Kwa Niaba Ya channel Yangu, Mimi km Doctor Tobias Nawapongeza Sana Kwa Kazi Nzuri ! From _South Africa 🇿🇦🇿🇦
@stewartsylvester23532 жыл бұрын
Nimefurahi sana kukuona EBM pia nimefurahi kushiriki furusa ya Leo
@dominicodeus25572 жыл бұрын
Hiii interview nilikuwa shahidi imefanyika leo mwanza jengo la tigo blanch au Habib bank karibu na ofisi ya ccm
@sharifukilongo2565 Жыл бұрын
Wapi
@michaelkomwiswa70482 жыл бұрын
Kazi nzuri sana Bwana EBM na pia Bwana Stan
@learnswahilieveryday2 жыл бұрын
This is amazing.. From Swahili land to the world !!
@mohamediomari16142 жыл бұрын
Kaka EBM ahsant sanaa kwa kutu inspire sana sisi vijanaa. Kuwa sailor ni moja kati ya ndotoo yangu. Ninaombaa sanaa nipatee information za huyuu kaka tafadhadhali
@thechiefafrica7982 жыл бұрын
tusaidie kaka tupate information zaidi
@jaffjeff69124 ай бұрын
@mohamediomar vyeti unavo
@mohamediomari16144 ай бұрын
@@jaffjeff6912 Yes ninavyo, please tuunganishe
@kaupigwe2 жыл бұрын
With number of applications hizo 100, tunafanana. Safi sana.
@ngoynzoagermain11 ай бұрын
Asante sana Kaka.. pamoja sana 5/5 🇨🇩🇨🇩
@oxwad38362 жыл бұрын
Interview nzuri sana ahsante. . 🇹🇿
@beingnicoleamor76112 жыл бұрын
Huyu ndo nnaye mtaka mimi jamn. My fellow chef 👩🍳🙏
@michaelkungwi18352 жыл бұрын
NA AMINI IPO SIKU NITAFANIKIWA MALENGO YANGU MWENYEZI MUNGU NAOMBA UNIONGOZE 🙏
@hamzanduwayo43942 жыл бұрын
Amiin
@kaupigwe2 жыл бұрын
Persistent pays off. Ni kuchangamka tu.
@boy-pq6ow Жыл бұрын
That is so good and me I am finding job.
@kelsamtv5529 Жыл бұрын
Ahsante
@Laizer34 ай бұрын
Stollowey waone hii.
@AshaAbrahmani5 ай бұрын
Very good nicce
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
Hali yako mzee mimi ni mganga wa kienyeji vipi huko....
@ilovejesus93032 жыл бұрын
Watanzania tunadharau sana kazi alafu pesa hatuna. Yaani umaskini mwingi alafu hatutaki kutoka eti uzalendo
@habibarnabas Жыл бұрын
Hongera Sana kaka
@arnoldndanshau81832 жыл бұрын
Hongera sana kaka Naomba namba yake
@saidmtiro63212 жыл бұрын
Kaka ebm bdo hatujapokea notification number ya application mulizotufqnyiq
@zitharichald84662 жыл бұрын
Vipi kaka umeshapata confirmation??
@martinbarasa3442 Жыл бұрын
Poa sana kaka advice mzuri sana
@peternyambui74922 жыл бұрын
Safi sana cousin!
@AnthonyKazikold5 ай бұрын
Kitaaluma mimi ni ship security officer from DMI nitafanyeje nipate kazi?
@andreayuda-yb8pj Жыл бұрын
Nimefurahi kumuona Stan ❤❤❤❤❤
@MariamMariam-mc4er2 жыл бұрын
Hongereni kaka zangu mungu awavaliki
@OchoaHomeDecor_ Жыл бұрын
Awavaliki tenaa😂
@aluteonlinemedia55742 жыл бұрын
Hongera sana mkuu
@bonifasimwakimongola3427 Жыл бұрын
Jamani natamani sana kwenda ila sina mtu wakunisaidi
@da2jamhuri4182 жыл бұрын
Nimeipenda hiyo
@AshaAbrahmani5 ай бұрын
Kwa jina naitwa asha Ramadan samahani nmb unisaidie nmb ya huyo kaka huwenda itakuwa nindoto yangui
@roseombay2086 Жыл бұрын
Online ubaharia unasoma kwenye website gani?
