KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE

  Рет қаралды 94,376

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Пікірлер: 601
@mejgodsgal1340
@mejgodsgal1340 7 ай бұрын
watanzania wenzangu......Karibuni kwa YESU anaponya mioyo iliovunjwa na kina jimmy wote😀
@billionboogiey9909
@billionboogiey9909 7 ай бұрын
Pitia kwangu pia please
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 7 ай бұрын
Kwakweli
@FarajaMadege
@FarajaMadege 7 ай бұрын
Aminaaa mtumish😂
@tumainiedgar08
@tumainiedgar08 6 ай бұрын
😂safi sana
@VEREDIANAMUMBA
@VEREDIANAMUMBA 6 ай бұрын
Upewe Pepo yako
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 7 ай бұрын
Nina umri wa miaka46 nina miaka28 Ndani ya Ndoa Sina Rafiki hata wakubadilishana mawazo Wala wakumwambia Mambo yangu nilfundwa nikayashikilia walinilisha Sumu mbaya sana kuhusu marafiki ntawashukuru mlonifunda mpk siku yangu ya mwisho kwenye Uso wa Dunia 🙏🙏
@madinajamada9180
@madinajamada9180 7 ай бұрын
Bora dear mm hapa nimechukuliwa na mme wangu na rafiki yangu niliesaidia kilakitu mm mutoka tz nikaja dubai kukupambana rafiki yangu akamtongoza mme wangu akatembea nae nukajua kilakitu ila inauma
@janekilembe9394
@janekilembe9394 5 ай бұрын
Kabisa NAMI siitaji rafiki mana ni sgida
@MariamMarco-z7r
@MariamMarco-z7r 3 күн бұрын
Uyu dada I shetani sana kachukua mume wa mwezie Kisha jeuri
@HappynessStephano
@HappynessStephano 7 ай бұрын
We mama mtoto wa Jimmy, embu muache Jimmy afanye Mambo yake maana ukute Mungu anakuondolea hilo li pepo alafu we unajidai wangu wangu nyokooooo
@ByamunguGentil-su8ox
@ByamunguGentil-su8ox 3 ай бұрын
Mm iki nitambulisha kWa eafikiyatu akiw No mzur kukuliko yan juw kwamba umekwisha 😂😂😂
@MariaSshilla
@MariaSshilla 5 ай бұрын
Marafiki marafiki marafiki nawaita kwa mara 3 jaman duuuu tamaaa mbaya Mme wangu afu analeta jeuri ndio maana mnatolewa vizimi nje mjinga kweli ww mbavu zako.
@Linalina-mo8xg
@Linalina-mo8xg 7 ай бұрын
Acha kuwatambulisha waume zenu kwa marafiki ❤😂😂 zenu wanaume wanatamaaaaaaaaaaa
@MarthaDanieljohn
@MarthaDanieljohn 4 ай бұрын
Umeona eee
@MarthaDanieljohn
@MarthaDanieljohn 4 ай бұрын
Mm sitaki hata hawajuee
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke 7 ай бұрын
Akii mungu aniepushe na hii kugombea mwanaume
@stefanomasolwa8979
@stefanomasolwa8979 6 ай бұрын
Wanaume jameni Mashetani kumbe inaonekana Huyu Bwana wake kampelekeya Mkwe sifa Mbaya kwa huyu Malaya wake pole sana Dadangu .iwe fundisho kwa Wana ndoa wote acheni urafiki kabisaaa
@ELIAELIA-wj3cj
@ELIAELIA-wj3cj 7 ай бұрын
Kaka nimekukubali kazi unaijua utafika mbali kaka kuwapatanisha wanawake daaah🎉🎉🎉🎉
@jenifercynthiakazimoto5392
@jenifercynthiakazimoto5392 6 ай бұрын
Ila mm sijawahi gombania mwanaume hata day one! Najitoaga kwenye mchezo mapemaaaa😂
@ShakraMiraji
@ShakraMiraji Ай бұрын
Ww kama mm shoga angu nikiona sielewi najiondoa
@husseinhajoon5942
@husseinhajoon5942 7 ай бұрын
Sema nimemuelewa Caren Mwenye bwana ake akajifunzee extra mile
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 7 ай бұрын
Marafiki mimi siwezi eti uninyapue mwanaume wangu na ninamtoto nae spite unakuja na jeuli hivo si nakuua hapo hapo Rafiki mbaya sana
@kerenlumbya4575
@kerenlumbya4575 7 ай бұрын
Yaaani mchawi huyo kaleni,na jeuli juu yaani
@jsasicomplex9520
@jsasicomplex9520 2 ай бұрын
One of best shows...
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 7 ай бұрын
Yani huyo mwizi hata kujieleza hawezi 😭😭😭ushoga kazi wallah kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
@rebeccamayo911
@rebeccamayo911 7 ай бұрын
Mwizi anajiamini hajuw kama mwenzie kaachwa na yye ataachwa tuuu!!! Et anafeli
@SafiunaMmary
@SafiunaMmary 7 ай бұрын
Anakazi ya kutoa Siri za mwenzie
@ShakraMiraji
@ShakraMiraji Ай бұрын
Sitaki shogaa mamae wanawake wa sasa wana.shida sana
@JaneMahenge-l2g
@JaneMahenge-l2g 4 күн бұрын
Daaah ningemtwanga uyo hahaha yaan anaonekana malaya
@neemareuben311
@neemareuben311 7 ай бұрын
Mimi mashoga full stop staki kbsaaaa kbsaaaaaaa mbwa koko hawaaaa
@HalimaOmari-x8e
@HalimaOmari-x8e 7 ай бұрын
Mwanaume mwenyewe anae gombaniwa una kuta anamwingine Tena mm hua naombatu mungu ani epushe na magonjwa bas
@ZainabuMiaka
@ZainabuMiaka 7 ай бұрын
Punguza kwanza unene dd uwe kibonge mwepec😂😂
@batihubadiy3106
@batihubadiy3106 7 ай бұрын
Hivi ninyi wadada MBONA mnapendaa kujidhalilishaa sana na weye kijana acha hizi mambo tafuta kazi nyingne ya kufanyaaa
@nasrinassor9178
@nasrinassor9178 7 ай бұрын
Acha usenge kazi nyingine we unayo hyo kazi nyingine hebu tuliza kihoko hicho
@batihubadiy3106
@batihubadiy3106 7 ай бұрын
@@nasrinassor9178 nngekuwa cna kaz y kufanya na mm ungeniona nafanya kaz km hyo y kuwadhalilisha dada zetu ,Iła kw vle nko na kaz ndio maana cfanyi hyo kaz y udhalilishaji
@Humanity21216
@Humanity21216 7 ай бұрын
Amna alielazimishwa apo wote watu wazima wanafanya willingly alafu hio kazi unayo ya kumpa mpaka imlipe kiasi Cha hii kazi ya content mzee?
@lovenessaloyce3177
@lovenessaloyce3177 7 ай бұрын
nimekukubali❤❤
@GraceNdossa
@GraceNdossa 7 ай бұрын
Daaah huyo Caren n msengelema,,,tena sana,,,hizo shit zake anazomtolea mwenzake huyo jimmy anaweza pia mshit caren,,asijione kufatwa ndyo mzur sana
@faridaahmed4013
@faridaahmed4013 7 ай бұрын
Hicho kijimi saiz wala hakielewek mbele wala nyuma …hivi wadada skuiz mpoje mbona mm siwez huu ujinga wa kugombania mwanaume khaaa!🙌
@ConsolathaTetty
@ConsolathaTetty 7 ай бұрын
Marafiki apana kwa kweli 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@AidaMathew-bg6qc
@AidaMathew-bg6qc 7 ай бұрын
amechukua mume wa mwenzie ambae ni kilakitu na bado anavaa yebo 🤗🤗😂😂anaetunzwa anaonekana
@Agath45
@Agath45 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ulikuwa unaangalia yebo mamy
@mtotiimkwizu
@mtotiimkwizu 7 ай бұрын
🤣🙌
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 7 ай бұрын
Acha nitafute maisha saudia Hawa hakili hawanq
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 7 ай бұрын
na ukute yeye ndo anamtunza mwanaume na mwanaume kashaoana kareen hana akili anaend kumkandia akipata anachotaka anarudi kwa babe mama wake yaan anajimaliza vile hawajui wanaume
@JacklineMdolwa
@JacklineMdolwa 7 ай бұрын
Mungu anisaidie tuu mwanaume wangu awe mtulivu maana moyo wangu mdogo sana😭😭
@esthersangasanga8199
@esthersangasanga8199 7 ай бұрын
Jifinyangie wa udongo mwaya atakua wapekeako 😂😂
@JoycePaschal-l4x
