Una akili kaka, tofauti na watu wengine anaamua kubisha kwa mtazamo wa dini bila kuangalia ukweli
@athumanikajembe4585Ай бұрын
Marekani hawamini hii dunia imeumbwa na nani wao wanaamini wanaamini katika sayansi maumbile yote viumbe ni nature ni jamii ya mayahudi.Sasa basi mwenye akili anajua kwamba alichokiumba mwenyezi hata kidogo hakiwezi kumpangia mwenyezi mungu.hiyo mipango anayoipanga haitafanikiwa hata kidogo kwa nguvu za mungu.Historia zinaeleza kulikuwa na Tawala kubwa zilitawala dunia kwa malengo mabaya mungu aliziangusha.Tumuombe mwamba afanikiwe dunia iwe na heshima nafikiri mwamba anayesimamia nidhamu ya dunia ni Putin mungu ampe nguvu zaidi na ushindi.AMIN
@dinocastico84958 ай бұрын
Mzee ana uchambuz mzuri sana hakika
@jumakapilima72958 ай бұрын
Truly!!
@rasheedabby28718 ай бұрын
Mwamba ana madini sana chuma kamili
@siasia54699 ай бұрын
Muwe mna mleta mara nyingi ana madini mengi Allah amuhifadhi
@abdulbonomali65489 ай бұрын
Na wmefanikiwa kutufanya tusiwe na uwezo mkubwa wa kufikiri na kufanya maauzi sahihi
@King_Of_Everything8 ай бұрын
👍✌️👊.
@Greatamir8 ай бұрын
8:38 8:55 8:57 8:58
@noorbazaar90639 ай бұрын
Shukran 🙏🇹🇿
@nicksonlyimo15628 ай бұрын
Sio marekani tuu hata wewe myu aki inuka na kupinga maslahi yako na familia yako hata wewe hutamuelewa huyo mtu, watu wanauana hata afrika kwaajili ya maslahi yao huwezi kumtenga mtu na maslahi yake kwani maslahi ndio maisha ,usidhani kama weee ni kiongozi halafu uache kuitetea heshima ya nchi yako na watu wako utakua wewe hujitambui.
@batashqiraa99369 ай бұрын
Swadakta sheikh umenena ukweli
@JohnmalekelaАй бұрын
Nilikua nakuelewa
@mussamabawa29739 ай бұрын
PROFESSOR NZOZI
@MadjidiHilali10 күн бұрын
😅😅😅
@josephmasanja85847 ай бұрын
Waislamu acheni kujitia mnajua saaana wakati hamtaki elimu ya duniani!!!!!
@saidmsuya31655 ай бұрын
😂😂😂😂tatizo we ni mbumbumbu
@josephmasanja85845 ай бұрын
@@saidmsuya3165 wewe ndo mbumbumbu, unang'ang'ania kuvaa nguo za kizamani wakati binadamu hajajua kujishonea nguo inayompendeza na uhuru wa mwili kufanya kazi yoyote
@mwawekomiuda9779Ай бұрын
Kwenda zako wewe. Nyinyi ndio mna Elimu ya dunia mngekua na Akili finyu namna hiyo Loooo! Fyuuuuuu!
@clarencehilary55888 ай бұрын
Yaani hawezi kuzungumza Jambo bila kutaja uislam wenye dini yao waarabu wapo kimya nyinyi mijitu myeusi mnahangaikia uarabu
@jumakapilima72958 ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi?
@user-sb6gy6dx1m7 ай бұрын
Unaropoka hakuna unachoelewa. Halo kwambia uisilamu ni dini ya waarabu Nani?
@MohdHamad-zr8ll7 ай бұрын
Nikweli hata mambo ya uzazi wa mpango ni mbinu ya mayahudi.
@paschalcharles60978 ай бұрын
Hivi hii mtu kutaka ni kitu gani????
@Greatamir8 ай бұрын
😂😅😅😅😅
@michaelmillinga50647 ай бұрын
Hovyo kabisa.. pointless
@mamlomamlo90649 ай бұрын
Kitu Cha mwanzo ni haki maslahi ni jambo la pili ukisoma suratul al asr kwa hiyo marekani ni Wala dhalin
@charlesmakuri7927 ай бұрын
Hao waislam tatizo ni ugaidi na ubaguzi
@JohnmalekelaАй бұрын
Sio kweli hawana ugaid wowote fatilia sana utaelewa ndugu
@alikamberis8 ай бұрын
Una uongo tu
@mwawekomiuda97793 ай бұрын
Hv umeona uko sawa kiakili?
@FridayMwassa8 ай бұрын
Mahali popote penye waislam hapakosi chuki nenda somalia, alfaghanistan, Pakistan, Sudan, Mali, Chad, Yemen kote huko wanauwa hovyo sababu ya dini, waislam wengi wanakuwa na amani wakiwa USA, UK, Canada, Australia, France, Norway na hawataki kukimbilia Saud Arabia, Iran au Kuwait
@ibrahimabdillah57298 ай бұрын
Kwenu muwe na chuki...ila mkiwa Kwao mtaishi kwa amani?! Ndio unamaanisha ndg.....?!
@jumakapilima72958 ай бұрын
Bahati mbaya sana kila kitu kiko wazi kuwa huko kote kwenye migogoro katika nchi za kiislam mastermind wa migogoro hiyo ni marekani,,,labda wewe uelewa wako Mdogo ndio maana pengine hujui kinachoendelea duniani
@annasolomon98558 ай бұрын
@@jumakapilima7295Magaidi hayo acha kuweka maneno meeengi ,hio ni dini ya fujo na ya kigaidi 😅
@jumakapilima72958 ай бұрын
@@annasolomon9855 hahahaha,,,, kafiri wewe Una chuki binafsi
@annasolomon98558 ай бұрын
@@jumakapilima7295 Mimi kuitwa kafiri ndio furaha yangu 😂😂ilimradi najijua na ninawajua Magaidi Wala hawatusumbui☺️☺️
@aishathabit37329 ай бұрын
#fikra gani hizi? Kwamba uislamu bila waislamu? Ni sawa na kusema kivuli bila mwenye nacho ni dhana ambayo sio sahihi Pia si kweli Amerka ana angalia tu maslahi na hauchukii uislamu bali ni vyote viwili Nchi ya kiislamu ni inayo tawala kwa khilafah na hilo halikubali #Siri_ni_hii Uislamu ni mfumo wa kiutawala na sio dini ya kiroho pekee kama baadhi ya masheikh wanavyo somesha na kuhubiri
@user-sb6gy6dx1m7 ай бұрын
Wewe ndo walewale wenye fikra za kimagharibi, mnataka kuishi mnavyotaka, na mnakubaliana na mifumo ya maisha ya hao wamagharibi
@sharomdguda8 ай бұрын
Kila kitu uislam Islam too much waislamu wenyewe ni hawa hawa tunaoishi nao. Tatizo nini waislamu?
@chalokalunde94299 ай бұрын
WIslam ndio wanaongoza kukimbilia nchi za Wakristo,hawaendi Saud au Yémen. Pia Uislamu umebakiza miaka 62 tu kutoweka duniani.soma hadithi za mtume,alisema Uislam ataishi miaka 1500 tu.Huu ni mwaka wa Kiislamu 1438.
@mbarakbinzoo9 ай бұрын
Ww n maiti inayotembea
@user-lt1bi5nr1x9 ай бұрын
Alafu inakuaje
@user-lt1bi5nr1x9 ай бұрын
Shoga kama wewe huwezi penda waisilamu
@user-lt1bi5nr1x9 ай бұрын
Shukran mzee Allah akutunze
@lookmanlookman62979 ай бұрын
ukiona ivo ujue kiama kipo karibu maana mtu wakuongopea maswahabe wake n hadith zake ni sahihi ukiona nchi zimejiandaa kupigana vita ndo utajua hii dini haina shaka na muhamad ni mkweli
@ezekielmabwai4828 ай бұрын
Mbona Waislamu wengi Mashoga? Sasa wanapambanaje na USHOGA?
@FeisalDoctor8 ай бұрын
😂😂😂😂😂Unaharish ukiwa wap
@mwawekomiuda97793 ай бұрын
Lkn kwenu ushoga uko kanisani
@saiddgsmgАй бұрын
Ushoga umeletwa na waikristo
@aishathabit37329 ай бұрын
#Njozi hakika jambo msingi na kiini cha tatizo hujakipata Na haijalishi wewe ni prof au laa Kiini ni uislamu Una mfumo wa utawala na wao wanazuia uislamu usiwe na utawala Don't hit around the bush Mazungumzo kama yako ambayo una fanya general sio tishio kwao kwani wazunguka huku na kule Bado prof jipinde Lakini على كل حال Allah akulipe kila la kheri
@kalamuMedia9 ай бұрын
Assalam alaikum Aisha,kama hutojali tunaomba kuja tukurekodi ili watu wapate faida
@simonnembomadola75129 ай бұрын
Usiwasifu wachina.Wachina ndio hawataki kabisa uislamu kwenye ardhi Yao na wanawawekea vitu maalumu vya kuwaangalia waislam chochote wanachofanya kuogopa ugaidi. Uislamu umejengwa kwenye chuki na siasa Kali kwa wote wasio waislamu ndio maana nchi zingine kama Poland hawataki kabisa waislamu kwenye nchi zao kuogopa ugaidi na siasa kali
@lookmanlookman62979 ай бұрын
tumekubali uislam hawautaki je kilichowafanya hao makafiri kuandika quran ya kwao walikua na maana gani dunia inapoelekea huwezi kujua kama wewe sio muislam chuki mmezitengeneza wenyewe ukiniuliza mimi nakupa mfano apa mwanza mwenyekiti wa mtaani alikua mchangaji mtanii makanisa yapo kama matatu ivi waislam walijengeza msikiti mchungaj akazuia msikiti usijengwe msikiti ulipojengwa walikua wanaubomoa unadhani waislam watafanyaje wachungaji na maasikofu wanaongea lolote hawachukulia hatua upande wapili masheikh wangap wangwa kwa kuongea tu nikuambie kitu haha unayoaona ya taendelea mpaka kiama
@annasolomon98558 ай бұрын
😅😅😅
@user-nv7jg6xc8l7 ай бұрын
Kasome uislam ndo uongee
@user-sb6gy6dx1m7 ай бұрын
Hakuna unachoelewa kuhusu uisilamu. Waswaili wanasema ikitaka kuua mbwa muite jina baya. Ndicho wanachofanya maadui wa uisilamu, kuwachafua waisilamu na uisilamu juu ya ugaidi. Mbona hao wanaoua waisilamu hawaitwi magaidi. .? Waisilamu tu ndo magaidi