@@lameckaugustine1972 usisahau chadema siyo watu wema sn unavyodhania
@rithaurassa25 күн бұрын
Nawasikiliza ty Kwa umbali ila mnaongea point jamani iliyowagusa wananchi WENGI san.Mungu awatie nguvu🎉🎉🎉
@salummsigiti661525 күн бұрын
Hivi kodi zinakusanywa na TRA kwa kufukuzana tena usiku?
@ElneySheddy-is1dv25 күн бұрын
Watekaji nimaporisi Sasa huyo asikari arie uwawa nawananchi kafa kiharari maana angeteka mtu watu wasinge kamatwa
@sumbulan26 күн бұрын
Yupo sahihi kwa 100%
@josephjulio611224 күн бұрын
Safi wanainchi mbona watauliwa wengi tu
@christinewomanoffaith547925 күн бұрын
Safi wananchiii
@knight675726 күн бұрын
Mzee Kibao pia alikuwa mwananchi !!
@bintmrisho352625 күн бұрын
Kumbe alikua nan kama sio mwananchi
@knight675725 күн бұрын
@bintmrisho3526 🤔
@knight675725 күн бұрын
Ndio maana wamemua na mpaka sasa kimyaaàaaaaaaaaaaaa
@AthumaniKioza25 күн бұрын
Tegeta wamejisafisha
@AffectionateCentaur-qd8dy25 күн бұрын
Ningependa wangechoma na Hilo gari moto
@MauFundiElectronics25 күн бұрын
Ingependeza kweli
@ExcitedCave-cx9rx26 күн бұрын
MHHHH WA TZ KUWENI MAKINI IMANI IMEKWISHA
@thabit577525 күн бұрын
Jamani tujirinde hawa hawatuwezi
@AdiaMwinyi23 күн бұрын
Safi san wameshatuzulumu cna sasa ivi nikulipan visasi tu akuna mbadala wanauwa watu mfano wa kma kuku sasa ivi akamatwi mtuingie tkt bola tuiii
@JumanneThabiti25 күн бұрын
Kwani sativa yeye alidai alipelekwa karakana ya wapi na wapi.?kuna mambo yanatokea mtu tunashindwa kusema mamlaka hawahusiki ni vigumu mno
@Niika87025 күн бұрын
Siku hizi police na watekaji hawajukikan, police kama mtekaji,mtekaji kama Police 😂😂
@RidhiwaniMrisho25 күн бұрын
Na wanakuja na pingu
@DominickDebolah25 күн бұрын
Duuuuuh umeongea vizuri San mkuu apa ni kujilinda tu sisi watanzania tumechoka
@AthumaniKioza25 күн бұрын
Sasa mwendo wakujilinda tuu
@davidwalalason763025 күн бұрын
Ni wakti raia wachukue Sheria mikononi mwao sivyo watazikavsana, piga piga, choma, ua
@mosesfaustine883525 күн бұрын
Mawazo, Ili vyombo vya usalama vikija kukamata kwa Sasa, awepo Ndugu wa mkamatwaji kuambatana na nduguye Hadi kituo anachopelekwa na pia waruhusu picha zipigwe wakati wanamkamata mtumiwa
@florianhashimu137025 күн бұрын
Damu ya mzee Ali Kibao inatafuta
@DhaharaniJongo-gt2un25 күн бұрын
Vyote vilivyo juu na chini vitavyeeka,atabakia mungu pekee na utukufu wake
Mi nadhani Kwa sababu ya mkanganyiko huu,mtu akija kuchukuliwa hata kama ni askari na vitambulisho na sare ,,mkamwataji aruhusiwe kusubiriwa angalau ndugu zake au majirani zake waongozane Hadi kituoni wakimfikisha wasndikishi nao wasainj sehemu na kuchukua no za wale polisi ndipo wamwache Pale kituoni huyo ndugu Yako au jirani yao,,mkanganyiko nimkubwa sana
@leokamil628426 күн бұрын
Sawa kabisa ,na zamani walikua lazima waje na mjumbe
@SylvesterKameo25 күн бұрын
😂Umeongea kwa usahihi.
@gowekogoweko580325 күн бұрын
Mwongeaji ameongea ukweli USIOPINGIKA
@designdesign442622 күн бұрын
Huyo anaeongea namm nilikua namaswali hayohayo
@betitympeleta969726 күн бұрын
Wananchi wana machungu sana sana
@w405822 күн бұрын
Sio wanajidai ni haki yao kujitetea na washenzi wakubwa wa CCM na polisi
@FekiHappy24 күн бұрын
Yaa uwajibilaji hapo ndio.patamu
@MusaBuhe25 күн бұрын
Ushauli wangu wana nchi tuendelee kujilinda na watekaji hongela wananchi kwa kujilinda linda neni wenyewe mpo sahihi
@LuganoJimmy22 күн бұрын
Ninyi mnaoteka watu na kuua watu either kwa kutumwa au kwa maslahi yenu binafsi sikilizeni, kila jambo unalolifanya ni mbegu na kwa kufanya ukatili au jema unapanda na apandacho mtu ndicho atakachovuna acheni kutenda mabaya ni chukizo mbele za Mungu usiue BWANA amenena haya na ukishupaza shingo kwa onyo hili utaangamizwa kwa upanga asema Bwana wa majeshi.
@FekiHappy24 күн бұрын
Hakuna imani
@RoseBello-g4u23 күн бұрын
Jamani tusifanye hivyo watu wasio na hatia watapotea hasa hawa askari
@RubyMasuku-x5r23 күн бұрын
Shelia za bongo ni mbaya sana, Kuna Jamba I asifiwe inabidiwatumie nguvu kwasababu nihatali, sasa unaona nimwanamke kashitakiawa na jirani yake ambae hawaelewani Hapo mtaani police sasa hata haambikosa anakatwa mitama na mtoto wake naona sitendi ya magufuli yani Pale ni hatakidogo sana mara madelevawanapigwa wanapigwa kama vibaka police wetu hawana utu
@calvintarimo363226 күн бұрын
Dah...
@RenatusSylivester25 күн бұрын
Kazi yetu ni kupiga tu
@mudinhomeshack904125 күн бұрын
Tanzania inaelekea kubaya san
@AbdMohamedi25 күн бұрын
Tujilinde wenyewe tu
@peternyambui749223 күн бұрын
❤❤❤
@Driverrapper25 күн бұрын
Wewe iko hivi hata kama tungechorewa mstari ....hatuwezi kuelewa Kwasababu hakuta mistari yenye kututhibitishia Kwasababu Watekaji huja na viambata kbc vinavyoonyesha kwamba wao ni mamlaka Sasa unadhan utawekwa mstari upi ambao ...wao Watekaji hawataweza kuutumia wakati mamlaka ndo wahusika
@khatibzubeir358625 күн бұрын
Tanzania ya leo ukimpiga picha askari kweny matukio ya kuajibika kazini hilo ni kosa ila sijui kama ni sheria au la ila vizurr kupunguza haya majanga wananchi tungelipewa uhuru zaidi kurikod matukio ili kupunguza huu mtafaruku nan polis nan mtekaji
@saidmpunga-en6pf25 күн бұрын
Nikweli ukiangalia matukio haya mawili la kibamba mtu anapiga kelele nisaidieni natekwa wa wanapita na wengine wanaangalia tu haya tukio la ally kibao abilia wote hakuna hata kuwahoji mpaka wanamtelemsha wacha wananchi wajiamulie maana utekaji umezidi selekali imekaa kimya hususani hao waalifu ujitambulisha wao ni polisi nanyie polisi msikubali kupakwa matope kama kweli hakuna anaejiusisha niaibu kwa nchi na jeshi la polisi
@RashidRamadhani-b5o25 күн бұрын
Wanangu piga uwa hakuna ishu
@seleerenest365026 күн бұрын
Police ana sare kitamburisho na gali maalum, roma kaimba
@Missionary_work26 күн бұрын
Inabidi kutembea na mapanga. Au bastola.
@mudinhomeshack904125 күн бұрын
Sshv askari ukija kukamata lazim uje na barua kutoka mahakamani na ipite kwa m/kit wa mtaa husika
@simpleboytz25525 күн бұрын
Kikubwa wavae sare za kazi na kitambulisho
@mariamjamali144424 күн бұрын
Team Wananchi
@SmilingCityMap-xb9md26 күн бұрын
Police wanatakiwa wajitafakali wananchi tumekuwa waoga kwa kweli kila mtu ana haki ya kuishi sasa hao watekaji wanavinjali katikati ya mji na kumchukua yoyote wamtakae hawana hofu yoyote sasa mamlaka iwe wazi kuinusulu jamii wanapokamata wahalifu
@MohamedHamis-x1k25 күн бұрын
Unavyo zungumza muhulizwaji ni sawa sawa hapo tusiende mbali mamlaka ndiyo yenye makosa Yanapo tokea kutekana kwa MTU au watu mamlaka haichukui hatuwa yoyote matokeo yake ni hayo wananchi kuchuwa hatuwa hukumu hasilaumiwe mtu
@HabibuSalumu-iv5wl26 күн бұрын
Si kweli
@jacobojames708625 күн бұрын
Swala ni moja tu wakiingia kwenye mfumo iwe mtekaji au asikari ni mawe tu maana hajulikani asikari ninani na mtekaji ni nani
@SafayaPlatnum-zz1dz19 күн бұрын
Polic wawe wanakuja na nguo zao za kazi na watoe vitambulisho vyao mana tumechoka kutekwa
@FatumaMsumari24 күн бұрын
Pia kwanini ule utaratibu wa zamani ukija kukamatwa lazima balozi wako awe na hao polisi usirudi ili tujue anaekukamata ni polisi
@annamwakibinga52725 күн бұрын
Mimi naona Raisi atoe tamko moja tuu kuhusu huu utekaji hii nchi sasa hivi nchi inatisha wafanyakazi sasa wataogopa kufanya kazi zao watu wanauana ovyo wanatekwa ovyo. Mungu tusaidie.
@SengalaRajabu25 күн бұрын
@@annamwakibinga527 Hali hii ndiyo Hali tusaidiane kutowa mawazo sahihi nijinsi gani Hali hii itatoweka maana hivi sasa sio kuwa lawama litabaki kwa police peke yawo,hata wanaNchi tunatakiwa tuchangie mawazo maana jeshi la police ni letu wote.
@EmmanuelMlowe-u1v25 күн бұрын
@@annamwakibinga527 utekaji wenyewe nimagumashi, mgombea wa chadema aliesema ametekwa lkn akakutwa na polisi amejificha kwandugu yake anaendelea kutuma mesej kwamba ametekwa. Abdul Nondo alipokuwa chuon akisema amrtekwa nae alikutwa iringa kwa Dem wake, juzi Tena amesema ametekwa titaamin VIP Kama Leo hajadanganya?
@EmmanuelMlowe-u1v25 күн бұрын
@@annamwakibinga527 wengine wanafanya maigizo mitu anakuiana na mtu kwamba jifiche mahali tutangajzw umetekwa ututakupa hela
@EmmanuelMlowe-u1v25 күн бұрын
@@annamwakibinga527 lengo lautekaji nikuchafua polisi na serikali tu bas
@MlawavictorWairinga25 күн бұрын
Jamani tujilinde, askari awe na share, awe na kitambulisho,awe na defender. Ndugu zangu tusikubali kuchukuliwa kirahisi,tupambane ,yaani ni Bora upqmbane uumizwe kuliko kwenda kuuawa kikatili .Bora mkamataj umjazie nzi.
@McT-m1m26 күн бұрын
Duhuuu hiii ni hatari
@ramadhankilango908825 күн бұрын
Mi nafikiri ni wakatii watanzania tulindane wenyewe kwa wenyewe dhidi ya watu wanaojiita maaskari na wenye mamlaka kama ikibidi raia tusaidie kuwapeleka watuhumiwa kwe vituo vya polisi au mahakamani kwani tunashindwa kujua tofauti ya watekaji na wenye mamlaka
@JfourHumbi25 күн бұрын
Kauri mbiu nikujilinda wewe mwenyewe kwanza nawatekaji usikubali unyonge ukauwawe kkwamteso nakutupwa kusikojulikana bora ufie hadharani watu wanakuona
@christinenyagiro666225 күн бұрын
Mwanainchi ajirinde kiasi kikubwa kwa sababu wanainchi hawako salama. Kwahiyo wangemuwa ungekuwa unaongea nini? Hao walikuwa watekaji. Wanainchi msije mkapumbazwa. Tena usiku kwa nini kwenda kushika watu usiku? Hasa hao wa usiku wanainchi wauwe tu ni watekaji.
@usembiphonedar563225 күн бұрын
Wananchi wako sahihi kwa maamuzi ya tukio la Tegeta, twende mwendo huo huo kwa sababu watekaji na wauaji ni hao hao wanaojivisha ngozi za kondoo kumbe ni mbwa mwitu polisi! Wananchi wakiendelea kuchukuwa hatua kama hizo hizo ndiyo tutaelewana huko tuendako! Hii serikali ya mashetani hawa watekaji na wauaji Mungu tunaomba uilaani! Ife!
@FatimaFati-pu4lb20 күн бұрын
Wacha wanaichi wachukua hatuwa
@SimonFredy22 күн бұрын
Mm nashauri kama sasa hivi unakamatwa na polisi tusikaidi lkn kabla ajakuchukua unapiga nao picha na wanatoa number za simu napicha zinaenda kwandugu zako na mkuu wa kituo unachoenda mkuu wa polisi anasibitisha hao ni askari wake maana ari imekuwa sinto fahamu
@KapopoJr24 күн бұрын
Askari anapokuja kumkamata mtuhumiwa kwanza lazima wale polisi lazima wapigwe picha na video camera na lazima wanapomchukuwa mtuhumiwa lazima atanguzane na watu si chini ya 3
@RenatusSylivester25 күн бұрын
Hatuachi kuwapiga
@barikikavindi561625 күн бұрын
Hapa ndipo ambapo serikali yaweza kuwa imesababisha tumefika kwa namna moja ama nyngne na kinachosababisha ni kutokuwa na uwajibikaji na kutumia vyombo vya dola tofauti na malengo au majukumu yao ya msingi, mm naweza kukataa kile kilichotokea hata angekuwa mtu mwngne n ngumu kukubaliana na hilo kwamba walikuwa n maafisa ya serikali(TRA) waliokuwa wakitekeleza majukumu yao la hasha kna hii n kutokana na namna waliowaendea hao wanaodaiwa ni waharifu na pia hawakutumia utaratibu ambao washukiwa wangeweza kusikiliza na kutekeleza maombi yao na mwisho wa siku yakatokea haya ya leo na mbaya zaidi ni ucku nani angesubr kujua sio watekaji tumefika mahali ambapo c salama sana kwa kila mtanzania wa sasa hofu imekuwa kubwa mno wananchi tunaonewa sana tena na serikali tunayoiweka madarakani wnyw na mbaya zaidi wametugeuza swala wa mbugani wanatuwinda wanavyotaka hii is too sad and very crazy business the government should change and should be accountable for all these evils
@f.a604320 күн бұрын
Mm naimani na MUNGU lkn sina Imani na mtu yoyote yule ni ushetani 👹 mtupu kwa sasa mambo hayaeleweki kila mtu ni mbwa mwitu 🐺aliovaa ngozi ya kondoo🐏 Lkn MUNGU ATAFWEKA KILA MTU KWA WAKATI WAKE YAANI INASIKITISHA hakuna kitu kibaya kama kukosa imani na mtu maana mtaisheje sasa🤔
@mathayomwashambwa123825 күн бұрын
HAKIKA HUU UWE UTARATIBU, ALLY KIBAO HATUJAJUA MPAKA LEO ALIIKOSEA SERIKALI IPI NA MAHAKAMA GANI ILITOA HUKUMU YAKE KUWA AUAWE,? TUSHIRIKIANE WANANCHI WOTE KUZUIA UDHARIMU DHIDI YA UHAI WETU, INAOGOPESHA, JAMAA WAKO PORI AMBALO HAWAWEZI KUDUKULIWA...UHAI NDO MAISHA MAKUU...
@TeacherBoda26 күн бұрын
Walipewa mamlaka ya kutulinda kikatiba hawafanyi kaz yao ipasavyo sasa wananchi tufanyeje? Acha tujilinde wenyewe
@EmmanuelMlowe-u1v26 күн бұрын
Watekaji nichadema angalia waliokamatwa tukio la talimo
@Moviesinkiswahili25 күн бұрын
@@EmmanuelMlowe-u1v Kichaa anachekesha akiwa hatoki kwenu,punguza kiherehere cha kuongea ongea,ukibanwa kengele utaweza toa ushahidi?
@AloyceMahundi25 күн бұрын
@EmmanuelMlowe-mshenziu1v wewe is 👹
@januarysungura811923 күн бұрын
@@EmmanuelMlowe-u1v mwendawazimu wewe na kama chadema ni watekaji kwanini police hawajawakamata kama waharifu wengine, ? Ndio maana tunasema police ndio wahusika kwa sababu wameshindwa kutuambia nani mtekaji.
@EmmanuelMlowe-u1v23 күн бұрын
@januarysungura8119 aliekwambia hawajakamatwa ninani? Au au unataka waseme chadema? Hawasemi kwakuwa wao wanadili nawahalifu
@secundawabura790221 күн бұрын
tunaoshabkia kuua tujue nasi ipo siku wananchi watachukua sheria mkononi dhidi ya ndugu zetu jr tutendelea kuongea tunavyoongea kuwa tuue tu na tuchikue sheria mkononi? tutafakari kwa makini kabla hatujatoa matamshi ya aina hii
@MwitaKihugi26 күн бұрын
Hv inakuajee hii hali
@bakarikayugwa329525 күн бұрын
Mimi kwangu ni sawa tu kwasababu mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu sio tegeta huyo ndio binadamu wa tegeta kueni na usawa hapo uchunguzi umefanyika haraka ila kwa wengine hawana umuhimu ukweri haya kazi iendereeeee huna Sara huna hata police unakamata huna utambulissho wowote punguzeni u babe na mludi kwenye misinginya shelia msijipe u mungu
@SylvanusMillanzi-w7h24 күн бұрын
Ngoma huanza na lele na ndivyo walivyo madikteta,utwala wa mabavu,Assad ameikimbia Syria kwa dharau kwa wananxhi
@EssauMalangalila-e8b25 күн бұрын
Sasa tufanyaje mbona serikali inatumiau babe sio sheria
@AbdallaMwagora-sm1rj25 күн бұрын
Wanakuja kama polisi ,wanapoteka wenye kuwatafuta ni polisi.
@macaveliMula25 күн бұрын
lazima tujilinde
@NixonJohnson-r4m25 күн бұрын
Nani anaamini huyo kweli ni tra ...kama wale alikuwa polisi na baadaye wakawa wauaji .. msituone waking kiasi hicho ..badilikeni mtakufa sana ....mimi sikubali kukamatwa niitoe kituoni tu
@tumlakimwaitumule25 күн бұрын
The big Picture
@OmanOman-bx5du26 күн бұрын
Waweke mkakati plici akitak J kamat avae sare napia upige kerere kuen watu zaidi ya 40 au zaid nabaazii ya wengine wawepo kwenye uo msafara wa kwenda nae uko polisi napia waseme wanaenda kituo gani cha polici mkuu wa polici asibitishe kua Nutella didogo atapungua uu utekaji
@LinconLopez25 күн бұрын
Ishu ni kwamba mtu akija kukamatwa lazma aruhusiwe awajilishe ndugu zake na niwazie anapelekwa na askari wawe na vitamulisho vyenye picha zao kisha watu wavipige picha ili ikitokea lakutokea iwe no rahic kuwabaini lakini sio kuwaruhusu kisa askari je kama amefake kitambulisho na sare atatambulika vp
@AllyMAlly-cr6uw25 күн бұрын
Najuta kwa nn sijacheza karate wa judo
@geophureysamsoni503325 күн бұрын
Wajitahidi kutumia magari ya porisi maana haya yanajurikana rakini vinginevyo watajichanganya
@SengalaRajabu26 күн бұрын
Hali hii itasababisha police watapata taabu sana katika utekelezaji wanaNchi kwa hali hii hawaamini wala hawakubaliani katika kukamatwa maana mioyo yawo imeshaingiwa na woga katika kukamatwa,sijui hali hii itakuwaje,jeshi la police lijipange upya na umakini sana kutokana na hali hii ionekanayo hivi sasa,safisheni hali hii jeshi liaminike,
@EmmanuelMlowe-u1v26 күн бұрын
Usiwe na qasiwasi kazi utaendelea tu maana wahalifu wasijechukulia kuwa wamepata nafasi kwamba hawatakamatwa
@EmmanuelMlowe-u1v26 күн бұрын
Wahalifu wasifikilie wamepata mwanya
@SengalaRajabu25 күн бұрын
@@EmmanuelMlowe-u1v kukamatwa kupo nakutaendeleya kwa maoni yangu kuna uhalifu wenye nafuu ambao police wanaweza kumuita mhalifu anayedhani ametenda uhalifu na akaenda mwenyewe kituoni bila kukamatwa bila ya hekaheka kiusalama akajisalimisha Mwenyewe hawo wako wengi salaaama bila gubudha itasaidiya nionavyo.
@EmmanuelMlowe-u1v25 күн бұрын
@SengalaRajabu vipi umekutwa na bangi utaenda nayo police?
@SengalaRajabu25 күн бұрын
@EmmanuelMlowe-u1v ndio maana nikatamka uhalifu wenye nafuu ,ugomvi ,kutukanana hata hiyo bangi unayoishutumu Elimu ikitumika nitakwenda mwenyewe kabla mambo hayajaharibika.
@BarakaOchuu26 күн бұрын
Anayekuja aligwe tuu
@KhalifaMshana26 күн бұрын
Police wameshidwa kulinda raia wananchi wameamua kujilinda pongezi kwenu watanzania ikibidi wananchi tujilinde Kama siria na libya mtu akileta za kuleta zinapigwa live hazarani c wameshidwa kulinda katiba wanakula viapo alafu wanageuka dawa kujilinda unasema tz kunaamani mbona ukilala huachi mlango wazi unajifungia Kama kuku
@healingclinic69825 күн бұрын
Kuna mimba iliyobeba Kwa miaka 29 ilatazaliwa mwaka wa 30 je? Serikali imeeandaaa Delivery kit
@MagembeAngelo25 күн бұрын
Wafetu
@EmmudyTV26 күн бұрын
Ata kama ni police lazima apate mshenyento wa ukweli me hawezi kunikamata kizembe hivyo, wapumbavu hawa wameshindwa kazi
Kuyauwa tu na yenyewe T R A gani wanafanya kaz ucku tena wagewauwa wote ingependeza damu ya kibao inawarudia
@EmmanuelMlowe-u1v26 күн бұрын
We Kuma yako
@LinconLopez25 күн бұрын
@@EmmanuelMlowe-u1vusitumie Uhuru wako wa kujieleza kudhalilisha wengine majibu yako yanakutafsiri ww ni mtu waina gani umemtukana mtu sasa hapo umemsaidia au umemdhalilisha kwann usingetumia lugha njema ya kwamba aliloliongea sio sahihi na sio kumtusi cyo ujanja ipo cku huo uhuru utakuponza tumia haki yako vzuri ucvunje sheria
inabidi polisi watoe utambulisho wa kutosha kabla ya kumchukua mtu. vile vile wananchi tubandikiwe mabango ya namba za vituo vya polisi ili mtu akihitajika kukamatwa tupige simu huko tuulize je kuna amri ya mtu huyo kukamatwa
@OmanOman-bx5du26 күн бұрын
Wazozuri sana kk mkubwa
@LinconLopez25 күн бұрын
Hilo bonge la point asee
@PrinceHendry-hp8vv26 күн бұрын
Tena wa kiluvya alikua na pingu kabisa waache ujinga wavae jezi
@lawimanumbu510325 күн бұрын
Combat pekee haitoshi zinashonwa mitaani waje na magari ya police yanayojulikana
@AllyMAlly-cr6uw25 күн бұрын
@@lawimanumbu5103kwani Alivyotekwa Ally Kibao hawakuja na magar yenye kujulikna??
@SengalaRajabu25 күн бұрын
@@PrinceHendry-hp8vv hata hivyo kuwa makini nivema sana natufahamu kuwa Nchi hii kulikuwa na majambazi katika Hali hii inawezekana ukatumiwa mwanya waubadilikaji wa uhalifu,kama chuki baina mtu namtu, chuki za vikundi na kadhalika Hilo nalo tulichunguzeni maana Hali hii bado imetuganda.