wew kila mtumish wa Mungu ni wa uongo, hujui kumbe, yesu alisema tutafanya makubwa zaid yake kwa jina lake, kwanin usihubir injili na sio kukosoa maana wew sio Mungu wa kukosoa...wote ni watumish wa mungu karama ni tofauti na roho ni mmoja.
@JamesMbekomize9 ай бұрын
Sema usemavyo hunitoi kwa kuhani musa richard mwacha fanya kazi yako mungu pekee ndy anaju na kwambiaje hunitoiii kwa kuhani labda uniue
@EmmanuelKalebu9 ай бұрын
Ajakwambia utoke
@AlexMnane4 ай бұрын
Lego lake nn kana sio kumtoa!!?
@BonfaceWawire-k6p2 ай бұрын
Akili finyu
@NenoabelMwanachila-rr4zu Жыл бұрын
Amina ubarikiwe mtumishi wa Mungu Paschal nipo pamoja nawe naitaji injili ya kweli kama hii mm naitwa mchungaji Neno Abeli
@istermariol21582 жыл бұрын
Sauti ya Mungu huja kwa ukali kwa ajiri ya kuikemea dhambi.. Barikiwa sana mtumishi kwa kukemea dhambi
@ShabaniKobakusha3 ай бұрын
Hongera sana naendekea kukuombea mungu aendelee kukutia nguvu na ujasiri pia nataman niwe kama wewe amina namungu akubaliki naitwa Ibrahim Laneck
@RashRoz3626 Жыл бұрын
Shalom mtumishi 🙏Much love from🇰🇪🇰🇪
@happey28782 жыл бұрын
Kweli kabisa ndugu nakupenda bure..nakufatilia sana usiogope kusema kweli ata ingawa chungu lakini kuna roho unasaidia...amen amen
@eliasishija73012 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo
@benjaminchakwe98152 жыл бұрын
Je wewe nawe unasema ukweli au na wewe ni mwoga kama wengine sio unamsifia tu mwenzio hujui anakumbana na nini kama kweli umelipenda hili nenda ungana nae mpeleke injili ya kweli
@Churchofecclesia2 жыл бұрын
@@benjaminchakwe9815 anawahubiri injili feki, injili ambayo haiwafungui watu kutoka kwenye matatizo yao, injili ys kuwaponda watumishi wenzake hyo ni injili feki
@bryanlimbi3262 жыл бұрын
@@benjaminchakwe9815 we umeungana nae!?
@drheriethkamote81132 жыл бұрын
Have you been in his church before?
@joshuafidelis90402 жыл бұрын
Ameeen Ameeeen, barikiwa sana mtumishi wa BWANA,Ev.Pascal Cassian.Keeps preaching the TRUE GOSPEL
@sophiaesmarcharo97752 жыл бұрын
😍💜🙏🙏🙏
@ev.davidjoseph91592 жыл бұрын
Pascal may the blood of Jesus protect you!