@JoycePaschal-l4x 7 ай бұрын
duh wanawake tunapitia mengi😁😁😁😁😁ctakiii kujistress kwa kweli mim
@HopeMmbando-wb8ci
@HopeMmbando-wb8ci 7 ай бұрын
Hahah dah bora kumjua mungu zaidi kuliko hiliii huyu dada n senge ila malipo n hapa hapa duniani jmn ipo siku kitamramba yani ipo siku atapata na yeye mwanaume wake alafu atamsaliti ndo atajua dunia duara jmn mdada ulieona hii usikubali mwanamke mwenzio aangushe chozi kwaajil yako n laana marafiki n wapuuuzi jmn
@AssOii
@AssOii 6 ай бұрын
Dada umejizalilisha ujue umegombana na lafiki yako dah😢😢😢😢
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 7 ай бұрын
Akiiii wanawake hapo dar mna shida ya afya ya akili. Mtoto siulee undelee na maisha yako umezaliwa na Jimmy😂😂😂😂😂😂😂
@rebeccamayo911
@rebeccamayo911 7 ай бұрын
Ndo hapo sasaa
@adamadams303
@adamadams303 7 ай бұрын
Sio akili wala nn wanawake wa mjini ukiwa na pesa watakugombania tu
@ukhtymwana40
@ukhtymwana40 7 ай бұрын
Mwanaume mwenyewe pia mchonganishi anachukua mambo ya Mwengine anapeleka kwa mwengine 😢
@JulithaOliva
@JulithaOliva 6 ай бұрын
Huyu Jimmy sio mtoto wangu kweli 😂😂😅
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 6 ай бұрын
Itakuwa tena aitwe akanywe😂😂
@marieiradukunda9298
@marieiradukunda9298 4 ай бұрын
Mwanaume sio wakumgombania bwana 🤣 Mwanaume akikucheat, niyeye kataka.
@upendojoel910
@upendojoel910 7 ай бұрын
Hongera sana Mr UK, katika interview ulizowahi kufanya za hii umefanya vizuri zaidi umejitahidi kupatanisha na sio kuacha wao wagombane
@NANAABDALLAH-t7y
@NANAABDALLAH-t7y 5 күн бұрын
Me ninge mnyonga wallah
@Lizzy-u4m
@Lizzy-u4m 7 ай бұрын
😂😂😂 etih huyo mwanaume wako sisi tumembeba jaman 😂😂 Mr uk hatar
@nainahlaizer3956
@nainahlaizer3956 7 ай бұрын
Mungu tuongezee hawa viumbe, Kila mwanamke awe na wake
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp 7 ай бұрын
Kitusjapenda nihuyo dem kumwaambia uky sir zarafkiake dad wallahi wacha2nfanye yangu😂
@aminaomary5567
@aminaomary5567 6 ай бұрын
Wanaume wote hawo. Ukute mwanaume mwenye ana mwanamke mwingine. Halafu mnamgombania loh.
@scolasticanalle9105
@scolasticanalle9105 7 ай бұрын
Ushoga kazi 😅😅😅😅Khaaa Huyu dada anawajua wanaume kweli
@lilyshayo761
@lilyshayo761 7 ай бұрын
Dada Mbio za kufeli na kufaulu kwa wanaume 😂😂😂acha kuongea we dada ni tamaa tu imefika kwako
@agnesshingoma4072
@agnesshingoma4072 7 ай бұрын
Dahhh kuna watu wanafamilia nzr jmn familia yng wakuone kwenye mtandao km hivi mnagombania mwanaume duhh sjui watakufanyeje yaan
@eliassylvester8150
@eliassylvester8150 7 ай бұрын
Daah! Ila wanawake vibonge wananyanyasika sana hapa duniani kwenye suala la mahusiano😀
@MarthaDanieljohn
@MarthaDanieljohn 4 ай бұрын
Ilaa wanaume mshindwe mnatoa siri za wanawake zenu 😅😅😅😅
@OmanBahla-d2p
@OmanBahla-d2p 7 ай бұрын
Sipendi rafiki maana unafki mwingi ningemtia jiwe moja tuuuu alafu hatambe vizuri mm nilivyoachwa niliachika na niliachika maana yalinikuta na niliachananae nipo na maisha yangu
@MohamedYusuph-gw7yg
@MohamedYusuph-gw7yg 7 ай бұрын
Ahahahahahahha nimecheka
@meddycr
@meddycr 7 ай бұрын
