KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE Pt2

  Рет қаралды 251,584

Mr Uky

Mr Uky

Күн бұрын

Пікірлер: 665
@WitnessIsack-vm4xc
@WitnessIsack-vm4xc 7 ай бұрын
😂😂😂Sikutegemea Jimmy's reception and looking😂😂very interesting😅😅😅😅😅
@SubilaArjun1
@SubilaArjun1 2 ай бұрын
Ila mwamba na harmonize kuhusu mitungi aaa bana 😂ambao mushaona hilo gonga like
@nyagawagodk2479
@nyagawagodk2479 7 ай бұрын
Kama una mkubali Melisa gonga like
@winfridashao8690
@winfridashao8690 6 ай бұрын
Hahahaha Melissa is the best Jamaa nimemuelewa kafanya ivyo mbele ya camera, but out of there I know Melissa atapangwa mambo yataenda okay
@mustafaluziga5196
@mustafaluziga5196 2 ай бұрын
Badili sheni dini funga ndoa kuwa na wake wawili respect kwa mwamba 🎉yuko smart ❤
@MathaFrancis
@MathaFrancis 7 күн бұрын
Kaka hongera mungu kkupa kipaji cha kuharibu mahusiano daaah me nikikuona nakimbia wewe na ni balaaaaaaa😂😂😂
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 7 ай бұрын
Caren tulikuambia acha kujifanya mjuaji huwajui wanaume vizuri sasa leo kimekuramba😂😂😂😂😊
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 6 ай бұрын
Hii kommenti imekaa kinafiq mno usisahau akikataa tuliyokubaliana kwenye kikao🙌😂😂
@Missah
@Missah 7 ай бұрын
Ambao hatunaga marafik tugonge like hapa😢
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 7 ай бұрын
Kwann huna rafiki Missah
@abedysteven4930
@abedysteven4930 7 ай бұрын
Tafta marafk wa kiume!! Achana na mashoga
@MariamAthuman-jq2ce
@MariamAthuman-jq2ce 7 ай бұрын
Me marefik hawana nafac kwang kwa kweli 😂
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 7 ай бұрын
@@MariamAthuman-jq2ce hata wa kiume?
@vesitinarevocatus7333
@vesitinarevocatus7333 7 ай бұрын
​@@abedysteven4930mimi napenda marafiki wakiume na ndonilonao lakn hawa mashoga
@kambikashama4619
@kambikashama4619 6 ай бұрын
Mwanangu Umetishaaa 😂😂🫡🫡🫡 Kiume Iyooo Wote siwatakiii.!
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 6 ай бұрын
Mama mtoto yupo vizuri.Sikia hiyo jina mellissa.
@janetchinga695
@janetchinga695 8 күн бұрын
Actors ❤❤❤❤❤❤❤ from Capetown South Africa
@Kidamui
@Kidamui 7 ай бұрын
Gonga like apa kama Mr Uk anakubamba
@BERNARDITAMAGWI
@BERNARDITAMAGWI 19 күн бұрын
Huyu mwenye tisheti nyeusi ana sura gumu bola huyo mwingne mzur sana
@FallyAlly-j7w
@FallyAlly-j7w 4 күн бұрын
Cheko la mshangaz sasa heheheeeeeee we dadaa,hvyoooo hatujuani tena hapo
@fatmambeyela6697
@fatmambeyela6697 7 ай бұрын
Yan hyu single mama ni pisi ya kwendaaa why uhangaike na Jimmy focus na maisha yko ckuiz hatung'ang'anii mwanaume, tunatafuta pesa zte tunapambana kulea mtoto achananae move on darling u will get another man🥰🥰
@SarahBitwale-pv8ep
@SarahBitwale-pv8ep 6 күн бұрын
Mwenyewe namkubali Melisa❤
@nailamimi20
@nailamimi20 7 ай бұрын
Huyo jimy sana eeh baba Mungu khaaaa 🤣🤣🤣🤣
@KyssaLugano
@KyssaLugano 7 ай бұрын
Jimmy na caren wote mashetaniii 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. They deserve each other
@neliciousmtata5309
@neliciousmtata5309 7 ай бұрын
😂😂 mwenyew kaomba zake yaishe warudi urafiki na mwanaume wameshamchungulia wote😂😂😂😂 basi buana🙌🏼
@Zari-bj7pg
@Zari-bj7pg 9 күн бұрын
Huyu mwenye wig mbon kam anaigiza
@NeemaGwasma
@NeemaGwasma 6 ай бұрын
Huyo kareni hana akili anajuwa kabisa huyo ni mume wa rafiki yake alafu yeye tena ana mwita hapo huyo kweli snichi kama jimi alivyo sema 😂😂😂😂😂 Karen akili halina alijuwa Jimmy atamkataa mama mtoto wake dah basda ya kukataliw wote ety urafiki uendelee 😂😂😂😂 punguani wa mwisho caren
@rajabmwajasho382
@rajabmwajasho382 7 ай бұрын
Ujue huyu dada ni mkorofi mi naenda kumdunda for me 😂😂😂
@saivellybrutally2994
@saivellybrutally2994 6 ай бұрын
Mchezo wa kipumbavu kweli yan Mimi ndio jimmy aisee nawapiga hote
@simeocharles8182
@simeocharles8182 7 ай бұрын
Jamaa katuwakilisha vzr sana
@andrewtesha1132
@andrewtesha1132 5 ай бұрын
Amin kwambaa
@walizanasiri4963
@walizanasiri4963 6 ай бұрын
Kibonge mzulikweli❤❤❤yani akipungua kidogo tu anakumzulikwelikweli❤❤❤
@chikuhamadi1340
@chikuhamadi1340 7 ай бұрын
Uyu dada mwenye rasta nizaidi ya shetani wallah angekubaliwa angemuona mwezake ajui k2 mana ndomaneno yake sio shoga uyo looh ila jimy nimempenda bure uwamuzi wa kiume uwo😂😂😂😂😂😂
@abdallaabdulrahman8319
@abdallaabdulrahman8319 6 ай бұрын
Huyu Jimm anampnda sana huyu mweny rasta ilo lipo wazi
@pillyramadhani3726
@pillyramadhani3726 7 ай бұрын
😂eti anamwita mwezie lishangazi😂 au ye ajioni
@nathalieswedy3653
@nathalieswedy3653 7 ай бұрын
Sura yake ngum
@suzanbegas4139
@suzanbegas4139 7 ай бұрын
😂😂😂👊 yaan Nyan Haonag Kundule
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 7 ай бұрын
😂😂😂jimmy safi sana. Kawakataa wakorofi
@ZuwenaHemedy-fn4ft
@ZuwenaHemedy-fn4ft 7 ай бұрын
Jimmy 😂😂😂😂😂...unadate na mtu anaitwa Jimmy na unasema upo kwenye serious relationship 😅
@RachelMalekela
@RachelMalekela 7 ай бұрын
Ucnambie jimmy ni washenzi?
@ZuwenaHemedy-fn4ft
@ZuwenaHemedy-fn4ft 7 ай бұрын
​@@RachelMalekela😂😂😂
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 7 ай бұрын
Jimmy hawafai au😂😂
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 7 ай бұрын
Sawa sawa
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 7 ай бұрын
Huo Jimmy mwenyewe😅😅😅😅 naona urefu tu kama jini eti Rafik yangu unifanyie hivi😅😅😅 tunauwana na namuacha
@fadybeatz
@fadybeatz 6 ай бұрын
😂😂Tulioskia Siwataki Wote, mwamba ametisha
@EukeliusMlelwa
@EukeliusMlelwa 3 ай бұрын
Kwani huyo si mshangazi wa home boy!!🤣🤣🤣
@MagiriConshaz
@MagiriConshaz 5 ай бұрын
Jimmy mwamba sana mwanangu big up 😅
@Nanah-go4lj
@Nanah-go4lj 7 ай бұрын
Ila sema mama mtoto yupo vzr pisi ya kwenda ❤❤
@ruqaiyahEidy
@ruqaiyahEidy 7 ай бұрын
❤❤kabisaa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 7 ай бұрын
UZURI WAUTOLEE WAPI WOTE WABOVU TU
@prosperjuma4993
@prosperjuma4993 7 ай бұрын
Haha wabovu kweli? 😂😅​@@ruqaiyahEidy
@SuzanneOg-yj1nr
@SuzanneOg-yj1nr 4 ай бұрын
Melisa ngumu mkonon😂😂😂
@HellenWanyonyi-v4n
@HellenWanyonyi-v4n 2 ай бұрын
Nimependa sana wazo la kallen kukataa kuendelea na urafiki tena😂❤
@TreasureMagumba
@TreasureMagumba 7 ай бұрын
Jimmy katumia mbinu rahisi sana kujitoa kwenye janga ila baada ya hapo ataenda kuwaomba msamaha mmoja mmoja na wanawake tulivyo kila mmoja atamsamehe jimmy kwa nafasi yake akiamini anapendwa 😂😂😂akili kichwani mwenu careen na Melissa
@annathomas-wy8yt
@annathomas-wy8yt 7 ай бұрын
Umejuaje?
@PeridaKawovela
@PeridaKawovela 6 ай бұрын
Upo sawa kabisaaa
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 6 ай бұрын
Huo ndo uanaume jimmy et siwatak wote kumbe unawapenda wote😂😂😂
@SurprisedGolfCart-uw5ko
@SurprisedGolfCart-uw5ko 6 ай бұрын
Dada mswahili huyu mchepuko 😂😂😂
@leahlotta1391
@leahlotta1391 6 ай бұрын
Mbona unanitisha😂😂😂
@ZatoZato-v8b
@ZatoZato-v8b 6 күн бұрын
Yani dada Rasta yupo vizuri kiakili
@JamalManzi
@JamalManzi 4 ай бұрын
Oyoo akina Jimmy tukuje hapa😂😂
@ObugoAlex
@ObugoAlex 7 ай бұрын
Jimmy mwenyewe hata hajai popote😂😂
@roqayaro9439
@roqayaro9439 7 күн бұрын
Tumalizie yule mwenye duka la viatu imeishiaje
@pacifiquecirhuza4047
@pacifiquecirhuza4047 6 ай бұрын
Hawataki wote🤣🤣🤣🤣safi Sana.
@janetchinga695
@janetchinga695 8 күн бұрын
Mama mtoto mzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤❤
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 7 ай бұрын
Atafata. Mmoja ammbembeleze, yani unitwalie mume wangu alafu tuachwe alafu urafiki eti urudi kweli 😂😂😂wa bongo amko serious
@DaynessMsisi
@DaynessMsisi 7 ай бұрын
Duuh hapa mjin Bora tu uwe huna rafiki 😂😂
@rahabumwakajoka6721
@rahabumwakajoka6721 7 ай бұрын
Rafiki wapo dear ila Kuna mbwa pia wapo😂😂
@DavidDavid-wf5ug
@DavidDavid-wf5ug 7 ай бұрын
Mr UKY vipi ile ya dada aliyefunikwa keki yaa uso ndiyo imetoka au utaendelea
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 ай бұрын
Mimi nimempenda huyo mnene sana jumani mpole heti huyu dada mkorofi nitamdunda😅😊😂
@Zahara-l3l
@Zahara-l3l 7 ай бұрын
Kweli dada huyoo sio rafiki mzur ni nyani ni shatani pia😂😂😂🇴🇲
@Asma-m1j
@Asma-m1j 6 ай бұрын
Hata hamjakataliwa atawapigia cm kwa kilammoja kwa mda wake halooooo, mapenzi weeeeeee unaninilakini🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@mossesramadhani501
@mossesramadhani501 7 ай бұрын
Safi sema Mr. Uky uwe unachangamka basi kama mwenzio kiradio sio sikiliza sikiliza kibaaao point n. 0. Kakaaa
@AginesElthon-n6u
@AginesElthon-n6u 4 ай бұрын
Daaaa! Jamani. Haya mambo ya kuchitiwa yasikie tu kwa mtuu daa!
@AiraSaid-f9w
@AiraSaid-f9w 3 ай бұрын
Kwahyo wote wawili mnazungushwa😂😂
@Munayya-g2p
@Munayya-g2p 6 ай бұрын
Rafiki yangu ninaye na tunapendana langu lake lake langu nilipo yupo alipo nipo mwamba huyu hapa namfiche kwe kufuliii katikati ya mapaja🙌tangu nizaliwe sijawahi kumuamini mtu, Maana mama yangu amenambia mtu muhimu kwenye maisha yangu na ninaye hofia kumpoteza na mara zote hofia kumpoteza ni MIMI mwenyewe guys, sitaki shobo 🙌
@GraceJoakim-i1n
@GraceJoakim-i1n 5 ай бұрын
@gaudensiamalawoni3215
@gaudensiamalawoni3215 7 ай бұрын
Kajimi kenyewe Sasa 🤣🤣🤣🤣 hovyoooooo
@AhmedMahala
@AhmedMahala 7 ай бұрын
😂😂😂
@Feymathias-i8l
@Feymathias-i8l 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂woyiiii
@RahimaMct-ik8mr
@RahimaMct-ik8mr 6 ай бұрын
Yan nikabaya kabisa hata kumlik mamamtoto wenyew tu. Sio sahih😠😠😠😠😅😅
@andrewtesha1132
@andrewtesha1132 5 ай бұрын
Watu hawajapendaa uovyooo bibiyee, wapendaa mkurundingaa huoo kitandann fam chezoo nn had anagombaniwaa
@cathe-wr7gb
@cathe-wr7gb 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@JasminJohn-qt2uz
@JasminJohn-qt2uz 4 ай бұрын
Siwataki wote😅😅😅😅daah kmmmk wanaumee
@candiesalm8995
@candiesalm8995 7 ай бұрын
Jimmy mwenyewe sas yupo kama jini😂😂😂
@AmrinaAamal
@AmrinaAamal 7 ай бұрын
😂😂😂et jinni
@candiesalm8995
@candiesalm8995 7 ай бұрын
@@AmrinaAamal 😂😂
@jeanclaudeakili2372
@jeanclaudeakili2372 4 ай бұрын
Dogo apo fresh kbsa,unatupeya mazingira mazuri yakujipakuliya wanawake wenye hawana mabwana 😅😅
@MarcoAmoni-sq5do
@MarcoAmoni-sq5do 7 ай бұрын
Yan kafyonz mwenyew alaf anamwambia mwenzake asimfyonze 🤣🤣🤣
@JosephatMassae
@JosephatMassae 5 ай бұрын
Uyo careen anashindwa kuzichanga karata kama anajua kabisa yeye ni mwizi wa bwana wa rafikie kwa nini akubali kwenda kumleta mwanaume hapo kama sio kumchoresha hata mim ningewakataa wote nasepa😀😁😂
@akidaally2835
@akidaally2835 5 ай бұрын
Oya kama vipi mwambie mama mtoto mi namuelewa sana then wanangu tugonge like hizo
@RehemaOmary-xp4fk
@RehemaOmary-xp4fk 7 ай бұрын
Kibwana chenyewe sasa khaaa 😂😂😂😂
@MussaJabiri-l5y
@MussaJabiri-l5y 6 ай бұрын
😂😂
@emmatryphone6921
@emmatryphone6921 6 ай бұрын
😅😅😅😅
@erca111
@erca111 6 ай бұрын
Jimmy mwenye sasa😂😂 banangeee
@paulhema5713
@paulhema5713 6 ай бұрын
Kwan maisha bila mapenzi hayawezekan.....😂😂
@STAVOO_WIZZIE
@STAVOO_WIZZIE 7 ай бұрын
BADO HAWAJASEMA, MKINIUMIZA NINA MABROO WANGU WANANILIPIA😅😅😅😅
@donizzo9570
@donizzo9570 5 ай бұрын
Haaa😂😂😂hii ilishanitokea kitambo na nikatoa jibu hilo hilo safi sana hilo ndio jibu lakiume.. Baada ya hapo kila mmoja nikampanga kivyake kwa muda wake huku nikiua upande wa pili.. Na mahusiano yakaendelea kama kawaida kwa wote..
@issamussa3530
@issamussa3530 4 ай бұрын
Kwahiyo kawatomba wote😅😅dah ududu sn
@MourineJohn
@MourineJohn 4 ай бұрын
Amna aliyekataliwa hapo mtaombwa msamaha wote na mtaendelea kuliwa wote mwanaume ni mbwaaa😂
@gamarahmed3258
@gamarahmed3258 7 ай бұрын
😂😂😂yani Bada ya kukataliwa ndo anaomba msamaha kweli marafiki ni sumu jamani
@KeddyMnagamba
@KeddyMnagamba 6 ай бұрын
Eeh et kama kukataliwa tumekataliwa wote😅😅😅😅😅
@FarajaAbdul
@FarajaAbdul 6 ай бұрын
😂😂😂yaani madada nimewaoenda kwakweli.ninacho juwa anae umia ni mwenye mtoto😢
@SwaumuKatundu
@SwaumuKatundu 7 ай бұрын
Ila jimmy ni zaid ya shetan😂😂😂🙌🙌
@SalmaJumanne-z7z
@SalmaJumanne-z7z 7 ай бұрын
Bola nikae bila shoga tu yalinikuta ayo 😂😂😂😂
@ELIZABETHEMMANUEL-kz7vn
@ELIZABETHEMMANUEL-kz7vn 7 ай бұрын
After kukataliwa ze gelo is very humble 😂😂😂😂😂😂 snitch xanaa uyu careen xialikua anasema hawez kataliwa😂😂😂😂😂😂 very interesting stor
@TalckParody-dz1xo
@TalckParody-dz1xo 7 ай бұрын
Mchepuko nae kasalitiwa😂😂
@annahilonga3550
@annahilonga3550 6 ай бұрын
Siwataki wote😄😄umekata mzizi wa fitina😅
@FettyIbrahim-xe1sn
@FettyIbrahim-xe1sn 3 ай бұрын
Mhhhhhhhhh 😂😂😂😂 wanaume bwana
@DenniceMjuni
@DenniceMjuni 9 күн бұрын
Dah! Na mm msoma comments nimekataliwa😅😅😅
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 4 ай бұрын
Uyu s Ndio Yule wA ganslay 😂 😂
@JoycePaschal-l4x
@JoycePaschal-l4x 7 ай бұрын
Mr UK hiyoo kaz yako ni ngum saan😂😂😂
@raxdeeofficial
@raxdeeofficial 7 ай бұрын
Sema muhun kamaliza kinyamwez😂😂😂
@PaulineRichard-q7w
@PaulineRichard-q7w 6 ай бұрын
Aliyemleta kakataliwa mapema halooo,🤣🤣🤣
@jackienico3833
@jackienico3833 7 ай бұрын
Yan caren chali miguu juu😂😂😂kihelehele kwisha
@magrethnombo9870
@magrethnombo9870 5 ай бұрын
Mbona kama sauti ya jummy n ya babe wangu😢😅😂
@juanajuan3198
@juanajuan3198 4 ай бұрын
Jimmy imemchukua dk tano kumtambua demu ake😂
@rukiapessa7112
@rukiapessa7112 7 ай бұрын
Huyu mwenye rasta ni choko sanaaaa
@essyrugomora4561
@essyrugomora4561 6 ай бұрын
Yesuuu baada ya maneno yote ya dharau kumpa Melissa namshukuru mungu huyu asiyezaa nae ananyenyekea nnn si alikuwa anamdharau yaani namshukuru mungu sinaga rafik wa kike.asante jimmy kwa kuwakataa najua utamfwata Melissa yataisha ila weee mwenzangu utaweka wap sura oooh unayeweza umekaaaa tu nan aliyekuambia kuwa wametafuta maisha leo amuache aluone wa maana hahahahahahaha
@khadidjaabdi-hd8py
@khadidjaabdi-hd8py 7 ай бұрын
Wakwanza leo 😂😂😅
@paskaziasholla7471
@paskaziasholla7471 7 ай бұрын
Jimmy mwenyewe sasa kep kama bakili 😅😅
@linnerphilip4260
@linnerphilip4260 7 ай бұрын
Mnagombea dudu tu hapo😂😂😂
@JacklinMponzi
@JacklinMponzi 7 ай бұрын
😂😂
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 7 ай бұрын
Wadada mmetisha sana😂😂
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 7 ай бұрын
Imagine
@AlbinMsechu
@AlbinMsechu 7 ай бұрын
@@AgnesDavid-et3zn 🤣🤣🤣
@LutfiaRashid
@LutfiaRashid 7 ай бұрын
Tena dyudu black 🖤
@selinakatega6691
@selinakatega6691 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂wamekataliwa woooiteee hihihihihiiiiiiiii na hapo anakidem kingine Uko ..eti marafiki wa mda mrefu mda mrefu nyoko
@mariamandambike5013
@mariamandambike5013 7 ай бұрын
Nilijua tuuu itakuwa ivyooo mwishoniii...😂😂😂😂
@clarakisoka4300
@clarakisoka4300 7 ай бұрын
Nlijua linakuja bonge la bwana😂 😅😅
@LevinaKavishe-v2i
@LevinaKavishe-v2i 6 ай бұрын
Marafik wasengeeee sna rafik by the way
@ZatoZato-v8b
@ZatoZato-v8b 6 күн бұрын
Mr uk uko vizur
@ShabriKena
@ShabriKena 4 күн бұрын
😂😂😂..Da.sarrima
@happiefrancis8824
@happiefrancis8824 6 ай бұрын
Mambo ya kisnitch jimmy buanaa😅😅😅
@Mamunabeel-hh9kb
@Mamunabeel-hh9kb 7 ай бұрын
ww jimmy ww eenh si umezaa na melisa ww😅😅
@joycekambuga6286
@joycekambuga6286 7 ай бұрын
Uko vizuri hawara ni mpuuzi tu
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 5 ай бұрын
Merissa ni mzuri sana maashallah
@fatmambeyela6697
@fatmambeyela6697 7 ай бұрын
Yan mm ndio maana cinaga rafik hta ctakag kabisaa🤣🤣🤣
@NeemaMdachi
@NeemaMdachi 7 ай бұрын
ukisikia dhoruba ndy hii sasa jimmy wew ni kimbunga jobo😆😆😆
@CatherineShayo-ue7xh
@CatherineShayo-ue7xh 7 ай бұрын
Nmecheka kwa nguvu😂😂
@NeemaMdachi
@NeemaMdachi 7 ай бұрын
@@CatherineShayo-ue7xh kwanini umecheka kwa nguvu😀
@ZeyanaKhamismashaka
@ZeyanaKhamismashaka 7 ай бұрын
Rafiki asaaa bora ukae mbali kuliko kuwa narafiki mnafiki 😂😂😂😂😂😂
@aminashemndoa8882
@aminashemndoa8882 7 ай бұрын
Yani karen anaomba msamaha baada ya kukataliwa🤣🤣kawa mpoleee kama sio yeye
@VeroMaketu
@VeroMaketu 7 ай бұрын
Alaf wanaume wenyewe wanao gombaniwa hata cyo ma hb 😂😂😂 jaman
@StellahSaid
@StellahSaid 7 ай бұрын
Nmechekaa 😂😂eti mbona unaonesha sura ya kununaa chekaa basii😂😂
ZAWADI YA DUKA SINZA IME GEUKA ULINGO WA NGUMI
12:52
Mr Uky
Рет қаралды 200 М.
KACHUKUA MPENZI WA MWENZAKE
8:31
Mr Uky
Рет қаралды 94 М.
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
BABY LUXE IS HERE | THE WAJESUS FAMILY
47:21
THE WAJESUS FAMILY
Рет қаралды 179 М.
BIBI HARUSI MATATANI KUACHIKA KABLA YA HARUSI
11:32
KIREDIO
Рет қаралды 175 М.
Mume avunja kioo cha bajaj fumanizi la mkewe
3:52
Balatozi President
Рет қаралды 16 М.
KIREDIO AVUNJA PENZI LA MEET US
3:02
KIREDIO
Рет қаралды 82 М.
MAPENZI YAMLIZA BIG | PART ONE 1.
15:04
Ivan17_tz
Рет қаралды 20 М.
DUNIA (Ep 42)
20:50
ASMA FILMS
Рет қаралды 186 М.
MKE AGUNDUA MUME WAKE ANA WATOTO NJE KISA CHALLENGE Part1
2:14
MAPENZI YAKWELI YAPO JAMANI
19:41
Mr Uky
Рет қаралды 154 М.