@rabiakitigwa91202 жыл бұрын
Waambiwe ukweli wanapotosha watu wengi wa Mungu
@floriankahimbi24362 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@upendomtweve78302 жыл бұрын
Ubarikiwe sanaa baba....wanapotosha sana watu hao watu
@TamariDusenge-oo5ig Жыл бұрын
Sina Cha kumshukuru Mungu kwa ajili Yako mchungaji,Mungu akubaliki sana ,ninakufuatilia Kira wakati unanibaliki sana, Mungu azidi kukupigania
@Estherm3092 жыл бұрын
Ameeeeeeen tukombolewe tusipotee Na wamejivalia Ngozi ya kondoo ndani Ni umbwa mwitu Yesu Kristo tumiminie roho wako mtakatifu tusipotee tunakuitaji Yesu Kristo unene nasi
@anthonymatiko2330 Жыл бұрын
Amina 🙏 Mtumishi Pascal cassian mwenyezi Mungu akutangulie na akuzidishie ulizi na imani ya kiroho na kimwili daima litangaze neno lake yeye aliye juu, jina la bwana libarikiwe🙏
@giftjohn8198 Жыл бұрын
Pole sana wewe unasoma mahandiko Gani hivi mwalimu waongo unamjua pole atutaki kujua kuhani msa nimuongo tunacho jua tumepona nabado tunahambatana na kuhani msa🔥🔥
@jkuser7593 Жыл бұрын
Hahahaaaaa pole
@iradukundabenigne21082 жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa ujumbe huu adim hivyo basi jenga uzio wa damu yako kwa mtumishi wako Paschal . kwakua adui anamtazama kwa jicho la chuki. Zidi kumpa maarifa na ujasili na ulinzi wako uwe juu yake daima. AMEN
@chritinaphilip7439 Жыл бұрын
Amen sana
@omegamchaki6696 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu unanibariki mnooo.. Mungu azidi kukuinuaa na. Kukutumia sanaaa...Oho... Aksante Yesu Kwa ajili ya Huyu mtumishi wako... imani ya wokovu wang unazid kuimarishwa...👏👏
@gloriatoya722 жыл бұрын
Ameeen barikiwa mtumishi wamungu Kwa ufunuo waneno la Mungu
@mariamwalongo2 жыл бұрын
Mungu akutunze nimekupenda kwakweli mwenyemasikio naasikie Balikiwasana mtumish
@dorcusamisi2926 Жыл бұрын
Hallelujah Hallelujah Utukuvu kwa bwana yesu Nashukuru sana kwa hio ukweli barikiwa sana
@giftjohn8198 Жыл бұрын
Mm sitegemei kutoka Kwa kuhani msa Bado tunasonga mbele💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@happypyuza1114 Жыл бұрын
Tuachie Kuhani Musa wetu acha kuwasema watu hubiri neno la Mungu na kuitangaza injili ya YESU KRISTO mwenye kuhukumu watu ni Mungu pekee, kwa sababu hunamizani ya kupima mema na mabaya ya mtu hata wewe ni binadamu hujakamilika pia unamadhaifu yako, aliyemkamilifu ni Yesu Kristo peke yake, toa kibanzi ndani ya jicho lako ndipo utoe boriti ndani ya jicho la mwenzako hata hivyo kama kweli roho wa Mungu kakuonesha hao kuwa ni manabii wa uongo ni vema ukawafuata na kuwaambia watengeneze na Mungu kabla hasira ya Mungu haijawawakia lakini sio kuja huku public na kuanza kuasema sema tu Biblia inasema utausema ukweli nao ukweli utkuweka huru.
@stelapeter-lm2yn Жыл бұрын
mtumishi unatuponya ubarikiwe mungu azid kukuinua nass tunakuombea
@danielmwakasanga2 жыл бұрын
Watumishi wa Mungu naomba sana Roho mtakatifu atusaidie maana tunakoelekea sio ni vema sana kushauriana kwa hekima sio malumbano na kufokeana hivi
@theresiagisberth61972 жыл бұрын
Ubarikiwe kwa ujasili Huu maana SI rahisi kuwakosoa Hawa watumishi wauongon, lakini kwa msaada wa Mwenyeezi Mungu utashinda Amen.
@salomekemunto13732 жыл бұрын
AMINA AMINA AMIIII.....NA Mchungaji. Ukweli peke yake ndio utatuweka huru,tuko nyuma yako na Wala usiogope .Tukubali kwa maana Ni Roho Mtakatifu anayetumia kinywa chako Barikiwa Sana.
@bishoparronmgaya17492 жыл бұрын
Ubarikiwe na Bwana Yesu
@annakaminyoge92922 жыл бұрын
Sema kweli baba, turejeshwe kwa Mungu aliye hai👏👏👏 Natamani kila mtumishi wa kweli apaze sauti kuwanusuru watu wa Mungu dhidi ya hawa manabii na walimu wa uongo
@jumafrancis8083 Жыл бұрын
Amen..tumekuawavivu wakusoma maandiko ndoyo mana tunaibiwa na watumishi wauongo
@wegesaelias51102 жыл бұрын
Aminaaaaaa! Waambie wasije wakasema hatukuonywa.
@LydiaAnge-hh5jf Жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu Yesu akutiye nguvu.
