Nimegundua walokole wengi waliochangia hii wana uchungu sana.. Kama mtu amependeza tukubali kujifunza kusema umependeza...isitoshe mimi sijaona kauli yeyote ya kujiinua km msemavyo.. Nimependa ujasiri wa Mbasha na smartness yake
Kajibu sawasawa kbs ilivyotakiwa. Kuna wakati anajishusha saana. Kwenye utata inapasa mtu afunguke ili tuijue kweli halisi. Big up sn mtafikia ndoto zenu na Jokate
@swaumujuma56266 жыл бұрын
Tusekelege Tusekelaga #U
@meryevance67446 жыл бұрын
Huyo lzm ashuke Chini anafanya vita nawatumishi was mungu na bado hapo niusela siwokovu
@lovekyungai26586 жыл бұрын
kashajivuruga uyu akuna cha utumishi wala nn kipawa kashakifukia, pole yakoooooo
@ucjvvjcjjvih99342 жыл бұрын
AM TZ 😅😅😅🇹🇿❤MBASHA NA MM NINECHEKA ET KUAZIMA GARI
@mkamabrown90116 жыл бұрын
uyo jamaa hawezi kuwa mbunge hana sifa jamani tuwe tunaanalia hata elimu taja ww utawafanyia nn wananchi wakikupa dhamana cio porojo ok wananchi kuweni makini matapeli wamekuja wakati hawana uwezo wa kuwa kiongozi Magufuri cio mwanasiasa ni mtendaji tumeona je ww ni nani hata nywele kuchana umeshindwa je uongoz utaweza chadema kuweni makini cio kila mtu ni kiongozi ni maoni yangu bravo
@iddiaman64186 жыл бұрын
Waimbaji wa dini wengi ni maslahi tu kama biashara wachache sana wanaomaanisha lkn MUNGU ANAWAJUA WATU WAKE tusihukumu kwa muonekano wa nje
@bilalbinali12276 жыл бұрын
sijapenda hii interview unajitapa sana mxiiiiiiiiiìiii.....
@bennlekule32046 жыл бұрын
wape ukweli Emma were sio wakuazima ovyo nakukubali kakangu Ema
@nahdamohd29656 жыл бұрын
mbasha mimi nikp zanzoìbar nakujua
@rachelkihaka67205 жыл бұрын
Bilal Bin Ali umesahau Kama huyu ni mhaya
@sammabula73596 жыл бұрын
I like him. ana confidence mpaka anaboa
@aishaally80623 жыл бұрын
Yani Mimi ndio ilikuwa wazo langu jamani yani wakiona kweli nifurahi sana.
@janethmollel96186 жыл бұрын
Flora kumbe alikuwa akifanya kazi sana... sasa uhalisia wa mbasha ndio huu....basi tu kwasababu alianza na mwanamke wa dini ...otherwise Mbasha angekuwa akina pepekalee....
@childofgodthroughjesuschri33266 жыл бұрын
Sihukumu lakini mh huyu akaimbe tu ndombolo amuache Yesu wangu mbali anavyovaa hayuko tofauti na kina Diamond or waimbaji wa miziki ya kidunia
@calvinbrown52876 жыл бұрын
watumishi wa mungu siku hzi wanajivinjari,,,/ukiuliza kwann ndo digitali,,,,/ @zohanmbishi
@josephtimothmbulu86776 жыл бұрын
CHILD OF GOD THROUGH JESUS CHRIST surely you have said the truth +255768946215
@modestaabeli33896 жыл бұрын
Kwa nn? ujisifie kuwa jk anakukubali kwa lipi mungu hapendi majisifu
@glorykapenja94736 жыл бұрын
Yaani wewe eti amuache YESU wako nani alikwambia Yesu ni wako peke yako halafu pia kila mtu anaweza akavaa na kupendeza eti kama daimond kwahiyo daimond ndo anatakiwa kupendeza ???
@deboraisuja53754 жыл бұрын
Kwendaraaaaaa
@emmanuelosmond13146 жыл бұрын
Hahaaa mbasha muoe jojo twawapenda sana mtapendeza
@beatricemapembe89416 жыл бұрын
Yaani jokate kama kuna kosa utakua umelifanya maishani ni hili la kuolewa na x wa mtu.
@aoetanzaniaokindo87736 жыл бұрын
Dadangu Jokate take ur time kusearch wa kukuoa size yako but hapo mrembo Sina say napita tu
@nyamogafamily42626 жыл бұрын
Nitafulahi mkioana pia
@maryjustapeter54306 жыл бұрын
mbasha rudi Kwa Mungu wako, acha kiwewe.
@sabrinamashi73606 жыл бұрын
Eti amuangalie juu mpaka chini yeye ni wakuazima gari kweliii
@jacqulinemushi58496 жыл бұрын
Kama ni kweli dada J poleeee dahhh!
@elibarikielia44346 жыл бұрын
Hivi waimbaji mmevamiwa na nn?
@dazuuhmd8196 жыл бұрын
Hongera
@neemanassari7326 жыл бұрын
Huyu kaka bure nilimlaumu sana flora lakini kwa haya yanayo endelea ni dhahiri kwamba alitenda ile tuhuma
Lisemwalo lipo kama siyo sasa badae Mungu nimwema Awatangulie
@maryoswald61926 жыл бұрын
Mmmm ameoka Hugo kweli
@saidsalmin12486 жыл бұрын
waimba kwaya siku hizi shidaaaaaa
@zakinamaji89296 жыл бұрын
me,sikujui
@zuu__956 жыл бұрын
we kaka usiseme hakun m2 hakujui wakat m nmekujua leo kupitia jokate
@imanmgina53426 жыл бұрын
Msifungiwe nira na wasio amini inakuaje kwako tena kaka fikiria mara mbili
@anthonikabuye82106 жыл бұрын
Hakuna Mungu hapo ila piga hela E.mbasha ndo ki2 cha msingi
@edinapastory89316 жыл бұрын
joketi fikilia mara mbili juu ya uyo mtu c kwa kujishau uku duhhhh
@kiyasikejovita3486 жыл бұрын
piga kazi tu wokovu pembeni
@SaraWanjala6 жыл бұрын
Lakini watazania munajuwa kupaka mtu tope sana hivi mbona hivi ogopeni Mungu jamani kila neno unalo sema Leo ipo siku unalilipia tu
@innocentkimaro49136 жыл бұрын
Mimbona ckujuwi
@elizakahonga54266 жыл бұрын
hata Mimi nakuelewa
@beauterare64666 жыл бұрын
Oh pls! What a bragin bragin! Siaaa
@mathajohn95126 жыл бұрын
ulifahamika kwa sabab ya frola
@josephtabuse88636 жыл бұрын
Kwani kasema yeye ni Mchungaji? Huyu nimsanii wanyimbo tu
@dominashirima8736 жыл бұрын
Hiv nyie watumishi kweli au ?wewe na flora!
@saidasalim63726 жыл бұрын
Huyu mwanamume Dah sikidogo
@kipigapasilisungu25813 жыл бұрын
.
@ptElimu12346 жыл бұрын
Mbasha inaonekana mhuni
@agneskigeme11976 жыл бұрын
Tumgonze Mhubiri muhuni what's mean?
@milleniyahmohamedy87876 жыл бұрын
tafteni vitu vya kuoji sio upumbavu
@OnlyRuky6 жыл бұрын
Lol mshambaaaaa jm hebu muache jojo wawatu kutafuta kik
@saidajuma85846 жыл бұрын
mbona hivyo au siku hizi umeacha wokovu???naona mkufu shingon sijakuhukumu ila nimeuliza2
@leopoldmwesa69686 жыл бұрын
Saida Juma iman yko2 chemo haisumbui
@aksantedeborah79136 жыл бұрын
Napenda cheko yako 😂😂😂🤣🤣
@davidgodwin11774 жыл бұрын
Mjukuu wa bibi uko na huku
@hamadshein9356 жыл бұрын
Mie ckujui.
@neenamwakapeje15306 жыл бұрын
hata MCHUNGAJI wake anakazi
@nuruabraham37696 жыл бұрын
Ndio maana Flora aliamua kubwaga manyanga sasa nimeelewa.
@upendorobert72985 жыл бұрын
nuru abraham jamani kwani kakosea wapi, acheni hizo
@jamesfaustine44176 жыл бұрын
Ni xahiii
@moshimongelwa77956 жыл бұрын
Damn linajishauwa
@hamidantandu3156 жыл бұрын
mmh amefanana na mkongo zimga la timberland
@marygaspar64296 жыл бұрын
Jojo mume huyooo mtapendezana mana wote mliumizwa
@japhetleonard92246 жыл бұрын
hatamimi sijafurahishw a naanavyo jisifia alitakiwa as mjibu kwa hekima yajuu kwani watu wagospel huwa tunafuatiliwa saana nakukosolewa saana kwasababu sisi siwsdunia hii urithi wetu no mbinguni tunapaswa kuishi kwanidgam ya hari ya juu tuwe ushuhuda kwa usemi na mwenendo mzuri.
@adamumjomba826 жыл бұрын
Mbasha akiingia ktk musk wa gospel kwa sababu ya kutafuta kiki lakini toka achane na madame flora hana mpango tena na gospel yeye na Pombe Pombe na yeye .kumbuka Mbasha usinge kua Mbasha kama sio yesu .sasa hivi unavaa Chen kama star WA kimarekani .unashindana na 50cent. Mreje yesu aliekuokoa ktk utumwa wa dhambi (acha ujinga6 Mbasha tulikuonea huruma wakati madame flora alipokutupa kumbe wewe ndio muhuni number 1 nenda utubu na umuimbie yesu (mjinga sana wewe)
@janesuma21936 жыл бұрын
Japhet Leonard sio kwa waimbaji gospel wa bongo mkipata mnalia mbata na Mungu anazidi kuwatazama tu hata ndio mana nyimbo zenu hazifiki kimataifa hazina upako
@happyarooun60376 жыл бұрын
hakuna saut
@D-Man.B-Free6 жыл бұрын
Hana jipya
@sayrachuna67056 жыл бұрын
Huyu kaka hndsm sana
@mkamabrown90116 жыл бұрын
Sayra Chuna Handsome angeachwa take care
@neenamwakapeje15306 жыл бұрын
wokovu hauko hivi
@josephtimothmbulu86776 жыл бұрын
NEENA MWAKAPEJE kweli kabisa ndugu yangu nitafute kwenye WhatsApp+255768946215 tusemezane neno la Mungu
@sarahmabula94086 жыл бұрын
Ila mbiguni huko wapendwa sijui so jambo LA kumhukum MTU unapomwambia ukweli neno LA mungu linasema mtawatambua kwa matendo wokovu ndani ya moyo was MTU mpaka nje uvaaji muonekano was MTU aliyemaanisha kuishi neno
@nasbakari18496 жыл бұрын
Mofayaaaaaaaa
@rahelmwakatuma76226 жыл бұрын
eti mtu wa Gospel lkn hiyo cheni ni ya nn mmm
@youngmwema52665 жыл бұрын
Rahel Mwakatuma kwan mtu wa gospel hataliw kuvaa chen
@mwajumahamisi67386 жыл бұрын
Mh
@jonaswingodmushi26086 жыл бұрын
Tusihukumu wapendwa hiyo ni kazi ya Mungu. Ila ndg yangu Mmbasha unawapa watu kujiuliza maswali mara mbili mbili kweli kuna wokovu ndani au ni Kiki za kutafuta maisha mdogoangu. Tafakari chukua hatua ndg umrejee muumba wako
@laythatoman39456 жыл бұрын
Usislin tu upakoooo hhhhh
@roseirungo19506 жыл бұрын
Haina sauti 😡😡😡
@lizybabyjohn24306 жыл бұрын
Rose Irungo simu yako kimeo
@gonjadunus80006 жыл бұрын
kuma lako mbasha
@wandomligite78896 жыл бұрын
Gonja Dunus tukana kiungo chenu jmn bila hicho msingekuja dunian
@upendorobert72985 жыл бұрын
shida ni nn ndugu, mbona lugha ya kishetani uliyoitumis, siyo vizuri