DW Kiswahili | MAONI: Maandamano ya Gen Z Kenya | DW Kiswahili

  Рет қаралды 2,626

DW Kiswahili

DW Kiswahili

16 күн бұрын

#kenya imeshuhudia maandamano ya amani ambayo kwa kiwango kikubwa yameongozwa na vijana wa vuguvugu la #GenZ kupinga muswada wa sheria ya fedha ulionuia kuongeza kodi, maandamano ambayo yamegeuka kuwa ya machafuko. Hii ina maana gani kwa vuguguvugu hili na ni kipi kinachoweza kutokea kwa rais wa Kenya William #Ruto kufuatia maandamano haya? Josephat Charo anajadili mada hii na wachambuzi katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya duara.

Пікірлер: 5
@user-ui1cj5re9k
@user-ui1cj5re9k 14 күн бұрын
DW HONGERENI SANA KWAMDAHALOO MUNGU AWALINDE WANDISHI
@user-ct9fb5or2n
@user-ct9fb5or2n 14 күн бұрын
WAKENYA bado wanapepo za kikabila bado watagawanyika tu kikabila .
@RajifuMustapha
@RajifuMustapha 15 күн бұрын
Wakenya wakaze tu kutetea haki zao
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 13 күн бұрын
Ruto are all danger in Kenya,
Shairi la Bakari | Hongera kwa kazi nzuri, Gen-Z wote wa Kenya!
3:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 14 М.
Vyakula maarufu vya mitaa ya Kinshasa
5:03
DW Kiswahili
Рет қаралды 265
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 154 МЛН
CHAKULA SIO KITAMU NJAA NDIO TAMU // SHEIKH OTHMAN MAALIM
47:44
arkas online tv
Рет қаралды 3,3 М.
“Ruto Must Go” is a vote of no confidence - Martha Karua
38:57
THEE ALFA HOUSE
Рет қаралды 36 М.
Here Comes Ruto's New CABINET
16:37
Herman Manyora
Рет қаралды 110 М.
NAMNA YA KUFIKA CANADA | KAZI ZA CARE ZINAKUTOA KIMAISHA | CHUNGA MAISHA YAKO YA MTANDAONI
1:22:20