@NenoabelMwanachila-rr4zu Жыл бұрын
Kweli inatubidi tuwe wakweli katika kristo yesu na siyo kudanganya watu injili ya mafuta imetawala duniani sema kweli mtumishi wa Mungu Paschal mm naungana na wewe
@MwakaSichone8 ай бұрын
Nakama shetan atataka akuinukie namuomba mungu afe yeye atakae taka kukuuwa.niombi langu milele
@fabianmihale3715 Жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi kwa kunyoosha ukweli maana huu NI wakati wa kuikaza kamba ya ukweli uongo ukae pembeni anguko la kanisa lililotokea mwaka 325 bk kule nikea ndio uongo ukapenya ndani makanisa ambayo hayawezi inukatena,Amen
@consolatamedard65932 жыл бұрын
Ubarkiwe sana Mtumish Wa Mungu usiache kusema kweli Ila uwanja Wa sifa za Yesu tumekumic Mtumish upite siku moja utusalimie jaman
@rehemamkumbo20822 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu unasema kwelii
@maryeer63922 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah 🔥🔥 Moto 🎤 volume iko sawa pastar 💪🇰🇪🇰🇪.
@stelapeter-lm2yn Жыл бұрын
mtumishi mungu akubaliki unatufungua wengi baba
@ivana98372 жыл бұрын
Maji yanatumika kwa jina la Yesu Pascal, tumia muda wako kutafuta ukweli kabla ya kuhukumu kwa kudaka neno moja au mawili Kula mkate na divai yaani sakrement au mwili wa Kristo na kutumia maji au mafuta NI yaleyale.
@craudiadominicus69952 жыл бұрын
Amen sema kweli ya Mungu mtumishi hakika Mungu typo pamoja nawe,na aendelee kukupigania ili uendelee kusema ile kweli ya Mungu,Maana kiukweli napenda sana injili ya namna hii,hakika katika hili Mungu anainuliwa juu kabisa na shetani na mawakala wake wote chini.
@milcentachando11422 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi nabarikiwa kila dakika ninapokuskiza,napenda mafundishow haya , fearless man of God I have ever seen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪uko loud and clear 🙏
@elizachama12292 жыл бұрын
Amina Mtumishi nimejifunza vitu vikubwa na vya muhimu leo, asante na Mungu akubariki sana🙏
@mariammganga50612 жыл бұрын
Huu sio wakati wakutangatanga ,, tumshike Sana KRISTO YESU,,, BARIKIWA MTUMISHI PASCAL CASIAN,,
@zahorosakala53042 жыл бұрын
Kazi nzuri sana mtumishi ya kuamsha wakristu. @paschalcassian
@salmajuma8942 жыл бұрын
Amen.turned from saudi Arabia
@wistonaugustino76062 жыл бұрын
Be blessed madam...
@petrowayesu20532 жыл бұрын
Kweli kabisa Najua kusimamia hak ni kutafta kifo lakin wokovu umetufikia sababu ya wengi walio mwaga dam kwajil ya Iman na kusimamia kweli
@indiansonglomanticlove84932 жыл бұрын
Mungu akuweke na azidi kukulinda na maadui wasiopenda ukweli wa mungu najua una Vita kubwa Sana ila mungu atakusimamia na hakika tunakuombea
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Ni kweli kabisa uhuni UMEKUWA mwingi
@twihuvilafaithnyimbo29072 жыл бұрын
Mungu amuweke wapi sasa huyu badala ya kufundisha anaanza kuongelea mtu Mmoja tu mwanaume mwenzio anakuumiza kichwa acha hayo mambo Evangelist piga Injili kama imekushinda wenzio wameweza huwezi kupiga Injili tafuta kanisa linalokufaa ukahubiriwe au na wewe unataka kufungua kanisa sasa unataka wale wahumini wa kiboko ya mizimwi na wachawi utaweza wale wewe? Watu wakajua huna kifua cha Injili kabisa Ya ngoswe muachie Ngoswe mziki wa kuhani huchezi wewe tulia piga Injili yako achana na watu wanao timiza wito wao acha kelele kama una kiu ya maji bwana nini unaningusha Evangelist huwa anakuwaga ana habari za watu anakuwa na Habari za mbinguni tu sasa wewe hizi za kuhani za nini mchawi nini unaogopa atakulega na anajenga wachawi yule Mwamba acha kabisa
@suzanmndasha83152 жыл бұрын
Ninajua ujumbe unakuja kwa kutengeneza watu asante kaka maana ninatengenezwa ndani barikiwa sana
@mundelejudith39402 жыл бұрын
Mungu aku bariki sana eti ukakila musibani una mula marehemu mungu niepushe na awama nabi wa siku zamwisho tena uyu mtumishi nilimu ona you tube nika anza mufatiliya sana mwairi siku mbili kumbe ni tapele mkubwa mtumishi mungu aku bariki kutu saidiya
@eliasmyamba47672 жыл бұрын
Mungu aendee kukupanguvu maana umejitoa kwakweli amina mtumish
@jaribuchussy44962 жыл бұрын
Barikiwe mtumishi wa Bwana, casian, wee kweli umetumwa kukomboa watu na utumwa wa manabii wa uongo.
