NIKKI MBISHI ; WASANII WA KUIMBA BONGO WANADANGANYA MAISHA | HAWANIZIDI MAFANIKIO |A.Y AMEFANYA

  Рет қаралды 17,395

EastAfricaRadio

EastAfricaRadio

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@rodrickibrahim
@rodrickibrahim 9 ай бұрын
muuliza maswali uko vizuri mwanangu kaza kuna swali nilikuwa nasema nikija kukutana na nikk nimuulize ila leo umemuuliza na nimepata jibu big up nikk mbishi..
@youngcapitalistburton7627
@youngcapitalistburton7627 9 ай бұрын
Swali lipi?
@jmasutv2228
@jmasutv2228 9 ай бұрын
SOMO kwa vijana big up Nikki Mbishi kaongea fact Jackson Masumbuko Wambura is watching
@geffects1141
@geffects1141 9 ай бұрын
Unjuuuuuuu 🎉🎉🎉 chukua maua yako man kabla hujafa ❤
@bashirusalehenandoro3128
@bashirusalehenandoro3128 9 ай бұрын
Uwezo wa kufikir wa Niki ni mkubwa mnoo
@RobertMwamlima-ek9pd
@RobertMwamlima-ek9pd 9 ай бұрын
Hongereni sana Msafi na jamaa kwa kumleta huyu jamaa noma
@HamiduIsmail-j7w
@HamiduIsmail-j7w 9 ай бұрын
Niki mbishi never give up
@MweusiAlly
@MweusiAlly 9 ай бұрын
Mzee wagambushi nakubali sna
@hellymsigala9852
@hellymsigala9852 9 ай бұрын
Presenter umejitahid Sana Mana kumhoj huyu ni utata Sana lazima uwe. Serious 👊
@benniewilly70
@benniewilly70 3 ай бұрын
Jamani mm moja ya marapa Duniani kwangu Nikk mbishi ze best kauaaa sanaaa interview
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 9 ай бұрын
My all time favorite mc , 😎 Jamaa namkubali saaana🇰🇪
@Painkillers.123
@Painkillers.123 9 ай бұрын
Unju Nikkimbishi baba mark respect bro angu ndo msanii wangu wa kwanza apa bongo🙏🙏
@lucangwiseman
@lucangwiseman 9 ай бұрын
Nice interview🎉concious sana wakuu .unjuuu 🐝🐝
@aligomatumla2930
@aligomatumla2930 9 ай бұрын
Unavo niona unaweza xema nakunywa gongo kumbe nadissprin
@harunayussuf6866
@harunayussuf6866 9 ай бұрын
Naenjoy sana kuangalia interview za Nick.❤
@allysudi4429
@allysudi4429 9 ай бұрын
Aisee hizi ndio interview tunazihitaji nashangaa comments n chache mno lakin ingekuwa anahojiwa choko anaongea upunga comments kama buku sasa sjui hii nchi ina pepo gan aisee. God damn iT
@daveyjackson1561
@daveyjackson1561 9 ай бұрын
😂😂😂😂
@darhustler
@darhustler 9 ай бұрын
The greatest rapper 🎉🎉🎉 Dr Unju mp3 terabyte jukebox. Swali la mama samia kajibu kupitia nyimbo yake 😅 mngese IQ kubwa
@johnbenny7784
@johnbenny7784 9 ай бұрын
Akili kubwa Nikki unju bin uniq
@NicolasKibasa
@NicolasKibasa 9 ай бұрын
Chana sana,freestyle sana ila Kuna vina dizasta
@kadmc9124
@kadmc9124 2 ай бұрын
That's why i love hip hop makers❤ toka 2011 namaliza la 7 na kuwajua hawa jamaa TAMADUNI MUSIC nmepata madini sana
@hafidhkassim1139
@hafidhkassim1139 9 ай бұрын
I love these answers of the interview
@dallerbwoyniglo8675
@dallerbwoyniglo8675 9 ай бұрын
Nakubali kila kitu apo
@babamurshidy7485
@babamurshidy7485 8 ай бұрын
Salute sana presenter kaza mwanangu nakuona mbali sana
@kastorymalila1109
@kastorymalila1109 9 ай бұрын
Unjuuuu💪💪💪
@WilliamFiki-w8r
@WilliamFiki-w8r 9 ай бұрын
Kitu kizuri nachompendea kakangu huaga anaongea vitu viko sensitive
@nsungaedwin3464
@nsungaedwin3464 9 ай бұрын
Kuanzia 2010 hadi sasa, hakuna msanii aliyeweza kuwazidi SISI THE TRIO
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 9 ай бұрын
Unju kiburi ile laaanaa
@AbrahamMwakatumbula-f5v
@AbrahamMwakatumbula-f5v 8 күн бұрын
Ukonga juu sana
@SirajCreedi
@SirajCreedi 9 ай бұрын
Nakubaliana
@aldophnm
@aldophnm 9 ай бұрын
Nomaaa nomaaaa🔥
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo 9 ай бұрын
Jamaa ana akili sana,naamin huyu ni kiongoz na ana vision kuliko mwanafa
@platoomagongo6708
@platoomagongo6708 9 ай бұрын
SCHOOL FEES ENYEWE NI MTAJII TOSHA...NIKKI UKO SAWA
@titus_maridhia
@titus_maridhia 9 ай бұрын
Favourite rapper
@Tayomasta
@Tayomasta 3 ай бұрын
Iko wazi kaka nyi nyi ndo nguzooooo💪
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 9 ай бұрын
Respect unju
@undercover_mcee
@undercover_mcee 9 ай бұрын
Ujio wa Bawila Music Platform, matatizo yatapungua.
@hassanihussein2731
@hassanihussein2731 9 ай бұрын
Doctor unju
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 9 ай бұрын
Napenda Nikki
@ibrabazo6318
@ibrabazo6318 9 ай бұрын
Nikki mbishi Akili kubwa
@thomasmasaba5665
@thomasmasaba5665 5 ай бұрын
Nikki is street smart , book smart
@RizikiNorbert
@RizikiNorbert 9 ай бұрын
Amazing
@AbrahamMwakatumbula-f5v
@AbrahamMwakatumbula-f5v 8 күн бұрын
Kwelii niki
@eryclassictz6011
@eryclassictz6011 9 ай бұрын
Enterview za mwamba nazpendaga coz lazma mtu uingize kitu kipya kichwan
@NakembetwaKitundu-tn7xx
@NakembetwaKitundu-tn7xx 9 ай бұрын
Unju bin unuq💪
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb 13 күн бұрын
Baba mr Unju
@RamaGumbo-r8n
@RamaGumbo-r8n 3 ай бұрын
Salut 🤘
@samwelisack2076
@samwelisack2076 9 ай бұрын
Elimu ya bongo kwel miyeyusho sana. Chanzo cha yote n wakolon waliiset mifumo kihuni sana ambayo tofaut na kwao
@niyoaze
@niyoaze 8 ай бұрын
Kali
@AwardBillb000ard
@AwardBillb000ard 9 ай бұрын
Hizi ndo interview... Sio mtu Kama Nikki anakuja studio alafu anaulizwa kuhusu mahusiano ya Niffer😂
@IbrahimDotto-xq4ud
@IbrahimDotto-xq4ud 9 ай бұрын
Kaka nakukubali
@Hanskapella
@Hanskapella 9 ай бұрын
UNJUUU
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 9 ай бұрын
We c IT Bana pambana na makompyuta huko
@SekuyeKebero-zd8pe
@SekuyeKebero-zd8pe 9 ай бұрын
The inter views killer. Jamaa ni zaidi ya google.
@mwasonkambi7207
@mwasonkambi7207 9 ай бұрын
🔥🔥🔥
@franzoonlinetv3641
@franzoonlinetv3641 9 ай бұрын
In some extent he talks fact
@victorosong
@victorosong Ай бұрын
Social Media Gangstas huku kwetu tunawaita keyboard warriors.
@mzuzukaka
@mzuzukaka 9 ай бұрын
Another chapter nakubari sana unju boy frm dom city
@vivamadiba2869
@vivamadiba2869 9 ай бұрын
Nikk mbishi baba Marco
@nyotamy3678
@nyotamy3678 9 ай бұрын
🙌🏾
@tajiliwamademu
@tajiliwamademu 9 ай бұрын
Tatizo la wabongo shabiki wanazarau
@RobertMwamlima-ek9pd
@RobertMwamlima-ek9pd 9 ай бұрын
Unjuuuu bin unuq,, huyu ni mwamba
@mlekwa
@mlekwa 9 ай бұрын
Mwambukusi wa rap
@Charles-x8c
@Charles-x8c 9 ай бұрын
Unju
@juliusngowi952
@juliusngowi952 9 ай бұрын
Kwakweli
@masopazetitle1711
@masopazetitle1711 9 ай бұрын
insparation
@nicholausmbilinyi3587
@nicholausmbilinyi3587 9 ай бұрын
Kuna FID Q pia nick
@zackypapla5511
@zackypapla5511 9 ай бұрын
Interview fuuupi
@SAYMON794
@SAYMON794 7 ай бұрын
Nikki wewe nikichwa
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
#behindthescenes @CrissaJackson
0:11
Happy Kelli
Рет қаралды 27 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
Dakika 10 za Maangamizi - Kimbunga | Planet Bongo
12:33
EastAfricaRadio
Рет қаралды 122 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН