Congratulations to our Tanzanian brothers and sisters for the greater heights they have attained,much love from kenya.
@rukiaiddyyahaya95062 жыл бұрын
Nasisi tunawapenda wakenya ❤️❤️❤️
@davjoh77282 жыл бұрын
@@rukiaiddyyahaya9506 sote ni ndugu na Dada ,karibu sana
@berthatz2 жыл бұрын
Hii imekaa vzuri sana kaka EBM..Nafurahi kuona watanzania wenzetu wanaofanya vzuri ugenini..Love my people so much…Kzi nzuri kaka EBM..👏🏾👏🏾👏🏾❤️🇹🇿🙏🏾
@haikamsechu80392 жыл бұрын
Hakika nafurahia sana vipindi vya EBM. Kwa wale mnaotaka kucheki maisha ughaibuni na hata kwa wale ambao tayari tupo ughaibuni. Hizi information ni nondo. Mungu endelea kuibariki kazi ya EBM.
@Emedroadtocanada Жыл бұрын
Dokta p ni mrembo kweli maashaallah ❤❤❤❤
@chemutaimaina36372 жыл бұрын
EBM, this is a great video, informative and educative.Keep it up!
@michaelkomwiswa70482 жыл бұрын
Hongera kwa hao wote Asante sana Bwana EBM
@nandikaa4712 жыл бұрын
Congratulations to our brothers and sisters and thank you for setting a great example for all Africans. Kazi ni kazi... But always have a plan and a goal.
@ladylucky17142 жыл бұрын
Mahojiano ni mazuri sana. Hongera sana Mtangazaji...Nimempenda mchaga og 🤣 anavyoongea amewakilisha..wachaga hoyeee ❤❤
@edwinalexander11702 жыл бұрын
EBM sasa matumani yamerudi, kama hamna anayebeba boksi basi ntajitahidi nije huko. EBM unafanya kazi nzuri.
@sikuzanibusanya73522 жыл бұрын
Km hipo kz yakubeba boksi basi watwambie tusiyokuwa na Elimu ya juu jmn
@T_Darius2 ай бұрын
wakubeba maboksi bado wapo, ila wapo waliyofanikiwa kama hawa
@hidayaswai31192 жыл бұрын
I real appreciate you jmn. I wish to get connection ya kukuja huko mambele. For sure natamani ulaya saaana ila namuamini Mungu. Mchaga og nifanyie basi mchongo best
@Simulizinalilly Жыл бұрын
Apply green card rafiki ndo mchongo pekee ukipata umeula ndugu. Cha msingi apply apply apply Tena
@noelamwesiga67762 жыл бұрын
Hopefully few years to come I'll in America that's my dream and Mr EBM your are the catalyst of my Dream.God bless you all my African Brother and sisters in America
@trophywilson72112 жыл бұрын
Welcome
@thanksgivingchannel62472 жыл бұрын
EBM barikiwa sana, karibu Texas, yupo Bishop Robert kuanzia tarehe 9/09/2022,kupata link ya mtumishi ingia KZbin andika Robert tv Tanzania.
@leadekeikelvin4562 жыл бұрын
Amazing stories 🙏🙏 I will like to visit USA & Canada ❤️❤️
@rabisonchrizestomu18102 жыл бұрын
EBM hii nimeipenda Sana I wish na mimi ningekuwepo Leo.
@joymas16532 жыл бұрын
Jamani mweee first gal talking my schoolmate vero, happy seing her !
@malakimollel60442 жыл бұрын
Brother Ernest ..Huyu mchaga nimemuelewa sana Inaonekana yupo smart sana 😁
@berthatz2 жыл бұрын
@Juakali Tamthilia 😂
@ufahamuzaidi23432 жыл бұрын
Great
@BaigonMacha11 ай бұрын
Mungu awabariki
@shabanigenya47082 ай бұрын
Nimemielewa Mr Shabani mwenzangu. Mafanikio hayana path to follow.. kwamba ukipita hii njia utafanikiwa. Kila mtu ana mafanikio yake.