Dyuuuu.... Marafiki🙌
@naomigenchiri2223
@naomigenchiri2223 7 ай бұрын
Marafikii oooooiiiii😢🙌🙌🙌
@African511
@African511 6 ай бұрын
Huyo ndiye kiumbe mwanamke 😂😂
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 7 ай бұрын
Nipungue😂😂😂tuuuh 😂😂😂etii analala tuuuu
@Zuu673
@Zuu673 7 ай бұрын
Shoga uyoga mbwa uyo khaaa mimi ndomana sitaki mashoga nyoko sana
@johasaeed391
@johasaeed391 7 ай бұрын
Aisee mbwa sana bora angekanusha kabisa akataee kuliko kuendelea kumpa kidonda mwenzie aisee mashoga mwanakumanyoko
@Zuu673
@Zuu673 7 ай бұрын
@@johasaeed391 alafu ukimuangalia wala sio malaika ye mwenyewe haogopi? Ngoja kitamkuta siku moja
@ZeyanaKhamismashaka
@ZeyanaKhamismashaka 7 ай бұрын
Dunia hii ushoga kazi kweli
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 7 ай бұрын
Yani mwenyewe sitaki mashoga kaaah alafu ana aibu uyo dada ningekua mimi jin lingemuusu
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 7 ай бұрын
Yani uyu mimi nisingemtafuta ningempiga jini mwajuma tu ananijibu ovyo kaaah angekoma
@RobinaRobert-t9v
@RobinaRobert-t9v 7 ай бұрын
Ndiomaana sitaki rafik mamae 😢 huu usenge dadeki😅😅😅 Afu wanaume walivyowainga wanaenda kusema mapungufu yako ndiomaana dada anajiamini
@jeanclaudeakili2372
@jeanclaudeakili2372 4 ай бұрын
Enzi za maBabu, waliowa zaidi ya wanawake 4, ivi sasa wanawake wanaroho mbaya 😂hawataki ki share Mume mmoja 😂! Wanawake acheni tuwaowe wengi ili wa Afrika tupate ukoo mwingi mpaka tuyiongoze Dunia 😅
@VeronicaCyprian-pv2vv
@VeronicaCyprian-pv2vv 7 ай бұрын
Caren caren caren nmekuita mara tatu 😂😂 nacheka kama mazuri we unamuona shoga ako anafeli subiri uone😂uliza uambiwe
@MeshackGERD
@MeshackGERD 6 ай бұрын
Oya hay maigiz muache bas hawa wadad mara ya pili mm naon upost mamb yao kwahy wao kazi yao nikuchulian wana ume hlf mazingir hay hay embu achen ujinga bas
@JemimaMdota
@JemimaMdota 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 ety huyu anavitu kibao anafeli naona hawajui wanaume yaan anaweza kuja kukuoa kasoro za mkewe na amuachi ng'oooo ,,, Na kama wote niwachumba atakua anawadanganya wote kila mtu ajione yeye ndio bora,,,, arafu huko kwenu hakuna mashamba? Limenivitunguu acheni kugombania ujinga😅😅
@SalamaAmeir
@SalamaAmeir 7 ай бұрын
Nashukuru mung cn rafik
@juliankasanga4954
@juliankasanga4954 7 ай бұрын
😂😂 mwanaume mwanangu asanteee kumbe mamkwe hakunizalia😂
@LovenessDivana
@LovenessDivana 7 ай бұрын
Ila wanawakee mbwa sis aloturoga sijui ni naniii..🙌
@NeylaBoniphace
@NeylaBoniphace 7 ай бұрын
Wallay ningekua mm uyu mdada shoga mnafiki ningeua khaaaaaaa😏mdada wa watu mzr kuliko uyo mchepuko
@EliaichLyimo
@EliaichLyimo 7 ай бұрын
Hiyo nguvu ya kugombea mwanaume mm sina kwa kweli maisha yenyewe ugomvi tosha
@memoryngambi7570
@memoryngambi7570 7 ай бұрын
Huyo mwanaume mnapa viburi,muache Lea mtoto wako Mungu atakupa mwanaume Alie Bora kwako,muache huyo asikuumize kichwa.
@umfahad2609
@umfahad2609 7 ай бұрын
Uneona eeeh..? Halafu mtu akimove on. Akapata wakumliwaza. Ataambiwa mwanamke malaya. Anabadilisha wanaume.
