D Voice - Tisheti Yangu (Official Lyric Audio)

  Рет қаралды 168,208

D Voice

D Voice

Күн бұрын

Пікірлер: 331
@Esau-cj6bk
@Esau-cj6bk 2 ай бұрын
Ewe mwenyeji mungu naomba umubariki anaye soma coment hii Amen! ❤🎉
@RichardRutembesa-ns1kn
@RichardRutembesa-ns1kn 2 ай бұрын
Amen🙏🙏
@mercychiqquitah4374
@mercychiqquitah4374 2 ай бұрын
Amen
@AnnethMichel-cp3tl
@AnnethMichel-cp3tl 2 ай бұрын
Ameeeen
@AzizaSalum-q2c
@AzizaSalum-q2c 2 ай бұрын
Ameen thuma ameen 🤲🤲🤲
@somaomer9415
@somaomer9415 19 күн бұрын
Ameen
@Akbar4Ardan
@Akbar4Ardan 2 ай бұрын
Team D Voice like 100 hapa
@User_mcstabbah
@User_mcstabbah 2 ай бұрын
@@Akbar4Ardan no 1payback
@Akbar4Ardan
@Akbar4Ardan 2 ай бұрын
@@User_mcstabbah nisharudish😂😂😂
@Omarykiing
@Omarykiing 2 ай бұрын
oya tunaohakikisha singeli inapanda juu LIKES weka hapa👇
@Omarykiing
@Omarykiing 2 ай бұрын
Huu mziki tunaenda nao adi uje kuwa namba moja apa BONGO
@MuhozaCindyLopez
@MuhozaCindyLopez 2 ай бұрын
Juu sana
@JabirMhidini-j6i
@JabirMhidini-j6i 2 ай бұрын
Kijana anajitahid
@HesbornKerosi
@HesbornKerosi 2 ай бұрын
mwamba kafanya jambo kuwachilia hii Ngoma 🔥🔥. producer kafanya makuu .
@TontoKitungano
@TontoKitungano 2 ай бұрын
Nawewe unamkubali Boss wa D-voice gonga like apa
@PatorankingReuben-cf4lo
@PatorankingReuben-cf4lo 2 ай бұрын
D voice nimekuwa wakwanza naomben like zangu siyo Tanzania 🇹🇿 mpaka nchi jirani
@abdulmutwi
@abdulmutwi Ай бұрын
kama. Hukupendezwa na kitendo cha illy poze uko kenya gonga like
@raymondmatemba3977
@raymondmatemba3977 2 ай бұрын
WA KWANZA NAOMBENI LIKES ZANGU😂
@Kasimu-y2g
@Kasimu-y2g 2 ай бұрын
Thanks you 🔥🔥🔥
@IsayaJoel-qf2ve
@IsayaJoel-qf2ve 2 ай бұрын
Divos
@sharkke254
@sharkke254 2 ай бұрын
Nambari moja toka kwa rutoo na gachagua nipeni likes basi
@jayjumanne6109
@jayjumanne6109 2 ай бұрын
Wakwanza mm leo ❤😂
@JeJe-Media
@JeJe-Media 2 ай бұрын
Nipeni likes zangu kwa kuunda Tisheti hio 🔥💥💯
@GodfreyLuanda
@GodfreyLuanda Ай бұрын
Namuona missondo Kwa mbalii
@MathayoMponela
@MathayoMponela 24 күн бұрын
Yani ingoma nitamu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Narcymwikali
@Narcymwikali Ай бұрын
Nataka tisheti yangu😢😢😢😢
@PillaJr
@PillaJr 2 ай бұрын
Ndugu zangu watanzania tokea Mozambique apa naombeni like
@chazychazy-fi1ri
@chazychazy-fi1ri 2 ай бұрын
Wa kwanza Leo like zangu
@User_mcstabbah
@User_mcstabbah 2 ай бұрын
@@chazychazy-fi1ri nipitie back
@davidmutiso7820
@davidmutiso7820 2 ай бұрын
Kaka kaua hapo,wapi like zake
@fundiseif1096
@fundiseif1096 2 ай бұрын
Tisheti yangu by Ginni 🔥🔥🔥umeua sana kaka 😂😂😂💪
@luvboynyamz27
@luvboynyamz27 2 ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mnanifanyaga niupende mziki wa singeli....una ladha fulani hivi amazing 🔥🔥🔥
@SurprisedDolphins-qz7ir
@SurprisedDolphins-qz7ir 2 ай бұрын
Wa kwanza kutoka Kenya naomba comments zenu
@AssaniDalton-oh1de
