanawake wachafu wanatembea mchanakutwa navisuluali wanaume awali wakashiba mawazo yakodi watoto majukumu yamewazidi izonguvu zinatoka wp sulle waelimishe watu usiwapoteze
@Rolemodel_wa_taifa7 ай бұрын
Sasa wewe ulitaka Sule awaogeshe hao wanawake zenu? au ulitaka awatafutie rizki yeye kwenye Harakati zenu? Hoja dhaifu sana hii
@MussaKigoo7 ай бұрын
Assalaamu Alaykum Allah kasema katika Qur'an tusihitilifiane baina yetu na wala tusijitakase tukajiona bora kuliko wengine kwani mbora baina yetu ni yule mchamungu. Tujifunze kutoa da'wa kama Mtume Muhammad (s.a.w) alikuwa akilingania kwa hikma sana kuliko sisi tunalinganiana kuingia katika madh'habu zaidi kuliko kuingia katika uislamu ذَلِكَ مَبْلَغَهُم مِّنَ الْعِلْمِ إِنَّ رَبَّكَ هُوَ أَعْلَمُ بِمَن ضَلَّ عَن سَبِيلِهِ، وَهُوَ أَعْلَمُ بِمَنِ اهْتَدَى
@Kingtz8987 ай бұрын
Shafii. Kitabu bado.
@geey78937 ай бұрын
Mimi ni Mkiristo lakini huyu Shekhe ana make sense. Sio wale wengine Mwanzo- Mwisho kudiscuss Wakristo😅. Kumbe wachawi wakubwa
@SleepyHat-qu2io7 ай бұрын
mashaallah shekh shukra mungu akupe kila kheri
@azizayassin36237 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 ❤ tayari mara 3 kupeleka chakula gaza Palestinians vp Tz Ama adi mumalize kuchambana ndio kazi mnayojua mlimaluza tafteni paybill umma uchagie chakula kwenda gaza
@dicksondkaganga12907 ай бұрын
Wewe peleka chakula Kibera!
@SharrifCharo-mi1bn7 ай бұрын
Hiyo compation hata huku kenya iko mpaka waislamu wanapeleka watoto wao
@fatmaahmed86377 ай бұрын
SALAAM ALEIK SH.SHAFI..TUONGEE NAKUOMBA
@jamilakhamisshaaban47527 ай бұрын
Tatizo ufahamu upo tofauti
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Msiba inna lillah wainna ilayhi raj'un
@rahmahasan327 ай бұрын
Mtihani huu yaarabi
@FahmiAbdallah-x9w7 ай бұрын
TARATIBU ND YNG,(KWANI MAJINI WEPI ANAOSHIRIKIANA NAO?)KM WAKIISLAMU NI KHEIR(KM SIO HIO NI SHARI)INSHAA ALLA KHEIR
@YUSUPHMTULILA5 ай бұрын
anta jaaahil
@ALIKASSIM-j5j7 ай бұрын
Na ktk Hao wanao Hama Hama Wasio Jitambua Ni NURDIN KISHKI Mmnae Muona Shekhe Mkuu.
@bonifasiemanueli217 ай бұрын
Dr, Sule anawashinda ELIMU mtatafunana ninyi kwa ninyi shida nini,
@mohamedsalat10667 ай бұрын
Sule elimu yake ndogo baado
@MussaJuma-nf3vg7 ай бұрын
SHEIKH UNAKOSEA NA WW NDIO MIONGONI MWA WAHARIBIFU WA DINI WW USHAMFATA DR SULE UKAMWAMBIA KWA HEKIMA HALAFU SIJUI MAREJEO YAKO YA ELIMU NI KITABU GANI HEBU ISOME VIZURI QURAN SHEIKH WACHA USHABIKI WA SIMBA NA YANGA. MUNAMUONEA CHOYO DR SULE.
@Daifar1007 ай бұрын
Aonewe choyo ya hiyo mijini??labda wew , huy asemwe hata miaka yote tu
@hilalalhabsi20477 ай бұрын
Mwenyezi Mungu sw anasema kwenye Qur-an, FANYENI istighfari mtapata mvua, mali NA watoto. Lakini huyu shafi anasema, ukisema astaghfirulah haupati kitu mpaka utoke. Hio mpaka utoke kaipata wapi?.
@shabanponera28957 ай бұрын
Kuna sehemu kamtaja sulle?
@xenioribra37657 ай бұрын
Tatizo elim.....Dunia ni Pana sana mwacheni sule apige kazi tunaomwelewa wachache
@YUSUPHMTULILA5 ай бұрын
We ni Jahil murakabbbbbbe
@tsumamartin68787 ай бұрын
Ndacha alimshauri Dr sule atangaze majini ni waislamu na hilo ndilo anafanya
@MahamuduJuma-jj9vo7 ай бұрын
Shekh tatizo uerewa aina aja kama yeye anatumia kwa ubaya bs muombee dua ila ata ww unamajini shk akuna binadama aliokosa jini kama mwema basi unamaJin tena ata wew shafii unapewa power pia nahao majini ila wema,we unailimu ya viumbe shekh tumia khekm.
@MgazaMhina7 ай бұрын
Majini yapo lakini hatujapewa ruksa ya kushirikiana nayo,elewa maana kutoshirikina nao
@YUSUPHMTULILA5 ай бұрын
We hauna elimu ndg
@JumaLugendo-rk3rp7 ай бұрын
Umekuwa jasili mkubwa kusema ukweli kwaajili ya Allah tunajua Dr. Sule ni mwalimu wako ila Leo umesema ukweli bila kupepesa macho
@aishaarusha8947 ай бұрын
Sule njaa ya majini inamsumbua😢
@PauloBarton7 ай бұрын
Waislamu wote mnapaswa kubatizwa na kuwa wakristo mmeanza kutombana wenyewe Kwa wenyewe no atali sana Ila Sisi wakristo tunaandaa maji ya ubatizo mtakapo kuwa tayali Sisi tunawasubili kalibuni Sana tunawapenda sana
@aishaarusha8947 ай бұрын
@@PauloBarton nanani tubatizwe tutolee maneno yako ya uongo
@aishaarusha8947 ай бұрын
@@PauloBarton kama mama yako na babayako walivo tombola wenyewe kwa wenyewe wakakupata wewe maluuni
@PauloBarton7 ай бұрын
@@aishaarusha894 kalibu kwenye njia ya ukweli na uzima matusi ya nini au umelaanika Dada yesu Kristo alimwaga damu msalabani Kwa maondoleo ya zambi zetu Sisi wanadamu hivyo basi waislamu wote mnapaswa kubatizwa mpaswi kufuga majini kwani majini ni malaika walio ASI na ndio maana linapo tajwa jina la yesu huwa yanatoka na kukimbia mbali namalizia na kusema waislamu wote mnapaswa kumfuata yesu Kristo mtakuwa mmebalikiwa Sana
@zaidechafim26137 ай бұрын
كلام الذهب
@naimamohamed22167 ай бұрын
Hawaja kukosea shafii kuna kitu umepewa na Allah ,wewe na kitatoke huko mbele tunategemea uje ihifadhi dini ,Allah akuweke
@ramadhanijohoiddi28997 ай бұрын
Sheikh pesa zipo bakwata ndani ya uislamu kuna njaaa
@feisaldesign41567 ай бұрын
Lakin firauni dah kiumbe Cha ajabu sana Kuna mazingatio makubwa sana ktk hiki kisa
@fredyunga21387 ай бұрын
Mtasema tu na bado hamjasema
@MujuniKamugisha7 ай бұрын
Waisilamu majini
@GoodluckLameck-nh9tq7 ай бұрын
Ni kweli unachosema
@amaroo12207 ай бұрын
Pa sawa mtu na apongezwe. Na penue makosa pakosolewe, kwa dalili lakini.
@ybmtaakwamtaaofficial34157 ай бұрын
Allah Akbar
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Tusikilize mawaidha ya Sheikh Nassoro Abdallah Bachu, mada KUIPA MGONGO DUNIA Sehemu ya 1 -4
@NassoroSalum-fv4eu7 ай бұрын
Waislam wote ni ndugu shekh kama kuna mapungufu kaa na doctor Sule muelimishane vizur the tuepushe mvutano
@hassanalikombozanzibar11927 ай бұрын
Jamani mbona tena munaanza kutoleana maneno mumaacha kufanya mihazara munatoleana maneno ah!
@saba-gv3mj7 ай бұрын
Kwani mungu akimtia mtu peponi yy ndio ajuae zaidi waeza kumuona mtu mbaya na akatubia na mungu akamsamehe na akamyanyua daraja na mungu yuwajua zaidi sasa ww utarusha vp mawe ukiona mtu peponi
@ALIKASSIM-j5j7 ай бұрын
Muelewe tu akhy wala usishangae ...watu Ni Akili Zake Na Mawazo ya KIDEMOKRASIA Akili Za MAANDAMANO zime Mgubika , Alafu Pia Watu Wa Bidaa(makhurafa) Hawajui Adabu Za Kuzungumza kuhusu Allwah Hawajui Adabu Za Kisheria Mtu Anapo Taka Kuzungumzia 1- Allwah au 2 Mtume au 3- Masahaba au 4- Dini ya Uislamu kwa Jumla Wao Huongea Wanavyo Jisikia Hawa Chuji Kauli Zao...HUROPOKA TUU. HALAFU PI Ujinga Nao Ni Tatizo Hawafahamu Dini Ya Uislamu Kwa Uhalisia Wake. Na Kibaya Zaidi Hupena Daraja Za Kielimu Bila Kusoma Hugawana Daraja za Elimu Pasi Mtu Kustahiki Utasikia :Shekhe Fulani, Allaamh, Doctor Fulani , Professor Fulani ....ilhali mtu Hajafika Hata Darasa la 6 Madrasa wala Haja Hifadhi Qurani Hata Juzu Moja , Hadithi za Mtume Ndio Kabsaa Hata hajui nikitu gani na kiko rangi gani.....ila Mwenyewe Ni Shekhe Aridhika kabisa na Kufurahi Akiitwa Shekhe ....!!? AJABU KABISA .
@Austinemarko7 ай бұрын
Msiba wa kujitakia hauna kilio..ushirikiane n majini den uede peponi du!
@saba-gv3mj7 ай бұрын
@@Austinemarko kwani ww na majini mumeumbwa muje duniani kufanya nn kama ww una ilimu kweli
@jumakumala13377 ай бұрын
Nkweli Kuna masheikh wako kwa maslai ya tumbo zao ,
@ramasefu97197 ай бұрын
Assalamu alaikum Sheikh shafi kwani kisima kina cukuwa gharama ya ngapi?
@hassanWanjiku7 ай бұрын
Mtume salallahu alayhi wasalam alisema uislamu ulikuja mgeni na utarudi mgeni zama hizi sasa tutafakari tuko wapi
@madetetv65767 ай бұрын
Mbn wanasema Islam upo tokea Adam kumbe mgeni
@iddimohamed2547 ай бұрын
Sule ni mganga tu..sio shekhe hakuna uhusiano wa majini na mwanadamu
@AbdalahMsaga-wf6zl7 ай бұрын
SEMA baba kiukweli ostadh shafii Sasa iv tuko kibiashara nikwanin tunashindwa hata kuiga njia za Othman maalim au ostadh mbonde jamni
@ALIKASSIM-j5j7 ай бұрын
Kumbe Mwakubali Kua ktk DINI Kubagua Kupo Kuwabagua Mashe Wanaofaa Kusikizwa Na Wasio Faa ila MANENO HAYA YAKISEMWA NA MASALAFI Dunia Ya Simama Kuwananga kua Wana Tuna Watu... Hooo Watu na waishimiane Hoo Tuweni Pamoja tuacheni kusemana ila Hapa Kasema Shafi Kimyaa
@ALIKASSIM-j5j7 ай бұрын
Ni Kweli Hamna Kushirikiana kati ya majini na binadamu Ndio Maana Mtume Hajayaita Majini Wamsaidie Ktk Vita Badri (Jihadi) Pamoja Na Uchache Wa Wapiganaji ktk Safu Yake.
@Joh-j9s7 ай бұрын
Kwani si waislam wezetu? Kwa taalifa yako inaswii kutumia majini.
