Kwanini watu wengi wanarudishwa kwenye airpots za Turkey, Qatar, nk wakienda Canada, Ulaya, USA?

  Рет қаралды 7,559

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.lo...
DONATE TO EBM SCHOLARS
1. PayPal www.paypal.com...
2. CASH APP cash.app/$EBMS...

Пікірлер: 58
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 6 ай бұрын
How to Claim Your Free Consultation: YOU MUST RESIDE IN THE USA 1. Visit our dedicated page: ebmscholars.com/finance/ 2. Fill out the form with your details to schedule your consultation. 3. Sit back and relax - a financial expert will reach out to you to arrange your free session Jiunge na EBM SCHOLARS Community ebmscholars.locals.com/
@Alexandrehabimana-k4l
@Alexandrehabimana-k4l 6 ай бұрын
Thank you EBM wewe nimwalimu kabisa ,siwezi kulala bila kutembelea website zako thank you
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 6 ай бұрын
Sehem sahihi ya kupandia ndege ni Rwanda 🇷🇼 au South Africa, ila hizi Nchi zingine Zina mashaka saana ktk Air port zao , Kenya , Uganda na Tanzania yanayotokea pale air port ni aibu, Kuna siku jamaa ananiomba rushwa kisa mizigo mingi 😂😂😂 nikamuuliza mizigo mingi? Au uzito mwingi? 😂😂 nikamwambia mizigo imejaa mitumbua na Chapati tu ikabid jamaa acheke tu
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 2 ай бұрын
Ni kweli kaka viwanja vyetu east africa vinazingua
@pmt79
@pmt79 6 ай бұрын
Yalinishanikuta pale Jk Nyerere Airport eti anasema hii viza mimi sijawahi kuiona akatuweka pembeni na familia nikamwambia unatuchelewesha tu utaturuhusu mwenyewe. Sahihi kabisa wengi ni roho mbaya na hawajui kitu.
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 6 ай бұрын
@pmt79. Tz watu wengi wameisha sumbuliwa sumbuliwa ili uwape chochote kitu kwa kifupi Rushwa
@khaliphaabubakar9466
@khaliphaabubakar9466 6 ай бұрын
EBM nazipenda sana darasa zako.Kitu kimoja hujaelezea vizuri.Ukiwa transiti khaswa kama unakwenda USA wafanyakazi wa uhamiaji ya usa ndio wanaangalia tiketi,pasipoti,mizigo na umebeba kiasi gani cha pesa. Ukisafiri vaa vizuri Sio ndara na soksi bokta na t-shirt.Mavazi ndio heshima yako.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 6 ай бұрын
Yaani kwa kweli watu wa hapo airport wanazingua sana,kuna kesi moja ya black Singapore walimfanyia hivo hapo Dar Airport,wabongo wanaroho mbaya sana
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 6 ай бұрын
Wivu ndo shida hujakosea tena Tanzania airport😂
@salehkhamis3000
@salehkhamis3000 6 ай бұрын
Kuna kitu umeongea hapa Bro EBM kwel maofficers wengi pale airport hawajasafir na si km wanashindwa ila utamadumi tu hatuna wa kusafir ko akiona mtu unasafiri wanakuletea roho mbaya tena haswa hawa wadada na wamama wanaongoza kw roho mbaya
@kakamkuu5383
@kakamkuu5383 6 ай бұрын
Tunamshukuru Sana mkuu Kwa kutusanua Mimi napata elimu Sana kwako
@kisagentabirage6693
@kisagentabirage6693 5 ай бұрын
Kaka Ernest Makulilo hujambo nakusalimia ndg yng mungu akubariki, nasubiria mpango wako naomba unisaidie mungu akubariki sana
@andrewmwema4922
@andrewmwema4922 6 ай бұрын
Asante ndugu zangu kwa kutuelimisha.
