DUNIA YA ENDA KUPINDULIWA MDA SIO MLEFU KILA MKRSTO AJIANDAE. AJIEPUSHE EV PASCHAL CASSIAN

  Рет қаралды 71,419

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE

Күн бұрын

Пікірлер: 192
@jacquelinejoseph9477
@jacquelinejoseph9477 Жыл бұрын
Inapasa kuandika jina la aliye ziumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo kwa kuanza na herufi kubwa ( Mungu ). Ubarikiwe mtumishi.
@hariettekiza9050
@hariettekiza9050 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa mungu Yesu akulide 🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴
@PaulJuma-un6sk
@PaulJuma-un6sk Жыл бұрын
Ameen endelea kuhubiri injili ya kujiandaa kuja kwa Yesu ku karibu sana
@josephmutemi7494
@josephmutemi7494 Жыл бұрын
Amen Amen Amen BWANA akulinde na akuepushe na mabaya yote katika jina la YESU KRISTO Amen
@paulmkoi8086
@paulmkoi8086 10 ай бұрын
Amen, ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU na azidi kukuinua na kukutumia zaidi usichoke
@rebeccamaunde4085
@rebeccamaunde4085 Жыл бұрын
Pastor cassian more 🔥 🔥 fire neno la mungu liendelee mbele,,nakupat nikiwa uwarabuni
@SalomeNdisabisa
@SalomeNdisabisa Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa mafundisho mazito mutumishi wa Mungu. walio na sikio wa wasikie neno Mungu aiambiya makanisa . Mungu akulinde .
@agnessbulegu996
@agnessbulegu996 Жыл бұрын
KWELI huu ni mlipuko WA Injili. God bless you More brother Pascal CASSIAN.
@zeinab3996
@zeinab3996 Жыл бұрын
Amen 😭🙏🙏 niko taar kumurudia bwana mungu wangu pamoja na watoto wangu 🙏🙏😭
@agnesschayenda6101
@agnesschayenda6101 Жыл бұрын
Unasema ukweli sana mtumishi. Asante sana kwa Mwenyezi Mungu mwenye anakuchaguwa kuwa mtangazaji wa injili❤. Amen and Amen🎉❤
@georgekiwango2390
@georgekiwango2390 Жыл бұрын
Ahsante Sana mtumishi wa MUNGU. Ubarikiwe Sana. Nimesikia Hbr ya mafundisho uongo. Naomba ufafanue juu ya kuomba miungu
@suvenkanyolo6104
@suvenkanyolo6104 Жыл бұрын
Amen 🙏 amen hallelujah Hallelujah hallelujah hallelujah amen Umbarikiwe sana kabisa Mungu akulinde Baba❤❤
@AloniShalom-iz8dl
@AloniShalom-iz8dl Жыл бұрын
Ahsante Baba Mungu kwa kutupatia Mtumishi anaenenda Kiroho Amen
@pendoshaban1010
@pendoshaban1010 11 ай бұрын
Mungu akubariki pascal endelea kuwapiga vitu vizito. Sema kweli tupone waioelewa awache endelea na walio tayari
@benedictbaraka6836
@benedictbaraka6836 Жыл бұрын
Merci homme de Dieu pour cette vérité !! C'est Bénédict depuis la RDC.
@maggiemumo4817
@maggiemumo4817 Жыл бұрын
Bwana atusaidie kweli
@asiyakabuya6159
@asiyakabuya6159 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa BWANA ubarikiwe sana kwakutuelimisha ili tuingiye mbinguni 🚶‍♂️🚶‍♀️🚶, wa Paster waongo wakijiita manabi wakisheta watuwache🤷‍♀️🤷‍♂️🤷 tumujuwe MUNGU wakweli, mtumishi WA BWANA wakweli piga kelele nakutukumbusha nakutuelekeza kwa MUNGU wa kweli 🙏🙏🙏 ubarikiwe ameeen 🤲🤲
@modestshikilana4610
@modestshikilana4610 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa neno lenye uzima. Ubarikiwe zaidi.
@danielkanso
@danielkanso Жыл бұрын
Amen mtumishi kwa mafundisho mazuri na yakujenga na Mungu akujalie uwepesi katika huduma
@rebeccamukonyi3489
@rebeccamukonyi3489 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏 Mungu akulinde sana mtumishi.anatufungulia macho na masikio.mungu atusaidie sana ili tuweze kuona ufalme wa Mungu.
@nadiahabarugira3147
@nadiahabarugira3147 Жыл бұрын
Amen amen Baba👏👏👏👏👏👏👏barikiwa sana kbs
@felsonsanga8502
@felsonsanga8502 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,upo vizuri pia umejitoa muhanga,
@jescakazungu5027
@jescakazungu5027 Жыл бұрын
Barikiwa Sana Mtumishi wa MUNGU,Huyu mama wetu Rose Muhando nyimbo za zamani zilikuwa na nguvu lakini Sasa imekuwa tofauti,mpaka mwisho wa nyimbo zake ameweka neno(kamixilaiza)ambapo tunaona linatumika Sana na wasanii wakidunia, MUNGU akubariki
@eunicepilly802
@eunicepilly802 Жыл бұрын
Amina Mungu awabariki Mtumishi wa MUNGU
@johnstonekioko1275
@johnstonekioko1275 Жыл бұрын
Am Johnstone from Kenya ninawasihi kwa jina la yesu ninaongea na vijana ulimwengu wote mumekua mnafuata ulimwengu ukigeuka mnageuka nao mitindo ya kisasa mnafuata kwanini munaiga shetani ametengeneza mambo mengi awamalize kupitia mavazi unakuta vijana wananunua mavazi yameandikwa mfano wa hayo majina ni haya kanyaga never give up abamoko majina kama hayo spiritual ikona maana yake lakini mumeyapenda pia makanisani unakuta mavazi hayo yamevaliwa wanadada wanavalia suruali munaabudu mungu gani shetani anafurahia nyimbo nazo za dunia munazicheza mfano wa hao wasanii diamond zuchu nawegineo mmezipenda wakati unasikiliza hizo nyimbo unakuwa ukona huusiano na demonic anakuwa ndani yako geukieni hizo njia zenu njoni kwa yesu awaokoe
@Saidi1581
@Saidi1581 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu Paschal cassian from 🇨🇩🙏🙏🙏
@gracaantonio7611
@gracaantonio7611 Жыл бұрын
Asante sana Mtumishi kwa Huduma hii❤
@merymbaga4838
@merymbaga4838 Жыл бұрын
Hakika wew umetumwa na mwenyezi mungu 😢😢😢😢nilikua najiuliza hivi kwel mungu hakuna hata mtumishi wako ambae ni marufu ambae akipanza sauti yake Dunia itajua kua yupo mjumbe wa mungu ashukuriwe mungu nilikua naumia sana
@monicamsile2284
@monicamsile2284 Жыл бұрын
Hakika unaokoa roho za watu ambao wanastahil kuokolewa,asante sana,yaani haipit siku sijasikiliza mahubili yako,nafurahi sana,kuponywa nafsi yangu,Mungu amekuteua kweli kweli kuhubiri matendo yake ,Akubariki sana na akulinde udumu ktk kutufundisha
@williamkapama8744
@williamkapama8744 Жыл бұрын
Uwe daima na MUNGU,Pascal.
@petermathias8097
@petermathias8097 Жыл бұрын
Mteule wa bwana yesu Mungu akubariki sana na akutetee zidi ya watesi zaidi ya yote Mungu na muomba akulinde na kukutunza
@JoãoPatríciaoChepo
@JoãoPatríciaoChepo Жыл бұрын
Deus te abençoe. Obrigado por tudo, Amém
@francinenduwimana1413
@francinenduwimana1413 Жыл бұрын
Na ukukwetu Burundi 🇧🇮 hao manabiii wapo.wana uzisha maji namafuta. Nawenyew nikuwasema uwataji hazarani watu wawajuwe.Mungu awabariki
@joannembaja6053
@joannembaja6053 Жыл бұрын
Nakubaliana nawe mtu wa Mungu..tangaza injili watu wamjue Mungu..nyakati mi za mwisho tuwe tayari kwa ujio wa Yesu
@japhetntabala6964
@japhetntabala6964 Жыл бұрын
Mungu akuwezeshe mtumishi wa Mungu na akutie nguvu uendelee kusimamiya ukweli wa neno la Mungu, kweli watumishi wengi wamechanganyikiwa, ila namwomba Mungu akuzidishie ujasiri naku kulinda mpaka mwisho wa safari yako, Yesu kristo awe nawe Amina Amina.
@carolshao-ql8it
@carolshao-ql8it Жыл бұрын
Amina mungu azidi kukubariki uendelee kutuongoza maan dunia ya leo imeharibika watu hawana hofu ya mungu kabisa🙏
@Akinyisafi8361
@Akinyisafi8361 Жыл бұрын
WATU WA MUNGU WACHA TUMRUDIE MWENYEZI MUNGU AKI DUNIA IMEISHA KABISAA BROTHER PASCAL WACHA MUNGU AKUZIDISHIE MAISHA MAREFU NDO UTUFUNDISHE ZAIDI SISI WATU WENYE TUNATAKA KUMRUDIA MUNGU AMEN 🙏🙏
@regnaldymambaly9880
@regnaldymambaly9880 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi umesema , mimi nilishanga kuona mtu fulani akimkaribisha mwimbaji wa kidunia kanisani kwake eti ameimba wimbo mzuri nikajiuliza hivi shetani ana weza kufanya kitu kikawa kizuri kwa mwanadamu kweli ? Lakini cha ajabu zaidi bado watu wana zidi kulijaza kanisa lake wakati hicho ni kipimo tosha kumjua kuwa ni waupande gani .watu wamebaki wakiangalia miujiza tuu wame sahau sahau kua hatujaambiwa kua tuta watambua kwa miujiza yao bali ni matunda yao.kwamfano kuna mwingine ali waambia watu wakakanyage mafuta badala ya kupata uponyaji waka kutwa na umauti lakini bado ana wakusanya watu wengi waki zani ni mtumishi wa Mungu.
@MrbillKenyamusic
@MrbillKenyamusic Жыл бұрын
Sema tunasikia neno lako
@hassanbilali1697
@hassanbilali1697 Жыл бұрын
Tatizo lenu nyie wakristo mulimezeshwa sumu mbaya ya chuki dhidi ya mafundisho sahihi ya dini ya M/Mungu. Sisi waislamu tunaamini juu ya mafundisho sahihi ya injili takatifu aliyokujanayo nabii isa (Yesu).lkn sio injili hizi ya leo ilichakachuliwa. Wahariri walijua hilo wakaja na hoja ili kuonyesha kipi sahihi na kipi sicho. Hata yakitokea yote hayo wala hustuki basi hata musiwe waislam jaribu kuchuja mafundisho yenu kwa faida ya vizazi vyenu.
@DeboraJons-xt8um
@DeboraJons-xt8um 11 ай бұрын
Mungu akubariki sana lakini pia akutue nguvu Amen
@meshackkulinda1753
@meshackkulinda1753 Жыл бұрын
Mimi nilishawakataza kuangalia watoto wangu nyimbo za Goodluck,.Mungu akubariki kweli
@jamesmgonda
@jamesmgonda Жыл бұрын
Preach preach preach The Word of God...there is a reward and Crown prepared to The gospel workers
@kwanzainteligence9642
@kwanzainteligence9642 Жыл бұрын
Which word of God is this? Confusion is the word?