Ama kwa hakika mtumishi wa Mungu Paschal unafanya kazi kubwa Sana ya Mungu, na Mungu atakupigania kwenye hili. Maana hawa wachungaji wengi wanayatafsiri maandiko Kama wapendavyo wao ili Hali biblia Ina kanuni zake za usomaji huku kidogo na huku kidogo (ISAYA 28:13) na Mhubiri 7:27 Na pia Mtume Petro anasema watu wasiyo na elimu ya maandiko, na wasiyo imara huzipotoa nyaraka za "MTUME PAULO" Kama vile wayapotoavyo na maandiko mengine kwa uvunjifu wao wenyewe (2 PETRO 3:15-16). Hongera mchungaji Paschal
@flavianarwebangira67262 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie moyo wa uthubutu wa kueleza yanayostahili kwa wapendwa ktk kutafuta ufalme wa Mungu.
@daudilangat6123 Жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
@lydiapeter4284 Жыл бұрын
Amina Seema baba tupone maana tumefungwa wengii nakuelewa saana
@sautiyamunguduniani46202 жыл бұрын
MUNGU akubaliki Sana mtu wa Mungu lakn usimkosoe mtu kwa kosa la siku moja Hapana hata Mungu mwenyewe hapendilkn nilisha sema kuwa ukiwa na Mungu wa kweli ndani yako simama na Mungu tembea na Mungu na mwenye huku n Mungu c mwanadam. na kitu kingne binadam tunafosi tufanane na problem zetu ni KARAMA MUNGU HAJATUPA SAWA tumezidiana Watumishi wa MUNGU na IMANI ZETU tumezidiana py . Hilo mtambue ndugu zangu wana wa MUNGU na Mungu awasaidie Sana. Ila nyakati Kama hizi n zamwisho zingatieni kilicho ndaniyako py kisimkufuru Mungu maana Mungu nae anawatu wake anawo waamini usimhukumu mtu kwa kuteleza kwa siku moja maana mafundisho sawa na maono uonavyo wewe na mwingne tofauti. Basi usimhukumu watu maana wengne mwachie Mungu Mungu akubaliki Sana 🙏🙏🙏🙏 SAUTI YA MUNGU DUNIANI ITALEJESHA MATEKA WALIO TEKWA NA SHETANI IPO NJIANI BABA YANGU WA MBINGUNI ☝️AWABALIKI SANA🙌
@PatrickMathias-cs9qc11 ай бұрын
Hakika Mungu hatakuripa thawabu zako ubarikiwe
@A9TZ Жыл бұрын
Amen mtumishi wamungu
@christinatiana96232 жыл бұрын
Ameeeeeeeen pastor kwahiyo tusile hata kama tumefiwa khaaaaaaaa kwahiyo tukifiwa tufungee swaumu
@obinasimbeye1750 Жыл бұрын
Tusile nyama watu wagimu kueleea na huyo anaye kosoa
@juliasalphonce83072 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu mtumishi Huwa nakukumbuka kwenye maombi yangu nakuombea
@ellymoshi26222 жыл бұрын
Tafuta chakwako kutoka kwa roho mtakatifu mbona unasubiri wenzako wafundishe ndo wewe ukosoe,,upo kusubiri wenzako wapewe na Roho Cha kusema ndo wewe ukosoe kaa magotini upewe Cha kwako acha wivu,,
@wangariwangari5605 Жыл бұрын
Sema ukweli waumwe waibike Sana na washindwe IN JESUS MIGHTY NAME
@hellenngwilla5502 жыл бұрын
Asante sana mtumishi wa Mungu unatuelemisha sana Mungu akubariki zaid
@adaberthludovick11202 жыл бұрын
AMINA, BARIKIWA SANA MTUMISHI WA YESU KRISTO: SASA HIVI HIYO ROHO YA MPINGA KRISTO IMEANZA KUKAMATA VIJANA WADOGO. ENDELEA KUTUSAIDIA
@annachazy52302 жыл бұрын
MUNGU amekuchagua na atakurinda hadi utakapomaliza kazi yake. Ubarikiwe saana,
@jacksonmeli Жыл бұрын
Ni kula nyama na wewe huelewi nini
@lukasezekiel76922 жыл бұрын
Uko sawa kabisa mtumishi,,,wachungaj wengi wanakaa kimya sijui jukum ilo wanamwachia Nani,,,??!
@benijohn36322 жыл бұрын
Mungu akubariki ktk jina Yesu Roho wa Mungu ktk kristo Yesu awe nawe wakati wote
@jeridahnancy2 жыл бұрын
Tangu nianze kukufatilia nimefunguka Kwa mengi sana, Mungu akupe neema zaidi Kwa njia hii ya kurejesha ukweli makanisani.... Mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏
@maysamwel1221 Жыл бұрын
Mungu akupiganie tuko pamoja
@wiliamvicentewiliam49032 жыл бұрын
Paschal MUNGU atakulinde sana, ata wakipanga mikakati ya kukuuwa awataweza kamwe. Wewe unanijenga imani kubwa sana ata uku kwetu Moza wapo.
@emanuelsafari90352 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu ukweli wako unatufanya wapi pakweli na uongo kweli speech zako zimejaa ukweli ndani yake nazinani bariki mno endelea kusema ukweli bila woga by Emanuel safari
@daudijacob73772 жыл бұрын
Asante Yesu Halelula Unaonhea ukweli ukweli tena ukweli mtupu
@shukhuranpetro57962 жыл бұрын
Amen amen bwana anafunua ukweli kupitia watu wake
@EstherLut-l9v7 ай бұрын
Kuhani musa ni mutumishi wa kweli na haki uki endeleya ku pambana na kuhani musa naku onya mwenyezi mungu ata ku ondowa duniyani , Musa ni mpakaliwa mafuta wa yesu christo wa Nazareth aliye hai naku onya tena usikuye kufa
@ev.davidjoseph91592 жыл бұрын
Amen God bless you Rev. Pascal.
@elshamotieno9876 Жыл бұрын
Ameen endelea kusema ukueli naye mungu atasimama nawe, niko njini nairobi kenya, mathayo 24:24
@laodikiagiantsingers10272 жыл бұрын
Jiadharini na manabii wa uongo maana wamevaa mavazi ya kondooo yamkini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali., Ahsante Paschal kwa kuwafungua watu macho zidi ya manabii wauongo, kwa maana walio wengi hawapendi kusoma biblia, lakn kwa maubir Aya wengi wataokolewa kutoka gizani.
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Wapo WENGI Sana saizi manabii wa uongo uhuni tu
@neemaneema99692 жыл бұрын
Amina
@chancealimasi19462 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sana, MUNGU akuinuwe zaidi na zaidi uishinde vita
@cynpeter25172 жыл бұрын
Nmefurahi kuona channel yako! Mungu akubariki na kukufunika the Real Man of God🙏
@stevembaigwa70782 жыл бұрын
Mungu akubariki na akujalie neema maana mitume na manabii walipitia vikwazo usiogope endelea kusema kweli mpaka mwisho
@fadhililihinda64912 жыл бұрын
Kaka hata kama wakubwa watakupinga lakini waumini wa hao wakubwa tunakuunga mkono, endelea kufungua akili na uelewa wa watu wa Mungu. viva pastor/evangelistic Pascal
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Yes BALIKIWA lazima tuwe injili ya YESU ya kweli
@marcelytsuut33252 жыл бұрын
Anayepingana na Paschal cassn Mungu amsaidie
@Pasfiqueabel2 жыл бұрын
Naomba mungu.akulinde maana kwa hili sijui itakuaje mtumishi Wa mungu
@veronicahkhaikwa49292 жыл бұрын
Ukimalizana na tanzania pia Kenya uwataje maana wanaudhi sana Roho mtakatifu akuongoze
@violetauma10012 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏kwa ufunuo wa neno la mungu
@Priscadzidzamasha6 ай бұрын
Ninachojua YESU ni mmoja na niyule wakana naleo hata milele ss kama KUHANI Musa ni muongo ss kwanini aponye watu kwa jina la YESU jamani niacheni na YESU wa Kuhani Musa from 🇰🇪🇸🇦
@jeannentaho8002 Жыл бұрын
Amène Amène ubarikiwe sana mutumishi wa bwana
@eliambuyamauki73802 жыл бұрын
God Bless you Brother...Preach
@merymbaga4838 Жыл бұрын
❤❤barikiwa mtumishi
@gayomaster35332 жыл бұрын
Ameeen mtumishi Mungu akutie Nguvu Katika hili
@gracedamas58832 жыл бұрын
Kuhan Musa yuko sahihi Mambo ya msiban nimengi Hata mie siwezi kula nyama msiban
@emmanuelfaya7922 жыл бұрын
Upo sawa mtumishi wa MUNGU alie hai
@joannanekesa77582 жыл бұрын
AMEN AMEN MUNGU AKUTIE NGUVU MTUMISHI WA MUNGU
@kelvinchaula9232 жыл бұрын
Amen. Ubarikiwe mtumishi
@Daudimoll86092 жыл бұрын
Usijali mtumishi wa Mungu Kwa kusema Ukwel
@charlesmarwanchama98982 жыл бұрын
Tunataka neno la Mungu ili tupone na si kuhubiri watu hayo ni majungu sasa mhubiri Yesu kristo na si watu
@anissawinasi25792 жыл бұрын
Amen lazima injili ya Kweli ihubiriwe. Mungu akubariki mtumishi. Usichoke kuongea Ukweli watu hawahelewi kabisa nyakati tulizo nazo shetani amefunga wengi wasijuwe Ukweli
@obinasimbeye1750 Жыл бұрын
Kula nyama msibani. Sikula TU kula nyama
@jackominamartini12142 жыл бұрын
Barkiwee sana mtumishi wa Bwana kwa kusema kweli
@alwinamgomath91592 жыл бұрын
Mungu akubaliki mtumishi.
@geofleyfreenwelluka2 жыл бұрын
Mtumishi kwakweli apa najengwa iman kubwa katika kiloho ubalikiwe na mungu atakushindia
@obinasimbeye1750 Жыл бұрын
Achana na kuhani Musa wewe kula nyama Sio kula chakula.
@MwakaSichone8 ай бұрын
Mungu awe nawe milele yamaisha yako.
@godfreifilemon5802 Жыл бұрын
Ameen nitatumika Kwa jina la yesu
@pastordominicmabula63632 жыл бұрын
Basi, wapenzi wangu, kwa kuwa tuna ahadi hizo, na tujitakase nafsi zetu na uchafu wote wa mwili na roho, huku tukitimiza utakatifu katika kumcha Mungu. Having therefore these promises, dearly beloved, let us cleanse ourselves from all filthiness of the flesh and spirit, perfecting holiness in the fear of God.
@dr.barakamwaveya.4172 жыл бұрын
Sema mhubiri
@joycemagessa3502 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@otacyndula54912 жыл бұрын
ubarikiwe sana mtumishi
@thomasmandao41792 жыл бұрын
Amen 🙏 hii ndio njia, kweli na uzina you proceed to pressing teach
@jameskenzedex2 жыл бұрын
Mungu wa Pascal ni Mungu WA haki na kweli ni wakati WA watu WA Mungu kukombolewa na damu ya yesu takaticu