Hawa wadada wote wana akili na ni wasitaarabu.Huyu dada mwenye mtoto ana akili kuzidi na ni msitaarabu sana Mungu akutangulie
@smartnyengo7256 ай бұрын
She is very smart genius
@linnerphilip42606 ай бұрын
Anamleaje mwanaume bhn
@Judy-dy4zt6 ай бұрын
Wewe mtoto uko vzr sana mwenyezi mungu akupatie wakwako 🙏
@hellendaniel38096 ай бұрын
Tusomeshe watoto. Nimefuatilia interviews za wadada wanaogombania wanaume ila hawa kweli shule ni nzuri. Wanajibu kisomi.Busara na hekima
@Tyughcdrbdt6 ай бұрын
Sanaaa
@hildagabriel10036 ай бұрын
Kabisa elimu ni nzuri sana
@JELSONMAUKI6 ай бұрын
Eti elimu ni nzuri 😂😂😂😂😂😂😂😂
@hellendaniel38096 ай бұрын
@@JELSONMAUKIEeee siuliona vile vibuyu vingine vilivyoshikana😂😂😂😂
@JELSONMAUKI6 ай бұрын
@@hellendaniel3809 . Hahahahaha haya bana.umenishinda tabia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@winfridashao86904 ай бұрын
Huyu dada wa chuo ana akili saaaana.. Yaaani sipati picha angekuwa mwembamba, this slim ladies kidogo wanajua kushughulika angeweza kuanza vurugu hahahaha nimekapenda sana❤
@MonicaMacha-q7yАй бұрын
😁😁😁😁😁
@isaacnkya5 ай бұрын
Ummy much appreciated humble,discipline enough Mungu atakupa wa kwako keep on moving🎉🙏
@memoryngambi75706 ай бұрын
Ninyi wanawake mnaakili sana na ni wa staarabu sana, mwanaume alikua na bahati sana ila kutokua naakili kumempinza,tena wote mumuache na mue marafiki wazuri,ili akaumie baadae.
@mamaa7463 ай бұрын
Dolvin ni mzuri na ni mstaarabu sana. Aendelee na maisha yake, amuombe Mungu ampate aliye wake, japo huenda Daniel akamchagua Dolvin
@BenaCharles6 ай бұрын
Wadada makin sana hekima ni muhimu nimewapenda wote ♥️♥️♥️
@twalebleboss96875 ай бұрын
OUUWWWWH... Nimependa saana the way DADA ZANGU HAWA walivyopata SOLUTION kwenye hili.... ILA DANIEL KAJICHANGANYA SAANA.... HIKI KIFAA KILICHOMTOA DANIEL KIJIJINI SI CHA MCHEZO...#RESPECT SANA DADA... Utapata wako mwenywe tu.....#LOVE & ..BLESSINGS ....❤❤
@AnethKimario-rj6hl6 ай бұрын
Daaah kat ya cku nimefurahia hiki kipindi ni Leo Hongeran Sana kumgombania MTU ambae Hana malengo na wewe ni Sawa nakudek bahar daah afu ukiangalia tena kameokotwa kijijin aiseee
@frankjackson95756 ай бұрын
DANIEL KACHEZEA DHAHABU ..MWANAMKE KAMA HUYO MSTAARABU NA ANAONEKANA ANA TRUE LOVE NA BADO ANAMCHEAT 🥲wanasemaga thamani ya kitu utakiona kikiondoka...daniel atamkumbuka sana huyo mwanamke .