@AssaniDalton-oh1de 2 ай бұрын
DRC 🇨🇩 and BURUNDI 🇧🇮 tupo hewani. Gongeni likes zenu hapa✌️✌️💪
@MzawaluHashim
@MzawaluHashim 2 ай бұрын
Umetisha kaka duh ❤ waludishe tisheti zetu
@Shilala666
@Shilala666 2 ай бұрын
Wakwanza dondosha like kwa d voice kama unamkubali
@abubakarkolola7269
@abubakarkolola7269 2 ай бұрын
Aaaaaa kaka.unatisha natumai.mjukuu wangu ataiona.comet yamgu
@lovarbicard4378
@lovarbicard4378 2 ай бұрын
❤🎉shabiki toka Congo RDC🇨🇩 mupoo🎉🎉
@zackcoux5165
@zackcoux5165 2 ай бұрын
Sema D voice.. sjui kama utasoma hii comment ila we jamaa unajua sana Singeli yani sanaaa ila m unanidissapoint sana na mziki wako unaofanya sahv. Oya si upige Singeli kama hivi VYUMA KAMA HIVI BADO VINAHITAJIKA SANA MTAANI afu we uko unakazana na Mziki wa Mbosso na Zuchu. Hao wanatutosha kule huku hakuna taste hizi babuuuu achana na sifa kama unajua fanya. Mi niliposkia umeingia Wasafi nlifrah nkajua huu mziki tunaenda nao mbali ila sasa!!! Dah babu singeli inakutaka 100% sio hizi gusagusa. Mi nimemaliza!! Goma kali twenzetu Grammy
@BARAKAMGAYA-s8e
@BARAKAMGAYA-s8e 2 ай бұрын
Naomba tishet yangu
@WeezombiesHaaujuui
@WeezombiesHaaujuui 2 ай бұрын
Oyaa🎉 weeee
@malick_jrzramadhan7298
@malick_jrzramadhan7298 2 ай бұрын
Kiukwel huyu dogo kwenye singli huwa anabalaaaaaaa
@halimamichael3879
@halimamichael3879 2 ай бұрын
Weee.. ginni weeeeeee utatuuuuaaaa...💃💃💃💃💃💃💃💃
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 2 ай бұрын
JINI 🔥🙌
@Richboy-q5n
@Richboy-q5n 2 ай бұрын
Wakwanza hapa
@nkind1773
@nkind1773 2 ай бұрын
Nakubar Voice maker wa. Wasafii Singeli mabegani
@AmaniEvarist-w4x
@AmaniEvarist-w4x 2 ай бұрын
Ushaishiwa wewe
@JEANS-TZ
@JEANS-TZ 2 ай бұрын
Tuna uza jeans Kali aina zote jumla na rejareja tuna patikana karia koo mtaa wa Kongo na mchikichi andaglound ya Miami kalibuni sana 👖🔥
@LABO-b8o
@LABO-b8o 2 ай бұрын
Nataka tisheti🎉🎉🎉🎉
@RayChausa
@RayChausa 2 ай бұрын
Wa mwisho nipeni likes zangu😂😂😂😂team d voice
@AlafatiRashid-li8ow
@AlafatiRashid-li8ow 2 ай бұрын
Umekua ginni
@AbdulRachide-z3h
@AbdulRachide-z3h 2 ай бұрын
Watoto wa 2000 tujuane na miziki yetu jamani pambeeeeh👌👌👌👌
@AnnyDelicia-e7h
@AnnyDelicia-e7h 2 ай бұрын
Tunakusubir Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@Salimmikwanga-g1z
@Salimmikwanga-g1z 2 ай бұрын
Kazi nzuri sna
@alhajbendahamisi1002
@alhajbendahamisi1002 2 ай бұрын
HUYU NDIE DVOICE SASA
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 2 ай бұрын
kwenye singeli 👌👌👌hujawahi kufail Dvoice
@Aibastudios
@Aibastudios 2 ай бұрын
Wakwanza🎶🎶
@msafejb
@msafejb 2 ай бұрын
Nipee likes zangu hapa
@HakizimanaAsha
@HakizimanaAsha 2 ай бұрын
Kunakutaka Rda 🇷🇼 ❤
@EmmanuelAmiry
@EmmanuelAmiry 2 ай бұрын
Wa kwnza leo
@IbraahKongwizi
@IbraahKongwizi 2 ай бұрын
wp ss singeli kali sana
@sadickmoshi1202
@sadickmoshi1202 2 ай бұрын
Sawa Baba umetishaa umu
@MendradNyimbi
@MendradNyimbi 2 ай бұрын
Hiv hta aliyeachia ngom anasom comment kujua t watu mmepokeaje ngoma anakuta wat mnaomb like t znafaid gn achen ushamb mamae
@hassanalyjimmy2651
@hassanalyjimmy2651 2 ай бұрын
True
@amanizo96
@amanizo96 2 ай бұрын
Nataka mswaki wangu
@DWTZ848
@DWTZ848 2 ай бұрын
Maua kwa d voice kama una mkubali angusha like hapa🎉
@SamMalaxy-gf2xn
@SamMalaxy-gf2xn 2 ай бұрын
Sweta langu liliniuma sanaaa
@KaskeboyKaskeboy
@KaskeboyKaskeboy 2 ай бұрын
Utawaa ❤❤❤
@WycliffeAbdulLigare
@WycliffeAbdulLigare 2 ай бұрын
Aki huyu jamaa anajua vitu tunaitaji 🎉🎉🎉🎉
@KaskeboyKaskeboy
@KaskeboyKaskeboy 2 ай бұрын
Utawala ❤❤❤Kaskeboy d voice
@MonicaJuma-d2x
@MonicaJuma-d2x Ай бұрын
Dvoic ili goma ni Kali aseee😮
@ShabaniSingano-n1f
@ShabaniSingano-n1f 2 ай бұрын
Huyu jamaa hajawah kosea big up broo
@GldenBy-es9tp
@GldenBy-es9tp 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🙌🙌
@Dulaman_De_Kingston_Mafia...
@Dulaman_De_Kingston_Mafia... 2 ай бұрын
D kama D VOICE kw Uhalisia wako wa SINGELI, {BONGO FLAVOR MWACHIE MBOSSO ROHO SAFI TU}, it's time know SINGELI TO THE WORLD .
@MuhozaCindyLopez
@MuhozaCindyLopez 2 ай бұрын
D voice nakupenda sana sana Akiya mungu ❤🇧🇮 Burundi we can’t wait for u.fanya biyo ukuye
@ImaniMsafi
@ImaniMsafi 2 ай бұрын
❤❤duuuuu God bless you my brother D voic jini
@Ericksamweli-tt4ov
@Ericksamweli-tt4ov 2 ай бұрын
Mwendo wa singel sas 🔥🔥🔥
@JoshuaMatred-k7d
@JoshuaMatred-k7d 2 ай бұрын
Time jini like hapa mwakahuu tuko na jini
@sixteenke
@sixteenke 2 ай бұрын
Noma sana
@xclusivebtz7516
@xclusivebtz7516 2 ай бұрын
KING OF SINGELI TANZANIA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@HadijaJuma-b2x
@HadijaJuma-b2x 2 ай бұрын
Safiiii sana
@SifaEmma
@SifaEmma 2 ай бұрын
Watanzania tuungane kusapoti Wasanii wa WCB didhi ya uchawi wa Harmonize Mzee Popo na CCM😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@JumaMkwayu-f6q
@JumaMkwayu-f6q 2 ай бұрын
D voic nimnyama anatixha xana
@luckymuziki
@luckymuziki 2 ай бұрын
Wakwanza nipeni likes zangu😅
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 2 ай бұрын
Hatari sana 🔥🔥🔥🔥
@amipogba6203
@amipogba6203 2 ай бұрын
Jini 💥💥💥🇧🇮✌️
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 2 ай бұрын
Tisheri yangu❤
@MarkSeven_Tz
@MarkSeven_Tz 2 ай бұрын
Mhhh kali Sana weka like Kama unamukubali
@Asiaanzuluni
@Asiaanzuluni 2 ай бұрын
Nina mkubali sana tupo pamoja na wew mpk mwisho ❤❤
@stevannydegalaxy9580
@stevannydegalaxy9580 2 ай бұрын
It's D voice
@Kakerluder
@Kakerluder 2 ай бұрын
Nimekuwa wakwanza lakini please sitaki hii comment iguswe😊😅😢
@justnice8156
@justnice8156 2 ай бұрын
Namsikia miso kwa mbali
@medystarter
@medystarter 2 ай бұрын
Uyu ndio d voice jiniiiii huku ndio kwako
@stevannydegalaxy9580
@stevannydegalaxy9580 2 ай бұрын
Giniiiiiiii LONDON BOI
@wynerd1118
@wynerd1118 Ай бұрын
Utopolo ni nini....