@hurumaanyisile1918
@hurumaanyisile1918 7 ай бұрын
Wako kama matahaira 😮😮 wapuuz fanyen kaz buana
@aminamollel3571
@aminamollel3571 5 ай бұрын
We mmbwa huwajui wanaume wewe unaweza kuta mko 7 kwanza mnagombana kwa mwanaume gani 😂😂😂 mwanaume mwenyewe yuko hovyo tu
@elinapetro7136
@elinapetro7136 7 ай бұрын
Wakulaumiwa ni mwanaume jaman 😊😊
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija 7 ай бұрын
kwan mwanaume akikutongoza huwez mkataa au kublock mmhh
@tedytitus7205
@tedytitus7205 7 ай бұрын
😂Lol hahaha eti nimemaliza kimyakimya safiiiii Sanaa😹
@monicamassawe
@monicamassawe 7 ай бұрын
Mimwenzenu nimezaa naye Watt wawili nahata simuwazi nafanya mambo yangu juzi kati nikasikia wanawake wanagombana kwa ajili yake mwenye saluni na mwenye Grosari nikasikia nikacheeeeka nikijiuliza mtu mwenye nihuyo baba Watt wangu ninaemjua nikawaonea huruma sana 😂😂😂😂😂😂
@BoraHamisi-zl6xy
@BoraHamisi-zl6xy 5 ай бұрын
Mi ndio maana sitaki rafiki naakaaga kama mchawi uwiiiiiiiiii jamani inauma sana Tena sana
@SallyMateru
@SallyMateru 7 ай бұрын
Mimi ndo maana sina urafiki na hao wadada kabisa maana 😮😮 ni kipengele
@AnthoniaGeorge-tr7rd
@AnthoniaGeorge-tr7rd 7 ай бұрын
Uyo mwanamke mpuuz mwanaume wa rafiki yako kweli
@HildaWilson-lv3lw
@HildaWilson-lv3lw 7 ай бұрын
Hiii yakugombania mwanaume nayo ni mpya sana hii na kumlilia juuu khaa
@ShiffahMsuya
@ShiffahMsuya 7 ай бұрын
Uyo Dada banging imejaa kichwani yaan unachukuwa mtu wa mwenzio afu anakuwa mbabe jmn
@emanueldanstan8904
@emanueldanstan8904 6 ай бұрын
😂😂nilikorofi
@kapotoib5288
@kapotoib5288 7 ай бұрын
Yani uki sikiya mboss ana sema naongopa wana wake yani ndo haya 😂😂😂😂
@ep93lenjima
@ep93lenjima 7 ай бұрын
Nimemkubali sana huyo dada aliechepuka na mwamba. confidence 100% halafu anajua kinoma
@jiiwolf2900
@jiiwolf2900 5 ай бұрын
Michepuko iko vzr kwa show
@Haitham-h1s
@Haitham-h1s 7 ай бұрын
Mr uky u did it ❤
@BrightnessGasper
@BrightnessGasper 7 ай бұрын
@mruky kazini kwako kuja kazi😂😂😂 pole baba
@Amollahedrissa
@Amollahedrissa 7 ай бұрын
Mungu usinijalie kugombania mtt wa mtu maana hyo nguvu sina 😂😂😂
@BenisonInoccent
@BenisonInoccent 7 ай бұрын
Mi naona dalili ya kiama ishaanza kujionyesha tutafika2 tunakoenda😭😭😭🙏🏿🙏🏿
@deeh7322
@deeh7322 5 ай бұрын
Huyu dada kichaa eti siwezi achana naye 😂😂😂
@BeataRafaeli
@BeataRafaeli 7 ай бұрын
Jamn huyo careen hamuonei huruma rafiki yake adi ana mtoto na alitoroka kwako kwasababu ya huyo mwanamme Ila na nyie wanaume jamn😅😅😅😅
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 7 ай бұрын
Umalayaa tuuuh 😂😂😂😂😂wote hamna kitu hapa mwanaume mwenyewe uso mbayaa
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 6 ай бұрын
Akili yako imeishia hapo poor
@FEBRONIAJULIUS
@FEBRONIAJULIUS 7 ай бұрын
Kitu ambacho siwezi maishani nwangu kugombana kisa mwanaume hapana siwezi
@leekiss5602
@leekiss5602 7 ай бұрын
Hata mie siwezi nikimsikia nakata Kona bila hata kuuliza
@RachelLaizer
@RachelLaizer 7 ай бұрын
Duh uyu dada ni malaya mbwa na nimeamin kweli malaya hana haya ivi utachukuaje mwanaume wa rafiki yako. Yan mm ningekuua😢
@Aisha-qg5mj
@Aisha-qg5mj 7 ай бұрын
Ndiomana mnaambiwa mgeni mwishowake sebleni usimkaribishe chumbani unakua naurafiki unamwambia kilakitu kuhusu mwanaume wako jamani umakini nimuhimu rafiki mwisho kwenyekikoba nasio kumkaribisha kwenye mashayako
@AMINAATHUMAN-nb9qn
@AMINAATHUMAN-nb9qn 7 ай бұрын
Wanaume wanakosea san kufik kwa michepuko kutoa siri za mwanamke wakooo😢😢😢 so sad😢😢😢
@JaneChristopher-ep1re
@JaneChristopher-ep1re 7 ай бұрын
Twende. Tuludi mapenz yanauma hasa mtu wako akipita na rafiki ako dah!! Me wamezaa na mtoto Asa hivi wanalea😆
@lidyajoseph1752
@lidyajoseph1752 7 ай бұрын
Carini nakuita mara 3 what goos around it cames around nakuambia hii itakurudia mara dufu na utamkumbuka dada, haijalishi ni gogo, ni mjinga lkn utalipa km sio kwako ni kwenye kizazi chako.
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 7 ай бұрын
Mmmh marafk jmn 😭😭😭
@heriethkijaz5712
@heriethkijaz5712 7 ай бұрын
Ogopa kuweka karibu mpenz na rafiki Kila mtu awe na wakati wake jmn Kwan lazima rafik yako awe karibu na mpenz wako eeeh
@mackyladislaus7887
@mackyladislaus7887 7 ай бұрын
careen kabla ya huyu mme wa mwenzako we ulifel wap mpk ukaachwa,kama ungekuwa unahivyo vitu usingeachwa ,mama mtt kafanye kazi achana nao
@Eunice254-o7x
@Eunice254-o7x 7 ай бұрын
Marafiki wakike bure kabsa
@teclaathuman5430
@teclaathuman5430 7 ай бұрын
mkinikuta nagombania mwanaume popote mnipeleke mirembe takua nmechanganyikiwa😂😂
@BeatriceDismas
@BeatriceDismas 7 ай бұрын
Mr ukay umebanwa hapooo kinoma😅😅😅😅😅😅
@bensonluta4907
@bensonluta4907 7 ай бұрын
Jaman mbona bonge mzuri hovyo aseh kinajuliwa kitugani jaman umalayatu.
@LucyMdede
@LucyMdede 5 ай бұрын
Udugu kaz ushosti heka heka😂😂😂😂
@josephzenda3827
@josephzenda3827 7 ай бұрын
😅😅😅 kwan umo dukan akuna hata panga la zarula jamani
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 7 ай бұрын
Mwanaume ndo anatakiwa kugombania mwanamke lakin kalne yasasa imekuwa ya kugombania wanaume nasio wanaume kutugombania 😂😂😂nitafute pesa kwanza heshima uwepo
@ElizabethMbonea
@ElizabethMbonea 7 ай бұрын
Tena mda huu mnagombana mwezenu yupo na jimama lingine huko kah 😂😂😂 mapenzi yamekuwa magumu sanaa so Bora kufanya kilimo cha mboga mboga tuu
@RehemaSaidi-lx2cx
@RehemaSaidi-lx2cx 7 ай бұрын
Uyo kàrini msenge sana
@CarenFrank-x4j
@CarenFrank-x4j 7 ай бұрын
Uyu caren anawajua wanaume vizur 😂😂😂😂
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2
8:59
Mr Uky
Рет қаралды 250 М.
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
KACHUKUA MPENZI WA LAFIKI AKE
11:14
Mr Uky
Рет қаралды 40 М.
NIMEKUACHIA UYO MWANAUME
8:49
Mr Uky
Рет қаралды 72 М.
Mume avunja kioo cha bajaj fumanizi la mkewe
3:52
Balatozi President
Рет қаралды 16 М.
#BABA #ALINIVUA #NGUO #ZOTE
13:09
XPLUS TZ
Рет қаралды 867 М.
ACHANA NA MWANAUME WANGU
11:17
Mr Uky
Рет қаралды 51 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 174 М.
Disco Matanga: The rise and rise of Awinja | #LevelupFridays
23:08
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 24 М.