Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe KZbin channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Пікірлер: 11
@mzikitz-g7i4 күн бұрын
Mond ni no1 tz nzima
@CharlesRehani5 күн бұрын
Uyu dada mtangazaji nampenda kinoma saana❤❤
@chizashungu83646 күн бұрын
Nyie waandishi lazima mjue kuwa DIAMOND PLATNUMZ amewazidi wasanii wa muziki wa Tanzania.Ana uelewa mkubwa sana,.
@CharlesRehani5 күн бұрын
Sarafina mpenzi wangu ❤❤❤
@MO12-b1q6 күн бұрын
Rick Leo wamoto sana ETi iyo gari imepaki kabisa Duh kkk😁😁😁🇹🇿🇲🇿
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM6 күн бұрын
Nikweli Rick Ayo unasema ni sahihi , drame za Diamond n'a watu wake nikubwa mno tupinge tukatae ,Rick unasema kweli
@MeshackMagaro6 күн бұрын
Mi siwezi kumulinganisha diamond platnumz na msani yeyote tz labda niwe nimelewa au nimevuta in short nikiwa Sina akili zangu timamu
@lusanalusana-o3h5 күн бұрын
Kweli mwamba
@ibrahimfarha38535 күн бұрын
Nawa bongo simnapenda drama .... Diamond kawawezaaa
@Fantastic.-gm1eo6 күн бұрын
Nyie wenyewe hapo diamond kawatuma mje kumuongelea ili azidi kusikika😂
@abuubakarikirungi6 күн бұрын
Ndio mana anatengeneza hela kuliko msanii mwengine uko bongo