@jacobemmanuel5023Ай бұрын
Safi sana
@mr.content2662 жыл бұрын
miaka 21 nipo marekani huo ni umri wangu 😁😁 anyway didn't expect that brother you look younger👏👏
@boazkalema24392 жыл бұрын
Hiyo Ni no ya wtsapp
@trophywilson72112 жыл бұрын
Pole njoo ubebe box
@amourmtungo6232 жыл бұрын
🤔Funua funua bro. Kila ukifunua stori na maendeleo ya Watanzania nje ya nchi itawatia motisha Watanzania wengine kufanya jitihada ya kufikia malengo kama ya hawa wenzetu. Asante EBM kwa habari🤝
@OmariEtetembaWilondja2 жыл бұрын
EBM I’m patiently waiting for all the videos from DICOTA event
@ikulunimahalipatakatifu76422 жыл бұрын
Safi sana maisha kutafuta ..,
@flossiephilemon87972 жыл бұрын
Kazi nzuri EBM God bless you
@victoriamuteti63282 жыл бұрын
Kazi nzuri EBM ,number 1 fan from Kenya.
@jtheophil54992 жыл бұрын
Safi sana.Lkn next time zingatia sound makelele ni mengi sana
@FredWaiyaki-ix7gz3 ай бұрын
Kazi nzuri from Kenya
@abdulazizsadi59012 жыл бұрын
Very inspirational
@maribasimon6993 Жыл бұрын
kazi nzuri
@piusphilip3072 жыл бұрын
Uraia Pacha unahitajika haraka sana Tanzania, hii rasilimali ya Watanzania tunaihitaji nchini haraka sana.
@georgenkanawa71562 жыл бұрын
Kabisa aisee
@kasukukasuku38962 жыл бұрын
Inaonekana huko hakuna ubaguzi katika kazi niliona wtz wengine wako jeshi America,EBM thanks for inspiration
@trophywilson72112 жыл бұрын
Wazungu hawabagui Weusi na Waafrica tunabagua hata mkimbizi tu unamnyima haki ya msingi,Mtu kazaliwa 1972 Tz mpaka leo ni Mkimbizi,ni Haki hiyo??Marekani ukifika leo Ukiomba ukakubaliwa tu mwanao akizaliwa tu ni Raia hata kama wewe mzazi si Raia
@kautharjay58682 ай бұрын
@@trophywilson7211Wala hatubagui wakimbizi
@beatrice36712 жыл бұрын
Amen 🙏
@amirykingoto91232 жыл бұрын
Asante sana Ebm kwa shule tunajipanga tutaonana October
@jobmaclean53822 жыл бұрын
Mangi nimependa the way unaelezea jambo #welcome #December#2022
@amkizigo2 ай бұрын
It's nice meet .
@mhudumuonline90602 жыл бұрын
Mungu akubariki Kwa ufahamisho
@salimamri94882 жыл бұрын
Brother unavyo sema siokila Mtz alieko USA Sio mbeba BOX 📦 Unakosea sana kunawatu wanafanya hizo kazi namaisha yao wana yasukuma vzur napia wapo proud about it. Na wanashinda mushahara badhi ya wasomi wengi walioko Bongo kwahiyo jaribu kurekebisha kauli yako please
@farikkaqueen23672 жыл бұрын
Stop complaining and learn
@sabatoarika65502 жыл бұрын
Yes don't claim because hayo ndo Mambo yaliyozoeleka kusemw kuwa watu wanaosha vyombo
@Holywood_Entertainments3 ай бұрын
Wa Kenya mulikuwa mnatazama nyuma mukijigamba vile mko mbele ya Tanzania, Tanzania ikawafikia kama munatazama mbele, mkasahau kuangalua upande. Sasa Tanzania ndio ina kimbia ikiangalia nyuma kama munatimua mbio kuifikia. Hongera Tanzania, I am very proud of the progress you are making. Competition is healthy. Now Kenya will be coming over to bench mark from you.
@peacemwakyombe2 жыл бұрын
Dr Veeee ni mrembo Mungu azidi kumbariki
@erastokimaro89543 ай бұрын
Hongera sana
@sukivlog8852 жыл бұрын
EBM barikiwa sana
@wm96692 жыл бұрын
Interesting video.
@shabanigenya47082 ай бұрын
Wabongo wa majuu hawana upendo wanajigawa.
@aprilking82502 жыл бұрын
Minabeba boksi kwa mshara $22 kwa saa kwangu mimi niko sawa tu
@kanyankole2 жыл бұрын
Ndo upambanaji kikubwa kusaka pesa na mafanikio🙏
@Simulizinalilly Жыл бұрын
Big up bro keep it up... And for how many hours do you do the Job
@peterkariuki9073 Жыл бұрын
Halloo there! Am also from Tz
@abduyussuf8345 Жыл бұрын
Mi ni kinyozi ninauzoefu wa miaka 20 vipi naweza kupata kazi?
@rosemarygiga16710 ай бұрын
Mambo vipi!! Naitwa Rosemary Niko arusha can we talk more if you don't mind
@belzylucas72752 жыл бұрын
Nimependa 💞
@barakasimba64862 жыл бұрын
Mm ni refrigeration technician na aluminum welder, how and what can I do nije huko boss.
@leecode61352 жыл бұрын
Njoo Brasil kazi zipo mbona sio mpka marekani
@TrueZionTv2552 жыл бұрын
@@leecode6135 utaratibu ukoje kuja huko?
@leecode61352 жыл бұрын
Ntakutumia maelekezo
@TrueZionTv2552 жыл бұрын
@@leecode6135email au contact please
@robertmasule48192 жыл бұрын
Lee code nipe mchongo WA Namna ya kupata kuja huko Canada
@manjaugodwin78342 жыл бұрын
Jaman nımewapenda sana hongerenı nataman sıku mnıalıke nataman kwel .
@benngideon93172 жыл бұрын
😂😂😂😂hawa itakua wanafanya hotelini ndio maana wanene hivii. Mungu awabariki ndugu zangu mzidi zaidi na zaidi.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mmm kila mtu akitaka kuwa mnene huku anakuwa
@gaudencemihungo43482 жыл бұрын
Kipindi ni kizuri. Lakini ni vizuri watu wajitambulishe wenyewe na kujieleza. Congratulations.
@godcompeter98442 жыл бұрын
Boss fanya interview na Roma mkatoliki
@EBMSWAHILI2 жыл бұрын
Sijapata simu yake. Hopeful one day
@godcompeter98442 жыл бұрын
Mchek dm
@edwardmkwelele2 жыл бұрын
Mbeba boksi ni term tu ya kumaanisha hawaafanya kazi za maana haina maana kabisa ya kubeba boksi. Wengi ndivyo walivyo hawafanyi kazi za maana Pamoja na kuwa hata Hizo kazi za hovyo SINA competitive advantage on terms of Dollar and Tshillings wanapotuma PESA Tanzania but when it comes kutuma Hizo PESA ndani ya Marekani ni struggle. I have seen many doctors with PhD Wanaosha vyoo na kuendesha taxi so inategemea how lucky are you.
@atoshamkingule72582 жыл бұрын
True
@peterkariuki9073 Жыл бұрын
Nataka sana nije Marekani nipambane.
@mjumbemwanda96662 жыл бұрын
EBM the great
@ngamanyajoshua8392 жыл бұрын
Mambo ya kusema kuwa watu waliopo US na Europe ni wabeba Box mostly ni maneno ya haters wanaotamani wangepata nafasi ya kwenda Europe na US lakini wameshindwa..
@nagyguntar22682 жыл бұрын
Mimi hata kama kuna kazi ya kuogesha mbwa na paka am rediiiiii to gooo
@Thegossipermediatz2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@zozokulwa16272 жыл бұрын
Hahahaha 😆😆😆
@valenakomba92182 жыл бұрын
Titels ziko Sanaa Africa. Sababu wanataka Sana ukubwa. Na ubabaishaji.
@kautharjay58682 ай бұрын
Mim nimempenda muhamed Ally
@nataliamu41192 жыл бұрын
Napenda watanzania! 🙏
@yonandimila7932 жыл бұрын
Karibu
@luizabahati51982 жыл бұрын
Aisee Kinabo kumbe upo hukuuuu..salams bro..
@charlesmakuri7923 ай бұрын
Hiyo kuwapa kisogo hata huku kwetu ndio hivyo safi sana
@samsifuni7 ай бұрын
haina part two hii?
@AdamSaffi21110 ай бұрын
Wameshiba, maisha mazuri huko!
@damariszuckschwert94892 жыл бұрын
Mazungumzo mazuri lakini angalao yangelifanyika sehemu ambayo haina kelele background..,natumaini utafanya vyema mbeleni.
@Gdiamond3602 жыл бұрын
Very good video, it's good kuona WaTanzania wenzetu wameweza achieve the best education level. But after kuipata, why wameshindwa kuja convert their education where it's actually practical? Why wameshindwa kuja share with the rest of sisi nobodies?
@trophywilson72112 жыл бұрын
Mshahara Tz mdogo ndiyo maana tunabakia huku
@MZIZE2 жыл бұрын
@@trophywilson7211 Safi Sana 👏👏 Nafanyaje na mm nibak?
@anastaziuscyriacus54159 ай бұрын
We mwenyewe unafahamu, bongo miyeyusho sana
@Gdiamond3609 ай бұрын
@@anastaziuscyriacus5415 kwakweli changamoto ni nyingi na kubwa
@almuhtaramzamil2 жыл бұрын
Nimefurahi kumuona Dr.Mohamed Zuhery,wakati nipo Form 1 Popatlal Sec School Tanga alikuwa School Headboy wetu!
@anordelias2 жыл бұрын
Bro hbar naomba unisaidie na mm nipate kazi marekani
@adam-saffi2112 жыл бұрын
Kazi ni kazi ughaibuni. You can do many jobs, Phd or a degree is not all that important. You can clean public toilets get paid well on weekends and public holidays. Kazi ni kazi!
@demicratia40712 жыл бұрын
Well said
@berthatz2 жыл бұрын
Exactly….Kuna watu wanabeba box na wafanya mambo makubwa tu..
@Memphisblue22822 Жыл бұрын
well said lakini yule jamaa truck driver ange angaza hii comt yako mzee anatengeneza 40k a month ukitoa expenses zoote pamoja na kujilipa 1000
@hellenmuthoni820 Жыл бұрын
Nawatupe Kazi Cha kuosa choo
@noraazan91243 ай бұрын
Kweli bro
@oxwad38362 жыл бұрын
👏🏿👏🏿 . 🇹🇿
@EWillyzeDiplomat2 жыл бұрын
Hope to be there one day
@trophywilson72112 жыл бұрын
Karibu saana
@samxx4112 жыл бұрын
Nimependa Sana tujitahidini Sana wenzangu tunaweza kabisa
@happykibona21832 жыл бұрын
Nimesikia dr kibona
@petermungai69582 жыл бұрын
EBM naomba namba yako tueze kuongea maswala kadhaa kiundani....mimi ni shabiki wako👍
@TabuHome2 ай бұрын
Kwani kubeba boks sio kazi akifika tanzania ni. Boss wako ,na kumpigia magoti kabesa
@freddokuckelmann85022 жыл бұрын
Hata kama ni mbeba boksi, bado anapata pesa halali hata mbele za Mungu. Akilala ni usingizi wa amani. Kuliko msomi kwenye ofisi za selikali anayeibia wananchi, siku zote usingizi wa hofu akihofia kufa na kukutana na Mungu.
@trophywilson72112 жыл бұрын
AMINA
@josephmihayo62363 ай бұрын
Kumbe wachaga wengi sana state aisee
@Rasheedsmartguy2 жыл бұрын
Safi hiii🇹🇿
@farikkaqueen23672 жыл бұрын
20 years in USA my whole families here.
@trophywilson72112 жыл бұрын
Yes Me too now 12 years
@eddyamour97202 жыл бұрын
Hapa mwendo wa box tu Hamna chengine wakusoma asome 😂
@kelvinbushis8931 Жыл бұрын
Hello brother 👋
@richshayo49242 жыл бұрын
As longer unalipa bills who care kinachomatter what u earn na si kufurahisha watu mimi nabeba
@richshayo49242 жыл бұрын
Bora 📦 kuliko HR kwa 17-20/hr kukaa officine au bank teller fir 15/hr while on boxes delivery I can earn up 35/hr plus tip lol marekani ni uwe na Target tu Kuna watu wame spend 4yr on college plus student loan still they can make 10k annual gross 😝 😄 😀
@Holywood_Entertainments3 ай бұрын
Unge omba hao walimu wengine wa wasiliane kwa sauti ya chini jamani... Waambie hawa wa Tanzania warudishe nyumbani hii elimu yote wamevuna...
@pceodhc4 ай бұрын
Congratulations everyone! 🎉
@mwajumakitoro8582 Жыл бұрын
Uwe unajitahidi sauti ikae vizuri
@ernestmatimba99648 ай бұрын
Ni wamarekani wenye asili ya TANZANIA
@habibmarwan27372 жыл бұрын
Mangi hatareee..😁😁😁
@OgollaJr2 жыл бұрын
much love guys🇰🇪❤️
@leilaassey17262 жыл бұрын
Mchagha kanikosha jamani
@Kabi_472 жыл бұрын
Kiwanjani (canada & america) mchawi nguvu zakoo hakuna kazi ya kubeba box hakunaga hyo kaziiii ukifanikiwa kuingia ni rahisi kutusua coz michongo iko mingii fundi ujenz hapa canada analipwa hela nyingi kuliko mfanya kazii wa maana kabisa humu humu canada ,madereva wa magari taka wanalipwa mpunga mzurii tu madereva wa mabasii wanalipwa mpunga mzurii tuuu so bnafsii naaamin katika mipangoo ukifika kiwanjani kama hauna familia jipe miaka zaidi ya mi4 kuseto down usiwe na preshaaaa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@zahararamadhanisalmu3953 ай бұрын
M2 ambaye anajuwa jinsi ya kwenda tafadhali anisaidiye
@officialaftab87602 жыл бұрын
good job
@agreyaloyce4322 жыл бұрын
Ones a chaga always a chaga nani
@YohanaYoramu-nl6bw10 ай бұрын
WAHA TUNAKUBARI SANA KAKA
@ammaherman33912 жыл бұрын
One day I will earn my Law PhD in America.
@brianmarco16462 жыл бұрын
Amen
@samsifuni7 ай бұрын
nimempenda sana mangi huyo. yuko realistic sana na anapenda asili yake na hajaisahau.
@jacobmsigwa3832 жыл бұрын
Huyo Dr wa IT ana miaka zaidi ya 20 US ila ana kiswahili amazing hadi anataja neno "UDOHOO" kama kashata ambalo ni kiswahili cha ndani ndani.
@kautharjay58682 ай бұрын
Watu wengi wa pwani wanajua kiswahili ni mtu wa Tanga huyo
@haider19972 жыл бұрын
Leteni raia pacha mbwa nyinyi,mnakaa bungeni na posho zenu za tsh elf 8
@ramadhanmahongole92932 жыл бұрын
Halafu wanafuraha wenyewe hWana shida ya maisha
@jamessanga71202 жыл бұрын
tabu zipo palepale
@joycesichone11752 жыл бұрын
Mohamed zuberi was my school m.et at Gerezani primary school
@barbarasara40332 жыл бұрын
Nimecheka sana eti sio mbeba boksi
@martinkisha63072 жыл бұрын
Kama tunawasomi huko SI Bora waje Tanzania wengine wawe viongozi hapa Sasa tunawapigaji tu viongozi ovyo sana hawana uzarendo nikutozwa tu Tanzania