@FrancisKikoti
@FrancisKikoti 11 ай бұрын
Mungu akubariki mchungaji casian Kwa kunifumbua macho🙏
@samuelemiliochitungulo3541
@samuelemiliochitungulo3541 Жыл бұрын
Mungu atulinde sana🙏🙏🙏
@mapendoumoja800
@mapendoumoja800 Жыл бұрын
UBARIKIWE KWA NEEMA UMEJALIWA KWAKUSISIMUA WATEULE WA BWANA ! MUNGU ASEMA WALIYEWAKE HATAWAACHA KUPOYEA ATAWALINDA HADI MWISHO WA DUNIA AMEN
@neemamwalende9740
@neemamwalende9740 Жыл бұрын
Amen baba km kusema umesema aliye na masikio amesikiyaa
@RogerLwamatwi
@RogerLwamatwi 11 ай бұрын
Mungu akuzidishiye sana.
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
You have the soul of JESUS you are going the same with gospel
@marietamgwadi2097
@marietamgwadi2097 Жыл бұрын
Mungu akuzingire pande zote naazidi kufanya huduma mungu aliokupatia kweli ni nyakati za mwisho
@drdd774
@drdd774 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Paschal cassian kwa injili ya kweli
@justerkamala3933
@justerkamala3933 Жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu, ubarikiwe sanaa tuko pmj
@alphaabely1560
@alphaabely1560 Жыл бұрын
Amen God bless you pastor.
@rebeccanghwasa7387
@rebeccanghwasa7387 Жыл бұрын
I am praying for you Endelea Bwana Yesu yu upande wako. Amen
@elizabethnicodemus5192
@elizabethnicodemus5192 Жыл бұрын
Bwana mungu akubariki mtumishie bwana atusaidie tusikose mbingu
@paradisomwagala-jh3ki
@paradisomwagala-jh3ki Жыл бұрын
Msikilizeni huyu anaongea kweli mambo hayo yapo na ni kweli mtupu
@johnstonekioko1275
@johnstonekioko1275 Жыл бұрын
Pascal my the almighty God bless you
@monicamrisho767
@monicamrisho767 Жыл бұрын
Barikiwa Sana Mungu awe nawe kabisa, endelea kupiga kelele Kanisa linaangamia
@monicamrisho767
@monicamrisho767 Жыл бұрын
Kanisa linahitaji kubadilika kweli kweli Asante Mungu akutie nguvu Sana Sana
@frankbeyanga9841
@frankbeyanga9841 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu, ubarikio na bwana kwa mafundisho yake mazuri, endelea kuturudisha mtu wa mungu
@jocyemovin2732
@jocyemovin2732 Жыл бұрын
Hii ndio injili ya kweli ubarikiwe sana mtumishi
@geraldmwandolela8535
@geraldmwandolela8535 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa kuelimisha Jamii kupitia huduma ya kiroho
@joshuajapa2596
@joshuajapa2596 Жыл бұрын
Mungu atuhurumie barikiwa sana mtu wa mungu Alie hai acha wakuchukie Ila ukweli unasema
@mteweleonesmoonesmo7143
@mteweleonesmoonesmo7143 Жыл бұрын
Barikiwe mtu was mungu
@bernadetteshukuru9154
@bernadetteshukuru9154 Жыл бұрын
Iyondiyo kweli amen ubarikiwe sana mupendwa wa Mungu sema kweli yote brather ukweli wamuacha mutu kuwauru
@otacyndula5491
@otacyndula5491 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi, palipo pungua pakaongezeke
@RogerLwamatwi
@RogerLwamatwi 11 ай бұрын
Mungu akubariki
@Roseokongo355
@Roseokongo355 Жыл бұрын
Amen,be blessed God is with you.
@stevembaigwa7078
@stevembaigwa7078 Жыл бұрын
Ni kweli kweli mtumishi wa Mungu
@medsonsanga4813
@medsonsanga4813 Жыл бұрын
Amen mtumishi 🙏
@ruthmakwangura-zc3iw
@ruthmakwangura-zc3iw Жыл бұрын
Amen mtumishi wamungu
@sautiyamunguduniani4620
@sautiyamunguduniani4620 Жыл бұрын
God bless you mwinjilisti Paschal Cassian
@millicentywauii2307
@millicentywauii2307 Жыл бұрын
Amen amen MUNGU akubariki sana mtumishi
@frankbeyanga9841
@frankbeyanga9841 Жыл бұрын
Mtumishi ni kweli unacho kuongea nyimbo zeny midundo ya kidunia zinapigwa mpaka kwenye mabaya kwa kuwa amna tofauti kati ya nyimbo za Mungu na za kidunia, ubarikiwe mtu wa mungu
@dainesykalinga7133
@dainesykalinga7133 Жыл бұрын
AMEEN AMEEN MTUMISHI WA MUNGU PASCAL , MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKULINDA NA MABAYA YOTE KATIKA JINA LA YESU KRISTO.
@furahagiselle1235
@furahagiselle1235 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukulinda kaka
@jacklinejosiah978
@jacklinejosiah978 Жыл бұрын
Mungu akulinde
@lebeka2951
@lebeka2951 Жыл бұрын
Amen Nikweli kabisa unalo sema MUNGU akutienguvu ktk kulitangaza neno lake na kweli yake pia na damu ya YESU ikufunike ktk kulitangaza kweli yake Yohana 3:30🙏👏
@عائشهعائشه-م9ق
@عائشهعائشه-م9ق Ай бұрын
Amena ubarikiwe
@brighterantony8707
@brighterantony8707 Жыл бұрын
Mungu anibadilishe nifanane naye
@benithafredrick2465
@benithafredrick2465 6 ай бұрын
Barikiwa sanaa Amina
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Eee MUNGU nisaidie niache kusikiliza music wa Dunia,,,,, barikiwa mtumishi wa MUNGU
@neemamarko176
@neemamarko176 Жыл бұрын
Barikiwa sana 🙏🙏🙏
@Mwesige-s8q
@Mwesige-s8q Ай бұрын
Mtumishi Amen 🙌🙏🙏
@nickomapunda
@nickomapunda Жыл бұрын
MUNGU akulinde mtumishi
@biyamunguernest2222
@biyamunguernest2222 Жыл бұрын
Amen mtumishi.kwakweli uko nanibariki .siku baada ya siku.uwa siku aipiti kama.sija sikiliza mahubiri yako .unaongeya kweli?
@fidelebaombe1677
@fidelebaombe1677 Жыл бұрын
Niatari sana mungu hatusadie sana
@samiriniyondiko2418
@samiriniyondiko2418 Жыл бұрын
Allah akulinde
@emmanueltuppa5459
@emmanueltuppa5459 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana jasusi wa Mbinguni
@bintmwambapa7734
@bintmwambapa7734 Жыл бұрын
MUNGU azidi kukupa maisha malefu Mtumishi wa MUNGU alie hai! Niko tayari kuchangia kwanzia mwezi hujao maana Sina kazi kwa sasa
@kavirajanine4893
@kavirajanine4893 4 ай бұрын
Merci dieu et grand
@festomayemba6656
@festomayemba6656 Жыл бұрын
Mtumish mungu akubaliki sana sana
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 Жыл бұрын
Shetani amekufa kuiba, kuharibu na kuua alichokusudia kuumba Mungu. Ni wajibu wa kila mmoja kuchakua ni njia ipi atakayo fuata ili kujiokoa na huyu muovu. Kumchakua Mungu ni kufanya kulingana na matendo yanayoambatana naye. Kuchakua shetani ni kwenda kuzimu na kuangamia milele. Kama mkristo chakula kwa ufasaha.
@benjaminmgaya
@benjaminmgaya Жыл бұрын
Yesu akurinde mtumishi endelea kutufundisha tujue
@beatricetighter1694
@beatricetighter1694 Жыл бұрын
Goodluck umefikiwa
@louisendunguru7106
@louisendunguru7106 Жыл бұрын
Damu ya YESU ikulinde 🇺🇸🇺🇸more grace
@jeremiahboyi6511
@jeremiahboyi6511 11 ай бұрын
Usiogope songa mbele Mtumishi Bwana yu nawe .
@LuciaBundala
@LuciaBundala 7 ай бұрын
Ee mungu tuepushe na majanga
@kennyfriday
@kennyfriday Жыл бұрын
Nilipo sikiliza hili neno limenisaidia sana
@amockkalinga1520
@amockkalinga1520 Жыл бұрын
Umebarikiwa mpendwa hongera Kwa hiyo NEEMA🙏👏🙌🤩👈
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 Жыл бұрын
Alieiumba dunia YESU yupo atawapindua , YESU tu ndo usalama
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
Umeongea kweli mtumishi
@rubenipetro-nj5qy
@rubenipetro-nj5qy Жыл бұрын
Hakika Mungu yuko pamoja nawe ubarikiwe sana mtumishi
@enelybukuku6902
@enelybukuku6902 Жыл бұрын
Nikweli mtumishi wamungu.shetani ametupumbaza tunaiga Mambo yasiyo na maana.mungu atusaidie tupone kupitia maneno yako matakatifu
@doricemrema2177
@doricemrema2177 Жыл бұрын
Hakika UMESEMA vema, hutadaiwa damu yamtu, nawa mikono mtumishi wa Bwana ( KAZI kwao kusikia) ASANTE YESU KWA KUNITOA HUKO.
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯
@Neemakilimba
@Neemakilimba Жыл бұрын
Mtumishi Hizo Emoj usizitumie Kuna watu wamefunuliwa kuwa Ni Ishara za shetani
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Жыл бұрын
LORD IS MY SONG 🙏
@laluubajuta6213
@laluubajuta6213 Жыл бұрын
Ulinzi wa Mungu uwe juu yako Amini
@victoriakarema3206
@victoriakarema3206 2 ай бұрын
Bwana azidi kukuinua na akupe nguvu zaidi
@boscokavindioffice
@boscokavindioffice Жыл бұрын
Injili ya kweli lazima iwekwe wazi hakuna mtu anaeweza kama paschal kasian maana wengi wao sehemu ya comment wameifunga kwa kuogopa ukweli , Mungu akubariki sana
@sakiimchomvu9769
@sakiimchomvu9769 Жыл бұрын
AMEN, NI KWELI KABISA 👏👏👏
@abelboniface2277
@abelboniface2277 Жыл бұрын
Ama kweli haya yote sio uongo aiseee!!!!
@ongwaleah7491
@ongwaleah7491 Жыл бұрын
Amen Amen Mtumishi
SIRI NZITO.YA TOLEWA KUNDI PEKEE DUNIANI LITAKALO INGIA MBINGUNI NI HILI EV PASCHAL CASSIAN
49:25
HIZI NDIO SIRI NA UKWELI KILA MKRSTO AKAE AKIJUWA AJIHADHARI SIKU ZA MWISHO EV PASCHAL CASSIAN
47:08
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 123 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 47 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 5 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
KUZIM YA TIKISA KANISA WAMETUMWA KUHARIBU UKRSTO EV PASCHAL CASSIAN
44:21
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 48 М.
AI Summit Saint Lucia
3:21:43
National Competitiveness and Productivity Council (NCPC) St. Lucia
Рет қаралды 2,5 М.
KUHANI MSA NI MWALIM WA UONGO. NA NABII JODEVI NABII MKUU EV PASCHAL CASSIAN
30:26
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 67 М.
WANA WAKE HAWATA INGIA MBINGUNI? EV PASCHAL CASSIAN
1:00:35
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 2,3 М.
MZEE WA UPAKO AVALIWA NA ROHO CHAFU KUTOKA KUZIM  ONYO KWA KANISA  EV PASCHAL CASSIAN
1:23:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 16 М.
THIS GRACE CALLED FAVOUR WITH APOSTLE JOSHUA SELMAN (KOINONIA SUNDAY SERVICE)
2:42:31
ALAMA YA MYAMA  INAKUJA HIVI SASA EV PASCHAL CASSIAN
53:25
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 1,9 М.
سورة البقرة كاملة لطرد الشياطين من منزلك وجلب البركه باذن الله surat albaqra
3:54:31
pumpkins #shorts
00:39
Mr DegrEE
Рет қаралды 123 МЛН