@deonatusdaud46405 ай бұрын
mnakamatwaje wanaume wenzangu..😂 viswqswadu kibao
@OmanOman-ru4eu6 ай бұрын
Leo umewahisha part 2 tu Hongera sana
@mamaa7463 ай бұрын
Mimi yalinikuta, tena aliniomba pesa nintumie dadake, kumbe mpenzi wake loh! Nikaenda usiku kumfumania, kilichofuata ni kufuta kila kitu chake kwangu. Sasa ni miaka 11 imepita, maisha yanaendelea; tena nikiwa na baraka za Mwenyezi Mungu
@silviaamakweliukweliutajul83956 ай бұрын
Umesamehewa dadang hukujua chochote mungu atakuongoza utampata mwenzie
@NeemaMsuya-kk6bs6 ай бұрын
Leo ndo mara yakwanza nimeona watu wastarabu😇😇
@nataemsuya6 ай бұрын
Maigizo hayo
@NeemaMsuya-kk6bs5 ай бұрын
@@nataemsuya igiza na wew dear Kama Raha wala hakuna shido
@MagrethStephano-ro1jn6 ай бұрын
Wasomi wanamaliza haya mambo kisomi Kuna kina neyla uwiii😂😂😂😂😂
Hiyo ndoshida wanaume saivi wanapenda kurerew sana mufukuze awataki kufanya kazi
@joycekambuga62866 ай бұрын
Pole Mungu akutetee Daniel ni mpuuzi mdada mrembo hivi una mcheat
@DoreenMwanga-dg7xp6 ай бұрын
Hivi unampaje mwanaume kila kitu et bado ni mpe nauli arudi kwao si atembee kwa miguu au apande gari la mizigo pumbavu
@Judy-dy4zt6 ай бұрын
Kumsaidia tu
@TreasureMagumba6 ай бұрын
We ni mm kabisa na nguo atavaa ndo hizo ataondoka nazo zingine zote ataziacha
@mimahsavage-ju2xj6 ай бұрын
😂😂😂😂
@judithminja63866 ай бұрын
Moyo tu
@miriamdavis38936 ай бұрын
Wewe ni mimi 😂😂😂😂😂
@NeemaDevotha6 ай бұрын
Nime aminii mwanaume become matured akiwaa na responsibility 😂😂
@NanahBrown6 ай бұрын
Labda niulize wenzang 😥 mlipewa mioyo gani mi nikitoa msaada mmoja tu najiona kama nateketea😂😂😂
@Asha-kj5lu6 ай бұрын
Wewe ni mimi kabisaaaa
@VivianSamwel6 ай бұрын
😅😅😅😅
@NanahBrown6 ай бұрын
@@Asha-kj5lu Yan labda ale mama ang jmn na c mwanaume
@CHRISTINAMAGASI6 ай бұрын
Yn nimecheka km mbwa
@NanahBrown6 ай бұрын
@@CHRISTINAMAGASI 😂😂pole huenda ikawa pengine Kwa kuwa niliwahi kuumiza mapema kabla ya kujipata😂😂walinifunza kutokuwaamin wakanipa na usugu
@agnesmartin57166 ай бұрын
Safi sana dada ubarikiwe kwa kugundua Hilo na kuamua kumuacha tafuta wakwo kipenz kwakua ushaujua ukweli
@UmkuluthumYahya-yn3dz5 ай бұрын
Nimtu ambae nafwatilia saan hizi challenge hii nimependa 😊
@saeedahhenry7116 ай бұрын
Ukute uyo kaka Yuko na huyo dada sio anampenda alimkubali to kuwa nae kwajili ya pesa ndio akajitafutia kitu roho inapenda Dan Yuko sahihii 😅😅😅
@CatherineAnderson-e6p6 ай бұрын
Ukiumizwa nd utaacha kuongea hayo maneno dear
@DM.22006 ай бұрын
Kamtumia kama daraja avukie ng'ambo ya pili 😅😅
@saeedahhenry7116 ай бұрын
@@CatherineAnderson-e6p siku zoote ukweli huwa mchungu lakini lazima ukweli usemwe ivi mwanamke unapata wapi hiyo nguvu ya kumuhudumia mwanaume kama mtoto wako huoni kama anafosi kupendwa dada
@DM_154 ай бұрын
Huyu mwenye miwani yupo cool sana she is good I think she deserves tobe a good wife , akiwa ndani yanyumba nadhani hawez kua namambo za ku dhalilishana kuanikani ishuz. She is good i like her
@EmanuelPantaleo6 ай бұрын
Hawa wadada wanaupekee wao Mungu amewapa 👏👏👏
@Mery-st4nuАй бұрын
Katika watu ulifanyanao vipinde hao ni watu na na nusu wanajia nini maana ya wanawake aloo mr uky wasalimie mimi ni mwanamke nimewapenda bure wanaj8tambua sanaa
@rqiyaabdallah8406 ай бұрын
Awa wadada oteni wastaarabu mashallah Awana shidi
@FatmaSultan-dy1ql5 ай бұрын
Ila wanawake wa dar wanapenda kuhudumia wanaume looh😂
@SurprisedIguana-rv6by6 ай бұрын
Daaaah ila inaumizaa Sanaa dada mzuriii ila mwamba bado ana mchiti
@majaliwamussa92686 ай бұрын
Dada wa kwanza mzuri mashaa Allah
@fatmambeyela66976 ай бұрын
Hyu bint mstaarabu sna na ana hekima coz ame apologize kwa ummy na kuachananae, ila wanaume jaman walau muwe mnathamin mwanamke anaekushika mkono ktk chochote msivunje miyoyo yao🙌🙌sasa DANIEL kakosa yte hya sasa arud kwao akalime
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج6 ай бұрын
😂😂😂wasomi kumbe wanamaliza kesi kisomi ingekuwa wale WA kiswaz wangedundana na mitusi Juu
@JELSONMAUKI6 ай бұрын
Hahahaha kumbe elimu muhimu hacha nianze kucheat hili kesi imelizwe kisomi 😂😂😂😂😂😂😂😂
@ZabibuSeif-pj3tr5 ай бұрын
Mhhh una moyo mm mwanaume akiniomba ata buku moyo unaniuma na simpi ng,ooo na km ndo tunaanz mapenz naweza kukupotezea wallah
@mrpromisemp6 ай бұрын
Mapenz yamekaà pembeni yana tutazama tu😂😂 tunavyo yasema sema
@miriamdavis38936 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@sabrinasabrina83956 ай бұрын
Hahaha haki tenaa
@RehemaMaloda6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@RehemaMaloda6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@RehemaMaloda6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@farajikitihu45585 ай бұрын
Huyo dada bonge nimependa yupo vizuri hapendi matatizo
@marthabizuru55846 ай бұрын
ila mnapata wap nguvu za kuhudumia mwanaume🤣🤣🤣
@FloraMikindani2 ай бұрын
😂😂😂
@AssOii5 ай бұрын
Yaan uyu dada mwenye mtoto anatia uluma kana mawazo 😢😢😢 pole dada
@charlesfundisha63763 ай бұрын
Mr Uky ila Dolvin She is very Brave ineed this Woman nikutanishe nae
@abdultandala65766 ай бұрын
Unamuacha mtu kisa kakucheat ni sawa na kukimbia nchi kisa mvua😂😂😂😂mvua iko popote😅😅
@Sharifajafari-ys6gx6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂awa ni watoto wa chuo wa uwasibu eeee kama sikosei we kaka😂😂😂😂
@petroprenge87166 ай бұрын
Wanaume wenzangu sitetei usaliti kwa hawa dada zetu lakini tujitahidi tusiruhusu kutegemea mwanamke/wanawake kiuchumi. Huyu Daniel kama angekua amechuma kwa jasho lake nadhani angekua amepoteza wanawake hawa wawili pekee. Lakini sasa hivi kapoteza wanawake zake na kapoteza ofisi yake na mali alizopewa na mwanamke.
@kituapeter6 ай бұрын
kwel kaka
@saiditwaha56346 ай бұрын
Wako poa sana kwenye talk....very smart girls.
@GoodluckAlex-vd6vc6 ай бұрын
Washukuru ni wanakula hela za mwanamke ukute boy unatoa hela alafu anapewa boy mwenzako kinachofuata ni kutumia Parachute tu😅😅😅
@franciscakija17026 ай бұрын
Haya ndo ninayopenda sasa. Part 2 yaani weeee.
@Enockmtiba6 ай бұрын
Dada wa watu mzuriii maskini anaenda mcheat na kibonge
@CHARITYINVOCAVITY6 ай бұрын
Jmn si mwongee tuu kiswahili..kaaaah! Icho kingreza mnatuchosha tuu
@CalmelinaCoelho-i5v6 ай бұрын
😂😂wanajitia wasomi sanaa wakati watu tumesoma mpaka viatu vikaisha
@DianaMhule6 ай бұрын
😂
@stellamayagi33876 ай бұрын
Duh wanaume siwez mpa k2 aiseee😂😂
@josephswai39216 ай бұрын
Dah watoto wote wazuriii sijui nipite na yupiiii
@CHRISTINAMAGASI6 ай бұрын
Haaahaaaa
@pachitofilm6 ай бұрын
😅😅
@jaqykombe33906 ай бұрын
Hiv inawezekana mm Bado sijapenda kwakweli .😢 Siwez muhudumia mwanaume kias hivyo
@wardarashid72505 ай бұрын
Jmn mbn mnaujasili hvy wa kumuudumia mwanaume 😂😂😂😂
@AssOii5 ай бұрын
Mmmmmmmmmh wanaume 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@davidoberlin72364 ай бұрын
Jamaa anajua kuchagua fr fr😅 ila jamaa kazingua ummie z more cuter than doro ila doro ako na vibes za kirwanda🤣....but still😅🤌🏾
@AlexNswila-g1q4 ай бұрын
Njoen uku chaka
@ZolufaMas-ie4un6 ай бұрын
Bro unafanya kazi poa juu wamezidi sana hawa maboys ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@praygodisacksalmon78436 ай бұрын
wamekutana wakiwa wote ni wastaarab Hadi raha, congrats to them, ningewapata mm hao ningewachangany ata nane
@DM.22006 ай бұрын
Wana hekima kwa kwel shule ipo vizur apo kichwan
@ladsonmshana99205 ай бұрын
Daniel usimpe hata nauli huyo mshamba tu arudi kwao kwa miguu
@mwakajumba256 ай бұрын
Nimewapenda mnoooo Hawa wadada❤️❤️❤️
@mwanamwendy92656 ай бұрын
Pole mwaya, achana nae, inawezekana Dan alikupenda kwa ajili ya pesa
@goodluckmsoka36606 ай бұрын
Ndio ukweli
@LeahPhilipo-kx8yn5 ай бұрын
Jamn me naomb unifanyie challenge plz 🙏🙏🙏😭 nakuomb nisaidie Niko arusha njiro nawaomba San mr.uky and kiredio nawaomba San 😢
@frolamganyulo8536 ай бұрын
Hizi hela mnazowapaga mnatoa wapi jamanii 😮hamna ndugu zenu Kijijin huko mkawasaidie jamanii 😢
@juddysemiti79206 ай бұрын
Huyu dada hawez tena kurudia kuhudumia mwanaume😂😂
@nipheremmanuel43836 ай бұрын
Mshumi. ......... mtoto wa kishua Toka tukiwa shule 😂😂😂😂
@francokinyunyu26196 ай бұрын
Daniel hapa kapoteza mke pumbavu zake😂😂😂
@RahmaSalum-jz4wp6 ай бұрын
Tupeleke tukaone nauli na virago vinavyotolewa kwa nyumba😂😂
@idybwoytz84856 ай бұрын
Wadada wotooo ni wazuliiii San kabixa tena wana hakiliii nyingii San hongelaaa 🫡
@scolasticanalle91056 ай бұрын
Wadada Wana hekima sana hadi raha....
@RachelJulius-h1p5 ай бұрын
Wanawezaje kuwahudumia hawa viumbee kumamake😂
@MulhatAly6 ай бұрын
Wanawake wenzangu acheni kujidanganya hakuna mwanamme anaeweza kukaa na mwanamke. Mmoja hiyo haiwezekan hata umpe nn
@FrankSamson-r6s6 ай бұрын
Una kitu utafika mbaliii🎉
@LovelyRacingHelmet-iv6ti5 ай бұрын
Mm hapa tu ndio ninae weza kukaa na mwanamke mmoja2
@ArafaOmary-ou2jj6 ай бұрын
Mapenzi nichangamoto sana mungu atutetee tu
@AngelMbaga5 ай бұрын
Huyo dada wa pili nimempenda jamani, una akili utapata wako. Wanaume hawapendi kushushwa anataka ainekane na yeye anaweza kuhudumia. Dada Mungu akuongoze kwamba Daniel uendelee naye au, ila inasikitiaha sana pole. Wekeza kwa Mungu/ toa sadaka naye Mungu atawekeza kwako
@NeemaIbrahimu-c2l4 ай бұрын
Jaman ummy mpole Danny kajichanganya
@Caren-og7qd6 ай бұрын
Dah! Natamani part 3, hawa wadada ❤️😂
@kivuyo_john6 ай бұрын
Aisee Hawa wanaume wanaolelewa ivi hizi frusa wanapateje maana wengine tuna damu ya kunguni😂
@GetrudarCelestineAmede6 ай бұрын
Mnaigiza ama??? Unampaje mwanaume pesa nk🤣🤣🤣🤣 wazaz wako je ulishawalipa nn kwa malez yao
@MariamSamwel-nz8vu6 ай бұрын
Haya maisha serious ndugu yangu wanaume nao wanatafta aje
@FaridaKizenga6 ай бұрын
Dada mstaarabu sana huyu mashalaa 😢😢😢😢😢😢❤❤❤
@linnerphilip42606 ай бұрын
Jmn huyo da bonhge mstaarabu .... Ety aondoke. Akati mjin tyr ana connection ataabak tu hiyo f40. Ataanzia life afu mr Uky hajaridhika anaona content bado haijakamilika hadii ampate daniel kwa simu😂😂
@enockmaige89366 ай бұрын
Mm hapa nataka nibaki single tu maana kwenye ndoa tunachitiwa kwenye mahusiano ndo
@MunguMwema-m4l6 ай бұрын
Jamani hawa wanawake wastaraabu sana aiseee
@AminaMohammed-hb9kd5 ай бұрын
HK kipindi Ni kizuri cna ila wanawake tunachezewa cna tutafute helaaaaa
@eunicegerminus1936 ай бұрын
Hapo nimewapenda bure❤❤❤❤maamuzi mazuri safi kabisa
@BimHamdi3 ай бұрын
Demu wako mzuri bado hutulii du
@JeladMahenge6 ай бұрын
❤❤❤❤ wadafa wastalab adi lahaaa
@hidayaswai31194 ай бұрын
Oooh wanawake wote waliokutana ni wife material. Nimewapenda sana
@manktarimo81466 ай бұрын
Hawa wadada n wastaarabu sana ❤
@selinakatega66916 ай бұрын
Sasa jamani mnamuachaje daniela harakaharaka namna hiyo jamani😂😂😂tena woooteee khaaa
@ZuhuraMoshi-co2wc6 ай бұрын
Sema Dan anapenda macho😂
@YaziduKaisi6 ай бұрын
Hawa wote ni wastaarabu sana aisee
@sumaidazuraiyh6 ай бұрын
wabongo kwa kupenda kuongeà kinger nihatar ogopaaa
@ShaniNgwaya6 ай бұрын
Kwanini rakini danieli jamani😅😅😅 kampe nauri mwaya arudi kwao akalime mshenzi kabisa ila atakuwa kashatunza pesa. Kwaiyo haotoondoka
@enockmaige89366 ай бұрын
Hapo Sasa anataka kumpiga teke chura😂😂😂 afanye Kama yule dada achukue Kila kilichochake
@SafinaKephasi5 ай бұрын
Nimewapenda wote ni waelewa sana
@MarthaDanieljohn3 ай бұрын
Kuna dawa ya uaminifu nimpe mme wangu hata kama ntauza nyumba na gari ninunue
@faithakil5695 ай бұрын
Mngetumia lunga ya taifa tu .kinge waachieni wenyewe