Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Пікірлер: 7
@JamesRajabu-yp7cb4 күн бұрын
Kenya naipenda ina myamba yanguvu hupelekwi kama kuku
@delgadomusalva40154 күн бұрын
Shida ya Saud Arabia siku hiz ni kwamba inaonesha ni kama wame commercialize hijja Kwa hivyo wale ambao hawakujisajiriwa kupata huduma kadhaa pengine Kwa sababu ya gharama wamekuwa victims
@ezekielezekiely84764 күн бұрын
Nani ajabu.nyinyi nani aliwaambia kuwa huyo Mungu wenu anakaaa Saudia,mimi Yahwee elohimu yuko hata hapa nilipo.napeleka petition nikiwa hapa na nikipata ni hapa,Yeye ni Roho.
@SamooMohammed-bt6mg3 күн бұрын
Wewe hata kupangilia maneno hujui halafu una mkebehi Mungu ambae amekuumba wewe pamoja na mama yako baba yako na ukoo wenu mzima kama hutaki kuamini basi usikebehi au kudharau namuomba Allah akuoneshe njia ya haki na uifate. 🙏
@ezekielezekiely84764 күн бұрын
Vipi,shetani amewapiga,badala ya nyinyi kumpiga mawe
@dylankanyubi37004 күн бұрын
Ninatumai kutakuwa na mlipuko mkubwa wa maarifa na teknolojia mpya zitakazoandaliwa na kubuniwa kutokana na matumizi ya akili mnemba kuanzia Afrika Mashariki. 😉 Pongezi kubwa kwa kongamano hili.
@mwema50094 күн бұрын
Ruto na kisekedi wameingia madarakani na tamaa ya kuiba hela