@KingyJustine
@KingyJustine 2 ай бұрын
unajua sana💥💥💥
@BienfaitFahamu-me8lz
@BienfaitFahamu-me8lz 2 ай бұрын
D voice 🔥🔥🔥🔥
@GeorgeNyoni-g3s
@GeorgeNyoni-g3s 2 ай бұрын
uu ndo mziki wetu sasa😂😂
@real_nayelu
@real_nayelu 2 ай бұрын
Big up sanaa ginii❤❤
@AbdremaneIzaqueSefo
@AbdremaneIzaqueSefo 2 ай бұрын
We d voice🎉🎉🎉
@lilchampion1960
@lilchampion1960 2 ай бұрын
Singeli tuachia jay combat 💯🔥🔥
@ChancelineKezumutima
@ChancelineKezumutima 2 ай бұрын
Nakupenda sna
@tetemaboy8367
@tetemaboy8367 2 ай бұрын
Kali sanaa hiii 😂😂
@emmanueldindili9185
@emmanueldindili9185 2 ай бұрын
Kwenye singeli sikupingi
@GeraldPatrick-l2q
@GeraldPatrick-l2q 2 ай бұрын
Misso missondo kwa mbaliiiiiiiiiii
@CROWNMEDIAKE
@CROWNMEDIAKE 2 ай бұрын
Hiii moto mjombaaa❤❤❤❤❤❤
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 2 ай бұрын
Hii kali sana
@bashiruhamisi3929
@bashiruhamisi3929 2 ай бұрын
Tishet yangu 🎉🎉🎉🎉🎉
@giftfungo1404
@giftfungo1404 2 ай бұрын
I love the idea. Ngoma Kali 🔥
@theblackempireog460
@theblackempireog460 2 ай бұрын
Kwa singel we ni young king D nomaaa😂😂❤
@FabianKatina-vq3tf
@FabianKatina-vq3tf 2 ай бұрын
nataka jezi yangu⭐⭐⭐
@ashrafmohamedy735
@ashrafmohamedy735 2 ай бұрын
Kweny singel ndo mtamu zaid
@KidalosMafumbula
@KidalosMafumbula 2 ай бұрын
Dvoice champion
@Slymill
@Slymill 2 ай бұрын
Idea 🎯
@stevenchai-h6i
@stevenchai-h6i 2 ай бұрын
Duuuh hii ngoma Ume ididi
D Voice - Tisheti Yangu (Official Music Video)
3:42
D Voice
Рет қаралды 260 М.
Zuchu - Hujanizidi Feat D Voice (Official Lyric Video)
4:19
Zuchu
Рет қаралды 1,5 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
kontawa: Toilet (official Visualizer)
3:54
kontawa
Рет қаралды 590 М.
Nandy - Mlete (Official Visualiser)
3:33
Nandy - The African Princess
Рет қаралды 811 М.
Misso Misondo - Tera Ghata (Official Music Video)
3:52
Misso Misondo
Рет қаралды 3 МЛН
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
Mbosso - Kupenda (Visualizer)
2:56
Mbosso
Рет қаралды 924 М.
D Voice - NO (Official Visualiser)
3:04
D Voice
Рет қаралды 547 М.
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН