Huyoo ndio Unju,.kama haukubaliani nae... pick up the mic and rap.
@murifellaАй бұрын
Nashangaa unju hapewi heshina yake as a true bongo hip hop MC. Marapa waliotajwa ni industry rappers, yeye ni MC, elewa tofauti
@shuzashadyproduction8438Ай бұрын
Unju hapewi heshima kwa sababu, amekuwa ni mtu wakujiona yeye Bora Kuliko watu wengine Tena kwa kuwaongelea vibaya pia, sometimes anaongea hivo akiwa anadrunk mapombe, kwa interview na kuwapondea, Kufanya music pekee haitoshi Ili watu wathibitishe ukubwa wako.
@mch.mengorikionlinetv8439Ай бұрын
nani anapaswa kumpa heshima na anapaswa kupewa heshima gani? Muziki ni biashara ni swala lakuangalia wateja wako wanahitaji nini na wewe uwaletee bidhaa wanayotaka hapo lazima ufanikiwe kibiashara. jamaa anakipaji lakini kua na kipaje pekeake haitoshi kufanya vizuri unahitaji akili ya biashara pia. Hivi leo msanii anaweza kulalamika anabaniwa? zamani kulikua na media hazizidi 3 ambazo kama kweli wakiamua kukubania hakuna namna unaweza kusikika lakini leo utabaniwa na media ngapi tunazo digital platfom kibao za ndani na nje ya nchi na zote wasanii wana access yakushowcase kazi zao, kwaiyo ukiona msanii leo hafanyi vizuri ni yeye mwenyewe tu hafikii matakwa ya kundi kubwa la watu.
@shuzashadyproduction8438Ай бұрын
@@mch.mengorikionlinetv8439 Akili nyingi sana MKUU🫡
@kaJEMBEvipАй бұрын
BIG POINT jamaa kinachomfelisha n kujiona special sana..n kwel anajua lkn abadilike..Dunia ya Leo ata kama unajua upaswi kujua Kila kitu @@shuzashadyproduction8438
@yogaatypeshulichindikayoha2270Ай бұрын
Na nitaendelea kununua album zako
@jbsilulatv4513Ай бұрын
Kaongea point kwa blue hapo flow za blue ni kali kuliko za roma
@paulonjozi1638Ай бұрын
Mvutasigala 😂😂😂😂 yaani Nikki tokanimuone anavuta sigala lika👎👎
@fabo4sure91129 күн бұрын
Kwa dope man mtakwama...really artistic
@ProTitle_Ай бұрын
Fact 👏
@joesplatnumzАй бұрын
Wapee makavu yao 😂😂😂😂kina mo sanya
@omary3238Ай бұрын
Unjuu 🎉🎉
@RaymondKanyama-y5bАй бұрын
Hatariiii
@AbilahSalumu-qx1cbАй бұрын
Aminiy Unju Wataelewatu Atutaki Fata Upepo 😂😂
@dallysaid8256Ай бұрын
Da brother mi nimekuelewa
@zackypapla5511Ай бұрын
Conscious
@InnocentBamboo-my7lrАй бұрын
Being, China to shanghai....nikk ni noma tuuu ila tusisahau na konyagi kidogo
Sahihi kabisa utangazaji umegeuzwa kuwa Sanaa hapa TZ. Mimi simfahamu Steve B, Muli B. Lakini walikuwa ma dj ambao walikuwa na majina sana. Dj JD.
@Ram8193KАй бұрын
Aisee Steven Mdoe 'Steve B' DJ Skills ameshafariki 😢😢😢
@InnocentBamboo-my7lrАй бұрын
Alio ona Bichwa la moses aries like hapo all mce's
@patricktito8009Ай бұрын
Madini ❤❤
@peterlujuo164022 күн бұрын
Sio kweli bana zama za Radio na traditional Tv zinaelekea ukingoni ni lazma tukubali ukweli kua SOCIAL NETWORKS zimefanya mapinduzi makubwa. Saivi mtu anapata habari zote kupitia simu yake kabla ata ya kuwasha tv au radio, ziwe entertainment au hard news. Itafika wakati hakutakua na izi traditional tv na radios. itakua ni online tu
@lugebeatzz874721 күн бұрын
Hizo haziendi popote.... Hio Social network sio mali inayopatikana Tanzania. Ila redio na TV ni za kwetu. Tunaangalia maisha ya mTanzania mwenye simu janja. Kuna waTanzania wengi hawana hizo simu... Unaeza kuangalia TCRA kwa taarifa zaid. Radio, TV haziendi popote... Cha zaid tuta upgrade kwenda ving'amuzi. Hata Marekani legacy media bado zinapeta.
@travellahmsafirihiphop5325Ай бұрын
Nikkimbishi akili kubwa 🙌🙌🙌
@emmanuelchilimoАй бұрын
Unju bin Unuki
@ybmtaakwamtaaofficial3415Ай бұрын
Nomaaaaa
@alienguy2839Ай бұрын
Confidence ndo ego yenyewe iyo haitakiw kuzidi mno especially kama huna content za kutosha za kuku backup
@zuberimohamed43Ай бұрын
Siyo kweli
@alienguy2839Ай бұрын
@zuberimohamed43 nini maana ya ego??
@lugebeatzz874721 күн бұрын
Confidence na Ego ni tofauti... Pia Ego ni tofaut na arrogance.
@emmanuelchilimoАй бұрын
Msenge kaongea kitu kikubwa
@EyooTennyАй бұрын
Chilimoooooo
@samchris1914Ай бұрын
Eti Mo sanya 😂😂
@nicksoncharles-kx3grАй бұрын
Kama hapo unju ana kazi mpya na kwenye iyo kazi kuna mengi yamezungumziwa ambayo binafsi sisi hatuyajui nilidhani ingekuwa muda muafaka wa kumhoji angalau mistari kadhaa
@machintangachibwena5922Ай бұрын
Bongo hamna mziki Chini ya miak 2000 ndio mziki ulikuwa mziki
@zuberimohamed43Ай бұрын
Uongo huo
@zuberimohamed43Ай бұрын
Mziki upo ila wewe ndo unasklza makopo
@chihoma-m4fАй бұрын
kivutucho ilikuwa hakuna mziki
@yogaatypeshulichindikayoha2270Ай бұрын
Umetangaza bei chee Kwa huu msimu nitanunua
@badmanno.1650Ай бұрын
Mo sanya alikuwa katulia tu mara booom 😅😅
@MaximeMasingaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@GoodluckLameck-nh9tqАй бұрын
namkubali mbishi ila awe anawakubali wenzio
@fadhilifantastic5032Ай бұрын
SITOSAHAU kipindi cha RFA kilikuwa kila Jumapili asubuhi
@MaximeMasingaАй бұрын
unju akiri kubwa sana km una akiri kweny kijiko mmmmmh huwez muelewa kamwe
@mosesjnr8436Ай бұрын
😂😂😂Bin Upupu
@nicomwampy6768Ай бұрын
Fact
@senkleasamwel2294Ай бұрын
UNJU👑
@JamesJulius-po2ueАй бұрын
noma
@MduduofficialАй бұрын
🎉🎉🎉
@ibrahimsengo2506Ай бұрын
Mvuto haujapotea, ila Dunia imekua teknolojia umekua sana ndo maana
@mugadimon3563Ай бұрын
Mvuto umepotea hata kwenye hizo teknolojia hizo zilizokuja(social media). Mtu anakwenda kumuhoji mtu hana detail za kutosha kukuhusu wewe/hilo jambo analokwenda kuhoji.
@onesmothimos2635Ай бұрын
Unju Baba maricom
@charlesabeli9914Ай бұрын
oiiiiii💥
@nicksoncharles-kx3grАй бұрын
Unjuuuu
@RAZAKIMMALINDA26 күн бұрын
Black and white 😂🎉
@noelmasue9708Ай бұрын
Unjuuuu😅😅
@SportsHQ255Ай бұрын
Mtu alisema 2pac sio MC wala sio mwana Hip Hop ashaishiwa huyu
@DannyWriter-m1yАй бұрын
Alikuwa anamaanisha nini,labda haukumuelewa point of view yake. Mfano kwa mimi naona bongo legends ni kama Ali Kiba, Dully,Prof J,T.I.D.....Sababu legend lazima awe extremely famous katika anachokifanya. Hawa kina Nikki Mbishi ni wasanii wakubwa
@MaximeMasingaАй бұрын
usikurupuke kumjib unju 😂😂😂😂
@Kendry_jenner27 күн бұрын
Chuki mwanzo mwisho
@emmanuelbonaventura4258Ай бұрын
Kwa hiyo mtangazaji kuuliza una albums ngapi ni kosa?.! Kiburi ni kitu kibaya sana.
@IbrahimKanuto-vv1zlАй бұрын
Hujamuelewa
@emmanuelbonaventura4258Ай бұрын
@IbrahimKanuto-vv1zl wewe ndio haujalielewa swali langu. Kwa wanaomjua Nikki mbishi watanielewa.
@@tulisanga2023 Tatizo lenu ndo hilo mtu asiseme ukweli mnajikuta hip hop sana amna lolote mnalojua upo kwenu kibiti huko unakata mkaaa 🚮
@KimodoiKaguwaАй бұрын
Zoohani
@yogaatypeshulichindikayoha2270Ай бұрын
Funder mental no ledge apo ndo nmekuelewa
@HabibKhamis-b2xАй бұрын
Huyu jamaa anajina ila hana ngomaheat atoe ngoma aache kuhubir
@husseinmnjonjo9831Ай бұрын
Siku ukijua muziki utaelewa kuwa wimbo kuhit haihusiani kabisa na msanii husika. Wimbo wowote tu unaweza kuwa hit hata kama sio mzuri ila kazi ya msanii ni kutoa wimbo mzuri suala la huo wimbo kua hit hilo huwezi kupigia hesabu. Hit ngapi ni nyimbo za kipuuzi sana ila zimevuma tu mtaani?. Do lemi go ya Kinata ule wimbo ulikuwa hit ila unataka kuniambia ule wimbo ni mzuri?. Unataka kuniaminisha sukari wa Zuchu ni wimbo mzuri sana kuliko Dah wa Nandy?. Wasanii wazuri tunawapa stress na kuwaua sisi mashabiki tusiojua muziki bali tunashabikia watu na maisha yao.