@msengasikaonga3039
@msengasikaonga3039 6 ай бұрын
Kaka Asante kwa ujumbe mzuri
@KingTimoo
@KingTimoo 6 ай бұрын
Nimeipenda hii aisee
@tuyisengegad4283
@tuyisengegad4283 6 ай бұрын
Good baba we are happy about the how you take time for us
@MisanaMasatu-zz4xr
@MisanaMasatu-zz4xr 6 ай бұрын
Kuna English na kiingereza jmn kuweni makin 😅😅😅
@LeilaSadik-o1w
@LeilaSadik-o1w 6 ай бұрын
Mimi lilinikuta hamsadam nkarudishwa unaenda wapi Spain kufanya nn sijui utafikia wapi sijui jamani ni kweli ila nilitaka kushuka spain alafu nchukue usafiri wa kutambaa hd Greece ndiko niendapo lkn nkawa sijakalili pindi nikifika kuulizwa ilikua bahati mbaya na ilikua trip ya pili kupanda ulaya
@naimuothman3493
@naimuothman3493 6 ай бұрын
Tatizo watanzania hatupendi kujifunzaa
@michaelnyandindi8461
@michaelnyandindi8461 6 ай бұрын
Good Sana Kaka ebm.
@gracecolyvas392
@gracecolyvas392 6 ай бұрын
Asante KAKA kwa kutupa elimu
@pembemussa2804
@pembemussa2804 6 ай бұрын
Ndio Hao Hao wanaojiita watoto wa Mama KIZIMKAZI usiombe ukutane nao waanze kukuswalike maswali mbona utaomba poo 😁
@binabeid3980
@binabeid3980 6 ай бұрын
Bro EBM daaa kiukwl unatusanua sana unajitajidi kila ck kutupa update nzuri km hizi maana watu wengine hivi vitu hatuvijuii kbsa ila mungu Akubariki sn
@piusdeo9380
@piusdeo9380 6 ай бұрын
Jamaa anajua vitu vingi ebm
@elogevyizigiro1157
@elogevyizigiro1157 6 ай бұрын
Shukrani bwana ebm
@christopherrobert1948
@christopherrobert1948 6 ай бұрын
i trust KLM
@Ryanzabron
@Ryanzabron 6 ай бұрын
Dutch Airlines for life ❤
@haysam6317
@haysam6317 6 ай бұрын
EBM anasema : Usiombe ukutane na Black American English akiongea halafu wew hujui chochote akiongea unakaa kimyaa unashangaa akicheka na wew unachekaaa 😂😂😂😆😆😆 dah nimechekaa mbavuu zangu
@adkajisi4536
@adkajisi4536 6 ай бұрын
Watu wa hovyo sanaa
@ismailislam2462
@ismailislam2462 6 ай бұрын
Ebm..mm nilirudishwa Amsterdam kwa sababu ya mualiko wangu uliandikwa natakiwa kusafiri mwezi August 2023 lakini nikasafiri mwezi wa February 2024 wakapiga sim Canada na maswali kuhusu huo mwaliko na wakaniambia hawajaridhika na majibu..Jr nikisafiri tena kwa kutumia Conference je changamoto ya kwanza ninaweza kuipitia..?
@jocelyneedward
@jocelyneedward 6 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉 Asante sana kaka
@manbo5245
@manbo5245 6 ай бұрын
Kweli Mkuu watu wengi wanaludishwa airport
@classicmediaenter10ment44
@classicmediaenter10ment44 4 ай бұрын
Yaaani hii imewai kunikita kwa yellow fever card kutoka rwanda 🇷🇼 kuingia tanzania via rusumo 😢 waliwai kuniambia hawaijui document yangu lazima ni nunue ya tanzania 😂
@trueone_tz
@trueone_tz 6 ай бұрын
kuna watu wengi hata kwenye ukaguzi inakua shida ukianza na yeye acha baggage, viatu havieleweki ngua shida, mkanda ,saa kubwa ,ukivua mkanda suruali inadondoka🤣
@franciscoabushiri8065
@franciscoabushiri8065 6 ай бұрын
Umenyoosha maelezo sana chief
@MukireFatmaEvaste
@MukireFatmaEvaste 6 ай бұрын
Ally♥️♥️♥️😍😍
@kilalikanestory3635
@kilalikanestory3635 6 ай бұрын
Kaka uko vizuri Nami nakufatiria kwa ukaribu zaidi naomba mawasiliano ya Whatsapp Nina shida nawewe
@advinofficial6570
@advinofficial6570 6 ай бұрын
EBM MIMI NINAUHITAJI TOFAUTI KIDOGO ILA NIMEKUWA NIKIKUTAFUTA KWA EMAIL HUJIBU SASA NASHINDWA KUWASILIANA NAWEWE NTAFANYAJE TAFADHALI
@IbrahimMwadini-hz7ib
@IbrahimMwadini-hz7ib 6 ай бұрын
Kk edm Swahili naomba no ya simu ya ubalozi Ili na ss isiyeikatufika kama iyo habar unayosemaa .... Ni kweli tunarudishwa ...
@khamiswadi4199
@khamiswadi4199 6 ай бұрын
Pamoja sana
@minaayoze
@minaayoze 6 ай бұрын
Ebm ❤
@WeirdPuppy
@WeirdPuppy 6 ай бұрын
Naomba ebm tueleweshe hapo kwannini uzuiliwe port of entry wakati umeshinda dv lottery,ni hatua zipi kuchukuliwa ili upewe ruhusa
@LauraLozano-c4k
@LauraLozano-c4k Ай бұрын
Smitham Junctions
@rahelpaul3079
@rahelpaul3079 6 ай бұрын
Skutokutembea shida kweli.
@mbarakamwayungu3485
@mbarakamwayungu3485 6 ай бұрын
EBM HIYO DOCUMENTALY NIMEIONA. YA MGHANA MUNGU AKUWEKE.
@robertlinuma6051
@robertlinuma6051 6 ай бұрын
Nyuma ya camera yuko ELLY DAVID ( Profesa)
@Zazababy777
@Zazababy777 6 ай бұрын
Which institutions in Kenya can I take a student loan for proof of funds
@JacklineRaphael-wu2te
@JacklineRaphael-wu2te 6 ай бұрын
Hi EBM, samahani mimi nimeona tangazo lako la kazi ya kufundisha kiswahili… naomba nisaidie nafanyaje?
@aishanelly2026
@aishanelly2026 6 ай бұрын
Duuu vinaumaaaaa lad Sunday kijana alirudishwa Amsterdam na Alisha check inn cleared to boarding the flight…..what went wrong God knows ……hope alifanikiwa kwenda usa 🇺🇸
@ChoroTesla
@ChoroTesla Ай бұрын
Inakuaje yeye harusiwi kufanya hvyo unless angefika marekani akardishwa yeye harusiwi hata kidogo.
@enemtatuka5863
@enemtatuka5863 6 ай бұрын
Wajina wangu nimtu muimu San wewe. Siku nikifika ntakuja kukuona
@hailehim1
@hailehim1 6 ай бұрын
Hahah eti Mmarekani nizamie Kenya,wanazingua sa ingine
@dn.n4983
@dn.n4983 6 ай бұрын
Wewe unacheka mweli kingereza au English
@Zanzibreport2024
@Zanzibreport2024 6 ай бұрын
EBM naomba unisaidie kitu hivi baada ya kuomba B2 na kupata risiti na applicate confirmation Je appointment confirmation page inapatikana Vipi ili kuwenda nayo kwenye interview?
@upendomamuya7238
@upendomamuya7238 6 ай бұрын
tumia password ku log in kwenye account yako ya US Embassy visa, hapo utaweza ku download confirmation page
@dattymanne
@dattymanne 6 ай бұрын
Hahaaah😂
SABABU ZA KUNYIMWA VIZA YA MATEMEBEZI YA USA NI HIZI HAPA
27:09
EBM SWAHILI
Рет қаралды 7 М.
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 153 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Офицер, я всё объясню
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
SHA chairman issues statement on transition from NHIF
35:54
CHANGAMOTO NINAZOPITIA .... SORRY EVERYONE.... I WILL BE BACK
56:53
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Why you’re so tired
19:52
Johnny Harris
Рет қаралды 1,6 МЛН