@abasmwika34327 ай бұрын
Shafii una darsisha vizuri ila mautani utani yasiwe Mengi yanaleta ukakasi kwenye waadhi zako punguza utani unaomuhusisha Allah fanya tani zakawaida tu
@zainulabideen69557 ай бұрын
Struth
@OmaryMtumba7 ай бұрын
Asalam alayki shehe shafi Sasa kwanini musimuite na mkamwambia mbona amonaizi mlimwambia Sasa nae mwambieni kutaneni mashed mwiteni kueni siriasi hi ndie mwisilam
@ABDIKASIM-qe4lc7 ай бұрын
Shehe ukosahihi
@mrfashion16877 ай бұрын
We nawe njaa inakusumbua baada ya kuona mtu ulie hangaika nae kutangaza dini amekuacha mbali kimaisha
@HamisiHemedi-u8k7 ай бұрын
Swadakta
@DenisFute7 ай бұрын
luka 4:16 yesu aliingia kwenye sinagogi na akajitambulisha mkamkataa mkamtolea nje kabisa
@YUSUPHMTULILA5 ай бұрын
Nini maana ya neno sinagogi?
@Maxpaul-oi8pw7 ай бұрын
Juzi tu walikuwa wanamsifia sule leo wana mpenda kwakweli hamueleweak
@shabanponera28957 ай бұрын
Kama kakosea asiambiwe?
@iddimohamed2547 ай бұрын
Alaf hii nchi jirani sijui iko na balaa gani kila siku Kuna mapya,mara nyoka mara Pete mara majini...🤔🤔
@AishaHaji-w6z7 ай бұрын
Shekhe mwambie sule Tena aelewe vizuri na ajue kwamba anapotosha uma uslamu umeweka kilakitu kipo wazi sasa awapiteze wasio jitambua
@AishaHaji-w6z7 ай бұрын
Tujihadhari na masheikhe kama akina sule kwanza wanadhalilisha uislamu yeye kapita shotkati kutafuta Mali anataka kuinginza na wengine Allaah tunusuru na watu kama hawa
@Werema37607 ай бұрын
HUWEZI UKAAMINI MASHETANI(MAJINI) UKABAKI SALAMA. ■YESU KRISTO NDIE NJIA KWELI NA UZIMA. FULL STOP.
@ybmtaakwamtaaofficial34157 ай бұрын
Kwa imani yako coz yes ni marehemu
@YUSUPHMTULILA5 ай бұрын
Hujielewi ww
@YUSUPHMTULILA5 ай бұрын
Hujielewi ww
@dengepandu97347 ай бұрын
Huo ndio uislam wa sasa kupigana bijembe kilamoja najuwa yeye hukonyuma hayakuepo haya wanawekeana Hadi midahalo hadharani inalilahi
@jabirkasunzu68417 ай бұрын
Anasema ukweli
@canamass7 ай бұрын
Yalisimiswa Sasa sindugu Leo unakataa ndungu majini duh
@GilbertNhigula7 ай бұрын
Je Manabii Wote na Mitume Wote Walikuwa na Mabodi Gard ,?
@BinSwaleh7 ай бұрын
DR Tule
@jamilakhamisshaaban47527 ай бұрын
Zanzibar watoto wetu bado wanaenda madrasa labda uko kwenu bara
@YUSUPHMTULILA5 ай бұрын
Muhimu waende
@mdidiomari73517 ай бұрын
Shekhe umeongea
@ALIKASSIM-j5j7 ай бұрын
Utaratibu huo wakitanguliza baadhi ya sura kabla ya dua Hio Ida isghfari mara 12 kakufunza mtume nani ?
@DakorTrony6 ай бұрын
Muhammad yule alisilimisha majini
@MohamediOmari-nz4vv7 ай бұрын
Mpango wa makafili kuupoteza uislam
@pascalvirgilio72087 ай бұрын
Vita ya wenyewe kwa wenyewe😂
@PeterYaro-o8b7 ай бұрын
Machen sulle na majini wake,maana majini pia ni waislamu. Ni ndugu zake,maana waislam wote ni ndugu
@MesalimRashid7 ай бұрын
Umegundua ndipo wewe uko sahihi aslimia mia Dr Sule apoteza watu.
@aliyyuhibu35617 ай бұрын
shaffii kwani sule kasema anamiliki majini au anaweza kuwaita
@xenioribra37657 ай бұрын
me binafs nmesikitika sana....sule katoa elim ya majini....pia katolea mfano wa Suleiman lakn Wana muaatack....masheikh wetu hawana elim aiseee juz huyu shaff alikuw anamsifia sule et Leo anamponda....