@amurbihoyiki Жыл бұрын
EBM Hujambo kaka Boniface naomba uniunganishe na shaban trucks
@InnocentFaustin-fw7bs Жыл бұрын
Kama nimefer kidato cha nne naweza kupata kazi
@daluckyFinancialServices2 жыл бұрын
Kama ulisikia shoshoooo kama mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abdultimoc4625 Жыл бұрын
Broo nisaidie na mm kufik America
@mohamedkikale72412 жыл бұрын
hongera jamaa mapambano yaendelee 👍🏾
@bensonjohn96332 жыл бұрын
Mbona hajazungumzia Malipo? Wanalipaje?
@mkazilakwamchilloh35632 жыл бұрын
Inanikumbusha miaka hiyo ya nyuma nilivyokuwa huko miami Florida
@FreeGod368 Жыл бұрын
Ebm ni kichwa🥹
@jeromeshirima20532 жыл бұрын
Mpka leo confirmation no sijapata email yangu iko active. Ni vizuri kutu reply for good feedback
@georgiakamese43482 жыл бұрын
Habari EBM, Mimi naishi marekani lakini kaka yangu yuko Tanzania na ana COC ya ubaharia. Natamani kupata contacts za huyu baharia ili anisaidie. Asante
@jabarmalid53932 жыл бұрын
Kamese
@agnesnyakisara67902 жыл бұрын
proud of you Broo
@anthonykite2 жыл бұрын
Hello brother send the link
@da2jamhuri4182 жыл бұрын
Kaka hapo unagusa wengi,
@habibarnabas Жыл бұрын
Yaani mtu usikate tamaa pambana huku ukimtanguliza MWENYEZI MUNGU na pia usimtegemee Sana binadamu katika malengo Yako
@AshaAbrahmani5 ай бұрын
Nimekupenda Bure had natamani kuwasiliana na nyie jamani
@AshaAbrahmani5 ай бұрын
nmb unisaidie nmb ya huyo kaka sorry
@nancykagera9197 Жыл бұрын
Nilichoskia Mimi ni SHOSHO
@abednegopaul27052 жыл бұрын
Hii interview imekaa kuturingishiaa hawa jamaa 😁😁
@jumaabas68372 жыл бұрын
Mshikaji anatamba marekani kitu gani kwaniiii
@edsonmgendi7393Ай бұрын
😂😂 wabongo ni watu wa mizaha
@jaymandy81362 жыл бұрын
EBM unaupiga mwingi sn
@da2jamhuri4182 жыл бұрын
EBM naomba mawasiliano yake
@shyfettymtunda46192 жыл бұрын
Jamani tutafutieni hata kazi za kufagia na kudeki tu.Bongo pagumu nyie.
@mkazilakwamchilloh35632 жыл бұрын
Zipo kazi za kuangalia wagonjwa au kuwaudumia wazee
@mwalimuteacher85262 жыл бұрын
Tunakutumia sms (WhatsApp) kuhusu dv unakaa kimya.unamaanisha nini
@albywamandalinho2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@afamatv48482 жыл бұрын
Samahani bosi.., Tunaweza kupata Ñamba zake pia ?
@africanpolarbear40442 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fahadfaraj64742 жыл бұрын
Mbona mkali sana
@usamaiddsu2 жыл бұрын
Kwani anakujali wewe peke yako
@amirimuhsin5602 жыл бұрын
Mzee mm kumisi nyumban uwongo baba mbele kwa mbele