No video

Unataka kuwa Truck Driver Marekani? Wanapata mshahara milioni ngapi kwa mwezi?

  Рет қаралды 222,390

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Kuendesha malori, Truck Driving hasa USA na Canada inalipa sana. Mtu analipwa zaidi ya dola LAKI MOJA kwa mwaka kwa kuanzia.
Fuatilia interview hii na Shaban, Mtanzania ambaye ni owner-operator wa Truck kupitia kampuni yake TEMBO LOGISTICS.

Пікірлер: 700
@victornyakundi294
@victornyakundi294 2 жыл бұрын
I am a Kenyan in the USA.I love your Swahili after 20 yrs.Some get to america after three years claim to have forgotten their local languages.
@emmanuelzao
@emmanuelzao 2 жыл бұрын
Ni washenzi kabisa.😎
@Kakwasi
@Kakwasi 2 жыл бұрын
Watanzania hawa
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 жыл бұрын
This are Tanzanians Kiswahili hakiwezi kuwatoka Unlike us Kenyans lol NOT all but most of them hujifanya wamesahau
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 2 жыл бұрын
@@kangese You can only forget if u left as a child and your folks are not speaking swahili in the house . west Africans travel whn young but at home they speak their own language outside while interacting with locals thy speak English,Italian ,French etc depending with the country you live in
@johnsonkanyi2518
@johnsonkanyi2518 2 жыл бұрын
Invite me guys to US
@jayc7311
@jayc7311 2 жыл бұрын
I’m from Burundi 🇧🇮 and also a truck driver here in USA🇺🇸. Be safe out there brother 🙌🏾
@jorampharaoh2020
@jorampharaoh2020 2 жыл бұрын
Invite me bro
@amoseliasmeshack7064
@amoseliasmeshack7064 2 жыл бұрын
Hey Jay ,,, My Name Is Amos I Need To Wash With You If You Will Care More, Phone Number Is 2086098454 Please Please My Brother
@fjafrica62
@fjafrica62 2 жыл бұрын
du good
@bellynejoe187
@bellynejoe187 2 жыл бұрын
Hello brother I m from Burundi working Dubai ncuti nziza ndaryohewe kubona comment yawe .ndiko ndondera uwomfasha gushika USA nukuri noshima niwaba woshobora kunyishura plz ndagushimira
@Bestof257Official
@Bestof257Official 2 жыл бұрын
Komera cane nawe Jay C. Imana ikuzigame
@seriesreview3838
@seriesreview3838 2 жыл бұрын
Watching from Kenya..this has always been on my bucket list..to start a truck company in US..🇰🇪keep inspiring brothers
@rebelsammyfx4365
@rebelsammyfx4365 2 жыл бұрын
From Kenya as well ,I opened one recently,paloways
@seriesreview3838
@seriesreview3838 2 жыл бұрын
@@rebelsammyfx4365 keep shining 👏
@josephmatu375
@josephmatu375 2 жыл бұрын
Bro am from Kenya Nairobi I'm a good truck driver how can I get job
@amosicronery7730
@amosicronery7730 2 жыл бұрын
@@rebelsammyfx4365 congrats
@janelaflin1816
@janelaflin1816 2 жыл бұрын
Hamna matuta?
@johnokoth7543
@johnokoth7543 2 жыл бұрын
Tanzanians are so humble. Thanks for the knowledge.
@lovelymiii1530
@lovelymiii1530 2 жыл бұрын
Napenda iyo kazi kaka go nawezaje fika huko na kupata kazi au ata ukaniajiri
@anthonyezekiel930
@anthonyezekiel930 Жыл бұрын
Hi? Haya Mimi natamani
@anthonyezekiel930
@anthonyezekiel930 Жыл бұрын
Mpo wapi?
