MKE NA MCHEPUKO WA KUTANA Part 2

  Рет қаралды 226,601

Mr Uky

Mr Uky

2 ай бұрын

Marki Wechepuka Kwa wanawake wa will

Пікірлер: 1 100
@lilianmwilawi7233
@lilianmwilawi7233 2 ай бұрын
Waliopenda rose gather here😂😂😂
@user-mb2ek2ds1h
@user-mb2ek2ds1h 2 ай бұрын
Nimempenda Sana rooooose🎉
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@LizzyLucas-xy8fj
@LizzyLucas-xy8fj 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@radephplv4976
@radephplv4976 2 ай бұрын
Eti nauliza jamn aya mambo ni kweli au wanaigiza 😅😅😅😅😅 maana
@StylebyTully
@StylebyTully 2 ай бұрын
Hahah😂😂😂😂😂 shout out for Roses confidence
@esthermollel9892
@esthermollel9892 2 ай бұрын
Rose una busara sana dadangu. Strong woman ever. God bless you
@JudithAdonis
@JudithAdonis Ай бұрын
Kwa kweli ❤
@user-fy2ve5by9v
@user-fy2ve5by9v Ай бұрын
Rose mwamke wa nguvu nakupa salut mama kaza Buti hao mafisi Wanamdondoshe mate mumeo
@eunicegerminus193
@eunicegerminus193 2 ай бұрын
Rose nimempenda sana yaani mno mno mno ❤❤❤Rose popote ukiona comment hii nakupenda bure
@user-fy2ve5by9v
@user-fy2ve5by9v Ай бұрын
Rose nimekupe da sana kuwa na ujasisiri was kutosha
@JudithGeorge-kh4sc
@JudithGeorge-kh4sc 2 ай бұрын
Huyu dada anabusara sana unajua kuongea bila kutumia panick 📌hv unakasirikaga kweli rosee 🙌your super woman ❤️🔥
@VailethHarbeth-nc4qk
@VailethHarbeth-nc4qk Ай бұрын
Maana kama mm apo ndo sehemu ningeruka adi juu ya mezaa okay yeye Sasa Kam ayupo 👐👐
@deelinus3080
@deelinus3080 2 ай бұрын
Siku zote mwenye BUSARA na HEKIMA atakua juu🥰🙏. Rose ni mwanamke na nusu🔥💯
@user-oj1fh5dn6t
@user-oj1fh5dn6t 2 ай бұрын
P mke wake unamwita mchepuko yan rose ww si unipe na mimi hyo siri ya maisha jamn niwe km ww nimekupenda mimi❤❤❤
@StellaDimitry
@StellaDimitry 2 ай бұрын
Rose popot ulipo nmejifunza kutok kwako unajiamn mpk rahaa makopa yko uchukue❤❤❤❤❤
@SarahAntony-dv2co
@SarahAntony-dv2co 2 ай бұрын
Tulio rudia mara mbili mbili tujuane kwa like
@WardaHemedy
@WardaHemedy Ай бұрын
😂😂😂😂😂ni hatarii 😝😝😝
@husnaadam6510
@husnaadam6510 2 ай бұрын
Tuunganishe na roz tumpe hongera zake ni mwanamke na nusu💃💃❤❤❤
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 Ай бұрын
❤❤❤❤
@azinamsuya9350
@azinamsuya9350 Ай бұрын
Usikute maliki kalinda kula yake hawa viumbe hawatabiriki,akirudi kwa p anajibebisha😂😂😂😂😂 nawaza tu
@user-od4ye6du5n
@user-od4ye6du5n 2 ай бұрын
Unafaa da rose kuhitwa mke wa mtu hongera kwa hekima uliyo nayo nakupenda sana ❤❤❤
@NeemaAkyo
@NeemaAkyo 2 күн бұрын
Rose jaman nimekupenda bure mnomnomno ,❤❤ Yani ukiona hiii comment una busara dada yang strong woman ever god bless you ❤❤
@Salmakaucha
@Salmakaucha 2 ай бұрын
Duuu ila Loz nimzuli Kisha anaeshima na busala piya mashaallah
@mohamedchillumba-rk4eu
@mohamedchillumba-rk4eu 2 ай бұрын
Sio lozi Rose
@faridalihondo3322
@faridalihondo3322 2 ай бұрын
@@mohamedchillumba-rk4eu😂😂😂😂😂
@athumanhamad8522
@athumanhamad8522 2 ай бұрын
Loz nimke mwema so hawez kosa busara angalia sasa hio mbuzi inavyo jibu p anatamaa na duka za msela alizopewa na Loz
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 2 ай бұрын
@@mohamedchillumba-rk4eu a weee 🤣🤣🤣
@salmatuleteesehem71jmnmahm59
@salmatuleteesehem71jmnmahm59 2 ай бұрын
Nyie nyoote ni michepuko hahhhahh kumbe hakuna mke hapo mie nilijua mmoja kaolewa kumbe nyoote mnaziniwa tu mwisho wa siku anaenda kuoa mwingine endeleeni kugombania tu😅
@arianasangawe9688
@arianasangawe9688 2 ай бұрын
Hasira hukaa kifuan mwa mpumbavu pole kwake p maana alizan kutambulishwa ndo kuolewa hakujua ckuiz watu wananunua wazaz wa mchongo nimempenda sana Rose anajiamini na anatabasamu la kipekee
@mariethagodwin2273
@mariethagodwin2273 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@VeronicaMinja-zg3mv
@VeronicaMinja-zg3mv 2 ай бұрын
Rose ndio mke🎉Rose umepitishwa ❤
@suhaylajuma5761
@suhaylajuma5761 2 ай бұрын
😅
@happymwaseba5878
@happymwaseba5878 2 ай бұрын
🤣🤣🤣👉
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 Ай бұрын
rose maua yako❤❤
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Ай бұрын
Hongera Rose, you are very humble. Umejaa hekima na ndivyo ilivyo kwa kila mwenye haki.
@Mbambanaji
@Mbambanaji 7 күн бұрын
Rose nimwanamke haswa nimeipenda😊
@lilylema5292
@lilylema5292 2 ай бұрын
Mwanamke yoyote duniani uzuri ni akili . Rose anaakili mingi sana
@almerquen8910
@almerquen8910 2 ай бұрын
𝑁𝑚𝑒𝑝𝑒𝑛𝑑𝑎 𝑥𝑎𝑛
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 Ай бұрын
rose uko vizuri unabusara sana
@wemapanga1547
@wemapanga1547 Ай бұрын
Nimekupenda bureeeeeeeee Rose
@JanethErasto
@JanethErasto 2 ай бұрын
Hapo ukute p umri ulikwisha enda kajiopolea bwana wa watu akajua kapata😅😅😅 but nimpenda rose anaongea Kwa busara. ❤❤❤ Love u 😘 Rose halafu wadada mjue kutambilishwa Kwa ndugu siyo kuolewasijuw mnanipata😮
@KibindaMartine
@KibindaMartine 27 күн бұрын
Nikweli
@felistersanga6318
@felistersanga6318 10 күн бұрын
Hv upumbavu wakugombania mwaume ni njaaa au dudu ety p ila rose Asante Uko bright sana
@user-bo3te8qm1l
@user-bo3te8qm1l 23 күн бұрын
Rose ana busara sana hivi ndyo anavyotakiwa mwanamke awe pokea mauwa yako❤,p mchepuko anamzarau mwenye mume nimjinga sana😂😂
@NicksonMaghembe
@NicksonMaghembe 2 ай бұрын
ROSE NI MWANAMKE ANAEJITAMBUA SANA SUPER WOMAN CONGRATULATIONS
@Pips_lady
@Pips_lady 2 ай бұрын
That Rose HAVE GOD WISDOM ❤❤❤ BOLDNESS 🥳🥳
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 2 ай бұрын
Huyu Roz anafaa kua mke,
@SalmamashakaMashaka
@SalmamashakaMashaka 2 ай бұрын
Hakika kwanza anajielewa vibayano
@diyembarak5506
@diyembarak5506 2 ай бұрын
Rose apewe maua yake 🎉
@user-zi1or6xh2w
@user-zi1or6xh2w 2 ай бұрын
Tayàli Ni mke
@user-ls2nq2eq3l
@user-ls2nq2eq3l 2 ай бұрын
Kbs
@JudithAdonis
@JudithAdonis Ай бұрын
Wanaume huwa mnajichanganya sana jaman.....loooh !! Amekiri kwamba Rose ni mke wake but amempotezea muda P 🤔🤔
@ZiiMwita
@ZiiMwita 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 wee p weweee kafe mbele ndoa tunayo dada kwanza unasura nzitooo losheni tu inakusaidia 😂😂😂
@IssaIddi-vb9yi
@IssaIddi-vb9yi 2 ай бұрын
Yes nilikuwa naifatilia hii bora imeisha ila nimempenda sana Rose nimwanamke ambaye anaonekana kichwa chake kinafanya kazi vzur
@user-lj2nh6tu4c
@user-lj2nh6tu4c 2 ай бұрын
Shost kujulikana kwa mwanaume siyo kuolewa.... 😃😃 tuulize sisi tuliopelekwa ukweni na tukakaa miezi na hatukuolewa na tulifahamika na ukoo mzima... Rozi upo good sana❤❤ nimependa jins ulivyo smart kuanzia akili mpaka mwili una hekima sana kipenz...
@Hellenlubuva1931
@Hellenlubuva1931 Ай бұрын
Ila wake jmn👐👐
@tabithergreen6419
@tabithergreen6419 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@tabithergreen6419
@tabithergreen6419 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@MwanahawaBea
@MwanahawaBea Ай бұрын
Imeisha hyoo,,mke atabak kuwa mke na mchepuko hatabak kuwa chepuko,,,mume hawez Tema big G kwa karanga zakuonjeshwa umeupiga mwingi da rose 👏👏👏
@happyhappy-ym2su
@happyhappy-ym2su Ай бұрын
Hivi haya ni maigizo au ni ukweli, mbona kama ni ukweli aibu naona mimi😂😂😂😂
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 Ай бұрын
Ni kweli
@happynathan8226
@happynathan8226 Ай бұрын
Sio maigizo ni ukweli kabisa
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 2 ай бұрын
😂😂😂uzuri marick ajatoa pesa za uyu asuke uyu asisuke wote ni mnyooshoo mashallah 😂
@hamzachigogolo7766
@hamzachigogolo7766 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@malietamalieta9658
@malietamalieta9658 2 ай бұрын
@@hamzachigogolo7766 kwann unacheka
@user-lx3nz5cq6x
@user-lx3nz5cq6x 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 uwiii
@WivinaMsafiri-hf8oh
@WivinaMsafiri-hf8oh Ай бұрын
😂😂😂
@user-ll9df3ib3o
@user-ll9df3ib3o Ай бұрын
Hahahaha
@diva_20162
@diva_20162 2 ай бұрын
Sema rose yuko na akili sana mtu wa maana kbc Malik hawezi kumwacha huyu mwanamke ko P angalia upande mwingine girl friend
@JulianJohn-gn4ht
@JulianJohn-gn4ht 2 ай бұрын
Busara huyu dada anayo sana nimejifunza kitu sana sana kaka unlje na kwangu piaa
@magrethjuma8515
@magrethjuma8515 2 ай бұрын
Nime jifunza kitu Kwa Rose jamani 🙏🏾 mwanamke ni akili heshima na hekima balikiwa da Rose
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 2 ай бұрын
Mapenzi yana mambo mengi sana p sio mwizi p pia alitongozwa km Rose ilspokuwa mwanamke ulie wahi kuumizwa kwenye mpenzi au mwanaume ulie wahi kuumizwa hapo mwenye makosa ni mwanaume hakuwa mkweli ila ina uma tuwe wa kweli vipenzi vyangu mapenzi yanauma sana saba 😢
@AksaMwigulu-ed9ck
@AksaMwigulu-ed9ck 2 ай бұрын
Nikwel katongozwa P kama Rozi ila alichofel yy kutaka kujua Rozi ni nani kwa huyu mwanaume na mbaya zaid anaaza kusema mme wng natabulika kwako ila Pole P hongera kwa Rozi
@annathomas-wy8yt
@annathomas-wy8yt Ай бұрын
Wanaume hawajawahi kuwa wakweli kwenye mapenzi
@nurualamoody4305
@nurualamoody4305 Ай бұрын
Yaani hilo ni funzo kwake na kwa wengine kuwajua vyema hawa wanaume huwa ni watu wa tamaa Ila wanaakili za kuangalia wapi scheme sahihi ya maisha yake ya baadae
@user-lf5uk6mq4t
@user-lf5uk6mq4t 2 ай бұрын
Aibu naona mimi p sura yenyewe ngumu bado unalazimisha mume wangu 😂😂😂 umekataliwa nimgekuwa mm ningekimbia moja iyo
@RehemaEndward
@RehemaEndward 2 ай бұрын
Wallah nimecheka sana dah p ndio akome 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@ViolethMushi-sm7yn
@ViolethMushi-sm7yn 2 ай бұрын
😂😂😂
@ViolethMushi-sm7yn
@ViolethMushi-sm7yn 2 ай бұрын
Kiherehere nikibaya sana 😂
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 2 ай бұрын
Sasa p kujitamba kote huko kumbe analelewa na roz
@neemakassan6538
@neemakassan6538 2 ай бұрын
Nimecheka kwa sauti kubwa 😅😅😂😂km mazuri vile p maskini anatia huruma na amekimbia wanaume ni washezi kabla hujaingia kwenye mahusiano mchunguze kwanza usikimbilie tu kusema ni mume wangu aibu naona mm huku wadada tuwe makini p alikimbilia kisa ana mali mie mwaka wa saba nipo na mahusiano amezaa na wanawake wawili tofauti pia biashara mtaji ni wangu lkn still bado nipo nae tokea 2016 nasafiri sana nje ya nchi hd alioa lkn wakaachana akarundi kwangu tena nami nikazaa na mtu wa mamtoni nimerundi bongo ushauri ukimkuta mtu ana mali jaribu kumchunguza kwanza wadada mnafeli wapi?
@dicvanofficial
@dicvanofficial 2 ай бұрын
Mr Uk your very humbled
@agnesjohnson2393
@agnesjohnson2393 2 ай бұрын
Lol I had to subscribe, after watching this video 😂😂😂 mi nilijua nimasiharaa kumbe watu wapo serious 🤣😂🙈🙈🙈🙈 I’m going to be watching more of your videos 🤣😅😂
@ReginaKaizirege-sd3hn
@ReginaKaizirege-sd3hn 2 ай бұрын
Rose nimekupenda buru,, ktk hii dunia nilijua niko peke yangu kumbe nimekupata mdada mwenye kujitambua na mwenye maneno matamu na mazuri yenyekufundisha,,, Mark kaoe Acha upuuzi
@IvethaRugambwa
@IvethaRugambwa 2 ай бұрын
Shida inakuwa pale ulimpa moyo wako kumbe yeye alitaka mwili wako tu😃😂😂😂big up Rose
@almerquen8910
@almerquen8910 2 ай бұрын
𝑊𝑎𝑙𝑙𝑎ℎ
@muntazsaleh2023
@muntazsaleh2023 2 ай бұрын
😆😆😆
@aishahamad7923
@aishahamad7923 2 ай бұрын
Words 😂❤😊
@LightnessUrio-fo7mq
@LightnessUrio-fo7mq 2 ай бұрын
Miaka minne na mwaka mmoja wapi na wapi 😂😂😂😂😂,dadaangu kua mpole tuu
@agatonybenedict6985
@agatonybenedict6985 2 ай бұрын
Daaah Kumbe wanawake kama Rose Bado wapo Duniani, daaah impressive woman, full of IQ, Big up Rose you deserve kuish milele ili uwe mfano Kwa wengine 🎉🎉🎉🎉 chukua maua yako
@user-fh1jk9qq5y
@user-fh1jk9qq5y 2 ай бұрын
P kwanzaa hata alikuwa hajiamin tangu mwanzoo😅😅😅
@hidayakiza9364
@hidayakiza9364 2 ай бұрын
Lazima asijiamini mwaka mmoja kwa miaka minne
@minahsulesh8740
@minahsulesh8740 2 ай бұрын
Sina ht Cha kuongeza rose umemaliza hii ndio mwanamke inabid ubehave❤
@elickjosephy29
@elickjosephy29 2 ай бұрын
Mwanamke kama rose dunia hii wamebaki wachache sana god bless you rose
@user-xz7gu4wo2k
@user-xz7gu4wo2k 2 ай бұрын
Hongera Kwa uvumilivu wako nimekupenda🎉
@user-jo9vw5dm2h
@user-jo9vw5dm2h 2 ай бұрын
Ila sisi Wanaume tunajua tuyafanyao kwa mabinti ,hatuwez chagua mbulala hata iwe pisi vip😅😅
@emmanuelnzaligo6262
@emmanuelnzaligo6262 2 ай бұрын
Ila rose mzuri!!!❤❤❤.
@JenipharMgoto
@JenipharMgoto 2 күн бұрын
Rose ubalikiwe sana we ni dada wakuigwa nakupenda sana❤❤❤❤
@eunicennko3861
@eunicennko3861 2 ай бұрын
😘😘Roz ni powerful women Hana papara mingi,makopa kwa ajili yake♥️♥️♥️♥️♥️
@DomitilaMollel
@DomitilaMollel 2 ай бұрын
Ghaaaiiiiiii😅huyo Rose yupo kama mm atiiii me nachojua kwa mwanaume wangu nipo mm tuu hao wanajibaruguza wachaaa waburuzweee mwishowe Bwana anarud zake kwangu😅😅❤
@JacklineAmbangile
@JacklineAmbangile 2 ай бұрын
Dada rose upo vizuri dada nimekupenda bure natamani hata nipate no yako. Una busara sana dada❤❤❤
@KibindaMartine
@KibindaMartine 27 күн бұрын
Je wewe huna busara
@WitnessMtasima-i9s
@WitnessMtasima-i9s Күн бұрын
Hao ndo wanamumeeeeeeee😂😂😂😂 wacha nikule mimi😂😂😂😂
@SevelinaNandwike
@SevelinaNandwike 2 ай бұрын
Roz jmn nimempenda huyu dada anajiamin sana big up
@KibindaMartine
@KibindaMartine 27 күн бұрын
Hata Mimi nimempenda pia
@tinahmnubi187
@tinahmnubi187 2 ай бұрын
Huu Mchezo hautaki hasira kilanga komooo Rose yuko humble ❤
@rechalmshana1293
@rechalmshana1293 2 ай бұрын
P alichokitafuta kakipata 😂😂, shikamoo mapenzi🙌
@user-mr3qg9iq5k
@user-mr3qg9iq5k 2 ай бұрын
❤ Rose nimekupenda Bureeee Dada Mungu anipe Hekimaa kama Uliyonayo Mama Nakupenda nakupenda zaidi
@user-dz9ju4xz8t
@user-dz9ju4xz8t 2 ай бұрын
Ungkuw karb wallah cjui ningkupa zawad gan tuu dadaang umefunzwa ukafunzika 🥰🥰🥰
@AdelinaLusekelo-xl4bm
@AdelinaLusekelo-xl4bm 2 ай бұрын
Asante Mungu kwaajiri ya moyo wa Rose ❤
@NahlaRashed
@NahlaRashed 2 ай бұрын
Hiii inachekesha kweli 😂😂uyo malki cjui anajiskiaje
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 ай бұрын
Jamni 😂😂😂 nimechakaa
@user-lx3nz5cq6x
@user-lx3nz5cq6x 2 ай бұрын
Ila wanaume 😢😮😊😂
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 2 ай бұрын
P nilijua tuu utakataliwa kweupee kumanyoko😂😂😂😂😂
@salimmohammed7768
@salimmohammed7768 2 ай бұрын
Amazing Rose ww ni mwanamke sija pata kuona simply the best..😂
@einsteinmboje4730
@einsteinmboje4730 2 ай бұрын
Ila Mchizi kama Alienda Kujitambulisha Ukweni Kwa Huyo Mchepuko Sio Poa .... Kama Tunawachezea Basi Tusiwaaminishe Kama Tuna Future Nao , Huyo Mdada Kama Anaamini Kwenye Ushirikina Basi asilimia Kubwa Anaenda Kufanya Kibaya , Au Kama Ana Roho Ndogo Anaweza Kujidhuru , Sio Poa Kabisa .... But Hongera Kwa Rose Pia , Ni Definition Tosha Ya Mke Jasiri Na Bora Ambaye Ni Wachache Kati Ya Mamilioni Kwa Kizazi Cha Sasa
@eunicedaniel
@eunicedaniel 2 ай бұрын
Umeongea neno na itakuwa kweli ametambulishwa lakini anaonekana ana roho ndogo anahitaji psychological counselling kabla hajajidhuru Mr Uky madhara ya hii kazi yako ndo hayo unatakiwa umstablerize P kabla hajajidhuru chukua hatua mapema plz najua ni kazi usiache kazi yako lakini kuwa makiniiiiii mwenye makosa ni mwanaume Wala sio P Wala Rose mapenzi yanauma asikwambie mtuuuu tunacheka tyu yakikukuta utaita maji mma
@lilianmwilawi7233
@lilianmwilawi7233 2 ай бұрын
Rose katulia sana hapanick wala nn aaak huu mchezo hautaki hasira we p kaendelee ty kupaka mkorogo dada😂😂😂
@user-ef6zt8dr7p
@user-ef6zt8dr7p 2 ай бұрын
Hawa watu wananipa raha 😅 sema huy dada mzur sanaaa wa rang ya chocolate❤
@user-ih6ng6sf6o
@user-ih6ng6sf6o 2 күн бұрын
Tuna wahamini wanaume wetu sana ndo tatizo😂😂😂😂
@DeboraChediely
@DeboraChediely 2 ай бұрын
Nilijua rose ndowifi yetu ❤❤
@RachelJulius-fh9nl
@RachelJulius-fh9nl 2 ай бұрын
Rose mzuri na anaakili❤
@celvinrobert7972
@celvinrobert7972 10 күн бұрын
Nimependa Hii confedence ya Rose ❤😂
@snowfalldahash7399
@snowfalldahash7399 19 күн бұрын
Rose ni role model wangu kwa leo aisee❤❤❤nimempenda sana...ni mstaarabu na yupo na confidence ile level ya juu kabisa. Mungu awadumishe sana kwenye mapenzi yenu wewe na mumeo mzikane jamani❤
@furahanorbert7843
@furahanorbert7843 2 ай бұрын
Huyu P kiboko hadi anagonga meza kumshitua rose😂😂mapenzi bwana🚶🚶
@user-rf3zi6no6b
@user-rf3zi6no6b Ай бұрын
Amepaniki
@user-wy5dn4xu8h
@user-wy5dn4xu8h Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣 aise me ningejitupa chini
@SeciliaNicholaus
@SeciliaNicholaus 2 ай бұрын
Nakpenda da rose ❤❤❤
@user-ih6ng6sf6o
@user-ih6ng6sf6o 2 күн бұрын
Nakupenda bure Rose❤😂😂😂
@amrimohamed9303
@amrimohamed9303 2 ай бұрын
Rose wew ni fire nimekupenda kweli kweli mwache uyo mariq njoo kwangu
@khadejarajab8007
@khadejarajab8007 2 ай бұрын
Hapo aliyemuita mwenzie mchepuko kumbe yeye ndio mchepuko hatari sana kwakweli rozi anafaa na ana point nzuri
@greenermichael2057
@greenermichael2057 2 ай бұрын
Kirose Wala hakina shida ❤❤❤❤
@EngelLameck-nz5nk
@EngelLameck-nz5nk 2 ай бұрын
Huyu Rose jamn kanifurahisha sana yaan Yuko vzr sana Hana presh kwanza ❤❤❤
@hawaomary96
@hawaomary96 2 ай бұрын
Mwanamke akili jaman 😅😅😅
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 2 ай бұрын
Rose haendeshwi na hisia bali anajiamini na kukubaliana na kila kitu na bado ongea yake ni ya busara sana aisee mi siwezi kumfatilia mwanaume kiasi hicho hali ya kuwa hajanioa na sina uthibitisho wa kuwa mkewe halali hebu ona kilichomkuta P 😢😢😢😢😢😢
@plasmascreen2459
@plasmascreen2459 2 ай бұрын
Njaa mbaya sana zingatia maokoto
@monicapeter9065
@monicapeter9065 2 ай бұрын
Maskin nmemuonea huruma p nkiwa kama mwanamke mwenzake maana kosa sio lake wanawake tunadanganywa sana duuu Japo mwaka mmoja ni mkubwa kumchezea mwenzako kiasi hcho kampotezea sana mda
