Usipokuwa makini USA unaweza kustaafu huna kitu. Financial Literacy ni muhimu sana kwa wahamiaji

  Рет қаралды 2,163

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI 7 ай бұрын
How to Claim Your Free Consultation: YOU MUST RESIDE IN THE USA 1. Visit our dedicated page: ebmscholars.com/finance/ 2. Fill out the form with your details to schedule your consultation. 3. Sit back and relax - a financial expert will reach out to you to arrange your free session
@mahatamohamed5144
@mahatamohamed5144 7 ай бұрын
HUYU MDADA NIMEMKUBALI KABISA NI MWELEVU, EBM ASANTE SANA KUTUUNGANISHA NA WATU KAMA HAWA
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 7 ай бұрын
Ubarikiwe
@AbednegoTemba
@AbednegoTemba 7 ай бұрын
I think bro ungemuuliza kwa mtu mgeni kabisa marekani... Ndo ameingia nchini amekuja kufanya kazi or kutafuta maisha... which financial advice anampa... Lingekuws strong one...
@michaelnyandindi8461
@michaelnyandindi8461 7 ай бұрын
Appreciate
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 7 ай бұрын
Pls tuuliziye kwa sisi new immigration,vipi tunaweza kujishika kimaisha,wengi huku tunakutana nao,wamekaa myaka mingi,hata ukimuuliza hawezi kukwambia kwanza wanakubaguwa hawataki wewe ujuwe kinachoendelea huku Marekani.
@mwaaang
@mwaaang 7 ай бұрын
Kama uko huko na hujui wapi uweke pesa ya ziada, waambie waiweke kwenye S&P 500 index fund then waendelee na maisha yao waje kuona how money works for them. Take it from Buffet na Monger not me.
@reginalewiston72
@reginalewiston72 7 ай бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa mnooo muishi sana
@MikiGermany210
@MikiGermany210 7 ай бұрын
Bonge la somo,ujanja ni kustaafu Bongo hakuna njia nyingine
@MotendwaFataki
@MotendwaFataki 7 ай бұрын
Asante tunampataje uyu Dada tunaomba Sim namba yako ilitusaidiwe
@AbednegoTemba
@AbednegoTemba 7 ай бұрын
I THINK NA PIA KWA SABABU DR VERONICA ANAJUA BONGO VIZURI..HII KNOWLEDGE YAKE YA FINANCIAL ADVISOR ANGEKUJA NA HUKU NYUMBANI KUTUPA...YES TUKO TZ BUT HOW TUNAWEZA MANAGE FINANCIALLY.... DO SOMETHING NA HAPO HATA KAMA TUTALIPA SERVICE FEE FRESH TU BUT KIKUBWA NI MAARIFA NA TAARIFA SAHIHI TUWE NAZO...
@ZulekhaBakar
@ZulekhaBakar 7 ай бұрын
Samahani naomba kumuuliza doctor ve ,je alivyokuja huko marekani kusoma nursing alianza direct bachelor degree au alianza na course ya chini kama CNA then ndio akaendelea??
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,5 МЛН
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 22 МЛН
Mtanzania anayemiliki PROFESSIONAL SOCCER TEAM nchini MAREKANI
19:09
KWANINI WATU WENGI WAKIFIKA ULAYA, USA, CANADA WANABADILIKA?
1:47:11
Maisha ya Marekani kipindi cha SNOW kali (Winter)
23:48
EBM SWAHILI
Рет қаралды 12 М.
Tumekutana tena na Shaban Mwampamba...full interview inakuja
12:58
Ubishi wa Kigoma 😂😂🤣🤣
11:41
EBM SWAHILI
Рет қаралды 3,1 М.
EBM Scholars LOVE STORY | TULIKUTANA MTANDAONI
1:50:24
Official Dating Assistance
Рет қаралды 12 М.