Ukiona wanatangaza amani nchi zinazopigna. Vita zimepatanishiwa Hapo ndipo Roho mtakatifu Atampisha mpinga kristo yeye mpinga kristo Atajifunua , na kuutawa ulimwengu,
@robertswai2962Ай бұрын
Watakaobakiii hakutokuwa na tobaaa?????
@NuruniTvАй бұрын
Hakuna toba tena wala wala sehemu ya kuabudu Mungu wa kweli tena.
@UpendoChurch-u6c2 күн бұрын
Waliokufa ambao Ni wenye dhambi Je watasalia kufa au watafufuka wateseke Na wegine?