Hivi ni vyama kumi 14 vya uchawa wa ccm! Havina lolote zaidi ya kukwamisha mapambano ya vyama vyenye nguvu kama Chadema! Nashauri msajiri wa vyama afute huu uchafu vyama 14 vya ccm b! Havina faida yoyote kwa Taifa!
@festokemibala58326 сағат бұрын
Hivi ni vyama vinavyorudisha nyuma juhudi za ukombozi wa fikra za mtz, style ya vile vyama alivyoanzishaga Mobutu!
@qonquererqanquerer178111 сағат бұрын
Vyama Mfu 14
@evelynmwaimu-vd9jo11 сағат бұрын
Chawa wa ccm aibu tupu hii ni namna ya kuhujumu vyenye nguvu
@clauschaula205020 сағат бұрын
Uchawa ni hatari kwa ustawi wa uchumi wa nchi.
@MsabahAli-d6u11 сағат бұрын
Hivyo vyama vyengine havina wanachama ni vyama 14 vilee chawa wa ccm
@FREDYMBUGHI-q5k3 сағат бұрын
Wahuni tu hao Kila siku wanaibukia kwenye matukio ya wenzao,ila sera zao hatuzijui hata kidogo
@daddynamombas38988 сағат бұрын
Hao ndio wanawasaidia CCM kupitisha maamuzi amabyo CCM watumia kama platform ya kujilinda kwa kusema wamewashirikisha wapinzani wote na wamekubaliana nao wakati hao 14 ni machawaa hawana hata wafuasi.
@EmmanuelNyinyigwa-m1o9 сағат бұрын
Vyama vingine NI vyama visivyo kuwa na ticha. Ebu jiulize chama chenyewe hata bendera ya chama haifahamiki. Utashindaje
@aafponlinetv5 сағат бұрын
Vyama mbadala tupo na tupo kazini ila mapenzi ya wanahabari yameegemea vyama vinavyoitwa vikubwa
@IsackRyangera23 сағат бұрын
Hivyo c vyama bali mikia ya nyani hai we zekani kujiita wapinzan wakati wako nyuma ya ccm
@frankcharles39804 сағат бұрын
WATANGAZAJI MACHAWA VYAMA 14 MACHAWA VICHWA HASARA PORENI SANA
@knight675722 сағат бұрын
Vyama 14 vingine 😴😴😴😴
@qonquererqanquerer178111 сағат бұрын
#Vyama14Mfu
@knight675711 сағат бұрын
@qonquererqanquerer1781 🤔
@robertphilip38521 сағат бұрын
Hamna chama hapo huyo ccm B
@BozaNassoro20 сағат бұрын
VYAMA VYA KUGOMBEA URAIS VYA CCM IVYO HIPO HUU UJANJA WA CCM UTAFIJA MWISHO WAMETENGENEZA VYAMA FEKI KUIDANGANYA DUNIA WAFADHILI WAJUE TANZANIA KUNA VYAMA VINGI VYAMA GANI AVIFANYI KAZI ZA SIASA?
@AbdullahAhmed-t7p6lКүн бұрын
The political party in Tanzania like place of westing for wanting better day not political party refuel Tanzania for political party change for Tanzania beter life lakini tunauta vyama vya upinzani wanakandamiza siasa nchini kusadiana na chama tawala Tuache hizi siasa tuchulie vyana hivi ni vya watanzania wote kuanzia ccm vyote ni vya watanzania
@kirungekirunge592022 сағат бұрын
Ni Sheria ya msajili wa vyama vya siasa kila chama chenye usajili wa kudumu vinapaswa viwe uchaguzi wa ndani wa vyama vyao je kweli vimechaguana au hata vimeteuana kama CCM walivyo au ni kazi ya msajili kujaza idadi tu
@gidongailo717417 сағат бұрын
Hivi Watangazaji mnaelewa kweli mnachoongea hapo studio kweli? Kama hamuelewi vile! Watu wanasema No reform, no election! Nyie mnawaza wagombea badala ya kuwaza mabadiliko. Mko low sana nyie😂😂
@qonquererqanquerer178111 сағат бұрын
#NoReformNoElection
@AndrewMasagaКүн бұрын
Swala sio idadi ya vyama musipoteze maana ya uwakikishi wa watanzania kinachotakiwa ni idadi ya wanachama
@HashimIblahim-m3h21 сағат бұрын
baadhi yawatu maishayalikuwa magumu wengine Salikuwa meresi