@betitympeleta9697
@betitympeleta9697 4 күн бұрын
Rose uko vizuri wewe ni mwanamke sahihi
@Blackanzazi84
@Blackanzazi84 Ай бұрын
Rose ,your one of a million ladies outside here, very much wise, intelligent and focus, Malk bro you have a wife, and a mother of your kids bro love Rose
@sesiliahussein7774
@sesiliahussein7774 2 ай бұрын
P alishajua kapata bonge la bwana lenye mihela yake 😅😂
@evaaggrey1382
@evaaggrey1382 2 ай бұрын
Hao ndo wadada wasio fanya kazi 😅😅😅😅
@sesiliahussein7774
@sesiliahussein7774 2 ай бұрын
@@evaaggrey1382 kwakweli kabisaa
@user-jz9xb2pn6v
@user-jz9xb2pn6v 2 ай бұрын
Daah natamani ningekuwa na moyo kama wa rose😂
@domitilaneovitus5724
@domitilaneovitus5724 2 ай бұрын
😂😂 kwa kweli
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 2 ай бұрын
Ukiamua tu unaweza
@ErnestMalima
@ErnestMalima 2 ай бұрын
Lakini sasa😂😂😂
@eunicedaniel
@eunicedaniel 2 ай бұрын
Ukitaka Mbwa asikubwekee mpe chakula Kama alivopewa marick hawezi kuwa na jeuri na rose amemfuga marick coz anajua ni Mbwa wake hawezi enda popote aende kwa p anakohonga vi elfu 15 ,20 Tena vya kuiba kwa Boss weeeeee marick chezea pesa usichezee kaziiiii utakula dagaaa
@yousouph8792
@yousouph8792 2 ай бұрын
Nimempenda sana Rose, Nimwanamke ambae hakurupuki afu mnyenyekevu woow hongera mdada.
@user-hx9to8jv6l
@user-hx9to8jv6l 21 күн бұрын
Yan hata huyo mark akiona hii atajua kuwa rose ndo wife matter hakuna mwanaume anaweza kuoa mdada kam p akamuacha rose
@SleepyFlowerGarden-im6bv
@SleepyFlowerGarden-im6bv 2 ай бұрын
Mr uky nakukubal sana
@lucianagodson437
@lucianagodson437 2 ай бұрын
P. Ahogaangu wew kubali tu umedanganywa mwaya muachie rose mtu wake
@user-hm9nt7sy9l
@user-hm9nt7sy9l 2 ай бұрын
Ata uko kutambulishwa hajatambulishwa uyo
@JohnMkwizu-hj1iv
@JohnMkwizu-hj1iv 2 ай бұрын
❤❤akii uyuu dadaa nime mpendaa xnaa ana hekima ya moyoo afunguee shule ya mahusiano no lov no stress
@Ukhtyzahra-gi8vx
@Ukhtyzahra-gi8vx 2 ай бұрын
The meaningful of beauty and brain ❤
@hajjisuffiani385
@hajjisuffiani385 2 ай бұрын
Rose nimzuri sana napendaga wanawake wenye miili ya Rose alafu rangi yenyewe haijapelekwa kiwandani
@amokachchelsea2316
@amokachchelsea2316 2 ай бұрын
Nimependa utulivu wake,huyu ni mke kabisa
@michomichael4111
@michomichael4111 2 ай бұрын
Kwa mjibu wa maelezo ya hao akina dada Rose ni mke sahihi wa maliki
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 2 ай бұрын
Hyo dem mwembamba hana stress maana anajua mwanaume ni wake 😂😂😂😂😂
@user-dw6fp4lu3k
@user-dw6fp4lu3k 2 ай бұрын
Roz nimke alie kamilik mashaallah p achan na ayo mausian kipenz
@lovenessfracis
@lovenessfracis 2 ай бұрын
I love you rose your wife material and I like the way your talking I appreciate you ❤❤❤
@alicechambaladainty6851
@alicechambaladainty6851 2 ай бұрын
Ila watu wanene tunapenda kujizalilisha😂😂😂😂Rose anaakili sanaaaaaa jmn ❤
@janethfred4047
@janethfred4047 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂 jamani
@gracejulius6913
@gracejulius6913 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 et watu wanene mnapenda kujidhalilisha
@JaceJoseph-gs3sy
@JaceJoseph-gs3sy Ай бұрын
😂😂😂
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 Ай бұрын
Ahaaaaa chibonge mwenzetu tulia
@aishaabrahaman9957
@aishaabrahaman9957 19 күн бұрын
😂😂😂😂bora nipungue tuuuh huu unene hapana 😂😂😂
@teddymaliatabu2039
@teddymaliatabu2039 10 күн бұрын
Nlpomuona uyo wife kwny connection ndo nkagundua n drama km drama nyingine nko hapa nmetuliza fuvu... Good movie
@user-jb7uq3fr4r
@user-jb7uq3fr4r 2 ай бұрын
Rose nimekupenda bure unafaa kuwa make na nakuombea Kwa mungu utakua mam bora mungu akutunz nimejifunza kit kikubwa san ❤❤❤❤
@MariamAthuman-jq2ce
@MariamAthuman-jq2ce 2 ай бұрын
Rose ni mwanamke na nusu nimekupenda bureeeee ❤
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 2 ай бұрын
P kwaio ndo mwizi wa mume wa rose half yey mwizi ndo kenda kushataki kaibiwa😂😂😂
@rechalmshana1293
@rechalmshana1293 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@khadijahamina8457
@khadijahamina8457 2 ай бұрын
😂😂😂
@iamhilda3
@iamhilda3 2 ай бұрын
Akili kisoda 😂😂
@SaraFabian-gu7df
@SaraFabian-gu7df 2 ай бұрын
Da rose Big up San nimekuoenda Kwanza huna presha na mahusiano yak like it❤❤❤❤
@SalomeMollel-fz9cj
@SalomeMollel-fz9cj 2 ай бұрын
Hahhahahah tunataka kujua p ameenda wapi 😅😅😅 this man kha
@nzegeatv6355
@nzegeatv6355 2 ай бұрын
P sukali imepanda😂
@hidayakiza9364
@hidayakiza9364 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@dottodidace212
@dottodidace212 2 ай бұрын
😂😂
@user-yn6ec3xj2b
@user-yn6ec3xj2b Ай бұрын
😂😂 nimecheka 😅
MUME,MKE NA MCHEPUKO MEZA MOJA
11:15
Mr Uky
Рет қаралды 85 М.
MUMAMA ALETA BARA
9:56
Mr Uky
Рет қаралды 147 М.
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
孩子多的烦恼?#火影忍者 #家庭 #佐助
00:31
火影忍者一家
Рет қаралды 40 МЛН
1❤️
00:17
Nonomen ノノメン
Рет қаралды 12 МЛН
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Mr Uky
Рет қаралды 32 М.
IRENE NI NANI?? MKE AMTUKANA MUME WAKE, UMEBADILIKA SANA
9:28
MKE NA MCHEPUKO WAKUTANA Part 1
11:13
Mr Uky
Рет қаралды 75 М.
БОЛЬШОЙ ПЕТУШОК #shorts
00:21
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН