Рет қаралды 7,112
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Januari 13, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo
Wazima moto huko Los Angeles nchini Marekani wanaendelea kupambana kuudhibiti moto wa nyika ulioteketeza eneo hilo na kusababisha vifo vya watu 24 kufikia leo Jumatatu.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari. Ukitaka kukupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.