Amina mtumishi kemea mapambo ya kusuka kwa hayo haiwezekani kumuona Mungu
@samweldamian8098 Жыл бұрын
Amina.
@davidsosthenes4479 Жыл бұрын
Asante Baba Mchungaji. Ameeen
@gracewilfred7276 Жыл бұрын
Roho Mtakatifu aendelee kukutumia Mtumishi wa Mungu, umekua baraka kwangu katika safari yangu ya kwenda mbinguni, mafundisho yako yananiimarisha sana kiroho.
@reachglobal9939 Жыл бұрын
Amina jaman huwa mkituma video za Askofu Brown tunasikia Raha ya ajabuuu maana ana flow ktk ROHO MTAKATIFU maneno yanakua na uzima na Roho
@stephanonyasanga7778 Жыл бұрын
nanarikiwa sana na mahubiri ya Askofu
@upendomartin5627 Жыл бұрын
Uishi miaka ya kutosha baba yetu ukiendelea kumuandalia Bwana kanisa takatifu.