Huyu mzee ni mwigizaji mzuri sana ana kipaji.Namkubali sana.Mungu azidi kumlinda na kumpa maisha marefu.
@RachelAugustina5 ай бұрын
Mzee rudi Home bongo movie Tz.❌
@Jonaslukwesabenjamin-em5or6 ай бұрын
Baba nakukubali sana baba Mimi ni mwanafunzi chipukizi WA saana happy kambini mantapala refugees settlement
@FatumaBakari-c4m4 ай бұрын
Allah akuajalie umri taweel ❤❤❤❤
@mamboleoerasto88153 ай бұрын
Mzee magari hongera kwa kazi nzuri, nilisoma na kijana wako Happy magari, Yu wap ckuhizi
@فطومفاطمه-ش2و2 ай бұрын
Waooow!!: kumbe mzee Magari bonge la handsome na sivyo alivyo wakati anaigiza🎉🎉
@luciamsani5 ай бұрын
Umetuwakilisha vizuri waluguru wenzio big up mzee🥰🥰
@Elizakilisipinilikolika19966 ай бұрын
Nakupenda sana baba mzee mqgari jaman mungu azidi kukinda baba yangu magari nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@FerdinandNdayizeye-l9m6 ай бұрын
Amen kubwa Mungu akibaruki hâta waseme buretu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@eddygad28587 ай бұрын
Mzee Magari nilikuwa na mis sana sauti yake na muonekano wake nafurahi kusikia aliowa murundi wa kwetu hongerra sana mzee ❤❤❤❤❤❤❤😂
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@IbrahimMsovu6 ай бұрын
Mr Magari nahitaji Kuja Marekani
@ntangiregemfuruki54787 ай бұрын
Mzee magari hongera umejibu vizuri sana
@vipajitv17997 ай бұрын
Ahsante subscribe please
@HanifaBruno-lv1qf6 ай бұрын
Nimefurahi sana kukuona mzee magari
@gidesbalunguza71527 ай бұрын
Umemuhoji vzr sanaaa, hongera junior talent,, nilichogundua mzee magar ile character yke ya ukali bado anayo yaan ndo maisha yake😅
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz
@TatoTato-t7s6 ай бұрын
@@vipajitv1799mtafute nayule kevini
@Witnessvlog7 ай бұрын
Kazi nzuri junior, Interview nzuri tumeenjoy😊
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana
@TanescoTanesco6 ай бұрын
Witness daaah umetutenga sans,mm Peter mmasi mdogo walk.
@hawasaid71517 ай бұрын
Sauti yake tu huyu baba mashallah ❤️❤️
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@christainc.52176 ай бұрын
Safi san myak ming simuon huy mze❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@chayogasperi97837 ай бұрын
Mzee Magari kapendeza , kawa kijana .
@vipajitv17997 ай бұрын
Sio poa yaan😂
@kibokibosho74766 ай бұрын
Ulichokosea mtangazaji ungetafuta vipande vya movies zake kabla ya interview ili uwe inavyoonesha ungetisha sana
@ClaudiaAbdallah3 ай бұрын
Mzee Magari kumbe wewe ni shemeji hongera sana msalimie dada mimi Niko dar
@alimasha-qh3vn7 ай бұрын
Ww noma mzee mungu akupe umri mrefu
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@sirizamwili7 ай бұрын
Hongera sana kaka. Una improve kila siku🎉 Hongera sana kaka.
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@mwambailunga15116 ай бұрын
Wow I like this mzee I remember old time when the Tanzanian industry were doing good I would like to meet him
@maryamalhajri7226 ай бұрын
nampenda sana uyu mzee magari❤❤❤❤❤❤nakumbuka sana move zake
@WinnieKasambala6 ай бұрын
😂😂😂😂 God bless you Papa... live longer 🎉
@aishaathuman64457 ай бұрын
Ila maisha usikate tamaa mzee magari alikuwa jiran yetu kigogo dampo😂😂😂 pale.maisha yakawaida leo yupp nje.maisha Safi utakiwi kukata tamaaa❤
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@ireneomerion6 ай бұрын
Kabsa 😂😂 na kituo Chao pale bar tz F
@hanschoppa76596 ай бұрын
ile nyumba bado ipo au iliondolewa coz ilikua sehemu hatari sana pale
@maryamalhajri7226 ай бұрын
maisha ni kutafuta 😢nilikuwa nampenda sana uyu mbaba❤
@BondlBondl-p8j6 ай бұрын
Hata Mimi najuwa pia nilikuwa mdogo kipend yupo kigogo dampo kweli tusikate tamaa kabisa❤❤🙏@@hanschoppa7659
@MwaminiKashindi7 ай бұрын
Hongera,sana,kaka,uto,mzee,kumbe,yupo
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@tatusalehe87756 ай бұрын
Mluguru mwenzetu katoboa marekani mungu azidi kukulinda
@zenabadru50844 ай бұрын
Je unamjua mainda mzee ni noma Allah ndo muweza kula bata
@BLB677 ай бұрын
Hatimaye mzee magari kapatikana
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz
@africandefined7 ай бұрын
Kitambo Sana Kumbe Yupo 🇺🇸
@vipajitv17997 ай бұрын
Ahsante subscribe please
@rithanickolaus28815 ай бұрын
jamani mzee magariii,nimekumisi,nimefurahi kukuona baba etu
@jumapiliissa48356 ай бұрын
😂😂 Nimekubali sana mzee endelea kukaza tz aio poa aisee
@brotherdaugy10737 ай бұрын
Mzee magali nimeipenda movie zake na kanumba
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz
@FarkiyyaAbdallahАй бұрын
Mzee magar 2mempoteza mama 2tu TESSA watanzania 2namsiba mzito ungekuja kuzika ningefurahi zaidi😭😭🙏
@RaufaNuru5 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu baba yetu
@HarunaAlbert5 ай бұрын
Nampenda sana Mzee magali ningeonana nae
@nadianyamuraka7 ай бұрын
Mzee magari ile sauti yako ya kwenye movie😂😂😂😂
@vipajitv17997 ай бұрын
😢 Ahsante subscribe please
@SalamaNauthar7 ай бұрын
Hongera sana Mzee Magari
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz😊
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz😅
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz❤
@Sarah-tq2vc7 ай бұрын
Nmekumiss mzee wangu
@eddiemohamed90037 ай бұрын
LEGEND, MWANANGU MAINDA👏👏👏
@vipajitv17997 ай бұрын
Ahsante subscribe please
@PerfectGirl-dj7zq6 ай бұрын
Yaan marekani unafanya kazi kiwandan na unaweza endesha gari nakuishi nyumba nzuri Bongo hata kodi tuu inatushinda kweli hii inchi ngumu sana
@saidimwanyiro51476 ай бұрын
Inawezekana mgumu ukawa ni wewe na siyo nchi
@jaffjeff69126 ай бұрын
Daah
@STUMAIKALELE6 ай бұрын
Jewel kabisa kule pesa kibao
@AdelaJohn-h1p6 ай бұрын
Huko nako fainali uzee msione vyaelea huko mikopo ya nyumba gari unapata huko nyumba ni yako lakin utailipia kodi had wafa hakuna ubwelele bila kufanya Kaz na ukishindwa unabaki homeless unaishi mtaani
@emmanuelmichael45082 ай бұрын
Kuwa na gari na nyumba Marekani Siyo mafanikio Kila sehemu Ina standards zake za maisha, unaweza lipwa mamilioni Marekani ukaishia kulipia Kodi na Kula wakati ukiiconvert hiyo hela huku unakuwa tajiri
@PitchenAlAthumanmaasoud7 ай бұрын
Hii imeenda balaa @actor bongo movie tz @
@josephnyanda15127 ай бұрын
Big up bro
@pelusiemanueli69266 ай бұрын
MDA mrefu San sijamuona uyu mzee jamani kumbe yupo mashaallh
@ShamsaOmary-l9g6 ай бұрын
Mainda my daughter 😂😂 hatari sanaaa
@KASKOCHAWAPROMAX6 ай бұрын
Pichen hongera sana
@PitchenAlAthumanmaasoud6 ай бұрын
Ahsante xana man🙏🙏🙏🙏
@Bashilwa7 ай бұрын
Pichen Uko state gani mwanangu mimi Niko Mzee magari sehemu moja
@PitchenAlAthumanmaasoud6 ай бұрын
Nipo Iowa man @actor bongo movie tz @
@MsNajma-e6e6 ай бұрын
Uyo bba yangu ni mruguru mwenzangu na amefanana na bba yangu na nampenda sana nirimiss kinoma nirijua amefariki kmya kingi aisee mungu hampe maisha marefu zaid
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo
@JeannetteManirambona-o6m5 ай бұрын
Mzee magari sauti ya bichele
@KWIZERAFrancoise6 ай бұрын
Na kukubali sana mze magari
@SirajiRashidy5 ай бұрын
Aiseee ayo maisha jaman😊😊
@labunaabouna61227 ай бұрын
Toa kibao kimoja safi magari
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz😅
@fatihiyadossa3757 ай бұрын
Jmn mzee magari kawa kijana et 😂
@longinuskomba98874 ай бұрын
Mwandishi hajui kuhoji..!
@ibrahimusagondo52283 ай бұрын
Mtangazaji ndio hajui kuhoji lkn mzee yupo vizuri
@RamoddyRamadhan5 ай бұрын
Mzee magari uko rada...
@athanaskipeto5726 ай бұрын
Mzee magali wewe ni lulu ya tanzania na michango ya mashabiki wako ume kufikisha hapo na kumbuka siku ume kuja ilinga ilifikia city lodge ipogolo mwenyeji wako alikuwa Bathoromeo Kuzugra tume kumisi sana Hongera kwa kufika huko japo hutujui magum unayo pitia na changamoto unazo pitia ila usisahau nyumbni kumenoga
@LetciaAlto3 ай бұрын
Namkubali sana huyu mzee
@oparetionmaalum90307 ай бұрын
Mainda my doter daa tuliambiwa kafariki huyu mzee kumbe ni uongo daaa
@vipajitv17997 ай бұрын
Noma Ahsante subscribe please
@marrysamwel5966 ай бұрын
Nimefurahi sana kumuona huyu mzee
@IssaIra-j9u5 ай бұрын
Hapa nimefarajika sana , nimepata kutokata Tamaa
@Justine_Tz17 ай бұрын
Ety pumbavu zao hawa kumbe wapo kama sisi😄😄😁😁 mzee magari bhan
@StrongbowArrow20047 ай бұрын
😂😂😂😂🙌
@vipajitv17997 ай бұрын
Subscribe plz
@StrongbowArrow20047 ай бұрын
@@vipajitv1799 Poa my
@Justine_Tz17 ай бұрын
@@vipajitv1799 zamani sana kaka🤝🏾
@malkavoice25706 ай бұрын
Comments zimejaa ila nakuagiza waambie sns wa bongo wajifunze kufanya mahojiano kama ya Junior kwa kuwa hana muda ila anapangilia content.hatakam hukutaka kumsikilizA ikatokea umekosea ukaview kazi yake lazima uitazame yote. Kuna clip nimeiona esco anamuhoji jambazi lkn ile kazi kaifnya kama ni muda wake wa ziada lkn amepoteza muda,ktk muda wake wa kupumzika ila kama angechukulia serious ile kazi imetokea kama Zali aipe thamani ingelipa zaidi. Yaani ww umesikia mtu anamzungumzia Mondi kwa kina unapaswa ku react faster na kutengeneza pesa lkn Esco alirelux akawa anapigiwa story na kushoot bila kutafuta contours za kuthamanisha ile kazi amezingua. Fanya kazi kama zali pale unapoona kuna jambo zuri,yule jambazi angempa maswali kama haya angepiga viewers balaaa zaidi ya vile
@chandarotv76494 ай бұрын
Mzee wangu barikiwa sana ,ukiingia Kwa KZbin andika prophet chandaro Benjamin Brian
@johnbwirabukiza18787 ай бұрын
Mwanaume m kweli kabisa hajapindusha hatakidogo
@LuciMollel6 ай бұрын
Mzee magar unatisha sana uko vizur kamanda
@rashdiyange77586 ай бұрын
Iv mbona naona kama ndo kua kijana heeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zacherelius69726 ай бұрын
Africa tunaanza kua wazee kwanza tukitoboa tuna rud kwny ujana sasa
@christinapeter71315 ай бұрын
Kweli kabisa hajawahi kucheka ila hutabasamu kdg tu!
@agnessntiburella88167 ай бұрын
Jamani nimependa sana kumuona Mzee magari
@KeyMurad6 ай бұрын
Mzee magari upo state gani pengine jirani yangu
@SrsalvinaEmilian5 ай бұрын
Jamani mzee Magali Bi mwenda yuko wapi? Waigizaji wengine? Halafu huo Msalaaba huo ni wa Yesu au fashien? Tumefurahi sana.
@esthermwikali54037 ай бұрын
Abdalla wacha kutulia mzee wetu mimi ni mkenya Rakini nilikua na mfuatilia
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz
@fanikiojacob77303 ай бұрын
Mimi namfahamu kama mr. Chacha
@IbrahimMohamed-c3c6 ай бұрын
Kazi nzuri mwamba
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn
@isunga19646 ай бұрын
Mzee magari kafanana na mzee Abdul baba yake na Diamond
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo 😂
@pyelesyamwakatika5402 ай бұрын
Haswaaa
@issamsunye18805 ай бұрын
Msunye namuangalia mzee magari na juniooo
@barretobacca97547 ай бұрын
Noma sana mzee...🇲🇿
@vipajitv17997 ай бұрын
Shukrsn sana share subscribe plz
@marietaamiri8896 ай бұрын
Yaani adi raha ❤❤❤❤
@KAKAONETV4 ай бұрын
Mungu azidi kukulinda
@xideblacktz5 ай бұрын
Dah mainda mwanang ...jplus 😮
@mudymudy94533 ай бұрын
Chaless Magal Nguli Wa Tasnia Ya Flms Tz Now Yup Ugaibun 🙏
@ZiyandaMhlana7 ай бұрын
Anafanya kazi gan
@vipajitv17997 ай бұрын
Angalia hadi mwisho
@georgedaniel49626 ай бұрын
😂😂😂huoni picha ya Mike 🎉 komaa na rangi utajua,wazee wa upinde hao.
@eddiemohamed90037 ай бұрын
HAVE LONG LIFE
@vipajitv17997 ай бұрын
Ahsante subscribe please
@eggysulle79886 ай бұрын
Sofa zang pentwaaa👌🥰
@LawrenceKonga-g1u6 ай бұрын
HAHAHA fella king jeuri
@tomsijohni7 ай бұрын
hii ni interview au ni movie 😂😂
@vipajitv17997 ай бұрын
Ahsante subscribe please
@Maymuna-wc8lz7 ай бұрын
Chacha Mke gani huyu Ametuvalia Nguo Kama Majani ya Mgomba😂😂😂
@IsmailYusuf-nb9jt7 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@عزيزه-ر1ه7 ай бұрын
😂😂😂😂
@ismailabdallah43627 ай бұрын
Unahisi kuvaa uchi ndiyo sifa?
@vipajitv17997 ай бұрын
Ahsante subscribe please
@FerdinandNdayizeye-l9m6 ай бұрын
Mèze magari bado anaonekana mcheshi tusana
@EzekielCharles-j8x4 ай бұрын
Bg up sana
@shikuhata6 ай бұрын
Haya siku moja niliwaambia Mzee magari anaishi marekani mkasema hoo Mzee magari ka..... Tanzania jmn
@Witnessvlog7 ай бұрын
Magari tumemmiss na sauti yake ya thahabu🙌🏾
@vipajitv17997 ай бұрын
Sio poa huyu mzee😂
@LidyaSilaa5 ай бұрын
Mh huyu baba hatari alishazamia marekani harari sana
@joycenose23565 ай бұрын
Duh mashallah
@theddenis27303 ай бұрын
We jamaa unajua sana ku hoji respec
@jalinachilala84656 ай бұрын
Jaman jaman siwalesema Manali kafa Mungu anawaona
@mrishokindamba16082 ай бұрын
Pamba kaka maisha yasinge bg hp
@HadijaSalum-kf6gy7 ай бұрын
Wategemee wamama zao😅
@samiemacroded-kb1er5 ай бұрын
Siyo ya marekani tu hta south africa unakwenda rungubi faster
@oparetionmaalum90307 ай бұрын
Kumbe uzee ni kujitakia daa yani bado yupo kijana kabisaa anauwezo kuoa mwari wa miaka 18
@vipajitv17996 ай бұрын
Shukrsn sana kWa kutazama please naomba subscribe kwa video nyinginezo