KAWAIDA na NONDO WANYUKANA Kwa HOJA KISA X (TWITTER), IFUTWE au ISIFUTWE? | PART 1

  Рет қаралды 7,867

Wasafi Media

Wasafi Media

19 күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 54
@1961nungwi
@1961nungwi 16 күн бұрын
Mimi naona Abdul ameongea vizuri. X inatumika sana na viongozi duniani kote kuwasiliana na watu wao.
@jumbekibindo3021
@jumbekibindo3021 17 күн бұрын
Ilaaaa baba levo anaaakiliiiii sanaaaaa
@toonstz7
@toonstz7 7 күн бұрын
ushahidi ni kitendo cha kuruhusu kwenye policy zao msitafute visivyo vya maana mwishowe lengo halitaonekana.
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 16 күн бұрын
Baba levo hujui KUULIZA . Mwache dada wa watu afafanue vizur usi attack
@allykwaya
@allykwaya 12 күн бұрын
Msikilize Levo kwa makini utaelewa
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 17 күн бұрын
Baba levo nimtangazaji mwenye kipajikikubwa sana akipunguza vituko na akaongeza elimu pia atakua mtu mzuri katka jamii tatizo nikwamba haiwezekani kutoa kipaji chake cha comedian
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 16 күн бұрын
Kwanza VITUKO NDIO VILIFANYA UKAMJUA PILI n kweli Elimu ya kalamu inasaidia ila Elimu dunia ndio maisha❤😂
@allykwaya
@allykwaya 12 күн бұрын
Kabisa
@jumbekibindo3021
@jumbekibindo3021 17 күн бұрын
Hapaaaaa nundo 5 kawaida 2
@thadeusmihayo1675
@thadeusmihayo1675 17 күн бұрын
Baba leve anvesomaga hata diploma angekua mbaya sana
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 17 күн бұрын
Kuna wangapi wenye masters Hawako hivyo? Ndugu elimu na kipaji ni vitu tofauti tumeaminishwa elimu ndio hukufanya uwe Bora ni kweli elimu muhimu ila haizuii kipaji kutake over . Ndio maana leo wasio na elimu hiyo ya makaratasi ndio wanalipwa zaidi kuliko wenye makaratasi, wanamichezo waigizaji watangazaji hususan huko duniani,
@user-rp1xx3vo4r
@user-rp1xx3vo4r 17 күн бұрын
Kuna watu ni mahodari sana na wafaswaha sana katika kuongea na hata uongo akiuchacha nalia basi inakuwa ni ukweli
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 16 күн бұрын
Baba levo hujui kitu. Twitter ndo mtandao na jukwaa la watu wenye heshima na ndo mtandao MAKINI kabisa
@abdulhamidbasha2108
@abdulhamidbasha2108 16 күн бұрын
Naona ww ndo hujui kitu, Twitter ilikuwa mtandao na jukwaa la watu wenye heshima but sa hiv inamilikiwa na mtu mwengine kwa hiyo inaendeshwa kivengine so don't compare BTW twitter and X
@Watema23
@Watema23 16 күн бұрын
CCM wanataka kufunga X kwa sababu upinzania TZ wanafanya mjandala X space .
@ErnestMmeta-xu5gh
@ErnestMmeta-xu5gh 6 күн бұрын
Baba levo mbona unaegemea upande mmoja mtangazaji inabidi uwe nutro
@kiotastar1791
@kiotastar1791 9 күн бұрын
Nondo Yuko vizur lakini anakosea padogo
@iam_sami
@iam_sami 17 күн бұрын
Nondo mashineee
@kizzasadamj629
@kizzasadamj629 2 күн бұрын
Mtoto wakiyisiramu, wa kike yani nimeshanga kazi moja anaoijua nikubwata tu😳
@jumbekibindo3021
@jumbekibindo3021 17 күн бұрын
Huyu dada anaongea sanaaaa😂pointless
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 16 күн бұрын
Hata wewe ni pointless maana ulisikiza ukosoe na sio upate elimu 😊😅😅
@jumbekibindo3021
@jumbekibindo3021 16 күн бұрын
@@gilliardgodfriend5745 sawa mpenda ngono
@mohamedally2341
@mohamedally2341 Күн бұрын
Watoto wa chini ya 18 wenyew wengi wanatumia snap na tiktok huko X wapo watu wazima tu kwahy ni kujisumbua tu
@abouybaramia534
@abouybaramia534 17 күн бұрын
Ingachoic Mashallah nakuona kaka umekua unaongea hahaha maisha bana aise
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 9 күн бұрын
👍✌️👊。
@gachalovetz260
@gachalovetz260 16 күн бұрын
Na baba levo kumbuka hiyo x sio tu ngono wanataka kuweka vailasi kwenye akili za waafrica naapo ajenda yao ni ngono ya jinsia moja baba love
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 16 күн бұрын
Baba levo unamuuliza nondo maswali badala umuulize uyo wa ccm au waache waulizane wao we uwaongoze. Sio umshambulie nondo na maswali
@abrahamhabarugira2483
@abrahamhabarugira2483 17 күн бұрын
Baba levo kufunga Twitter sio kosa ila kuna mambo mengi ya inci ya kuongeya Twitter ku post ngono sio shida sizani kama kuna mtuu mwenye akili yake anaweza kwenda kutafuta izo video so kufunga Twitter awajasahidiy kitu
@michaelbanda728
@michaelbanda728 14 күн бұрын
Hamna mwenyekitj apu 😂😂😂 BOGUS TREATY CCN inahaina mtu apo tatizo watu hawafikilii Hawaumizii vichwa kabla ya kuongea alafu na confidence kabisa anamuita ElON MUSK eti MARK X 😅😅😅😅
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 17 күн бұрын
Kusema kweli tiktok ina balaa yani sijawahi ona mtandao una umalaya kama tiktok sio sawa twitter ina elimisha sana sema tiktok ina haribu vijana tena wadada wana jiuza usiku
@1961nungwi
@1961nungwi 16 күн бұрын
Mtandao wa X unatumiwa na Ikulu kubwa zaidi Duniani kama White House na Marais Duniani. Ni mtandao wa Kitaalamu zaidi.
@protamwenyegzaketv7408
@protamwenyegzaketv7408 13 күн бұрын
Wewe nondo acha ujinga wako, kwani wamesema ukiwa mpinzani ni lazima upingane na kila kitu. kumbuka social networks ni more accessible kwa watu wengi sana
@lameckbuya7569
@lameckbuya7569 16 күн бұрын
Kitu nimebaini Bado uhuru wa mwandishi (mtangazaji) Bado ni changamoto baba levo anasahau kuwa yeye anahost anaendesha mdahalo Kwa mlengo wa kutegemea upande Fulani !. 😂😂😂😂
@emmanuelmodest7457
@emmanuelmodest7457 15 күн бұрын
SHIDA NI MALENGO YA MTU KUINGIA X APP, WALA HAINA SHIDA SHIDA NI MTUMIAJI ANATAKA X APP?
@gachalovetz260
@gachalovetz260 16 күн бұрын
Kwanini tusitafute mitandao yetu mwenyewe africa wenye maadali ya africa
@sugumbeya
@sugumbeya 17 күн бұрын
Tanzania penyewe watu wanaangalia video za ngono hata bila VPN, wewe andika kwa kiswahili kwenye google utaona video za ngono
@shaban6644
@shaban6644 16 күн бұрын
Hebu acheni upuuzi, Huo mtandao ufungwe tuuu, Huyo dada nae anatetea kabisa usifungwe. Ni aibu ilioje.
@sayayzuia2323
@sayayzuia2323 5 күн бұрын
Sasa wewe kawaida na wenzako si muondoke huko X, mbona mpaka leo mpo huko, mmengaanza kujiondoa kwanza nyie UVCCM
@dronemiguel2230
@dronemiguel2230 17 күн бұрын
Hem watuonyeshe walipobadili ni wap half waje na uthibitisho mbona wengn hatuoni
@onesmonjandi5673
@onesmonjandi5673 16 күн бұрын
Ila babalevo genius xan anafanya vitu ambavyo mtu wa degree angefanya
@gachalovetz260
@gachalovetz260 16 күн бұрын
Huyo dada akili akuna hapo
@kasaisatv9765
@kasaisatv9765 15 күн бұрын
Nani amemwambia huyu CCM kwamba tiktok haipatikani Marekani?
@valelianmbuma493
@valelianmbuma493 17 күн бұрын
Huyo dada wa act uelewa wake mdogosana
@mapesa0762
@mapesa0762 17 күн бұрын
Mimi naweza kuletea ushahidi ata Leo Leo,,,tunaangalia sana xxx video Twitter
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 16 күн бұрын
Ni Twitter tu zinapatikana?
@jochachallengetv7061
@jochachallengetv7061 16 күн бұрын
Stop watching porno and start dating real people, fara wewe..
@kilinakoshengelo2944
@kilinakoshengelo2944 16 күн бұрын
Pornography haiharibu maadili, inarahisisha maisha kwa ambao maadili yao yameharibika tayari
@modestkissima6771
@modestkissima6771 15 күн бұрын
Walikua wanakataza wewe
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 17 күн бұрын
Huyu nondo nadhani kala hela ya watu, sasa anaitumikia kwa kutetea ujinga kabisa
@ukweli255
@ukweli255 17 күн бұрын
Pole
@hans_tech0015
@hans_tech0015 17 күн бұрын
Huy jamaa anaakili San.....
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 17 күн бұрын
Wewe ndo ume lipwa na ccm
PART 1: UTASHANGAZWA NA UWEKEZAJI HUU/ NG'OMBE ANAUZWA MILIONI 30
31:59
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 46 МЛН
КАРМАНЧИК 2 СЕЗОН 7 СЕРИЯ ФИНАЛ
21:37
Inter Production
Рет қаралды 493 М.
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,6 МЛН
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 55 М.
Final muy increíble 😱
00:46
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 46 МЛН