@sharifukilongo2565
@sharifukilongo2565 Жыл бұрын
Appreciate
@simonwamwea1757
@simonwamwea1757 Жыл бұрын
Tembo Logistics Nashukuru for sharing motivation and knowledge of owner-operator
@petermagaka547
@petermagaka547 11 ай бұрын
Kazi Nzuri sana EBM Nimevutiwa sana na haya Mahojiano. Mbarikiwee zaidi. Magaka wa Kahama on the way to kigoma,,
@richardscofeld9136
@richardscofeld9136 2 жыл бұрын
Nafuatilia sana interview yako kaka EBM, na nafurahi sana mafundisho yako ya nadharia na vitendo ,nimeona wuvu na umenipa nguvu nipambane ili nifikie ndoto zangu za#USATRACKDRIVER,Napia naomba nisaidie huyo nduguyangu nampataje na ninduguyangu kabisa
@munaongoeliebamongi8128
@munaongoeliebamongi8128 2 жыл бұрын
Many thx my brother mimi ni ENOCH MONGI kutokea eastern DRC at Butembo na shukuru xana maongezi yako tena yana vutia Xana brother
@bakarimusa6297
@bakarimusa6297 2 жыл бұрын
Tunakuombea uzidi kufanikiwa nduguyetu urudi na Tanzania uje uwekeze tufanye kazi inshaallah. Allah akufanyie wepes katika kaz zako na uwe mwenye kukumbuka mungu.. Ameen
@paulobat3327
@paulobat3327 2 жыл бұрын
From Kenya, I play American Truck simulator once in a while, enjoying your explanation of different categories of cargo one can haul as a semi driver.
@highskills5883
@highskills5883 2 жыл бұрын
I like that game America truck simulator
@websterk451
@websterk451 2 жыл бұрын
@Joe Ndungu ATS is a bit better than ETS in my opinion
@websterk451
@websterk451 2 жыл бұрын
@Joe Ndungu i mean you're right ets makes you adapt to narrow roads and spaces
@harounamahoro3436
@harounamahoro3436 2 жыл бұрын
I'm from Rwanda, ila kwa ukweli na wapenda sana Watanzania. Nyinyi ni wazalendo thabiti.
@Kapesa-bu7yv
@Kapesa-bu7yv 8 ай бұрын
Karibu sana TANZANIA kaka tupo sana kote duniani tunatafuta maisha kwa ajili ya nchi yetu na vizazi vyetu baadaye
@wanderinderituh459
@wanderinderituh459 2 жыл бұрын
Good job EBM!!! Next time leta nwanamke pia ndio those of us who would like to venture into this job tujue what to expect na challenges women hupitia.. May God bless you guy's for the amazing work mnafanya.. I really like this guy
@annekim1346
@annekim1346 2 жыл бұрын
True next lady
@isacktesha6659
@isacktesha6659 2 жыл бұрын
Jamaa uko powa sana kaka nakukumbuka sana tuliagana hapa Arusha TZ wakati unaenda kupanda ndege KIA ,nakumbuka ulipima mizigo yako hapa kabla ya kuondoka
@judyhosea9271
@judyhosea9271 3 ай бұрын
Mwagito unoge
@daudsilas
@daudsilas 10 күн бұрын
Je naweza kupata contact za huyo ndugu napenda kujifunza vitu fulani hivi maana na mimi ni dereva kwa sasa naendesha magari madogo tu
@geerleebmuhamed8301
@geerleebmuhamed8301 2 жыл бұрын
Big up bro mungu akulinde na Allah akupe mafanikio tuchape kazi
@edwardouma1630
@edwardouma1630 2 жыл бұрын
Very appreciated my brother am watching from Nairobi Kenya
@nyansmanemolos
@nyansmanemolos 2 жыл бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@silicontech7783
@silicontech7783 2 жыл бұрын
Kaka Tembo kazi nzuri kazi safi God bless u kwa hiyo information na wengi wamefaidika.
@athumanimanzabay1894
@athumanimanzabay1894 2 жыл бұрын
Oh thnx Broo,naitwa Athumani Manzabay ni driver wa kampuni ya Equator logistics Tanzania nmefurahi saana kwa interview yko I wish siku moja na mm nije kufanya kazi huko Marekani,kwa uwezo wa Mungu inawezekana Inshallah 🙏🙏
@mrambamasha7727
@mrambamasha7727 2 жыл бұрын
Nakbali bro. Napenda sana interview ina jenga sana big up brother. Mimi ni mkenya sija soma sana but mimi ni truck driver apa Kenyan. Mbinu za kuja marekani ngumu sana. Nina tamani sana lakini ni changoto sana. Unanitia hasira saana. Mimi elimu yangu ni darasa la nane tu. Kwahiyo ni changomoto kwangu bro. Lakini na penda sana niajiriwe marekani Asante
@user-np1qw9ib2h
@user-np1qw9ib2h Жыл бұрын
Nimependa sana kuskia kiongozi anavyotupa mrejesho wa nini kinapatikana huko ughaibuni. Nikuombe ikikupendeza nipate mawasiliano na dereva Shabani broo. Ninamengi yakujifunza kabla sijachukua maamuzi👏
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Shaban hongeraa mno mnooo Mungu akubariki sana kukubali kuwa wazi kwa ajili ya vijana wa Tz.imagine umekaa marekani miaka 20 lakini bado uko mtulivu sana
@stephenmwanzake
@stephenmwanzake 2 жыл бұрын
So much educative. Hii information ni nzuri Sana, Tuzidi kujitia moyo na bidio na mola atazidi kubariki kazi ya mikono yetu. Nawatazama nikiwa Machakos Kenya 🇰🇪
@user-gr7um7ex9h
@user-gr7um7ex9h Жыл бұрын
Daaaa brother kwakweli huo kazi nimeipenda nisaidie na me niwezekuifanya hii kaz inshallah
@johnnaiman
@johnnaiman 2 жыл бұрын
JAMAA ANA VIBE SANA..👏👏 MUNGU AMBARIKI SANA
@eliccirebwoy9258
@eliccirebwoy9258 Жыл бұрын
Asante sana kuongelea makao makuu nyumbani kwetu kigoma kwao na vipaji , nawafwatilia kwaumakini 🇹🇿
@obeydmwemezi3663
@obeydmwemezi3663 2 жыл бұрын
Huyu jamaa muonekano wake tuu anaonekana anaroho nyeupe saaanaaa!!!anaonekana anaroho nzuri sanaa!!!broo Godbless you🙏🙏🙏
@benjaminfaustin4234
@benjaminfaustin4234 2 жыл бұрын
Kbs umeona? Yuko vizur sana kufika kure hatutahangaika sana shida ni kufikapo kbs
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 Жыл бұрын
Watanzania popote mlipo Serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye barabara...bila barabara za kiwango hatuwezi kutoboa...I'm inspired
@mawazoaliselemani8909
@mawazoaliselemani8909 2 жыл бұрын
e bhana mnafurahisha sana,nawaomba niwatembelee nikitokea huku europe,nije kujifunza maisha ya unyamwezini,ila hongereni sana.
@collokaxar8724
@collokaxar8724 2 жыл бұрын
Mimi ni Mkenya 🇰🇪. Natamani kuishi marekani siku moja, majaliwa yake Maulana.
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi kaka Collo uishi marekani kwa furaha na mafanikio
@user-oq7ie3vt6n
@user-oq7ie3vt6n Жыл бұрын
Kaka hongera sana tunawezage kupata kazi uko
@rikayangu3833
@rikayangu3833 2 жыл бұрын
Should I say I wish I were 10 years younger? brilliant video full of info for anyone looking for a new path.
@mwangimichel4824
@mwangimichel4824 2 жыл бұрын
Thanks alot for the info... Natamani sana kuwa truck driver marekani kama kuna any vacancy please help me secure the opportunity
@nswirajosephntegwa180
@nswirajosephntegwa180 2 жыл бұрын
Habari ya kazi brother pole namajukumu Mimi ni drive way transit truck safari zangu tz to Congo Nipo mwaka wa 10 Sasa kwenye hii kazi samahani unatusaidiaje sisi wa DARASA la 7 na tunauwezo mkubwa Wakufanya kazi Asante Sana nimefrahi kufatiria hii hii video nimeinjoy Sana kaka
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 2 жыл бұрын
huko hawangalii elim ya school kwa kazi kama hizo we ujue lugha tu na ujuzi wa kazi bas Mungu akusaidie sana wakuafanyie taratibu muweze kwenda fanya kazi huko insha allah ila inchi za inje ya tanzania huwa hawatazami sana elim katka kazi kama hizo elim wanaitaka mohifesin nasio kune udrive bro Mungu akujalie mpate kazi nzur kama hizo insha allah
@muhammadmwangi5236
@muhammadmwangi5236 Жыл бұрын
Jambo Prof? Watching from Saudi Arabia, natokea Kenya....truck driver too. Shukran jazeelan
@kessy9931
@kessy9931 2 жыл бұрын
jilinde brother. siyo kila mtu aneangalia anafurahia mafnikio yako, wengine wanakupangia. tembea na silaha.
@collinmhema5443
@collinmhema5443 2 жыл бұрын
Safi sana kufanya kazi unayoipenda mazingira na kipato kizuri
@raphaelherman7098
@raphaelherman7098 Жыл бұрын
Napenda sana kazi ya magar tatizo saport nakos mwanzo mgum sanaaa
@mugenzadanie7263
@mugenzadanie7263 2 жыл бұрын
Habari zenu wandugu mama nimependa hii mazungumuzo kutushauri sana sana watu kama Sisi tuko na ndoto yakukuja huko
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah mmungu akubariki na akulinde kila shari akupe kheri zote.
@zenj1986
@zenj1986 2 жыл бұрын
Watu wa Tanzania bara hasa walioko mbali na Dar ni watu wenye moyo uliyobeba ukweli. Mungu akufanyie wepesi
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 Жыл бұрын
Ameen thumma ameen
@jenniferswai483
@jenniferswai483 Жыл бұрын
Kaka naipenda sana iyo kaz kaka sina mtu wa knishika mkono
@zenj1986
@zenj1986 Жыл бұрын
@@jenniferswai483 mie nipo
@barakafifi1607
@barakafifi1607 Жыл бұрын
Naipenda sana hii kazi lakink sina mtu wa kuniongoza gali najua kuendesha vizr sana sana lkn hob yangu gali kubwa kuendesha pls mtu yoyote mwenye kuweza nielekeza 🙏
@kondoramadhan7840
@kondoramadhan7840 Жыл бұрын
Amna lolote mbari ya dar ndio nini sasa
@hamzamafita4025
@hamzamafita4025 2 жыл бұрын
Habari EBM unahamasisha vizuri sana maisha sio africa tu.popote angalia ameenda kusoma udaktar lakini amebadilisha na amefanikiwa.cha muhimu tujitahidi kusikiliza EBM inavyotushauri.mimi nitamgharimia mtoto wangu mpaka aende huko duniani.
@awadhiomarisimba180
@awadhiomarisimba180 2 жыл бұрын
Ukweli nawapa big up nyinyi watanzania kwa mapenzi yenu kuwapa mwanga was fulsa ,tunaomba namba zenu
@danielndubi3472
@danielndubi3472 2 жыл бұрын
These people are humble.. My country people will always discourage you
@user-qv9hn9sm6i
@user-qv9hn9sm6i Жыл бұрын
Muko kwenye ndotozangu ❤❤❤❤❤
@katambihamisi4130
@katambihamisi4130 Жыл бұрын
Thanks guys for your information
@How2AnalyzeData
@How2AnalyzeData 2 жыл бұрын
Am from 🇰🇪 and this is a great content
@jumanjenga7682
@jumanjenga7682 2 жыл бұрын
Vizuri.nilijaribu hivyo lakini wakati Wa winter na snow ilinishinda .nikatafuta kazı ya Nursing baada kurudi college
@advinofficial6570
@advinofficial6570 5 ай бұрын
Kaka ipo marekani
@elijahmwangale.8066
@elijahmwangale.8066 2 жыл бұрын
Pongezi guys... .just subscribed to your new channel EBM scholar,,💝💝💖♥️love your videos alot in other channel.... From Nakuru 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kenya.
@binbhahan3435
@binbhahan3435 2 жыл бұрын
Kwanza tunashukuru kwa information but mm niko Tanzania huku Zanzibar brother tunatamani tunaingiaje huko we really need that opportunity
@samypalukukalisha
@samypalukukalisha 2 жыл бұрын
Nashukuru Kya uelimishaji.Samy from DRC
@kavoomshana7289
@kavoomshana7289 2 жыл бұрын
Safi sana nimeipenda hii jamn mpaka nimetaman kuja marekan
@kalingajohn249
@kalingajohn249 2 жыл бұрын
Hongera kaka kwa kututangaza kabila letu ma wengine hawataki kujulikana hongera sana mnyakukae!
@mbekewambeke9305
@mbekewambeke9305 2 жыл бұрын
Yes bro nashukuru sana kwa info ila nakuomba tuwasiliane mimi niko hapa Lancaster PA pia ni truck driver nakuomba tutakutane bro
@daviddeus6437
@daviddeus6437 2 жыл бұрын
Mnafkaje uko bro
@JKQGAME
@JKQGAME 2 жыл бұрын
@@daviddeus6437 hahahahaha
@edoyoseph4606
@edoyoseph4606 2 жыл бұрын
Ebu tupe namba Yako ya cm basi
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 2 жыл бұрын
Asante sana kaka shabani mungu akuongezee na ww uwahudumie watanzania wenzako
@patriciakajula8328
@patriciakajula8328 2 жыл бұрын
Hongera sana bro Mungu awe na wewe. Nimefurahi sana kuona interview.
@agnesmweya4064
@agnesmweya4064 2 жыл бұрын
Am grateful to this Simba fun. much love. am from Tz
@millieokoth3526
@millieokoth3526 2 жыл бұрын
Woow I love listening to tz kiswahili, so interesting napenda
@danielmatemu9698
@danielmatemu9698 2 жыл бұрын
Kiswahili is the best
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 2 жыл бұрын
SAFI SAANA MKUU. NAOMBA ELIMU ZAIDI YA FANI NYINGINE LIKE KUBEBA MIZIGO
@omarisarai7699
@omarisarai7699 Жыл бұрын
Ee bwana hongereni sana bwa ÈBM na bwana shaban kwa kuelimisha mimi mwenyewe binafsi nina zaidi ya miaka 55 lkn nimeingia hamasa ya kuja kuendesha track naona ualimu nitauvua
@MeshackEmmanuel-r9h
@MeshackEmmanuel-r9h Ай бұрын
Bro nimekusikiliza nimevutiwa sana hiyo kazi yako nawezaje kufika USA na mm
@nsengiyumvaoseki3004
@nsengiyumvaoseki3004 Ай бұрын
Asante sana bro. Nilisikiliza video zako na nikashawishika . Sasa naendesha truck na ninaona faida sana
@mopaomopao7666
@mopaomopao7666 2 жыл бұрын
good information wish both of you all the best ........NO 🚚 NO 🧆🍗🍔🍕🍟🥯 TRUCKING MAKES THE WORLD MOVE
@godfreymloka8684
@godfreymloka8684 Жыл бұрын
Ase bro vp nakubali sana kazi yako, Mimi GODFREY Niko Arusha Tanzania mi ni drereva naendesha fuso naomba basi nisaidie na Mimi niende nikaendeshe hizo Trucks bro ninauzoefu wa magari makubwa ase na kama Kuna any cost naweza nikapambana aisee bro
@benjaminfaustin4234
@benjaminfaustin4234 2 жыл бұрын
Napenda sana hii biashala Kaka kuna siku tutakutana uko 🙏🙏🙏🙏
@nakurusportschannel4211
@nakurusportschannel4211 Жыл бұрын
See how Tanzania are friendly they talked about business and also not forgetting about their local soccer teams back home.Wakenya hatuwezi hii.
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h 6 ай бұрын
Hongera sana Shaban. You Tube channel yako inaitwaje? Ahsante sana EBM. Pamoja sana!
@jomba6514
@jomba6514 2 жыл бұрын
Brother binafsi naipenda sana iyo kazi engine inalia kichwani 👊
@majaliwabendera8458
@majaliwabendera8458 Жыл бұрын
Hongera sana kaka nilikuwa naifatilia hii stori yako nikiwa Africa nilifurahi sana maana hata mimi ndoto yangu ni kuwa dereva wa magari makubwa ila kwa sasa nipo hapa Marekani naomba Msaada wako ili niwe owner operator kama weed.
@nsamacharia
@nsamacharia 2 жыл бұрын
TZ oyeeh Weeh ! Perfectly accordingly kaka ✊🏿👍🏿👏🏿
@josephwaweru684
@josephwaweru684 9 ай бұрын
Amazing 😍
@flavian-augustino.pangah
@flavian-augustino.pangah 2 жыл бұрын
Hongereni sana mnatutoa matongotongo sisi ambao ni tiktok generation, asanteni sana
@frankmkwawa4254
@frankmkwawa4254 2 жыл бұрын
Asante kaka mkubwa
@michaelkinyua1064
@michaelkinyua1064 2 жыл бұрын
Uve blown ma mind bro
@user-ys7wj5tl3p
@user-ys7wj5tl3p 10 күн бұрын
❤❤❤nimeipenda saana hii. Halow kaka na mm ni dereva pia na nime soma chuo Cha usafirishaji nakuomba unisaidie kaka Sina kazi na naishi dar es salaam na Mimi nimetokea iringa mhehe og.
@fatumafatuma1459
@fatumafatuma1459 2 жыл бұрын
Asalam aleykum warahamatullahi wabarakatu samahani mm nataka kuja kupika vyakula vya Tanzania nitatoboa
@alexmbugua1671
@alexmbugua1671 2 жыл бұрын
God bless you sir. Information is power
@abdikadir4569
@abdikadir4569 2 жыл бұрын
Roha safi ndio Allah anapenda
@joelbett87
@joelbett87 2 жыл бұрын
I’m kenyan and truck driver too, this’s awesome interview, but I think I’m your neighbor here in belton MO coz Naishi Grandview mimi, be safe out there bro
@misheckgathondu5815
@misheckgathondu5815 2 жыл бұрын
i love truck but i
@joelbett87
@joelbett87 2 жыл бұрын
@@misheckgathondu5815 but?
@misheckgathondu5815
@misheckgathondu5815 2 жыл бұрын
sijii nialie wapi
@misheckgathondu5815
@misheckgathondu5815 2 жыл бұрын
I don't know where to start
@brianyegs325
@brianyegs325 2 жыл бұрын
@ Joel Bett show me your ways...
@GodfreyMbekenga
@GodfreyMbekenga 2 ай бұрын
Kaka ongerasana nimesikiliza cripu zako aisee nimependa kwanza unavyofundisha jinsi ya kuendesha track , nitakuombea sana kwa mungu niwe Rafik yako najua tukishakuwa marafiki utanishika mkono , mimi uku Tz nidereva natamanigi sana kupanda kiwango kweny kazi yangu ya udereva
@salumhassaen1892
@salumhassaen1892 2 жыл бұрын
Dah kweeli kaka dereva marekani anainjoi na kipato kizur mi Tanzania naenda Congo maxmam siku45 kwenda nakulud hapo kuna wakati paka siku 60 au zaid maili 4000 paka 5000 kwenda nakulud nalipwa USD 750 kwa awamu sio kwapamoja awam3 kuna wengine hata iyo awafikii
@emanuelmollel312
@emanuelmollel312 3 ай бұрын
Big up sana bro Am in Tourism industry back home am planning coming to North Carolina soon and I would like to meet you bro God bless you.
@user-wc2tx7uj3u
@user-wc2tx7uj3u 6 ай бұрын
Asante kwa informations mzuri
@lazaropaul1883
@lazaropaul1883 2 жыл бұрын
Brother big up kwako
@godsondavidbilola2214
@godsondavidbilola2214 2 жыл бұрын
Nimekusikiliza sana kaka ila nimependa kazi yako utanisaidiaje namimi niwezefika huko mimi mha niko kigoma
@upendomamuya7238
@upendomamuya7238 2 жыл бұрын
Kwakweli nimejifunza mengi kwenye video hii. Shukran sana EBM Scholars. Kama truck ni uchumi wa Marekani, basi uchumi wa bongo ni kirikuu. 🤣🤣
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Na bodaboda na mkokoteni
@ramadhanilukambuzi9760
@ramadhanilukambuzi9760 2 жыл бұрын
Tozo
@joelsagide9607
@joelsagide9607 2 жыл бұрын
Ujambo brother, mmi nko Kenya Nairobi nimeititimu kma dereva nitamani kufanya kazi maju naeza Fanya nni.
@nodrickngasoma3614
@nodrickngasoma3614 2 жыл бұрын
Ume ni inspire bro may God bless you.
@Umubavuz1tv
@Umubavuz1tv 2 жыл бұрын
Asante sana kaka
@simonmakacha5810
@simonmakacha5810 2 жыл бұрын
Shukran
@joelkahesi7280
@joelkahesi7280 2 жыл бұрын
Hawa jamaa safi sana. God Bless You Guys
@lazarovenance725
@lazarovenance725 2 жыл бұрын
Bro nawafuatilia sana kiukweli nimeipenda historia ya bro pia nimefurahi sana pia kusikia yeye ni mwana Simba sports club pia ni mhehe mwenzangu kabisa.
@brayoshomediys9686
@brayoshomediys9686 2 жыл бұрын
Dah. Kazi nzuri ndugu zangu.
@ronaldjuma7012
@ronaldjuma7012 2 жыл бұрын
This is earth moving, how can I join you and become one of the truck drivers in the US. Thanks bro
@bonieranjiiri2173
@bonieranjiiri2173 2 жыл бұрын
Love swahili,,,, am from kenya,,, soon may be will join you
@KrucialSounds
@KrucialSounds 2 жыл бұрын
This is so informative EBM. Shaban keep up the good work
@monicahwamucii7259
@monicahwamucii7259 2 жыл бұрын
Napenda kazi yako mimi plant operator niconnect tafadhali
@josephguerino7416
@josephguerino7416 2 жыл бұрын
Mtangazaji, don't over ride the interviewee! Unamhoji lkn unaongea zaidi yake! Muache aongee
@domnia6980
@domnia6980 2 жыл бұрын
😃😃😃😄
@silvestermanase6101
@silvestermanase6101 2 жыл бұрын
Hahahaha, ni kweli kabisa,mtangazaji anaongea zaidi kuliko mtoa stori.
@Kobe_254
@Kobe_254 2 жыл бұрын
ni mzuka mwingi... anaona ako kwa private jet!! hahhha
@josephguerino7416
@josephguerino7416 2 жыл бұрын
@@Kobe_254 anaongea sana yani, hampi jamaa nafasi aongee
@zabronpaul7599
@zabronpaul7599 2 жыл бұрын
Yaan YEMUGABHO urakoze chane... Umenifungua macho sana na kujitafakari upya maisha yangu..MUNGU azidi kukubariki ERNEST,Mungu ikuze zaidi na zaidi channel yetu pendwa
@jovinifaida5480
@jovinifaida5480 2 жыл бұрын
Uvuze ngwiki
@mgofumaster6628
@mgofumaster6628 2 жыл бұрын
Mko vizuri sana aisee
@khalfanilyimo6963
@khalfanilyimo6963 2 жыл бұрын
Shabby naona mpira basi tena!!! Umekamata truck!! Ungepewa info za kutosha ungechezea man u kaka!!! Wakati ukuta!!! Hongera!!
TAJIRI WA MABUS  SUPER FEO ATOA SIRI YA KUWA BILIONEA
10:36
Wasafi Media
Рет қаралды 66 М.
女孩妒忌小丑女? #小丑#shorts
00:34
好人小丑
Рет қаралды 74 МЛН
MAISHA YALIKUA MAGUMU NILIPOFIKA USA | NASOMEA UIGIZAJI | CHANGAMOTO KUBWA NI KUKATALIWA
57:20
Sababu kwanini watu wananyimwa viza Ubalozini
13:24
EBM SWAHILI
Рет қаралды 20 М.
CEMANIA NA MUTUMIA WI NGUMO DEREVA YA MARORI AMERICA
23:36
Kenya Diaspora Media USA
Рет қаралды 86 М.