Unju unasauti ya kua presenter sana niaje upande huo unuq
@atenionesmo_A109 ай бұрын
umeona mbaki sana
@ShabaniAdamu-j5s9 ай бұрын
Oya muacheni huku huku kwenye hip-hop tu enjoy naye
@mussarashid22169 ай бұрын
Hili jamaa ana UPEO mkubwa kama wakima Napoleon Bornapate 111,Prince Metternich na wengineo ambao walipewa nafasi na DUNIA ikawajua wao ni nani.....RESPECT sanaaaa UNJUUUU
@ikramalmas70399 ай бұрын
Weeee mzeee umemsema Napoleon umenikumbusha European history fala wewe
@mussarashid22169 ай бұрын
@@ikramalmas7039 Ndo watu kama hawa aiseeeee si unajua Historia zao wale watu
@abushiridachie68659 ай бұрын
Ana upeo wa kina nani?????
@Hunchohenock-z1g21 күн бұрын
Unju 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 ❤❤❤ tokea congo
@negredorapha75919 ай бұрын
🔥🔥🔥🎤🌎Unjuuuuuuuu.. 🔥🎤🌎
@geffects11419 ай бұрын
Unjuuuuuuu ❤❤❤❤❤❤❤
@AbilahSalumu-qx1cb15 күн бұрын
Niki Mbishi Legend
@fabiantanzania57959 ай бұрын
Jamaa hoji vizuri❤
@mudrickbarton89119 ай бұрын
Kina darasa
@raymondkanyama18909 ай бұрын
Genius man
@mugishadavidsengati51199 ай бұрын
Smart sana
@daijatlb2214 ай бұрын
So fun, So interesting, so ginious
@albertbunyinyiga75819 ай бұрын
Nikki lazima ajue maumbile ya mwanamke na mwanaume ni tofauti ni lazima watumie muda mwingi kujiandaa
@eliazebedayo18029 ай бұрын
Lawama za Chid- benz 21:50
@shabbyofficial_9 ай бұрын
Daah shukran mzee Mungu akueke
@astonlupiafilmz9 ай бұрын
Ni sad sana tu here how awa presenters wanachoma. Hii fewd ya tz na ke mnaitake it too far. 😊😊😊😊
@dostovan51429 ай бұрын
Best freestyler in Tz
@msemaomary40819 ай бұрын
Baba marcom...unju
@Eliabennet2 ай бұрын
Kwenye swala la Chidi kaongea point sana
@chazmwasele82389 ай бұрын
still uwezo wa freestyle ni mkubwa
@vinchystyles16759 ай бұрын
Unju conscious!
@shabanrajabu83598 ай бұрын
sikupingagi mkali wangu👊👊👊
@jayfarsaga49359 ай бұрын
😅😅😅😅 that freestyle
@fredstarch51849 ай бұрын
Plz njoo kwny akaunti yng uone nnachofanya plz njoo
@Peterchila-un2lx9 ай бұрын
Unju bin unuku
@abrahammustafa61626 ай бұрын
Engineer Wa Rap💻🔌📱🛰⚡🛠⚙
@dastonamichaels18549 ай бұрын
Ana maneno mengi huyu😂💙🇰🇪
@Thadei_kameta54589 ай бұрын
Unjuneering
@VisualsByEnokaOti9 ай бұрын
Mi mkenya na Nikki anasema ukweli, currently bado tunadhamini wasanii wa zamani bongo🇰🇪