Taifa la Kenya tafuteni Amani kwanza, Rais William Ruto ni kiongozi mwadilifu na uongozi wake una lengo jema na wananchi, kwanza tumuunge mkono, mnajua alichuwa nchi kiuchumi mnajua wazi haukuwa mzuri, tumpe muda ataweka hali ya uchumi kuimarika na hali ya maisha kuwa sawa.AMANI TU.
@elijahmanani6 ай бұрын
Wewe humjui ruto viziri
@josephwanjiru-ji8db6 ай бұрын
Ruto ako group ya watu wanamwambia vile atafanya anadharao mdogo wake ni kitu kidogo tu,akijirundia mambo inakuwa sawa
@gangmore90916 ай бұрын
Ndio mana adi leo Ccm wanatwala kwa ujinga wa amani n.k uwongo mtupu
@Daidizz01chinga6 ай бұрын
Auna akiri
@issashekh47266 ай бұрын
Asante kwa taarifa
@IsiraeliMolly6 ай бұрын
Chida akuna amani kwani siku soto kiwja isiyo nakili nimusigo kwashigo niwaisi tu hawa 😅😅😅😅😅
@FrederickThadeo6 ай бұрын
Hiyo siyo selikali achie nchi ya luto na selikali yake